Naamini kuna maajabu MUNGU anaenda kuyafanya juu ya taifa hili. Huu ni mwanzo tu kuonesha yuko kazini. Mungu hapendi wanafiki na wasiotenda haki. Mungu atafanya maajabu yake ili watu wake wajue kuwa MUNGU yupo na anawasikia vilio vyao. Mungu anaenda kutenda.
Tamaa ya pesa ni USHETANI ndani ya mioyo ya watu. Jambo la.kishetani litapataje baraka za kimungu? Tuendelee kuomba mungu mwenyewe ataongoza njia nyeupe sababu anajua siri za mioyo yetu. Huenda hata hayo tunayigikitia mungu analeta mambo makubwa na bora zaidi. Nchi hii ina watu wazuri wazalendo wa kweli wengi sana. Mungu atatuinulia mwenyewe yule ampendaye.
@ Lisu kwa nafasi ya uenyekiti si sahihi, hatuhitaji kuiingiza Tanzania katika vita. Mbowe bado tunamuhitaji kamanda haboi wala hajawahi kukimbia Nchi, ni kiongozi dhabiti anatupenda wa TZ.
Huu mvurugano inawezekana ni wa kimungu, inawezekana pia ukawa ndio mwanzo wa kuzaliwa kitu kjpya kabisa kwa ajili ya taifa hili. Kitu kitakachokaa pale kwa ajili ya watanzania hawa wanaosumbuka. Mungu wetu yuko kazini bado tutaona matokeo ya ajabu ambayo hatukutegema. Mungu no wa maajabu tu.
Kuhudhuria Kwa TBC na waandishi wa serikali na CCM ni muhimu Kwani msimamo wa aina yo yote wa Mbowe dhidi ya Lisu japo Kwa afya ya CDM ni TISHIO KWA WATAWALA.
Hatimaye ukweli umejulikana. Nani chawa na nani mpinzani wa kweli. Mungu hajatuacha watanzania....maombi yetu yanasikilizwa na kufanyiwa kazi kwa Mungu👍 Yataibuka mengi yatakayosababusha ukweli ujilikane wazi.
Ni Mungu tu atakayetuokoa hapa. Mungu afungue njia zake na atujalie ufahamu, hekima na ushupavu wa kupambania haki na usawa. Atupe macho ya kuona na kuwatambua viongozi waovu hasa wezi na wanafiki wote na atupe nguvu na njia bora za kuwaacha pembeni. Hili ni taifa la Mungu mwenyewe siyo la binadamu yeyote.
Yawezekana huu ni mwisho wa hujuma na mwanzo wa jambo jipya la kimungu linaibuka. Mambo yanayofanyika gizani yanaanikwa kwenye mwanga ni.ishara ya uamsho mpya. Napata hisia lazima kuna jambo kubwa sana linaenda kufanyika la kimapinduzi litakaloongozwa na Mungu mwenyewe. Mungu atusaidie taifa letu hili.
Naamini hii ni kazi ya Mungu mwenyewe. Anaijua mioyo ya watu na na unafiki wao, hatawaacha. Naamini kabisa atatuinulia mtu ampendagmye yeye kwa wakati wake. Tujiandae, huu ni mwanzao tu wa maajabu ya Mungu. Tulitegemea mambo ya gizani yanatoka nje leo hii???? Kweli??....Kama si Mungu ni.nani? Yote haya yanayojidhihiridha sasa ni ishara kuwa Waovu MUNGU amewachoka na mwisho wao unakaribia. Mungu anatenda na atatenda zaidi miujiza yake.
Anajua vizuri sana uhalisia wa maswali kuhusu pesa ila hakutaka au amekwepa kujibu swali kwa makusudi. Mambo ya pesa hasa za nyuma ya mlango ni magumu kuyasema.
Mimi nawashangaa wanachama wa CHADEMA MBOWE amesema ni CHAMA CHAKE KWA NINI MSIMWACHIE CHAMA CHAKE???????AMEKIJENGA KWA FEDHA ZAKE AMEONA BORA AKIVUNJE MWENYEWE.
