Alhamdulilah kwakua Muislamu 🤲 Ndugu zanguni wapinga Uislamu njooni kwa dini ya kweli ambayo ni Uislamu dini ya haki wacha ubishi. Uki silimu ni faida kwako
Yaani uislamu raha..mungu awalinde mashehe wetu na mabaya na Allah atufishe kata usilamu inshaAllah....shukrani wajazaka Allahu heeri.🤲🤲amiin amiin thuma amiin.
Yaani cha ajabu ni kwamba Ibrahim alimjua sana Mungu na hakuwahi kuabudu mawe hata siku moja, Mtume wenu kaondoa masanamu yote akawaachia jiwe moja linaloitwa jiwe jeusi au Black Stone.Jiwe hili ndio Waislamu lazima wageukie Makka ili waliabudu mpaka kufa kwao. Hebu niambieni Waislamu mtaokoka vipi na moto wa Jehanamu? Wakati mnaliabudu jiwe jeusi mara tano kwa siku? Unatakiwa kuabudu jiwe au aliyeumba jiwe? Hakika hamtauepuka moto. Bora muende kwa Yesu hatuabudu mawe, au sanamu.
Pia wakristo wanatowa shetani kanisani tena munalishwa mavi kwenye mkate munaokils kanisani mukaambiwa niwili wa yesu na divai nipombe mukaambiwa ni damu ya yesu
Wewe wacha kuwa potosha wenzako na yesu hakujuwi wewe yesu mwenyewe alisujudu wewe ndie uliyepotea tena umelaniwa huna lakusema kanisa nI hekalu la shetani pia wachungaji wenu ni mbwa
Q,ran Haina mvuto Kwa pande mbili. ila Injili.Hamuwezi kuikwepa Injili,mtaitaja tu Kwa sababu katika Injili hakuna ubinadamu.Dini ya kweli ni ilee yenye Kufanya mengi kuliko Dini nyingine.Kama Ukristo isingekuwa na uimara wa Mungu ingishindwa tangu zamani,lakini Ukristo umeendelea kuwashinda Kila eneo
Tena unakufuru kubwa sana kwajil inavutia quraan Sana inavyosomwa tu ukiisikia yavutia Sana na maneno yake Yana mvuto Sana na kasome suratul Rahman tafsir yake Alf useme Tena Haina mvuto
Ukristo umeanzishwa na Paulo antiokia sio funzo la yesu Mungu ametuletea vitabu Kwa Kila watu pia Kwa lugha ya watu wake Kwa hiyo ndio maana asili ya neno kristo sio lugha za kiyahudi (kiebrania au kiyunani) Bali kigiriki hata kitabu Cha biblia hakijulikani mpokezi wake pia asili ya neno biblia ni la kigiriki pia sio lugha ya yesu mwenyewe UMEINGIZWA CHAKA
MW/mungu awahifadhi wahadhiri wa kiislam na waislam wrote amina
Imani petro Allah akupe pepu yaju fridaus lnsha Allah
Allah akbar allah akbar allah awajalie mwisho
Sheikh Said Kinyogoli uko vizuri ma shaa allah
Allah atuepushe na mitihani ya shetani.
Alhamdulilah kwakua Muislamu 🤲 Ndugu zanguni wapinga Uislamu njooni kwa dini ya kweli ambayo ni Uislamu dini ya haki wacha ubishi. Uki silimu ni faida kwako
ALLAHU AKBAR ❤️
Yaani uislamu raha..mungu awalinde mashehe wetu na mabaya na Allah atufishe kata usilamu inshaAllah....shukrani wajazaka Allahu heeri.🤲🤲amiin amiin thuma amiin.
uislamu ni raha kwa wajinga maana wamekataa ukweli wakafuata uongo!
Raha kweli, kupulizwa matako na shetani Raha Aisha.
Yaa rabbi tujaaalie waislamaisha maref na utuwekee masheh wetu waendlee kutupa misk ya roho
Allah akbar Allah akbar Allah awajalie mwisho mwema na waslam wote kwajubla
Mashalla Mashalla alihamdhulillahi
mashaAllah.
