BABA TOKA KENYA APORWA PESA NA TAPELI TOKA TANGA |ZAHIR AMNASA SIKIA ALIVYOKUWA ANAMUIBIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • KWA MATANGAZO HABARI NA MATUKIO TUPIGIE
    0625466848 AU 0753393036

КОМЕНТАРІ • 88

  • @maximumtvonline
    @maximumtvonline  2 місяці тому +7

    chat.whatsapp.com/KPZv8klxl0IFT0TM5SdWOe
    JIUNGE KWENYE GROUP LETU LA SAD MOMENT UJUONEE MATUKIO KWA UKARIBU ZAID

  • @mymuhnabdallahshaban7763
    @mymuhnabdallahshaban7763 2 місяці тому +25

    Ila kaka zahir hii camption yako kidog ungerekebisha hilo neno omba omba halijakaa kiungwana kabisa yaan 😢😢😢😢😢 ungeandk alotok Kenya kuja tz kwaajil ya kuhitaj msaada aporwa pesa ingekaa vizur zaid 😢😢😢😢

    • @maximumtvonline
      @maximumtvonline  2 місяці тому +7

      Ujue sio kwamba sitaki uungwana ila ili tuende na ualisia na watu waguswe kumsaidia lazima uandike kitu cha ukweli
      Maana ni kweli ni omba omba
      Ni kweli anaomba na familia yake
      Ni kweli kutwa kuchwa wanazunguka kuomba mitaani kila mahali
      So tunaandika ukweli ili watu waguswe
      Tukiandika ki rahisi hatopata msaada
      Kichwa cha habari ndo pesa yao
      Ukiandika ki ungwana hatopata msaada kabisa ndomana naandika hvo

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 2 місяці тому

      ​@@maximumtvonlineNikweri kabisa maashaallah

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 місяці тому

      hupo sawa

  • @user-nf1tg3kt3y
    @user-nf1tg3kt3y 2 місяці тому +6

    Yaani huyo mdada aliyemtapeli huyu Baba mungu anamuona na malipo hapahapa Duniani

  • @nawratmzenj3062
    @nawratmzenj3062 2 місяці тому +10

    Neno OMBA OMBA Zahir kwa kweli halija-sound vizur hata kdg na halijakaa kiungwana ni vyema ukalirekebisha

    • @maximumtvonline
      @maximumtvonline  2 місяці тому +2

      Tayari nimerekebisha

    • @Ernestlaiza
      @Ernestlaiza 2 місяці тому

      Kama hataandikq uhalisia ta tatizo atasaidiwa vp sasa jamani ndugu zangu

  • @AbdallahSalim-tf1ee
    @AbdallahSalim-tf1ee 2 місяці тому +8

    Mungu atampa shifaa ya haraka in sha allah

  • @DM_15
    @DM_15 2 місяці тому +7

    Huyo mwanamke alie tapeli ndio Wale wanapataga matatizo wana anza kutuomba tuwasaidie wanasahau wanavyo sumbua watu kutuma ela nawatu wanalia

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 2 місяці тому +7

    Ni mfanyazi wa warabu huyo kawaimbia siku hizi lazima uwe makini wakisikia mnatumiwa pesa basi matapeli wengi sasa zahiri mshitaki huyo mwanamke saa inginebyupi hapo jirani zahiri check number ya huyo mwizi utaipata jina lake amerejista jina gani utaona mtajua mtu wa wapi

  • @mymuhnabdallahshaban7763
    @mymuhnabdallahshaban7763 2 місяці тому +5

    Sema tu hyo mzee hakuwa omba omba before alikuwa na kaz yake Sema Maradh t yalimfanya afanye hivo ili kupata msaada na Familia yake 😢😢😢😢

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 2 місяці тому +6

    We mama tapel najua wasoma comment na kuangalia maximum tv jua kbs hiyo pesa ulo dhulumu ni haki ya mtu haipotei bure utakufa mdomo waz kwa dhuluma allah atalipa

    • @maximumtvonline
      @maximumtvonline  2 місяці тому +1

      Amiin

    • @SafiyaJ-yw2vt
      @SafiyaJ-yw2vt 2 місяці тому

      Ameen Dah mama mshenzi kweli

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 2 місяці тому +1

      @@SafiyaJ-yw2vt mshenz sana huyu mungu atamlaan mtume atamshindilia 😥😥

    • @sheikhanasser4714
      @sheikhanasser4714 2 місяці тому

      Ndugu yangu Allah andika kwa herugi kubwa Shukran

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 2 місяці тому

      @@sheikhanasser4714 kiandika kwa herufi ndogo ni haramu? Afuan

  • @shamzone388
    @shamzone388 2 місяці тому +5

    Huyo mwanamke ni muongo
    Tapeli anakaa dar siku za nyuma alisema anauza dawa zapoteshA maradhi kumbe ni muongo anataka pesa kabla…nikamwambia nenda kawatibu watu waliopo muhimbili utapata thawabu

