Marhaba ya madam Leyla kwa hakika kwa mara nyingine tena video ni nzuri zimenivusha pakubwa mno kwasababu kuna mahusiano moja niliwahi kuumizwa kiasi kwamba mpaka nikaamini waliokufa wamepumzika. Lakini Leo et Niko bukhari wa afya kem Kem kupitia video. Nasema hivi wewe ni roll mode wangu
Mungu awabariki Mtangazaji na Madaam Leila, na wale ambao hatuwaoni uliowataja majina. Elimu kubwa sana hii hasa hapo mwishoni nasoma Kitabu cha Mwanzo 1:21 Swali ambalo walimu wa Biblia na Quran watusaidie. Kwanini Mungu alimletea Adam usingizi mzito? Kwanini Adamu hakupaswa kuona wakati Mungu anautwaa ubavu na kuufanya Mwanamke yaani Hawa/Eva? Asantee.
Mama nakunasihi kila mara muogope Allah saana usiinasibishe na uislam ktk mafunzo yako unauchafua uislam kwakuwa unamapungufu na uwongo na ujue hayo unayoyafundisha utaulizwa kila kitu kesho tunajua unatafuta umaarufu lakini wallahi siku utafumba macho utaona ubaya wake na matokeo yake mafunzo yako unachanganya na uislam na upotofu unaotoka nje ya uislam tumuogope Allah saana au kwakuwa na muongeaji mzuri tafuta elimu kwa waislam waliosoma alafu soma kisha ingia mitandaoni fundisha kwa ikhlasi Allah atakusaidia utapata malipo mazuri saana lakini kwa style yako hiyo unakosea mama yangu
@@MadamLeilaAbubakar ok kama utafuti umaarufu basi acha kuchanganya uislam ndani ya mafundisho yako ya saikolojia unauchafua uislam mafundisho yako hayatoshelezi ktk uislam ila kuuchafua tu au kama utapenda basi jikite vizuri ktk uislam utapata thawabu zaidi na uweke ikhlasi
@@selemankishema5780 Uislamu unakataza kuzungumza pasi na elimu, bora ungekaa kimya ndugu yangu... Kama baadhi ya mafunzo ya kisaikolojia kama ni sahihi kuna tatizo??? Wewe ndio inabidi usome Uislamu vizuri InshaAllah 😂
@@MadamLeilaAbubakar Madamu Leila wewe una kipaji chako Mimi nimekusikiliza mara moja tu Wakati nazurura you tube ukaninasa Mpaka Leo nakufuatilia Mimi ni mkristo Lakini huwa nasikiliza mtu yeyote bila kujali dini Dokta Mwaka na Aunty sadaka ni mfano wa watu ninaowasikiliza. Muombe Mungu akupe hekima zaidi Endapo nitaona mtu huyo anachosema kinaweza leta amani na kujenga jamii isonge mbele Anayetoa Elimu inayoweza kupatanisha watu au kusaidia watu wakaishi vizuri Usikate tamaa
Waislamu wengi huamini wanachofundishwa Kila kitu lazima kiwe kimeandikwa kwenye Quran Wengi bado hawaamini kuwa Elimu nyingine kama saikolojia Uchumi Mahusiano tunaweza jifunza kutoka humo Au kwa kuchanganya na stadi Kama hizi. Sisi Wakristo tuna mafundisho mengi sababu tunajua kuwa Stadi zote Muhimu kama uchumi, Saikolojia Mahusiano ni vizuri zikafundishwa Ili kumjenga Binadamu Sababu zinamzungumzia Binadamu. Stadi hizi huwa zinaweza kutumika kumuimarisha Binadamu amfate Mungu wake kirahisi zaidi Na stadi hizi nilizotaja huwa zinaongozwa na Biblia na hazifungani nayo ila Biblia inaongoza stadi zote zitumike kwa upendo na kuwasaidia watu wapate haki.
Marhaba ya madam Leyla kwa hakika kwa mara nyingine tena video ni nzuri zimenivusha pakubwa mno kwasababu kuna mahusiano moja niliwahi kuumizwa kiasi kwamba mpaka nikaamini waliokufa wamepumzika. Lakini Leo et Niko bukhari wa afya kem Kem kupitia video. Nasema hivi wewe ni roll mode wangu
Mtume Muhammad swallallahu alayhi wasallam anasema mpende mtu kwa ajili ya Allah na mchukie mtu kwa ajili ya allah
Yaani madam mashaallah , sura ya upole mwenyewe ila sauti ikitoka inamamlaka
Allah azidi kukubariki ❤❤❤
Allah anasema wanawake wakae majumbani mwao wala wasitoke nje ya majumba yao
Aya ipi?
Shukran sana madam kiukwel najifunza mengi
Shukran sana🙏🏽
Mashallah Allah azidi kuwawezesha muzidi kutuelimisha,nakupenda sana madam lela allahu barik
Allah atunusuru na mitihani hii na myengine,amin.