Allah awajaze kheri
Swalalahu Allah Mohamed
Wakiristo hata hamna haya uongo wa wazi hamfati yesu nyinyi na yesu ni tofauti kabisa
Takibiiiriiiiiiiiii allahakbar
Yaani cha ajabu ni kwamba Ibrahim alimjua sana Mungu na hakuwahi kuabudu mawe hata siku moja, Mtume wenu kaondoa masanamu yote akawaachia jiwe moja linaloitwa jiwe jeusi au Black Stone.Jiwe hili ndio Waislamu lazima wageukie Makka ili waliabudu mpaka kufa kwao. Hebu niambieni Waislamu mtaokoka vipi na moto wa Jehanamu? Wakati mnaliabudu jiwe jeusi mara tano kwa siku? Unatakiwa kuabudu jiwe au aliyeumba jiwe? Hakika hamtauepuka moto. Bora muende kwa Yesu hatuabudu mawe, au sanamu.
Wanaoabudu jiwe ni wakristo
Huna elimu kuhusu Ajratul aswad fatilia utajua
Kasome biblia yako utapata majibu
Makafiri wote motoni
Wachungaji ni wa kali
Nyinyi wachungani hamufuati kuchuwa sadaka kwa kanisani kwa wafunsi wako na hamufai kunwa divai kanisani
Wakristo wame panic 😂😂😂😂
mhadhara mzuri
Pia wakristo wanatowa shetani kanisani tena munalishwa mavi kwenye mkate munaokils kanisani mukaambiwa niwili wa yesu na divai nipombe mukaambiwa ni damu ya yesu
Wachungaji wenu ni wezi kanisani wanawaibia wafuasi wao wanachukua sadaka kuwaibia wafuasi wake Nani amempa ruhusa yakuchukua sadaka?yesu hakuchukua sadaka!
Hivi din ni nin ???
Sheikh Said Kinyogoli dawa yao hawa
Wewe wacha kuwa potosha wenzako na yesu hakujuwi wewe yesu mwenyewe alisujudu wewe ndie uliyepotea tena umelaniwa huna lakusema kanisa nI hekalu la shetani pia wachungaji wenu ni mbwa
Allahabad.
Yesu ndiye anaye chunguza mioyo za wanadamu, Muhammad hakujui na ajui atafanywa nini kama Yeye ajui wewe umajuwa nini, Yesu pekee ndiye mwokozi
Ikiwa kweli munampenda yesu fuateni matendo yake na mafundisho yake nyinyi muna msifu bure hafati mafundisho yake
Uislamu mtamu jamani
Hivi nyinyi wakiristo haya maandiko hamuyaoni au mmeamua kupiga ukweli
Awo wanafata pesa ndo mana wana Pinga ukwel ila mungu ana waona nginsi Wana poteza watu
Q,ran Haina mvuto Kwa pande mbili. ila Injili.Hamuwezi kuikwepa Injili,mtaitaja tu Kwa sababu katika Injili hakuna ubinadamu.Dini ya kweli ni ilee yenye Kufanya mengi kuliko Dini nyingine.Kama Ukristo isingekuwa na uimara wa Mungu ingishindwa tangu zamani,lakini Ukristo umeendelea kuwashinda Kila eneo
Hahaha 😅😅😅😅 umepotea kabisa mung akuongoze
Umeosoma? Wataka mvuto upi tena?
Tena unakufuru kubwa sana kwajil inavutia quraan Sana inavyosomwa tu ukiisikia yavutia Sana na maneno yake Yana mvuto Sana na kasome suratul Rahman tafsir yake Alf useme Tena Haina mvuto
Ukristo umeanzishwa na Paulo antiokia sio funzo la yesu
Mungu ametuletea vitabu Kwa Kila watu pia Kwa lugha ya watu wake Kwa hiyo ndio maana asili ya neno kristo sio lugha za kiyahudi (kiebrania au kiyunani) Bali kigiriki hata kitabu Cha biblia hakijulikani mpokezi wake pia asili ya neno biblia ni la kigiriki pia sio lugha ya yesu mwenyewe
UMEINGIZWA CHAKA
Nakulizeni ni wapi yesu alichukuwa sadaka? Yeye alitaka rehema wala si sadaka mbona hamufuati nyayo zake na matendo yake?