Nyinyi chadema kama hamukumfahamu huyu Babu basi chadema kwisha Tundu lissu kalijua Hilo ndio maana kaamua kugombea uwenye kiti kukinusuru chama ila nyinyi hamuelewi ndio sababu Tundu lissu alikuambieni kuna hela chafu Sasa inatumika be careful chadema
Kuwa kiongozi wachama kwa zaidi ya 20 years na graph ya chama inazidi kwenda chuni na bado unang'ang'ania madaraka huo ni upuuzi. Lkn kimsingi siungi mkono Lissu kuwa kiongozi mkuu wa chama.
Nilifikiri ccm walikuwa na kosa kumshinikiza RAIS aliyepita kutawala maisha. Kumbe ndani ya upinzani kuna viongozi wangebahatika kuwa RAIS wangeng'ang'ania madaraka kama Rwanda na Uganda. Mwana mageuzi wa kweli lazima apange kikomo cha uongozi.
Kama kuugana na serikali si angeungana kipindi cha Magufuli kama Dr. Slaa, inaonekana Dr. Slaa anachuki binafsi na Mbowe, why kila linalofanya na Mbowe kwake ni Tatizo
Tukazane kuomba na kutumia ufahamu na akili zetu. Mungu nasi atatuongoza tutavuka salama. Mungu anawajua walio wake atawainua kutawaka taifa lake. Yawezekana hatujawajua bado lakini mungu anawajua, atawainua.
Wakati Mbowe anapambana kuunda chadema wengine hamkuzaliwa leo ndio mnaweza kumzuia Mbowe kuuza chama? Sidhani kama Mbowe anayo hiyo dhamira! Lisu ni mpigania haki lakini kuhandle tofauti za kundi la watu wengi ninamashaka naye. Nyakati kama hizi Lisu ndio hawezi kabisa cdm kitagawanyika.
Alikuwa wapi wakati Lisu anapigwa risasi ? Alikuwa wapi wakati Chadema wanaibiwa kura na magufuli ? He is not serious !!! Anachochea mgogoro, ametumwa.
Uzuri ni kwamba Lisu atashinda na Mbowe atabaki kuwa kiongozi wa heshima na mshauri mzuri ndani ya Chadema.Ninawashangaa mnaoshupaza shingo kabla ya matokeo ya huo uchaguzi.
Lissu akishinda ni kweli mapandikizi yote ya CCM na serikali pamoja na Usalama watakimbia CHADEMA kwa kuwa watakuwa wameshindwa kutimiza waliotumwa ndani ya CHADEMA.
Wanasiasa wa nchihii ni wa ajabu sana CHADEMA HAIWEZI KUFA CHADEMA IMEANZISHWA NA SELIKALI NYERERE ALIMUITA MTEI MSASANI AKAMWAMBIA MTEI ANZISHA CHAMA NA MASHUSHU WOOOTE WA BENKI WALIJIUNGA NACHO , INAMAANA HAMJUWI? MSIDANGANYE WATU
Kinacho onekana ni timu lissu kutaka kufanya mapinduzi,na kelele zao kwa sasa zinaashiria kwamba mifumo ya kuwapata wajumbe wa kumpigia kura una mashaka. Matokeo ya uchaguzi,na hatua zitakazo chukuliwa na watakao shindwa kutaonnyesha ukomavu wa chama. Kama mifumo ya chama ni imara chadema itasalimika.
Ama kweli chadema inakaribia kukatika vipande viwili. Mbinu ya.kugawa chama inakaribia kufanikiwa. Pandikizi inakaribia kushinda lakini ni ushindi wa muda tu.
Uchaguzi wa Dr. Slaa ni YAKINIFU, Mbowe hatufai tena, ushahidi jiulize kwa nini viongozi wengi wamejitoa wakati wake, kwa nini viongozi waliohamia Chadema baada ya muda wametoka? Mbowe mbabe, pia ni chawa wa ccm.
Pengine yeye na Askofu walilazimika kumwachia Samia 2025 ili aachiliwe huru. Pengine wameelewana na Lisu, kukabithiniana kijiti kiusanii kumwaada Samia, kwamba Lisu amepindua meza bila ridhaa yake. Otherwise, Mbowe atakuwa amejimaliza.
Vipi ukipewa ubalozi hutaishabikia CCM Mbowe hajawahi kuhamia CCM LAKINI wewe ilikimbilia huko kama hukuipenda CDM na ni mpinzani basi ungeenda CUF au ACT
Wewe mzee ulishindwa hiyo kazi ukiwa ndani ya chadema leo uweze ukiwa nje ya chadema wacha uongo imekula kwako mzee waswahili wanamsemo usemao mwiba uingiliapo ndipo utokeapo wacha mayowe.
