Sisi waislamu tunampenda sana Yesu kuliko nyinyi wakristo na tuna muamini na tunamjua vzr kuliko nyinyi wakristo mm ntakuliza suali moja tu unijibu ninani Babu yake Yesu kama kweli nyinyi wakristo mnamjua vzr
yesu alisema nenda zako shetani kwamaana imeandikwa msujudie bwana mungu wako muabudu yeye pekeake.Bila shaka dini ya hakhi mbele ya mwenyezi mungu ni uislam
Kupiga magoti, kusujudu, kuimba, kupiga makofi na kadhalika zoote ni njia ya mwanadamu kumwabudu Mungu. Hebu tusome haya hii katika YOHANA 4:21 YOHANA 4:21 Yesu akamwambia, “Niamini; wakati unakuja ambapo hamtamwabudu Baba juu ya mlima huu, wala kule Yerusalemu. 22 Ninyi Wasamaria mnamwabudu yule msiyemjua, lakini sisi tunamjua huyo tunayemwabudu, kwa maana wokovu unatoka kwa Wayahudi. 23 Lakini wakati unakuja, tena umekwisha fika, ambapo wanaoabudu kweli, watamwabudu Baba kwa nguvu ya Roho; watu wanaomwabudu hivyo ndio Baba anaotaka. 24 Mungu ni Roho, na watu wataweza tu kumwabudu kweli kwa nguvu ya Roho wake
Subhanallah huu muhadhara nilikuepo zamani sana nikiwa na miaka isiozid 12 allahu akbar nimekumbuka mbali sana!
ALLAH (S.W.T) akulaze pahali pema peponi Yahaya , tunakukumbuka kwamengi mazuri waislam 🥰🥰🥰 RIP
Mashallah mashallah mabrook .Allah awahifadhi masheikh wetu wallah munafanya kazi nzuri ya Allah ......na mtu wetu mohammad..S A W
MashaAllah Allah ametupa dini nzuri sanaa Alhamdulila.
kazi nzuri...
YAHAYA ALLAH akupe kaulithabiti mbelezake akusamehe madhabiyako
alhamdulillah for my islamic religion
waallah huyu mchungaji anawapoteza waumini wake Daah! shukrani Akasha
sh yahya kama sh mazinge anamwita yahaya ,Allah amzidishe kumuongoza InshaaAllah mashaaallah
Wakristo jamani ingieni kwenye uisilamu mkapate kustare peponi
mola awape maisha marefi masheikh wetu
Amin
Mungu akuajalie mazinge usambaze uisilamu inshaallah
MashaAllah yahaya nimezoea unasoma vitabu nafurahi kukuona jukwaan ukiwanyoshaa makafiri .
Mashallah...sheikh wafudisheni hao wakiristo wanadanganywa Tu makanisani
mazing mungu akusaidie sana kwakazi unayo ifanya amen
Allah akupe pepo yangu shekhe wangu yahya
Dakika ya 41:28 😂
"Mungu akae kwenye kiti na Wewe Mkristo ukae kwenye kiti, Bosi atakuwa nani.??" Yahaya (Allah Amrehemu)
ukristo umekwisha kwenye hoja
Ukirsto sio dini niTaasisi ya kutafutia Pesa Compony za wazungu halafu zipo nyingi Italy ,American, Germany
huo ni mtazamo wako Brother ila habar za Yesu ni kweli na ni amina.
usalama wako ni kumwamini yeye usipo fanya hivyo hukumu iko mbele yako
Sisi waislamu tunampenda sana Yesu kuliko nyinyi wakristo na tuna muamini na tunamjua vzr kuliko nyinyi wakristo mm ntakuliza suali moja tu unijibu ninani Babu yake Yesu kama kweli nyinyi wakristo mnamjua vzr
omar ali Huo ni mtazamo wako na sio sahihi Kaka. ukimpenda utamweshimu na kumfuata
omar ali ibwa kweli
yan waislam hatuna neno juu yesu ila wakristo ndo mnabumi mnsvyojua
Allah awasamehe....
