Kumepambazuka maswali ya ulizwa na kujibiwa uisilamu ndio njia ya Mwenyezi Mungu iliyonyooka

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 65

  • @RobertCollinskc
    @RobertCollinskc 5 місяців тому +9

    Sheikh Ally kuwa na subra, sheikh salim upo vizuri, kwa ujumla wote Allah awalipe malipo mema inshaallah.

  • @jamada-by3rq
    @jamada-by3rq 5 місяців тому +9

    I was busy waiting for this, Allahuakbar

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  5 місяців тому +1

      Masha Allah

    • @michaelmike8216
      @michaelmike8216 5 місяців тому

      Your teachers are lying to you so you go to hell...they lie so much...they misquote the bible like fools

  • @rashidhamad3538
    @rashidhamad3538 5 місяців тому +5

    tatizo la sheikh Ali ni subra, Allah atupe subra in Shaa Allah

  • @Leo-xc1nh
    @Leo-xc1nh 4 місяці тому +2

    Allah Akbar

  • @Sal.0
    @Sal.0 5 місяців тому +3

    Ai, leo Mada ime Chemshwa vizuri sana na Ma Ustad wetu!
    MashaAllah Team Salim na Local Support Team!

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  5 місяців тому +1

      Mpaka kieleweke inn shaa Allah

    • @Sal.0
      @Sal.0 5 місяців тому +1

      @@salimdaawah123
      MashaAllah.

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 5 місяців тому +2

    Jazzakallahu khaira .Ila mwisho mwisho sauti ilikata

  • @ignatiussifuna-i3s
    @ignatiussifuna-i3s 5 місяців тому +3

    hawa hawana elimu yoyote ya dini....very empty and not ready to learn.....alhamduliliah nikawa muisilamu

  • @AMIRMOHAMEDALI-p6b
    @AMIRMOHAMEDALI-p6b 5 місяців тому +5

    Asalam aleykum ndungu waisilamu
    Tumshukuru ALLAH kuwa waisilamu
    Hawa wakristo wamepiswa hata hawajui kile wanasema wala wanachoambiwa

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  5 місяців тому +1

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh alhamdulillah kwa neema ya uisilamu

  • @HamzaAkilimali
    @HamzaAkilimali 5 місяців тому +13

    Hivi ⁉️,😂😂😂 Wakristo walilishwa nini toka kwa Wazungu ⁉️ Kwanini wanang'ang'ania kumuita Yesu eti ni Mungu, wakati yeye anakataa kwamba yeye si Mungu. SIJUI NI UJINGA, AU NI UPUMBAVU AU NI NINI HASWA‼️ "kumbe ndiyo maana Mwenyezi Mungu Aliandaa Moto wa Jahannamu" Ya ALLAH☝ Tunusuru na huo ujinga uliokithiri.

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  5 місяців тому +4

      Alhamdulillah kwa neema ya uisilamu

    • @michaelmike8216
      @michaelmike8216 5 місяців тому

      ​@@salimdaawah123...muslim kaffirs who lie on word of God...by ur propret sulaiman...on proverbs.chapter 8....

    • @faudhiasaidi3669
      @faudhiasaidi3669 5 місяців тому +2

      Divai wanazokunywa makanisani ndo zinawafanya ivyo

    • @michaelmike8216
      @michaelmike8216 5 місяців тому

      @@faudhiasaidi3669 ..unafuata waogo kama mohammed..mpenda kulala na wanawake wawenyewe

  • @andallaathman3856
    @andallaathman3856 4 місяці тому +2

    Huyu sheikh Ali wallah mungu amuongoze lkini licha mkiristo kukasirika hata muislam atakasirika ana maneno ya maudhi Sana

  • @Adm9464
    @Adm9464 5 місяців тому +6

    Ma shehee huyu ndugu definitely needed some guidance.