Dr. Slaa ni msomi sana na ana uelewa mkubwa sana wa mambo mbalimbali kuliko Samia Suluhu Hassan ambaye hana exposure yoyote zaidi ya kupata urais wa kurithi.
Naamini kuna maajabu MUNGU anaenda kuyafanya juu ya taifa hili. Huu ni mwanzo tu kuonesha yuko kazini. Mungu hapendi wanafiki na wasiotenda haki.
Mungu atafanya maajabu yake ili watu wake wajue kuwa MUNGU yupo na anawasikia vilio vyao.
Mungu anaenda kutenda.
Kaz ya kumtoa Mbowe kwenye kiti n Zaid ya kuitoa ccm madarakan
Kabisaaa yaani Babu dictator vibaya mno yaani imetukata kishenzi 😢😢😢
LISU ni mtu sahihi kwa CHADEMA kwa sasa.
Mzee slaa maliziya ni mchezo mchafu uuu
Tamaa ya pesa ni USHETANI ndani ya mioyo ya watu.
Jambo la.kishetani litapataje baraka za kimungu?
Tuendelee kuomba mungu mwenyewe ataongoza njia nyeupe sababu anajua siri za mioyo yetu.
Huenda hata hayo tunayigikitia mungu analeta mambo makubwa na bora zaidi. Nchi hii ina watu wazuri wazalendo wa kweli wengi sana.
Mungu atatuinulia mwenyewe yule ampendaye.
Dr Unaakili sana Mzeeee
Leo ni ck ya ukombozi imeanza 🇹🇿✌️✌️✌️✌️✌️lisu daima🚣♂️🚣♂️🚣♂️🚣♂️🚣♂️🚣♂️🚣♂️❤️🇹🇿❤️🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏✍️✍️✍️✍️✍️
This family feud will pass and our family will be stronger than ever.imagine the triplets Dr slaa lisu mbowe
Bahati mbaya hata hiyo TBC tunaambiwa imepotea mvuto watazamaji siyo wengi. Watu wengi zaidi wanaangalia radio mitandao
Yaani yule akishinda,,,amebaki na chama chake..
Ila Mbowe niking'ang'anizi aisee
hakuna kitu nikujazana tu pesha naendapo tbc angekua na risu tungesema ametumwa na samia. hizo ni propoganda za siasa za kichochezi
Kwani tbc si chombo cha habari cha umma?
😢😢😢😢yaani vibaya mno tumuite mr.king'ang'a ausee
@ Lisu kwa nafasi ya uenyekiti si sahihi, hatuhitaji kuiingiza Tanzania katika vita. Mbowe bado tunamuhitaji kamanda haboi wala hajawahi kukimbia Nchi, ni kiongozi dhabiti anatupenda wa TZ.
Yani mbowe hovyo kabisa
Huu mvurugano inawezekana ni wa kimungu, inawezekana pia ukawa ndio mwanzo wa kuzaliwa kitu kjpya kabisa kwa ajili ya taifa hili. Kitu kitakachokaa pale kwa ajili ya watanzania hawa wanaosumbuka.
Mungu wetu yuko kazini bado tutaona matokeo ya ajabu ambayo hatukutegema.
Mungu no wa maajabu tu.
TBC ilikuwa live! Sijawahi kuona TBC wakirusha matangazo ya chadema 😊😊
Na ITV😅😅😅
..ukisikia uchochezi ndio huo sasa waliofanya tbc
🤣🤣🤣🤣😇😇😇😇😇🙌🏃🏃🏃🏃Mwenye akili aambiwi tazama🤣🤣🤣
Wakati walifukuzwa kwenye mkutano wa chadema wakaambiwa waondoke hawawataki SASA watalazimisha kurusha maneno ya chadema
Kweli mambo ya rushwa hayapaswi kufumbiwa macho bali kujadiliwa kwa uwazi
Leo nimefamu LISU pekee ndiyo mwanamageuzi wa kweli
Kuhudhuria Kwa TBC na waandishi wa serikali na CCM ni muhimu Kwani msimamo wa aina yo yote wa Mbowe dhidi ya Lisu japo Kwa afya ya CDM ni TISHIO KWA WATAWALA.
