RASMI CHADEMA WAMKATAA MBOWE WAMCHAGUA LISSU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 60

  • @DottoPaschal-x4d
    @DottoPaschal-x4d 41 хвилина тому +1

    Hotuba ya mbowe imekuwa ya kitoto sana,Lisu anafaa

  • @kakawataifa6752
    @kakawataifa6752 3 години тому +3

    Mungu yuko upande wa lisu

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 6 годин тому +7

    Tundu lisu. Anafaa

  • @Leodimk-n5c
    @Leodimk-n5c 3 години тому +1

    Sasa hao wajumbe ngoja wakanuliwe ndio watajua nani zaidi 😊😊

  • @PrivaAgust
    @PrivaAgust 4 години тому +2

    Lisu❤❤❤❤.

  • @Samwel-kz4nq
    @Samwel-kz4nq 3 години тому +2

    Lisu ndio kila kitu

  • @PeterJonathan-c8k
    @PeterJonathan-c8k 5 годин тому +3

    Tundu Lisu anafaa kuwa mwnyekiti

  • @JoelSanka-u3n
    @JoelSanka-u3n 5 годин тому +3

    Lissu

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 3 години тому +1

    Lisuuuuuuu

  • @ShaibuAwadhi
    @ShaibuAwadhi 4 години тому +3

    Mwenyekiti miaka ishirini SI sawa jitafakari

  • @AntonyGenon
    @AntonyGenon 2 години тому

    Waandaliwe mdahali lisu na mbowe

  • @EliudSadok-m7h
    @EliudSadok-m7h 3 години тому +1

    Lisu 😅🎉

  • @Leodimk-n5c
    @Leodimk-n5c 3 години тому

    Waliopiga kura sio wajumbe, ni kweli. Lakini mjue ndio wanachama na mashabiki wanachokitaka sasa ngoja mtusaliti

  • @Leodimk-n5c
    @Leodimk-n5c 3 години тому

    Yaani Mbowe amejimaliza kwa kuonesha wazi kuwa anabebwa na ccm kwa nini watangaze TBC na ITV toka lini wakatangaza habari mbashara za Chadema

  • @BARAKAKinana-n4y
    @BARAKAKinana-n4y 7 годин тому +3

    mbowe

  • @Leodimk-n5c
    @Leodimk-n5c 2 години тому

    Fuateni ushauri wa Askofu Mwamakula hapa sio ishu ya kuwashindanisha Mbowe ama Lissu bali muhimu ni nini chama na wanachama wanakihitaji kwa wakati huu.

  • @juliusmlula1658
    @juliusmlula1658 5 годин тому

    Wafuasi wa Lisu fanyeni kz kuchunguza rushwa inayotembea mpaka Sasa toeni taarifa Takukuru ili Kurunziza apate aibu zaidi

  • @LerwenceokuloMolle
    @LerwenceokuloMolle 5 годин тому +1

    Lisu

  • @Leodimk-n5c
    @Leodimk-n5c 3 години тому

    Watu wana hasira na ccm 😅😅😅

  • @mosesibmshangamshanga7885
    @mosesibmshangamshanga7885 2 години тому

    Lisu apewe

  • @MalkiadiNaano
    @MalkiadiNaano 5 годин тому +2

    Subiri, mjifurahishe siku si nyingi mtamjua Mbowe ni nani ,diaskora ninyi hamna uwezo wa kutuchagulia viongozi labda Slaa aendelee kuwadanganya diaskora ili aendelee k🎉uwatafuna

  • @ignasmahundi4734
    @ignasmahundi4734 4 години тому

    Waandaliwe mdahalo lisu na mbowe wanadi. Sera zao

  • @davidkarengi6862
    @davidkarengi6862 4 години тому

    Lissu anafaa

  • @belinabaya6977
    @belinabaya6977 24 хвилини тому

    Sisi tunaongea Mtandaoni wajumbe wanaoingia kupiga kura wameshapewa vyao tukar kimya tutapotezwa

  • @margarethsolomon9823
    @margarethsolomon9823 4 години тому

    Mbowe atatumia pesa kuhonga wajumbe

  • @theophilmakumbuli
    @theophilmakumbuli 3 години тому

    Ndoman magufuri aliapa kikifuta cham hiki kwan si chama cha kisiasi bali ni chama cha wachaga

  • @NuruMwasabwite
    @NuruMwasabwite 3 години тому

    Wakati was Lisu jamani Lisu ni sasa

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 5 годин тому

    Lisu .mbowe kafanya nimi miaka 20? 5 ndo.atafanya nini?

  • @ceciliamagalabajimmy4391
    @ceciliamagalabajimmy4391 5 годин тому

    Uchaguzi wa Rais uwe hivi ili wizi wa kura ukomeshwe.