Thanks so much Madam much ❤❤ for this teaching
nimengoja sana kipindi madam mashaallah
Huyo mama anasema kama mwana mke ni kama pizza ni kweli kabisa lazima tuishimu na tuwapende sana wake zetu insha Allah
Uzuri wa mwanamke sio sura wala urembo wala maumbile uzuri wa mwanamke ni tabia njema tabia nzuri ukarimu na dini
Allah azidi kukuhifadhini ikhiwan
Nakupenda sana madam Leila❤
Da Leila ❤❤❤
Jazaka Allah khayran
Mashaallh
Mashaallah madam
Madamu miye nakupenda bure😂
Sitaki kupendwa bure mie 😂
Na yoyote yule asiyekuwa na wivu kwa mke wake na mume wake huyo no mnyama zaidi ya mnyama
❤❤❤🙏🙏🙏🤝
Mungu awabariki Mtangazaji na Madaam Leila, na wale ambao hatuwaoni uliowataja majina. Elimu kubwa sana hii hasa hapo mwishoni nasoma Kitabu cha Mwanzo 1:21 Swali ambalo walimu wa Biblia na Quran watusaidie. Kwanini Mungu alimletea Adam usingizi mzito? Kwanini Adamu hakupaswa kuona wakati Mungu anautwaa ubavu na kuufanya Mwanamke yaani Hawa/Eva? Asantee.
Biblia imeandika enyi wanaume ishini na wake zenu kwa akili
Kumbe waislam mnasoma bible
Swadakta
Iyo microphone 🎤 ina nini. Mnatuboa sana
Hekima sio kumchukia mtu Bali chukia vitendo vyake
Nina imani tukifuata mafundisho yako ukombozi wa kifikra utakuwa wa hali ya juuuu mno
Leo kipindi kizuri najifunza na nacheka
Nami nimefurahi kuskia hvyo
Hata mie Alhamudulillah nimepata elimu NAMI huwa najishauli
Mama nakunasihi kila mara muogope Allah saana usiinasibishe na uislam ktk mafunzo yako unauchafua uislam kwakuwa unamapungufu na uwongo na ujue hayo unayoyafundisha utaulizwa kila kitu kesho tunajua unatafuta umaarufu lakini wallahi siku utafumba macho utaona ubaya wake na matokeo yake mafunzo yako unachanganya na uislam na upotofu unaotoka nje ya uislam tumuogope Allah saana au kwakuwa na muongeaji mzuri tafuta elimu kwa waislam waliosoma alafu soma kisha ingia mitandaoni fundisha kwa ikhlasi Allah atakusaidia utapata malipo mazuri saana lakini kwa style yako hiyo unakosea mama yangu
natafuta umaarufu!!!, ndivyo dini inavyokufundisha dhana?
@@MadamLeilaAbubakar ok kama utafuti umaarufu basi acha kuchanganya uislam ndani ya mafundisho yako ya saikolojia unauchafua uislam mafundisho yako hayatoshelezi ktk uislam ila kuuchafua tu au kama utapenda basi jikite vizuri ktk uislam utapata thawabu zaidi na uweke ikhlasi
@@selemankishema5780 Uislamu unakataza kuzungumza pasi na elimu, bora ungekaa kimya ndugu yangu... Kama baadhi ya mafunzo ya kisaikolojia kama ni sahihi kuna tatizo??? Wewe ndio inabidi usome Uislamu vizuri InshaAllah 😂
@@MadamLeilaAbubakar
Madamu Leila wewe una kipaji chako
Mimi nimekusikiliza mara moja tu
Wakati nazurura you tube ukaninasa
Mpaka Leo nakufuatilia
Mimi ni mkristo Lakini huwa nasikiliza mtu yeyote bila kujali dini
Dokta Mwaka na
Aunty sadaka ni mfano wa watu ninaowasikiliza.
Muombe Mungu akupe hekima zaidi
Endapo nitaona mtu huyo anachosema kinaweza leta amani na kujenga jamii isonge mbele
Anayetoa Elimu inayoweza kupatanisha watu au kusaidia watu wakaishi vizuri
Usikate tamaa
Waislamu wengi huamini wanachofundishwa Kila kitu lazima kiwe kimeandikwa kwenye Quran
Wengi bado hawaamini kuwa Elimu nyingine kama
saikolojia
Uchumi
Mahusiano tunaweza jifunza kutoka humo
Au kwa kuchanganya na stadi
Kama hizi.
Sisi Wakristo tuna mafundisho mengi sababu tunajua kuwa
Stadi zote Muhimu kama uchumi,
Saikolojia
Mahusiano ni vizuri zikafundishwa Ili kumjenga Binadamu
Sababu zinamzungumzia Binadamu.
Stadi hizi huwa zinaweza kutumika kumuimarisha Binadamu amfate Mungu wake kirahisi zaidi
Na stadi hizi nilizotaja huwa zinaongozwa na Biblia na hazifungani nayo ila Biblia inaongoza stadi zote zitumike kwa upendo na kuwasaidia watu wapate haki.
Madam kwanini unataka Lipstick na studio kuna wanaume.
Jazakal Allah kheri