Lisu ndio chaguo Kwa sasa
Chaguo la nani..Kwa yaliyompata Lisu anapaswa apumzike siasa.
@@merumount5988 Hapana huo utakuwa ni uoga.
Hatimaye ukweli umejulikana. Nani chawa na nani mpinzani wa kweli. Mungu hajatuacha watanzania....maombi yetu yanasikilizwa na kufanyiwa kazi kwa Mungu👍
Yataibuka mengi yatakayosababusha ukweli ujilikane wazi.
Ni Mungu tu atakayetuokoa hapa.
Mungu afungue njia zake na atujalie ufahamu, hekima na ushupavu wa kupambania haki na usawa. Atupe macho ya kuona na kuwatambua viongozi waovu hasa wezi na wanafiki wote na atupe nguvu na njia bora za kuwaacha pembeni.
Hili ni taifa la Mungu mwenyewe siyo la binadamu yeyote.
Chadema Hakuna cha fomu ni moja tu kama huko kwenu. Kwa hiyo anayefaa ndiye atakayechaguliwa Kwa kura huru na haki.
Alikuwepo bony yai,sugu,hehe na wengi wengi yaani Tundu atatafuta pa kujifichia na ukimalizika uchaguzi Tndu atarudi kwao uberigiji
Unaona mbali kama mimi
Hao wote uliowataja hawampi kura Mbowe
Sasa kagame atoe hotuba afu mawaziri wake wasiwepo?
Lissu hana mkono wa Samia na wala mkono wa CCM, ila Mbowe ana mkono wa Samia na CCM na ni kibaraka wa serikali.
Nampenda sana mama Samia,mama tunakupa moyo wewe ndio tegemeo la watanzania
Wapo tunaoona wale wenyeviti wa kanda waliohudhuria press conference ya mwenyekiti ni kura za zake
Umesema kweli Dr. Slaa, tutapambana vilivyo ili Lissu aweze kushinda kwenye uchaguzi ujao. Mungu akubariki.
Padri ana wajukuu....
Acha kukebehi dini za watu wengine. Heshima imani.za wakatoliki. Huyo siyo padri, please
Wanaogombea uenyekiti ni watu wawili hayo ya Slaa yanatoka wapi
Kwani kasema anagombea?
Yawezekana huu ni mwisho wa hujuma na mwanzo wa jambo jipya la kimungu linaibuka. Mambo yanayofanyika gizani yanaanikwa kwenye mwanga ni.ishara ya uamsho mpya.
Napata hisia lazima kuna jambo kubwa sana linaenda kufanyika la kimapinduzi litakaloongozwa na Mungu mwenyewe.
Mungu atusaidie taifa letu hili.
uyo silaaa si aliamia ccm lisu atakuwa kamalipumba
Hata mimi nilishangaa TBC imekuake kwenye Mambo ya CHADEMA 😂😂😂😂
mbowe wewe unaipasua chadema sio mpinzna ondoka
Naamini hii ni kazi ya Mungu mwenyewe. Anaijua mioyo ya watu na na unafiki wao, hatawaacha.
Naamini kabisa atatuinulia mtu ampendagmye yeye kwa wakati wake.
Tujiandae, huu ni mwanzao tu wa maajabu ya Mungu.
Tulitegemea mambo ya gizani yanatoka nje leo hii???? Kweli??....Kama si Mungu ni.nani?
Yote haya yanayojidhihiridha sasa ni ishara kuwa Waovu MUNGU amewachoka na mwisho wao unakaribia.
Mungu anatenda na atatenda zaidi miujiza yake.
Mungu alimwokoa Tundu Lissu kwenye hatari ya kuuawa akiwa na mpango wa kumtfanya awe Joshua wetu wa kutuvusha kwenye bonde la uvuli wa mauti.
Lisu mbere kwa mbereee
Anajua vizuri sana uhalisia wa maswali kuhusu pesa ila hakutaka au amekwepa kujibu swali kwa makusudi. Mambo ya pesa hasa za nyuma ya mlango ni magumu kuyasema.
Umesema huna upande lkn unasema tusikate tamaa
Hahaha! Yaani mjinga huyu mzee
@@aggreyissaya4342huyu mzee akiwa mjinga basi huyo unayemtetea na wewe mtakuwa wapumbavu kwani elimu yenu ni ndogo.
