Mungai ni opportunist mimi binafsi naona hakustahili kuwa mwenyekiti wa Chadema mkoa. Tukubali kwamba Mbowe kwa sasa hawezi kukipeleka chama mbele uwezo wake umefikia mwisho.
Hivi huyu ni yule Slaa ambaye mwaka 2015 aliandaa press ya kuimaliza Chadema kwa msaada wa wale jamaa wa kaunda suti? Leo ndiye mzungumzaji wa kuiongoza Chadema katika nyakati ngumu? Nikifikiri sana naishia kucheka!😂
huyu dr, ana tatizo binafi na Mbowe. anatuchanganyaa. vile vile ana chuki binafsi na mama , hizo habari za.Abdu hazina maama coyote. leo akipewa ubalizi atabadilika.😊
Ukiongoza kwa muda mrefu lazima ujenge watu wako waje kushika nafasi hasa ukiona huna jipya umefika ukomo wa mbinu (Kama prof. Lipumba kang'ang'ana tu CUF)
Mh Dr Slaa ni kweli unatutia moyo tusikate tamaa lkn kauli ya Mbowe kama mgombea kiti ya kusema mafahali wawili hawawezi kukaa zizi moja inamaanisha nn. Pia akasema uchaguzi ni namba kwa kauli hzi nakuwa na mshaka na uchaguzi wa wazi,haki,huru, na wa kidemorcia.
Mapinduzi gani bila jeshi au ndio propaganda? Kila siku Dr. Slaa anasema wakina Zitto walitaka kufanya Mapinduzi bila kufafanu kivip? Yeye mwenyewe alikipia CHADEMA kipindi muhimu cha uchaguzi leo ndio anajifanya anaipenda sana Chadema
Mapinduzi kwa uelewa wako unajua kuwa ni yale uliyofundishwa sekondari wakati ile elimu ya sekondari bado haitoshi kujua aina mbalimbali za mapinduzi. Ukifika chuo kikuu ukasome sheria au political science utajua aina mbalimbali za mapinduzi.
wote mnatumika ili kuiua chadema si mmetaka uchaguz sasa mnalia nini fanyeni uchaguzi na mshindi ashinde sasa mnaogopa nini kama lisu mnaona atashinda? tatizo mnaogopa kwamba lisu hatashinda hivyo mnaanza kimpigia mwewe kelele ili asibebe kifaranga
Naamini mbowe ni mtu anaelipenda taifa letu kulivusha na uhuniunaoliandama taifa hili hawezi kukigawa chama Angekua Lipumba au marehemu ndo wananafasi ya mbowe chadema ndo kingekua mwisho wake natabiri mbowe hatachukua form na akichukua ndo mwisho wake kisiasa
Shoo nambowe wore wamelambishwa Asali na Mama huu ndio ukweli lazima watimize azima yao Shoo ndio mtu wakwanza kumpigia kampeni Samia lazima wampige vita Lisu
Kwa tabia hii,mbowe hafai kuwa kiongozi,ni sawa na museveni,haiwezekani wewe ukifanye chama ni mali yako,na uenyekiti ni wako tu"hapana ni lazima tupate mawazo na uongozi mpya,huu ujinga ujinga hata ccm hawaufanyi,utakuta mbowe ni kibaraka wa ccm
Hujui mipango ya Mungu wewe,ili ufanikishe jambo lako zuri ni lazima upitie changamoto kama hizi. Kwa akili za kibinadamu unaweza ona CHADEMA inakwisha lakini inaweza tokea CHADEMA usiyoijua wewe ikaiondoa CCM madarakani
Nashangaa leo Dr,Slaa amekuwa ndio kioo na mkweli wakuaminika.Siasa kweli ni MCHEZO MCHAFU
😂😂
Dr Slaa simuelewi naona kama anapinga sana Chadema
Mungai ni opportunist mimi binafsi naona hakustahili kuwa mwenyekiti wa Chadema mkoa.
Tukubali kwamba Mbowe kwa sasa hawezi kukipeleka chama mbele uwezo wake umefikia mwisho.