  • @mwangimuhammad-sx9hb
    @mwangimuhammad-sx9hb 5 місяців тому +4

    Subhaanah Allah!!! Kweli watu wako confused. Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuhu..Allah awahifadhi nyote nawapenda sana

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  5 місяців тому +1

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin

  • @mwanamtotosaid702
    @mwanamtotosaid702 5 місяців тому +3

    ❤❤ Masha Allah 🥰

  • @Jingajinga64
    @Jingajinga64 5 місяців тому +2

    Waislamu munanifurahisha sana kumpuza kwa pamoja chizi fresh mmoja anaetuma comments za uchochezi na chuki katika kila video kwa lengo la kuleta vurugu na kuchafua mazingira kutokana na maumivu ya dose anazopata na akishuhudia wakristo wakisilimu kwa makundi. Hata hapa yuko. Pole kaka utazowea

  • @ahmedabdulle4351
    @ahmedabdulle4351 5 місяців тому +2

    Ucristo n shida nashr Allah kuzaliwa katika uislam

  • @hassadube225
    @hassadube225 5 місяців тому +4

    Mash Allah

  • @swalehmwamazola7100
    @swalehmwamazola7100 5 місяців тому +3

    Maoni yangu mutenge kipembe kimoja cha uwo mzunguko wa mkutano kwa ajili ya kusimama kina mama. Itapendeza pia watakuja kwa wingi

  • @josemu870
    @josemu870 5 місяців тому +5

    Barikiweni sana sana

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  5 місяців тому +3

      Alhamdulillah kwa neema ya uisilamu

  • @SaidMgeni
    @SaidMgeni 5 місяців тому +4

    MashaAllah Tabarakah Rahman

  • @Jingajinga64
    @Jingajinga64 5 місяців тому +4

    Sheikh Aliiii. Welcome back. Allahumma Barik

  • @oopsm3574
    @oopsm3574 5 місяців тому +3

    Leo wakora wamepatikana😂😂😂

  • @ibruzah001
    @ibruzah001 5 місяців тому +3

    Allahu Akbar ❤

  • @suleymanali431
    @suleymanali431 5 місяців тому +2

    Mashaalah mungu awasaidia ila Mic imepiteza sauti wakati wa mwisho yule kijana hassan ame mfukuza hamja muelewa alitaka kujifunza na labda mwenyezi mungu angemuongowa na hakuumuuliza kama anataka kuwa mwisilamu alimwambia wewe hauna dini nenda zako .

  • @aburaasmedia3682
    @aburaasmedia3682 5 місяців тому +3

    Masha Allah

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  5 місяців тому +2

      Alhamdulillah kwa neema ya uisilamu

  • @sulleysidey2844
    @sulleysidey2844 4 місяці тому +2

    mungu azidi kuwabariki mashekh wetu

  • @daidibrahimadam482
    @daidibrahimadam482 5 місяців тому +4

    Watchung from Mandera county

  • @BariisSamatar
    @BariisSamatar 5 місяців тому +4

    ALLAH hu AKBAR ❤

  • @salhkasmm558
    @salhkasmm558 5 місяців тому +3

    Hawa wakristo washashibishwa uongo wakifikra kutoka nikazi kubwa

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  5 місяців тому +1

      Tena kabisa Allah awaongoze waione haki na waifuate

  • @sheemaryam
    @sheemaryam 5 місяців тому +3

    Asalam aleikum warahma turullahi wabarakatuh hamjambo

    • @ibruzah001
      @ibruzah001 5 місяців тому +2

      Wa alaikum salaam warahmatullahi wabarakatuhu

    • @aliabdallah8456
      @aliabdallah8456 5 місяців тому +2

      Hawa wakristo wanamuudhi sana Mungu ndiyo sababu mafuriko hayaishi na majamga Duniani hayaishi kwa sababu ya kumuita Yesu ni Mungu

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  5 місяців тому +1

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh

  • @nayef3903
    @nayef3903 5 місяців тому +4

    Hassan wale wenye kukufuru wape anya asikufuru ili mwengine apate nafasi ukiwacha madakika mingi

  • @NathanielNathan-m4o
    @NathanielNathan-m4o 5 місяців тому +1

    Na ya sita, muislam akizikwa Huwa anafundishwa jinsi ya kujibu maswali akiwa ndani ya kaburi😂

  • @SalimHumud
    @SalimHumud 4 місяці тому +1

    Hao wegine wapoteza muda tu

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 4 місяці тому

    Huyu mzee Ally kwa nini hatulii kazi yake ni kusoma lakini anapenda kuingilia kufundisha na kujibu mambo ambayo si yake