I know her very well from machame girls up to ushirika Moshi hivi ndivyo huyo dada alivyo ni mcha mungu na mcheshi muongeaji na mpole anastahiki kwa hilii nakupenda sana ruu wangu kada wetu wa ccm go mamaaaa go sky needs some one like you out there......
JAmani tumcheni sana ALLAH kwa maelezo yake huyu rusmah hili jambo alikuwa alikuwa akiliomba sana katika swala zake za usiku na alikuwa na yaqini kuwa ataenda na kweli ALLAH amemfanyia wepes ataenda umrah IN SHAA ALLAH kwa wepesi kabissa.. yote kwa yote ibada zina siri nzito mno na ALLAH Anajibu dua za waja wake.. SUB_ HANALLAH
Hapo hamn Cha mshindi hap ukifanya uchunguzi majibu huyo Rusma unakuta ni mwanafamilia fulni mtu hasiyejulikn na mtu yeyote kupata hiyo nafasi ni ngumu huo ni mchongo tu
MAA SHAA ALLAH ALLAH Amfanyie wepes katika ibada yake hiyo ya UMRAH na amtilie baraka aende kwa salama na amani na arudi kwa salama na amani..
I know her very well from machame girls up to ushirika Moshi hivi ndivyo huyo dada alivyo ni mcha mungu na mcheshi muongeaji na mpole anastahiki kwa hilii nakupenda sana ruu wangu kada wetu wa ccm go mamaaaa go sky needs some one like you out there......
MashaaAllah Rusmah ulitia nia ya umrah na Allah kakutaqabalia. Na zawadi ya umrah ulistahiki kwani unapenda ibada.
MAA SHAA ALLAH
She's talkative "no cap
Ibada za ucku, mashaa الله. Na الله ndie anaye jua ndani ya nyoyo za watu kuna nini.
SUBHANALLAH
Ingependeza sana kuvaa kofia kama hizo kule wasafi, crown, ayo ,,,, kwenye umagharibi wenu
JAmani tumcheni sana ALLAH kwa maelezo yake huyu rusmah hili jambo alikuwa alikuwa akiliomba sana katika swala zake za usiku na alikuwa na yaqini kuwa ataenda na kweli ALLAH amemfanyia wepes ataenda umrah IN SHAA ALLAH kwa wepesi kabissa.. yote kwa yote ibada zina siri nzito mno na ALLAH Anajibu dua za waja wake.. SUB_ HANALLAH
Usiangalie kofia wala kanzu, angalia ucha mungu wa mtu vazi lisikutishe.
Ni kweli, lakini swali la Msingi, ni kuwa hivi uvaaji huo ndivyo alivyofundisha Mtume wa Mungu?
Mashallah
Mzee Khamiis Hujapendeza file umevaa batuta umechezeya sharafu ya kanzu
Kabisa
Mung atujalie na sisi
Uyu mdada inaoneshea anapenda kuongea mashallah
😂😅
Sio anapenda amakipaji
kumswalia mtume ni balaa zito wanandugu shikameneni na swala ya mtume kwa wingi
Tv Imaan Uliama khamis Tembe
Hakik hii nikauli yamtume muhammad yakwamba haangalii sur wal mavazi wala milli yetu bali Ana anglia nyoyoo jamaan tuwemakin
Uvae nikabu wwbado bint uyo mtazajisiyo maarim wako 3:36
Hapo hamn Cha mshindi hap ukifanya uchunguzi majibu huyo Rusma unakuta ni mwanafamilia fulni mtu hasiyejulikn na mtu yeyote kupata hiyo nafasi ni ngumu huo ni mchongo tu
huyu dada anadalili ya uchamungu😮
Saaaaana saaaaana ni ndugu yetu ,jirani yetu
MAA SHAA ALLAH
Naam
Kanzu na koofiya hiyo haifaayi bro khamiis
kwa mujibu wanani kuwa haifai kuvaa hivyo
@@yassinbahibryKwahiyo unataka kutuambia ipo siku SUDAIS atavaa Kofia ya aina hiyo na kutusalisha pale baitul Al haraam ?
Watu wana tizama kanzu na kofia😂
Kama hujaolewa naomba no yako dada rusmah nimependa ucha mungu wako naomba take no unipe
Umependa sura yake na Macho huna chengine uchu mbaya
Wewe vipi bado waomba namba yake huna hata aibu
Mashallah