Mbowe ni Simba Aliye zeeka Tuna Hitaji Simba Kijana
TOENI MBOWE KAZEEKA SANA HANA JIPYA ATAKALO FANYA
Kunja ngumi lakini haipigi hiyo ndio ya Mbowe Tuta kunja Pakalini?Asitu kunjishe ngumi tena Akunje Mwenyewe Hatitaki Sisi
Huyu mzee ukimsilikiza utafikiri ana busara lakini hili ni ibilisi mchonganishi mnafiki mpotoshaji nk
Ni kweli, Alitoka Chadema, akawa Balozi, alifunga mdomo mpaka alipotolewa na kunyimwa nema za kibalozi.
Una umalaika ndani yako au
@@goodluckjohnuiso-gt1fg SAANAAA TENA SANA NA KUJIFANYA YUPO NDANI YA SYSTEM NA ANAZIPATA SIRI ZA NDAANI
KUMBE ANAFUKUZIA MAOKONO TU
Chadema mliacha wazi mlango ona sasa Paka mweusi kaingia
Ahsante sana Fr. Slaa!
HONGERA SANA DR SLAA , UMECHAMBUA VIZURI NA UMEWEKA SOMO KWA VIJANA WA CHADEMA
Kwa nini kugombea ndio ishu?
Kwa nini asigombee Kisha ashindwe? Kwa nini tunaogopa Demokrasia???
Kutombwa ni hakinya kila mwanachama!na kama ni hivyo pia ulaumu upande wa pili wasimsimange Lissu ktk Hilo!
Hivi huyu ni yule Slaa ambaye mwaka 2015 aliandaa press ya kuimaliza Chadema kwa msaada wa wale jamaa wa kaunda suti? Leo ndiye mzungumzaji wa kuiongoza Chadema katika nyakati ngumu? Nikifikiri sana naishia kucheka!😂
huyu dr, ana tatizo binafi na Mbowe. anatuchanganyaa. vile vile ana chuki binafsi na mama , hizo habari za.Abdu hazina maama coyote. leo akipewa ubalizi atabadilika.😊
Toa chuki zako wanaelewana sanaaaa Dr Slaa na Mbowe
Ukiongoza kwa muda mrefu lazima ujenge watu wako waje kushika nafasi hasa ukiona huna jipya umefika ukomo wa mbinu (Kama prof. Lipumba kang'ang'ana tu CUF)
Vita vya panzi furaha kwa kunguru
Dr slaa siku zote uwe mpatanishi.
Mh Dr Slaa ni kweli unatutia moyo tusikate tamaa lkn kauli ya Mbowe kama mgombea kiti ya kusema mafahali wawili hawawezi kukaa zizi moja inamaanisha nn. Pia akasema uchaguzi ni namba kwa kauli hzi nakuwa na mshaka na uchaguzi wa wazi,haki,huru, na wa kidemorcia.
Solution ni box la kura tu.
Waiteni Lema na heche,,,waje wagombee nafasi ya Umakamu..Katibu au katbu mkuu...
Huyo slaa si ni msaliti au
DIASPORA WAAMBIENI WACHUNGAJI NA MAASKOFU WAFANYE MAOMBI JAHAZI LINAZAMA 😢😢
SLAAA HAMPENDI MBOWE HIVYO HAWEZI KUONGEA MEMA YA MBOWWE HATA SIKU MOJA
Mbowe kaisha atoke tu asiabike
Kwani akigombea akashindwa kuna shida gani ?
SLAAA UNAPENDA LISSU ASHINDE UENYEKITI
ILA JUWA LISSU HASHINDI HATA KWA NINI? YAAANI HASHINDI
Mapinduzi gani bila jeshi au ndio propaganda? Kila siku Dr. Slaa anasema wakina Zitto walitaka kufanya Mapinduzi bila kufafanu kivip? Yeye mwenyewe alikipia CHADEMA kipindi muhimu cha uchaguzi leo ndio anajifanya anaipenda sana Chadema
Mapinduzi kwa uelewa wako unajua kuwa ni yale uliyofundishwa sekondari wakati ile elimu ya sekondari bado haitoshi kujua aina mbalimbali za mapinduzi. Ukifika chuo kikuu ukasome sheria au political science utajua aina mbalimbali za mapinduzi.