    • @SafiyaJ-yw2vt
      @SafiyaJ-yw2vt 2 місяці тому +1

      Wamtaje jina lake huyo tapeli mwizi😂

  • @sabihasalim942
    @sabihasalim942 2 місяці тому +2

    Mimi naonelea wangempeleka huyo mtoto Madrasah kama shule ni gharama angalau akafaidika ikiwa mtu anaroho ya huruma atawasaidia hata bila kuona hio family nzima barbarani .....Zahir naomba ujaribu kumwambia mzee hayo maneno ya Madrasah please....my opion tuu.❤🇬🇧

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 2 місяці тому +8

    Siku zote zahiri tunakwambia usitaje pesa wanapata hutaki kusikia sasa ni mtu wangapi mtangaza tu mnasikia wanatapeliwa acheni kutangaza

    • @maximumtvonline
      @maximumtvonline  2 місяці тому +2

      Nisipotaja pesa itakuwa sio kazi maana hata ambao sijawah kutaja pesa wanapigiwa na matapeli na wanaibiwa so hata nisipotaja ni yale yale tu boss
      Kingine ili watu wahamasike kumsaidia mtu ni lazima nitaje pesa aliyopata
      Nataja kwa faida za wachangiaji boss

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 місяці тому

      Hupo sawa kaka ​@@maximumtvonline

  • @aminaissaabdallah6266
    @aminaissaabdallah6266 2 місяці тому +3

    Hahaha sinilisema Mimi asitaje kiyasi chapesa umeona kazi hiyo alafu huyu anajuza kabisa nimwanaumee duh

  • @TimaMohammed-pn9eh
    @TimaMohammed-pn9eh 2 місяці тому +2

    Mungu ampe shifaa

  • @OthnoShezume
    @OthnoShezume 2 місяці тому +4

    Ndugu mwandish tunahitaji hyo feedback ya huyo tapel

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 2 місяці тому +4

    Zahiri chukuwa number yake halafu polici wa mtrack ili akamatwe msizidi kumpigia anashituka a hatapokea tena

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 2 місяці тому +1

    Mungu wangu TANGA SII WANASEMEA NI WATUY WA DIN MUNGU WANGU MBON MAISHA NI MAGUM MPAKA WANAWAKE WANATAPEL SUBKHAN LLAH

  • @user-df6ui9ro8s
    @user-df6ui9ro8s 2 місяці тому +4

    Ila km katapel 60 pekee tushukuru angemtapel hela nying mtihan

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 2 місяці тому +3

    Mtii akili mtu kataka kuwatumia alfu 60 alfu halafu hapo hapo amesema mtapata milioni 17 halafu halafu anaomba alfu 60 huoni ni muongo

  • @dearmama4336
    @dearmama4336 2 місяці тому +4

    Caption sijapenda Kabisaa😥😥

    • @maximumtvonline
      @maximumtvonline  2 місяці тому +1

      Ndo uhalisia boss
      Na ni kweli omba omba boss
      Kingine hii ndo inafanya watu waguswe kumsaidia tajiri

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 2 місяці тому +2

    Warabu wa oman wamehamia TANGA KUIBIA WATUY MUNGU WANGU SUBKHAN LLAH

    • @yasminjuma9146
      @yasminjuma9146 2 місяці тому +1

      Hao sio original wa oman. Yawezekana ni wafanyakazi wa majumbani waliotoka hukhuku kwetu wamekaa uarabuni na wamejua kiarabu

    • @omanoman2044
      @omanoman2044 2 місяці тому

      @@yasminjuma9146 haswaaaa na ndo wana jeur hizo kwa ajili ya ushamba wao

    • @kawtharalbarwani1337
      @kawtharalbarwani1337 2 місяці тому +1

      Ni kweli kabisa

  • @SalimKombo-xo4pq
    @SalimKombo-xo4pq 2 місяці тому

    M.mungu atamfanyia wepesi ndugu yetu.
    Atamponya kwa haraka ishaallah

  • @nashnene6326
    @nashnene6326 2 місяці тому +2

    Kwan hakuna utaratibu wa kuripoti police? Halafu Zahir kampuni za simu huwa zina facilitate muamala hewa kwa lengo la kumkamata muhalifu, kawaone tigo au voda kuna hiyo huduma ambayo hushirikisha police too

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 2 місяці тому +1

    Matapeli hawanahuruma jamani. Subuhanallah. Kunadada alitoka tanga alisilim kuwa muislam baadae akatapeliwa. Nahuyo mdada. Tapeli sana anajifanyaanadini sana ajifanya yeye mtuwa ughaibuni

  • @yasminjuma9146
    @yasminjuma9146 2 місяці тому

    Pole sana kwa mitihani. Na hio lugha ya kiarabu pia waliowahi kufanya kazi za majumbani nchi za kiarabu wanaongea vizuri tu..