Tunamtaka Lisu
Mchukue
Lisu akikosa hicho kiti, atoke CHADEMA, nitamfuata na wengi tutamfuata!!
Kwanini? Kura si zitakuwa zimeamua?
Mbowe anamachawa wengi kulingana kakaa madarakani sana@@edwinalexander1170
Chadema is Completely torn apart, and not otherwise. Take my word.
I believe so
Mimi nawashangaa wanachama wa CHADEMA MBOWE amesema ni CHAMA CHAKE KWA NINI MSIMWACHIE CHAMA CHAKE???????AMEKIJENGA KWA FEDHA ZAKE AMEONA BORA AKIVUNJE MWENYEWE.
MCHAGA HAK UBALI DUUUU!!!KAMA TUNGEKOSEA TUKAMPA URAIS YESUUU!!! TUNGEKOMA YESUUUU!!!!ANGEKUWA KAMA YULE BABU WA UGANDA NA RWANDA.YESUUU!!!
@@benardsamizi-qo4ypukabila unatoka wapi changia hoja achana na ukabila Udini haitakusaidia cct
Mungu hatawaacha wapenda haki wake peke yake. Lazima atajidhihirisha wazi na huu ndio mwanzo.
Tunakutegemea sana Slaa.Chondechonde usituache.Lisu kesha shinda hapo.Hata wafanyeje akina Mbowe na Ccm.
Kama vipi Lissu aanzishe chama chake na watu wake na wengine wapya watamfuata huko huko.
Si lazima ukombozi utoke chadema
Chama kipya hakitasajiliwa lazima apambane au ajiunge na chama chengine kilichosajiliwa tayari
Nyinyi chadema kama hamukumfahamu huyu Babu basi chadema kwisha Tundu lissu kalijua Hilo ndio maana kaamua kugombea uwenye kiti kukinusuru chama ila nyinyi hamuelewi ndio sababu Tundu lissu alikuambieni kuna hela chafu Sasa inatumika be careful chadema
Kweli nikimuona kiongozi wa wahariri,,,Roho yangu ilisema ni msajiri wa vyama vya Siasa..
Ina maana mbowe anashirikiana na CCM? 🤔🤔🤔
Ndiyooo huelewi wapi. Watu wamechoka kukaa kimya.
Ahaa 😯 @@sumatanjunior231
Hata covid 19 ni mchongo wake huyo mzee hafai
Inaonekana hivyo
@@marieconnect6389hii imenisikitisha sana 🥹
Kweli mnateseka na mbowe 😊😊😊
Kuwa kiongozi wachama kwa zaidi ya 20 years na graph ya chama inazidi kwenda chuni na bado unang'ang'ania madaraka huo ni upuuzi. Lkn kimsingi siungi mkono Lissu kuwa kiongozi mkuu wa chama.
Nilifikiri ccm walikuwa na kosa kumshinikiza RAIS aliyepita kutawala maisha. Kumbe ndani ya upinzani kuna viongozi wangebahatika kuwa RAIS wangeng'ang'ania madaraka kama Rwanda na Uganda. Mwana mageuzi wa kweli lazima apange kikomo cha uongozi.
Huyu mzee nimnafiki sana .pm alikusanya kura zote za upinzani hatukumsikia akipambana na ssm
Mungu wetu anatupenda jamani. Yote haya yanatoka hadharani sasa....na bado. Tujiandae kuona na kusikia mengi. Mungu wetu yuko kazini
The Good days are coming
The fight against CCM by Diaspora Will PREVAIL and produce positive results.
Kwahiyo mnataka Lissu ili apambane na serikali? Hapo mtafeli maana mapambano hayatasaidia, leteni sera mpya kama zipo, 😢
Kama kuugana na serikali si angeungana kipindi cha Magufuli kama Dr. Slaa, inaonekana Dr. Slaa anachuki binafsi na Mbowe, why kila linalofanya na Mbowe kwake ni Tatizo
Tukazane kuomba na kutumia ufahamu na akili zetu. Mungu nasi atatuongoza tutavuka salama. Mungu anawajua walio wake atawainua kutawaka taifa lake.
Yawezekana hatujawajua bado lakini mungu anawajua, atawainua.
Mi siwaelewagi mnao muamini huyu Dr slaa....ni msaliti namba moja na ni mbinafsi sana
Umetumwa na nani?
Ubinafsi wake ni upi? Ongea na Mbowe.
