Dr. Chris Mauki: AINA 3 ZA WATU. Je, wewe ni nani katika hawa?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024
  • Katika maisha ya kila siku inawezekana akajishangaa kwanini mambo hayaendi unavyotaka au unavyotamani kumbe shida iko kwenye namna unavyofanya mambo. Je umeshawahi kujiuliza ni kwa kiasi gani tabia yako inachangia kwenye kukufanikisha au kukufelisha? Hizi hapa aina za watu na tabia zao. Jitazame, jijue ili ubadilike.

КОМЕНТАРІ • 112

  • @hapsaally1860
    @hapsaally1860 3 роки тому +12

    Nimefurahi sana kuisikiliza hii kwa cku hii ya Leo, Mimi ni achiver coz si mtu wakukata tamaa na cjawahi kuwamlalamishi Ila ninachangamoto ya marafiki na uhaba wa watu wakujifunza kupitia wao yaan sina sehem yakupata msaada isipokuwa ni UA-cam.,nikipata changamoto yoyote sina pakukimbilia zaidi ya mitandaoni nianze kupekuwa mpk nipate solution ya tatizo langu, nifanye nini ili nipate marafk sahihi?

    • @AsteOon
      @AsteOon Рік тому

      ❤mm NK Kenya natamani Sana hiyo kitabu 🎉

  • @abongaebuka798
    @abongaebuka798 2 роки тому +1

    Umenisaidia saana Dr Chris,Niko samba-samba n'a mafundisho yako

  • @fransiscamrema5369
    @fransiscamrema5369 Рік тому +1

    Asante Sana doctor mi achiever somo nzur Sana sikatitamaa hata nipatechangamoto ngani! God bless u!

  • @barakakivuyo6851
    @barakakivuyo6851 3 роки тому +1

    Wao mimi ni achiever maana sijawahi kata tamaa Baraka emanuely kivuyo

  • @pendothomas7258
    @pendothomas7258 4 роки тому +2

    Dubllor ila sasa ninatamani kuwa achiever. Naamini Mungu atanisaidia. Asante dr Chris kwa somo zuri

  • @perischari3630
    @perischari3630 Рік тому

    Mi nko group ya stresser.Nafikia malengo but kuchelewa.Mada nzuri sana.asante

  • @aishaahdullah4134
    @aishaahdullah4134 Рік тому

    Mm natulia napumua naedelea hvo srudi nyuma 💪💪

  • @zainabumbondei8635
    @zainabumbondei8635 2 роки тому

    Mm naona ni Achiva 🤣🤣 sitaki kukata tamaa MUNGU anijaalie nikifie malengo yangu Nshaallah

  • @hamisisaidi5528
    @hamisisaidi5528 2 роки тому +1

    Kaka mm nakuerewa Sana uko poa Sana mungu akurinde

  • @FAHADRAJAB-c6i
    @FAHADRAJAB-c6i Рік тому

    Thank you doctor,hii nimeipenda mimi nipo katika "achiver"

  • @namsifumaduhumwita2495
    @namsifumaduhumwita2495 4 роки тому +1

    Hii ni dawa ya akili inayotibu. By God's grace I wanna achieve 🙏

  • @jamilahathumani4222
    @jamilahathumani4222 2 роки тому

    Mim ni achiver,,Mana nimepata hasara Sana kwenye biashala lakini bado ninauthubutu na huwa natafutaga njia ya kupambana Zaid kwa umakini

  • @mwanakheri169
    @mwanakheri169 3 роки тому +3

    Mungu akubariki kila siku iitwayo Leo! Amiin

  • @helenfisha639
    @helenfisha639 Рік тому +1

    This channel is right place for sure. Be blessed Sir.

  • @AnnethtonnyAnneth
    @AnnethtonnyAnneth Рік тому

    Asante kaka achiver ila napitia changamoto nyingi

  • @gracedamas5883
    @gracedamas5883 Рік тому

    Hio tabia inanishambulia Sana Asante kwa somo zuri

  • @sufoorembo5925
    @sufoorembo5925 2 роки тому

    Asante dr nawezaje kuongea nawewe mimi nipo Mozambique 🇲🇿

  • @fridaoswadi6797
    @fridaoswadi6797 2 роки тому

    asante kwa somo lako nzur , mim ni dabrra 🙏🙏🙏

  • @jacksonmathayo6510
    @jacksonmathayo6510 2 роки тому +1

    Achiever

  • @bondenatieno2488
    @bondenatieno2488 Рік тому

    Am an achiever

  • @magenialphonce6604
    @magenialphonce6604 11 місяців тому

    Mm ni archiver

  • @selestinowistoni9365
    @selestinowistoni9365 2 роки тому

    Nimekuelewa sana

  • @froliankakwezi9513
    @froliankakwezi9513 3 роки тому +1

    Asante Dr mungu akubariki

  • @aishtan2745
    @aishtan2745 3 роки тому

    Shukrni sana Dr kwa masomo mazuri yani upo sahihi kabisa jee kaupo kwenye kundi la strs utatumia njiaa gani ili kuepuka

  • @SukaDmGuy
    @SukaDmGuy Рік тому

    achiever

  • @christinaisuja2412
    @christinaisuja2412 3 роки тому +1

    Dr.uko vizuri,nimekuelewa.