Kwa hapa tulipofika lissu anafaa kwa sasa mbowe miaka 20 aliyoongoza inatosha
wote mnatumika ili kuiua chadema si mmetaka uchaguz sasa mnalia nini fanyeni uchaguzi na mshindi ashinde sasa mnaogopa nini kama lisu mnaona atashinda? tatizo mnaogopa kwamba lisu hatashinda hivyo mnaanza kimpigia mwewe kelele ili asibebe kifaranga
Naamini mbowe ni mtu anaelipenda taifa letu kulivusha na uhuniunaoliandama taifa hili hawezi kukigawa chama Angekua Lipumba au marehemu ndo wananafasi ya mbowe chadema ndo kingekua mwisho wake natabiri mbowe hatachukua form na akichukua ndo mwisho wake kisiasa
Doct huogopi wasiojulikana?
Wasiojulikana jaman!
@EmmanuelMlowe-u1v ni mwendo wakujilipua tu make kila nafsi itaonja maiti.
Shoo nambowe wore wamelambishwa Asali na Mama huu ndio ukweli lazima watimize azima yao Shoo ndio mtu wakwanza kumpigia kampeni Samia lazima wampige vita Lisu
Huyu slaa hafai kabisa ndio maana hawezi ishi na wanasiasa wenzie!.. msaliti wa chadema ndio maana aliondoka na kuunga juhudi. Hovyo kabisa.
Mbowe kwa Kizungu anaitwa megalomaniac.
Kwa tabia hii,mbowe hafai kuwa kiongozi,ni sawa na museveni,haiwezekani wewe ukifanye chama ni mali yako,na uenyekiti ni wako tu"hapana ni lazima tupate mawazo na uongozi mpya,huu ujinga ujinga hata ccm hawaufanyi,utakuta mbowe ni kibaraka wa ccm
Hii ni dhahran kwamba, nani ya chadema hauna demokrasia
Chadema imekwisha Ccm watapeta daima laana inawatafuna kwa kuwatukana Marais mpaka Mwendazake inshallah Mungu atatoa jibu tu Chama hicho kisambaratike
Hujui mipango ya Mungu wewe,ili ufanikishe jambo lako zuri ni lazima upitie changamoto kama hizi.
Kwa akili za kibinadamu unaweza ona CHADEMA inakwisha lakini inaweza tokea CHADEMA usiyoijua wewe ikaiondoa CCM madarakani
Margrethpolepole..WEWE NIKICHWA HASARA PORE SANA PUMBAVUU
Hajalipwa kweli!? Ulipwe Kwa kuwa chama!?
Baba wa watu kavumilia kufilisiwa hadi leo chama kipo hata hamsemi
Mbona Dr. Slaa kaongea vizuri tu. Huyo mwingnendiye anaongea utopolo. Aweke ushahidi hapa kwamba Mbowe aliwaita hao wanachama nyumbani kwake. Mbowe hajamkejeli mtu yeyote.
Ushahidi walipokuwa wakihojiwa na waandishi wa habari baadhi yao walikuwa wakisema wameitikia wito.
Harafu hata akina kagame na mseveni wanatumia mbinu hizohizo za mbowe wa2 sahivi wanahakiri.
@@ChalesLukumai ni kweli aliwaita lkn mpaka uwe na d hizi✌️ndo utajua.
@JibeMwaijibe-p1z huo unafiki hana, Wala hajawahi kuwa nao hasa kwa Lisu.
Tanzania hatuwezi kuruhusu mbelgiji kuwa Mwenyekiti wa Chama chetu
Hongera sana dr.slaaaa
Hivi angeunga juhudi wakati ule mngesemaje nyie
Dr Silaa na wewe ulipokeaje ubalozi? Anza kujisafisha kwanza.
Huwa napenda saana kusikiliza maongezi ya humu ila kumfanya Dr KUWA NDIYO LIBRARY YENU HAPO MMEPOTEZA KABISAAA 7:13
Huwa napenda saana kusikiliza maongezi ya humu ila kumfanya Dr KUWA NDIYO LIBRARY YENU HAPO MMEPOTEZA KABISAAA
Huwa napenda saana kusikiliza maongezi ya humu ila kumfanya Dr KUWA NDIYO LIBRARY YENU HAPO MMEPOTEZA KABISAAA