  • @GodfreyMwamaso
    @GodfreyMwamaso 17 хвилин тому

    Mbowe siyo mpinzani tangu siku nyingi ni kibaraka wa CCM anatumika kudhofisha upinzani Ni bora chama kiimfie mikononi mwake Kama Lipumba na Cheyo wananchi wanataka upinzani wenye nguvu ya kuwang'oa CCM madarakani wakati yeye ni swaiba wao watanzania wanatekwa wanauwawa lakini hakuna matamko yenye nguvu kutoka kwa mwenyekiti Mbowe ni Bora aachiwe chama kiimfie mikononi mwake vijana wengi wanamtaka Lissu ni msema kweli hapindishi maneno na ukiangalia zaidi wanaomuunga mkono Mbowe ni CCM

  • @ZuhuraMsangi-g9z
    @ZuhuraMsangi-g9z 4 години тому

    wapiga kura kuweni makini muache ushabiki

  • @ValeriJummane
    @ValeriJummane 4 години тому

    LISU Anatosha

  • @EMMANUELMBWAMBO-is4tn
    @EMMANUELMBWAMBO-is4tn 5 годин тому

    Wako watatu mpaka sasa

  • @albertmwigune3117
    @albertmwigune3117 5 годин тому

    Walio piga kura wengi sio wanachama

  • @drsamsonkibona371
    @drsamsonkibona371 5 годин тому

    Tundu Lissu

  • @HoseaEliud
    @HoseaEliud 3 години тому

    Huo utalatibu ulio buniwa uko vizul l

  • @ProperMwashiwawa
    @ProperMwashiwawa 5 годин тому +1

    Lisu hawezi kuongoza chama anangea amezidisha hanampangilio apite mbowe

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 5 годин тому

    Kwan hawa ndo wapiga kura?

    • @1961nungwi
      @1961nungwi Годину тому

      Hawa ni WanaNchi. Inaitwa kura ya maoni ya WanaNchi. Ni namna inayotumika Duniani kote kupima wananchi au wanachama wanaifikiria nini. Kimombo inaitwa Opinion Poll. Nchi zilizoendelea(ambako nasi ndipo tunapo elekea), makampuni ya kura za maoni ni mengi na makubwa. Lakini hayana uhakika. yanapima joto tuu.

  • @baselewilliams2298
    @baselewilliams2298 6 годин тому

    Je? hao wanaosema lissu ni wapigakura?

  • @harrisonshirima4087
    @harrisonshirima4087 6 годин тому

    Hii ni feki KWANI WAPIGA KURA WENGI NI WANA CCM. HUNA PROOF YA UANACHAMA YA MPIGA KURA....STUPID IDEA BY JAMBO TV

  • @WilliamMbenejo
    @WilliamMbenejo 3 години тому

    Wee nawe mbona mwongo sana sasa kwa interview yako hyo unazan uko sw hawo ulio watumia n watu wa kawaida ambao hawata shiriki hyo cku

  • @S.Almahrouqy
    @S.Almahrouqy 6 годин тому

    Hizo sasa kampen

  • @salehrashid-fx9rq
    @salehrashid-fx9rq 3 години тому

    Mama Samia ndio kila kitu

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 6 годин тому

    Na mimi nampatia Lissu kura yangu ,anatosha..

  • @GeraldKitinga
    @GeraldKitinga 6 годин тому

    Kiuhakika wapo vizuri ya chama hichi wanatoa taarifa tu sio kupigania mpaka kieleweke mfano Bandari asaiv kimya

  • @LupakisyoKandonga
    @LupakisyoKandonga 6 годин тому

    Kura yangu mojakwamoja nampatia lissu🇹🇿🇹🇿✌️

  • @davidmpiluka5224
    @davidmpiluka5224 5 годин тому

    Hata mimi kura yangu nampa Lissu.

  • @hajimjaja1163
    @hajimjaja1163 5 годин тому

    Lissu anatoshaa

  • @SeifYusuf-jf7bn
    @SeifYusuf-jf7bn 6 годин тому

    TUNAMTAKA LISSU

  • @batwelimahenge7850
    @batwelimahenge7850 6 годин тому

    Mm kama mm napa lisu

  • @kakawataifa6752
    @kakawataifa6752 3 години тому

    Mungu yuko upande wa lisu

  • @juliusmlula1658
    @juliusmlula1658 5 годин тому

    Wafuasi wa Lisu fanyeni kz kuchunguza rushwa inayotembea mpaka Sasa toeni taarifa Takukuru ili Kurunziza apate aibu zaidi

  • @AngelinaDauson
    @AngelinaDauson 5 годин тому

    Lisu

  • @ignasmahundi4734
    @ignasmahundi4734 4 години тому

    Lisu

  • @maikomndeme2050
    @maikomndeme2050 3 години тому

    Lisu