  • @MajidAbdullah-p9s
    @MajidAbdullah-p9s Рік тому

    good topic

  • @sufoorembo5925
    @sufoorembo5925 2 роки тому

    Mimi ni n (1) tena inaniumiza sana Dr

  • @pillymgude7501
    @pillymgude7501 4 роки тому +2

    Mm ni achiever.

  • @floraabiero8876
    @floraabiero8876 4 роки тому +2

    Asante kwa somo nzuri ...

  • @faridaibrahim2330
    @faridaibrahim2330 3 роки тому

    Nakukubali sana pamoja na wife wako.mbarikiwe sana.

  • @stephanmwaigomole138
    @stephanmwaigomole138 2 роки тому

    Your ok bro

  • @emilykiruku5516
    @emilykiruku5516 4 роки тому +3

    Waiting

  • @taysonyelias5154
    @taysonyelias5154 3 роки тому

    Mm ni stresser

  • @Laila-zl8lj
    @Laila-zl8lj 3 роки тому

    Asnte San dr mungu akulinde kwaelim unayo tupa,akupe kipaji zaid 🙏

  • @dottobituro6518
    @dottobituro6518 3 роки тому

    Upo sawa kabsa

  • @khadijarajab8383
    @khadijarajab8383 3 роки тому +1

    Mimi ni nomber 3🙌

  • @sabylaby
    @sabylaby 4 роки тому +1

    Asante

  • @scollalema4674
    @scollalema4674 3 роки тому

    Waoooo Dr somo zuri mungu akubariki na akuinue ..

  • @neemamaganga9774
    @neemamaganga9774 3 роки тому

    Thanks

  • @tteantoinette5379
    @tteantoinette5379 2 роки тому

    You are good adviseur

  • @hureemmunir8112
    @hureemmunir8112 4 роки тому +2

    Achiever 💪🏻💪🏻

  • @adelandalilo1085
    @adelandalilo1085 2 роки тому

    Achiever here

  • @winfridamdaki5699
    @winfridamdaki5699 3 роки тому

    Asante kwa darasa zuri

  • @godfreylaizer7106
    @godfreylaizer7106 3 роки тому

    Nakubali baba

  • @FanikiwaKabuje
    @FanikiwaKabuje Рік тому

    Mimi Ni achiver

  • @barakakivuyo6851
    @barakakivuyo6851 3 роки тому

    Waooo Vzr sana mafundisho mazuri

  • @selestinowistoni9365
    @selestinowistoni9365 2 роки тому

    Mm ni stressor

  • @mercylinah2037
    @mercylinah2037 3 роки тому

    🙏🙏 Kwa mafunzo yako

  • @official_rayob.8351
    @official_rayob.8351 2 роки тому

    mi Achiver,,,

  • @reganmrema6374
    @reganmrema6374 Рік тому

    Aseeee me ni sitressa

  • @sarahjuma6044
    @sarahjuma6044 3 роки тому +1

    Mim ni stressor

  • @janethphilip8778
    @janethphilip8778 2 роки тому

    Dooo stresser ndo mm natakiwa kubadilka kuwa achiver

  • @paulinedavid2524
    @paulinedavid2524 Рік тому

    Mimi streeser😇

  • @africanbeauty6556
    @africanbeauty6556 4 роки тому

    Nakufuatilia Dr Mauki , Napenda mafunzo yako sana , Napendekeza ikiwezekana somo zingekuwa na lugha hata ya kiingereza ,Kwa sisi tunaishi Europe Ningefurahi sana kufuatilia na mine wangu na watoto wangu vile ni maternagers masomo yako ya muhimu katka familia nzima .Im proud to be Tanzanian zamani haha masomo huwezi kuyaona mtanzania anatoa kwa social media , Wa marekani na European na kea Africa Nigerians .Keep up good job .God bless ur work .Do you.have book ?

  • @frankmkongomasi4591
    @frankmkongomasi4591 3 роки тому

    Safi sana dr sasa swali . hao watu ambao dabbler anaomba kureconnect na kupata msaada hao sasa wanatoka kundi gan??Maana ni kama kuna kundi zaidi..

  • @oscarmwambonja
    @oscarmwambonja 3 роки тому +1

    Masomo ni mazuri yanatuelimisha ila punguza maneno ya ziada kwa mfano inavyoanza video, twende moja kwa moja ili ufupishe.