Mungu atakulipa shekh mazinge
Aaah! Sasa habib othman mazinge Ana miaka 57 siyo? m.mungu ampe maisha marefu natamani kukutana naye huyu sheikh anatumia jina gani kwenye Facebook?
Amin
Mashallah mungu awabaliki san
😀😀 ALLAH AKBAR 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
mashaAllah muhadhara mzuri
Kaz nzur sana
MA SHA ALLAH
MashaAllah Allah awape the highest janah
Alaahu akbar
tunashukulu lakini akuna sauti. tupe sauti babu.
thanx
yesu alisema nenda zako shetani kwamaana imeandikwa msujudie bwana mungu wako muabudu yeye pekeake.Bila shaka dini ya hakhi mbele ya mwenyezi mungu ni uislam
wallah uislaam raha...kama wewe si muislamu umepotoka.
Saumu Mohammad
ratifa
pilingu
Muhammad muhiya
Tna umepotok xna
Sikukosewa kuzaliwa kwny uislam kwakwel
Hadijashafii Mohamed hongera xna
Hadijashafii Mohamed saah kalam wallah
I was there in 2008
Mashaalah
Dawa wameipata Tena imewaingia wasio silim Kaz kwenu jaman waislam niraha hongera dadangu kujua haki
umewapoteza Kondoo wako wewe mchungaji
Kumbe na wewe umemmona
Katika mabishano ya dini hakuna mshindi.
Jaafar Mkatta wanoshind ni waislamu
yalaaaaa..!,mchungaj kawapoteza kondoo wake xaxa cjui ana chunga nn
mdahajo mzuri
Lery
Laery
mnaongea sana sana
Mashaallah
nimefurah sana ila nimechukia sana kuona mazinge kawa mwenyekiti😏😏😏😏
Muhadhara mzuri
Yani Uslaam raha tupu
Amwaminie yeye hahukumiwi asiye mwamini amekwisha kuhukumiwa
yan eeee usiombe ufe ukiwa mkiristo mana utakiona cha mtema kuni
We kaa ivo ivo km hutoona jinsi unavohukumiw tna motoni hukmu yko
only allah,kwanza unaelewa maana ya allah?.nakusihi rafiki uokoke,uamaini kisha ubatizwe uonje utamu wa kristo au masihi.
Ukiristo sio dini ni kampuni ya matapeli
Mpaka walevi wako kwenye ukrisito sio dini hi
Tatizo waislamu mnsongea sana! halafu wabishi sana.
Nyanchoka Chacha wabishi nyie mlokuw hamkubali maandiko ya kitabu chenu
Kupiga magoti, kusujudu, kuimba, kupiga makofi na kadhalika zoote ni njia ya mwanadamu kumwabudu Mungu. Hebu tusome haya hii katika YOHANA 4:21
YOHANA 4:21 Yesu akamwambia, “Niamini; wakati unakuja ambapo hamtamwabudu Baba juu ya mlima huu, wala kule Yerusalemu. 22 Ninyi Wasamaria mnamwabudu yule msiyemjua, lakini sisi tunamjua huyo tunayemwabudu, kwa maana wokovu unatoka kwa Wayahudi. 23 Lakini wakati unakuja, tena umekwisha fika, ambapo wanaoabudu kweli, watamwabudu Baba kwa nguvu ya Roho; watu wanaomwabudu hivyo ndio Baba anaotaka. 24 Mungu ni Roho, na watu wataweza tu kumwabudu kweli kwa nguvu ya Roho wake
joseph kimonyi
Vipi Said? sema nisikie.
Nyinyi wakristo ibada ya kupiga makofi jmumetoa wapi je yeso kaimba na kupiga ma kofi hizo nyimbo za kanisa hazitowasaidia kitu bùrrreee tu
Kanisani hata walevi wa ingia hawajui watendalo na wahurumia kwa maana hakuna sheria ya mungu
Huko
Mapastar wao wakiweka watu wa sujudu kanisani itakuwa tabu kwao kwa maana wanava mini skat wa taonyesha vituko
MA SHA ALLAH