Mbowe noma sana aise
Matumizi ya pesa za chama lazima yangewekwa wazi.
Chadema Leo wako kwenye vita ya wao Kwa wao
Huelewi chochote, ni kati yao na dola. Msikilize na muelewe Dr Slaa.
Changes for the better is necessary .Justice should not only be done but should be seen to be done.diaspora.Good days are coming.
Tufanye utafiti kujua idadi ya wapiga kura halali wa mkutano mkuu.
Mbowe atakiua chama mara ya pili,itakua nccr mageuzi
Mmmmm jamani kwenye dini tena, tuache kuwa huko sio afya ya nchi yetu pendwa.
Lisu hili atalivuka kamaaliweza kuepuka kifo hili nidogo kwake
Dk Slaa anatumika kuvuruga Chadema!
SACCOS
HUYU MZEE MCHANGIENI AENDE MIREMBE ASAP 😢😢😢😢😢
Kwenu hakuna wazee wenye busara kama.huyu?
Use na heshima basi
@@marieconnect6389Mwambie arudie upadre siasa ni CHESSBOARD 😢😢😢😢
Utaenda wewe.
Wakati Mbowe anapambana kuunda chadema wengine hamkuzaliwa leo ndio mnaweza kumzuia Mbowe kuuza chama? Sidhani kama Mbowe anayo hiyo dhamira! Lisu ni mpigania haki lakini kuhandle tofauti za kundi la watu wengi ninamashaka naye. Nyakati kama hizi Lisu ndio hawezi kabisa cdm kitagawanyika.
Wanasiasa wote ni wale wale tu.
Alikuwa wapi wakati Lisu anapigwa risasi ? Alikuwa wapi wakati Chadema wanaibiwa kura na magufuli ? He is not serious !!! Anachochea mgogoro, ametumwa.
Uzuri ni kwamba Lisu atashinda na Mbowe atabaki kuwa kiongozi wa heshima na mshauri mzuri ndani ya Chadema.Ninawashangaa mnaoshupaza shingo kabla ya matokeo ya huo uchaguzi.
Mwenyekiti wa kudumu, mwenyekiti wa maisha
Sote lissu akishidwa tunahama chadema nakuanzisha chama chetu huu ndiyo ukweli
Ubavu wa kuanzisha chama unao? Kitaandikishwa na nani? Lisu asubiri 2030
Kabisaa
Nendeni tu hata sasa hivi
Lissu akishinda ni kweli mapandikizi yote ya CCM na serikali pamoja na Usalama watakimbia CHADEMA kwa kuwa watakuwa wameshindwa kutimiza waliotumwa ndani ya CHADEMA.
Nilishasema Zito jiandae kupokea mafuriko ya Wana chadema
Neema Paulo mwidunda,muuguz wa afya,nataman kuwa jilan na mama Samia niwe namtibu ili awe naafya njema naatusaidie watanzania,
Umeongea jambo la maana
Wanasiasa wa nchihii ni wa ajabu sana CHADEMA HAIWEZI KUFA CHADEMA IMEANZISHWA NA SELIKALI NYERERE ALIMUITA MTEI MSASANI AKAMWAMBIA MTEI ANZISHA CHAMA NA MASHUSHU WOOOTE WA BENKI WALIJIUNGA NACHO , INAMAANA HAMJUWI? MSIDANGANYE WATU
Hakika ya kushinda au kashindwa ni 0.
Sasa hivi Slaa anatumika kuzusha mpasuko ndani ya CHADEMA.
Lisu akaanzishe chama chake ,kupambana na mbowe ni zaid ya kupambana na ccm ,na kama msemavyo Dola ipo na mbowe ndo mnapaswa kukata tamaa zaid
Mzee tapeli ww
W ccm
Kinacho onekana ni timu lissu kutaka kufanya mapinduzi,na kelele zao kwa sasa zinaashiria kwamba mifumo ya kuwapata wajumbe wa kumpigia kura una mashaka.
Matokeo ya uchaguzi,na hatua zitakazo chukuliwa na watakao shindwa kutaonnyesha ukomavu wa chama.
Kama mifumo ya chama ni imara chadema itasalimika.
