💪 I am a sanguine, najijua vizuri Tu, me ni mkorofi Sana hasa nikimkopesha mtu alafu akate kunilipa, nakuwaga na mihemko ya over confidence. Ila me ni mkarimu Sana na napenda story na watu (mcheshi) yaan nipo social.
Muda pengine ulikua sio rafiki jambo jema nikua MUNGU ametupatia utashi kila mmoja wa kupokea mambo na kuya elewa pia hata kufundisha au kuelewa sasa basi ujumbe ameufikisha ila sasa tunatamani na wewe uitumie hii opportunity kufundisha masomo mbali mbali
Safi sana brother, somo hilo nalifahamu vizuri sana. Hongera sana. Mimi pia haiba yangu sawa na yako. (MELANKOLI)
💪 I am a sanguine, najijua vizuri Tu, me ni mkorofi Sana hasa nikimkopesha mtu alafu akate kunilipa, nakuwaga na mihemko ya over confidence. Ila me ni mkarimu Sana na napenda story na watu (mcheshi) yaan nipo social.
Wow.
Bila shaka hiyo imekusaidia kuweza kuishi na watu vizuri
Naomba kujua, ili niishi vizuri kwenye mahusiano na ndoa, haiba gani natakiwa kuolewa nayo?! Ikiwa mm ni sanguine.
Naomba utafute kitabu changu cha haina ya mtu na jinsi ya kuhusiana naye, nimezungumzia hilo kwa kina.
Sawa ahsante.
But kwann umetaje udhaifu tu wakati Wana uwezo wao binafsi
Umetisha mwl helman john
Mwl umefundisha vyema but darasa Lina mapungufu kidogo
Muda pengine ulikua sio rafiki jambo jema nikua MUNGU ametupatia utashi kila mmoja wa kupokea mambo na kuya elewa pia hata kufundisha au kuelewa sasa basi ujumbe ameufikisha ila sasa tunatamani na wewe uitumie hii opportunity kufundisha masomo mbali mbali
Korelick merankoli
Nafikiri uwa wanachanganya kundi , mie najiona kwenye makundi 2 zaidi na siyo tabia ya kundi moja , Najiona melankoli na koleric
Uko Sawa, hakuna mwenye kundi moja ila moja inakuwa na nguvu!
Mbona sangwini umempondea sana bro yaan hadi uongozi hutaki apewe mmh itakuwa una x wako sangwin wew😂
Yule naibu waziri wa afya ni sangwini
Good
All about psychology
Mbona mie nipo kote kotekote
Mwalimu tuanaomba ungeweka namba zako za simu ili tuweze kupata mawasiliano ya jinsi ya kupata kitabu.
0657572523
Tuma sms WhatsApp
Tumia simu hii
0757572523 utanipata
😂😂😂😂😂mm sangwin hajaacha hata chembe
Mbona mimi kama magroup yote manne kuna vitabia vipo kwangu. Kwa mujibu wa maelezo yako, nimeshindwa kujipambanua maana kila group nipo
Yes. Huwez kuwa kweny kundi 1 asilimia 100 unawez ukawa huku na huku
Im flegmatic man 😂😂😂😂
Wow
Sir this lesson is from which subject or unit? I really like it
Psychology
Nisaidie jina la kitabu boss
HAIBA YA MTU NA JINSI YA KUHUSIANA NAYE.
Uko. Vizuli
Kindly translate this terms into Kiswahili
Into English please
Hichi kitabu chako nakipataje
Unaweza kukipata Kwa kutumiwa kwenye simu au kwenda dukani kama upo DSM endapo Bado hujakipata. Bei yake ni Sh 7000
Nataka.kitabu.shs?ngapi?
Kitabu ni shilingi 7000
Kitabu ni shilingi 7000