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 2 місяці тому +1

    Nilisema hawa watajitokezatu, hawanaga huruma.

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 2 місяці тому +1

    Ujuwe watuy wawe wanafikiria mtuy ana pesa milion 17 bado anataka elfu 60 mungu wangu akili hazifanyi kaz

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 2 місяці тому +1

    Kwanza zahir ww unatabia mbaya san mtuy anakpa pesa umpelekee anae hitaj unazitumia ww

    • @user-qp6lx9ql1q
      @user-qp6lx9ql1q 2 місяці тому

      Anatumia Zahir au

    • @omanoman2044
      @omanoman2044 2 місяці тому

      @@user-qp6lx9ql1q nimemwambia anionyeshe kam pesa imefika hakunionyesha kwa hiyo ni seme.nini kam katumia yy hajatumia yy mie nitajuwaje na hajanihakikishia nitasem nin am unajuw kusem tuy et katumia yy nenda kamuulize

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 2 місяці тому +1

    😢

  • @annamussa185
    @annamussa185 2 місяці тому +5

    Ila waislamu et salamaleko, harafu baada ya hapo anatapeli😂

    • @MonaJuma-cp3jg
      @MonaJuma-cp3jg 2 місяці тому +1

      Kwani utapele unadini

    • @Zuu673
      @Zuu673 2 місяці тому

      ​@@MonaJuma-cp3jgsindoapo

    • @Abbychibu
      @Abbychibu 2 місяці тому +1

      Unafikir hiyo salam wameikariri wakristo zaid ili waibe usiseme waislam

    • @Zuu673
      @Zuu673 2 місяці тому +2

      Tena ufunge mdomo wako yule aliyejiita dokta rama na kutapeli watu muhimbili hospital nakuja kubainika kumbe mkristo Acha kuropoka mwenyewe umeona umetoa pwent apo ushubwada tu

    • @annamussa185
      @annamussa185 2 місяці тому

      @@Zuu673 ulitaka ataje mkundu wako then atapeli🤣

  • @user-kd7ey2mu7p
    @user-kd7ey2mu7p 2 місяці тому +1

    Watu hawana huluma

  • @totobest6913
    @totobest6913 2 місяці тому +1

    Zahir

  • @bongo39
    @bongo39 2 місяці тому +3

    Kweli kabisa hilo neno ombaomba hiyo kauli sio sahihi sio uungwana kabisa hebu rekebisha kwanza hiyo kauli yako

    • @maximumtvonline
      @maximumtvonline  2 місяці тому +1

      Tukiweka rahisi inakuwa ngumu watu kuguswa bora hii omba omba kwasababu ni kweli omba omba na anahitaji msaada why tuongope boss

  • @fatimajuma3330
    @fatimajuma3330 2 місяці тому

    Angekua hapo Dar mngemtrank

  • @shariffsagaf2305
    @shariffsagaf2305 2 місяці тому

    Peleka namba polisi watajua yupo wapi na atajunguliwa kesi ya wizi wa mtandao huenda yupo hapahapa na kama kuna mtu alimpa lain imekula kwake

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 2 місяці тому +3

    Kaka zahiri uko makini 😂😂🇰🇪

  • @fathimadaid3429
    @fathimadaid3429 2 місяці тому

    Wambie pia wasitaje namba ya siri au ukielekezaw fanya hivi fanya hivi wasikubali

  • @user-mq6lu2po3y
    @user-mq6lu2po3y 2 місяці тому

    Zahir ukipata mgojwa mpya lazima umpe tahadhari kutokana na matepeli

  • @user-vm5yf8cs2r
    @user-vm5yf8cs2r 2 місяці тому

    HASBIYA LLAHU WA NEEMA LWAKIL

  • @salumhamed5074
    @salumhamed5074 2 місяці тому

    😂😂😂matapeli hatari

  • @angle3600
    @angle3600 2 місяці тому

    Waizi wanageuza hata sauti unajua ni mtu unamjua kumbe sio,computer zinamambo

  • @salamasefu5494
    @salamasefu5494 2 місяці тому

    Hiyo namba ifuatiliwe akamatwe

  • @kiri5807
    @kiri5807 2 місяці тому

    Watu hawana ubinaadamu . Unamuibia mtu ktk hali hii kwei ?