Chadema ya Mbowe yahamia CCM hana chama tena, amekimbilia CCM
@@MwanduMachiya wacha kupotosha umaa Chadema bado ipo hai chini ya mwamba Mbowe hakuna kukimbia wala nini mbowe for life 💪💪💪💪💪💪
@@halimamasai2234Mbowe ni CCM tangu muda mrefu na bado CCM tunamhitaji Mbowe.
@ Haya bwana CCM nye hatari 🤣🤣🤣
Kwa style hii kwa kweli chadema itasambaratika.
Bora iwe hivyo
Ama kweli chadema inakaribia kukatika vipande viwili.
Mbinu ya.kugawa chama inakaribia kufanikiwa.
Pandikizi inakaribia kushinda lakini ni ushindi wa muda tu.
Uchaguzi wa Dr. Slaa ni YAKINIFU, Mbowe hatufai tena, ushahidi jiulize kwa nini viongozi wengi wamejitoa wakati wake, kwa nini viongozi waliohamia Chadema baada ya muda wametoka? Mbowe mbabe, pia ni chawa wa ccm.
Huyu Mzee anachokiongea yuko sahihi kabisa, tunapomuhukumu kwaaliyoyafanya wakati alipokimbia ni yaleyale ya Mbowe alimleta Lowasa akiangalia masilahi ubinafisi, walitofautiana kwasababu Slaa alikuwa anakwenda kugombea
Pengine yeye na Askofu walilazimika kumwachia Samia 2025 ili aachiliwe huru. Pengine wameelewana na Lisu, kukabithiniana kijiti kiusanii kumwaada Samia, kwamba Lisu amepindua meza bila ridhaa yake. Otherwise, Mbowe atakuwa amejimaliza.
watu wanauwawa kumbe kuna mkono wa mbowe aiseee
Tunaenda na lisu mboye mloho wa madaraka huyo? Akipita huyo tutarajie chama kuwa kaa caf
Hapa sasa ndio unapata jibu kuwa wanao Munga mkono Lisu wengi ni watuwa nje ya chama.
Tunajua wanaomkashifu Dr.slaa ni ccm Yuko sahihi mbowe apunzike awe mshauri wa chama au aende kwa dada yake Samia
Huyu mzee kweli hana akili, mambo ya uchaguzi wa chadema unahusishaje na ccm tena, anajipendekeza.
Vipi ukipewa ubalozi hutaishabikia CCM Mbowe hajawahi kuhamia CCM LAKINI wewe ilikimbilia huko kama hukuipenda CDM na ni mpinzani basi ungeenda CUF au ACT
Ndo namshanga huyu mzee hajioni anamuona mbowe kweli nyani haoni tako lake
Mbowe for life 💪💪💪💪
Kwanini unafurahi wakati wewe siyo CAHDEMA ?
Wote ni wapiga.kura Mzee...
Chama kimoja kitakuwaje na wwnyeviti 2 ?
Acha kuwadanganya watu, nadhani unatakiwa unyamze kwani weee siyo mpiga kura...
Kama vile wewe ulivyo tumwa SWEDEN...
Mzee unaongea sana kwa chuki, Mbowe amekufanya nini wakati wewe siyo CHADEMA...?
Wewe mzee ulishindwa hiyo kazi ukiwa ndani ya chadema leo uweze ukiwa nje ya chadema wacha uongo imekula kwako mzee waswahili wanamsemo usemao mwiba uingiliapo ndipo utokeapo wacha mayowe.
LEO HII MBOWE MNAMSINGIZIA NI CCM KWELI BILA USHAHIDI??
MNIJIBU KWA USHAHIDI SIYO MATUSI
Ye yote atakayeshinda Hana Kura ya turufu katika maamuzi ya CHADEMA.
Nashauri Takukuru ifanye kz itanasa watu hasa upande wa wenye pesa
Mbowe aachie ngazi kwa heshima
Sasa Samia Hassan Suluhu unamuingizaje ww slaa uache chuki Samia ni level nyingine kwani uwezo wako slaa ni mdogo.
Tulia kama huelewi, hapa hakuna uchawa ni facts tu.
Dr. Slaa ni msomi sana na ana uelewa mkubwa sana wa mambo mbalimbali kuliko Samia Suluhu Hassan ambaye hana exposure yoyote zaidi ya kupata urais wa kurithi.
mbowe ni ccm damu
Mmesahau kabisa kama Kuna ccm,Sasa agenda ni lissu na mbowe,hk chama hakika hakuna uwezo wakuongoza hata wilaya tu