  • @SukaDmGuy
    @SukaDmGuy Рік тому

    mimi ni achiver

  • @khadijajuma7142
    @khadijajuma7142 3 роки тому

    Mm hapa Stressor kabisaaa,ngoja nijitahidi nifike namba 3 loh

  • @elizabethyohana9808
    @elizabethyohana9808 3 місяці тому

    3 pure me

  • @bethndirangu1180
    @bethndirangu1180 2 роки тому +1

    Achiever💪✌️ winner never quit

  • @priscasalangeni5786
    @priscasalangeni5786 4 роки тому +1

    Achiever 💪👣❤

  • @rachaelmkunda2742
    @rachaelmkunda2742 3 роки тому

    Mimi ni achiever dokta maana kukata tamaa kwangu ni ndoto

  • @bahatibulime9091
    @bahatibulime9091 2 роки тому

    Hakika nipo kwenye group no3

  • @habbyguyo6865
    @habbyguyo6865 3 роки тому

    Thank you doc I love your channel woow inamafunzo mengi sana en am achiever mob love doc

  • @nurushilole8371
    @nurushilole8371 2 роки тому

    Dr, inawezekana mtu kubadilika kutoka aina moja kwenda nyingine?

  • @GwamakaAmsyanGwamakamsyani
    @GwamakaAmsyanGwamakamsyani Рік тому

    Achiver

  • @lizzybahati9833
    @lizzybahati9833 3 роки тому

    Eeeh ndo hivyo eeeh 🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️

  • @rithamsacky4655
    @rithamsacky4655 4 роки тому +1

    Streser....

  • @dominikamfoi3534
    @dominikamfoi3534 3 роки тому

    Stresser

  • @Laila-zl8lj
    @Laila-zl8lj 3 роки тому +1

    Dr naomba namba yako kwaushauri zaid🙏

  • @charlesmunema8218
    @charlesmunema8218 4 роки тому +2

    🔥🔥🔥

  • @aishafahdi8355
    @aishafahdi8355 3 роки тому

    Mim niko 3

  • @sabylaby
    @sabylaby 4 роки тому +5

    Mimi ni stressor
    Vipi nitakuwa achiever?

  • @zainazaina8711
    @zainazaina8711 3 роки тому

    Tnk's Dr I am third achiever let me Tel why I was building da house wid my hzy wen we get upto da bottom he started to quaral wid me every time ten I talk to my family and I Tel my family i wil my not loose hope I wnt to stand again on my on ten my family Tel me dat's right and dat is a strong human and my mom is a big contractors she has big big tenders in da port she build plays try cal me mummy she Tel me mammy u can do it we ar behind u and now I tnk god always I Hv 2 big plots

  • @fredrickndege1763
    @fredrickndege1763 3 роки тому

    Mimi nipo hapo kwa achiver

  • @joycelaizer4600
    @joycelaizer4600 4 роки тому +2

    Stressors

  • @subiraomari5908
    @subiraomari5908 4 роки тому +1

    Achie

  • @fatmafatoom6553
    @fatmafatoom6553 2 роки тому

    Mimi huyo stresser....

  • @drmalicklaizertz103
    @drmalicklaizertz103 3 роки тому

    Mimi ni Achiver

  • @jackmussa3902
    @jackmussa3902 2 роки тому

    Sjaona aliesema mi ni dabra🤣😆

  • @mwinyimwinyiibrahimu6432
    @mwinyimwinyiibrahimu6432 3 роки тому

    Mimi.ni.achiver

  • @beatricemabula4783
    @beatricemabula4783 3 роки тому

    Mimi stressa

  • @kaswalala122
    @kaswalala122 2 роки тому

    Vp mtu huyu ambaye anakuwa na mipango na malengo makubwa halafu likija swala la kuanza kufanyia kazi anaogopa na kuwaza kitu kingine?

  • @ndenimborakweka5411
    @ndenimborakweka5411 4 роки тому +1

    Archiever

  • @mastermindtv2010
    @mastermindtv2010 4 роки тому +1

    Stressor

  • @malicomjoseph3000
    @malicomjoseph3000 4 роки тому +1

    ACHIEVER!!!!!!!

  • @zainabukabura9876
    @zainabukabura9876 4 роки тому +3

    Hahaha

  • @sufoorembo5925
    @sufoorembo5925 2 роки тому

    Asante dr nawezaje kuongea nawewe mimi nipo Mozambique 🇲🇿

  • @dontilapaschal2278
    @dontilapaschal2278 Рік тому

    Mm ni archiver

  • @SukaDmGuy
    @SukaDmGuy Рік тому

    achiever

  • @janethngowi1058
    @janethngowi1058 3 роки тому +1

    Achiever

  • @rosejordan5391
    @rosejordan5391 2 роки тому

    Mm ni stressor

  • @zulfaiddy7612
    @zulfaiddy7612 4 роки тому +1

    Archiever

  • @witnesssenyagwa5334
    @witnesssenyagwa5334 4 роки тому +1

    Achiever

  • @judithnjalambaya2450
    @judithnjalambaya2450 4 роки тому +1

    Achiever

  • @seraphineally9739
    @seraphineally9739 4 роки тому +1

    Achiever

  • @stellahmelkiony8890
    @stellahmelkiony8890 4 роки тому +1

    Achiever