UTASHANGAA!! NYUMBA KUBWA AMBAYO HAINA GHARAMA YOYOTE| MABATI YAKE HAYAPAUKI JUANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • KWA MATANGAZO HABARI NA MATUKIO TUPIGIE
    0625466848 AU 0753393036

КОМЕНТАРІ • 61

  • @faudhiasaidi3669
    @faudhiasaidi3669 4 місяці тому +2

    Maa shaa Allah ❤❤
    Nyumba nzuri

  • @salmamlokela1987
    @salmamlokela1987 4 місяці тому +5

    Mmh mbona hiyo sehemu ina maji maji

  • @user-dl3vj2vp3n
    @user-dl3vj2vp3n 4 місяці тому +4

    Nimependa kazi yako kaka

  • @dalilaabdulkarim4458
    @dalilaabdulkarim4458 4 місяці тому +2

    Mashallah zuri sana nyumba

  • @skolastikamoses63
    @skolastikamoses63 4 місяці тому +2

    Uko vzr sana. Nyumba ni nzr mno

  • @mariammariam5723
    @mariammariam5723 4 місяці тому +1

    Mashaallah yani hii kama niliojenga mm hii raman

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 4 місяці тому +1

    Hongera

  • @user-dl1gy9pe1g
    @user-dl1gy9pe1g 4 місяці тому +2

    Nyumba mzuri sana

  • @mangofish9079
    @mangofish9079 4 місяці тому +3

    Not good enough for business ilitakiwa uingie ndani uoneshe sio kuchungulia ktk madirisha

  • @murattywamuratty9778
    @murattywamuratty9778 4 місяці тому

    Iloo eneo sio Zuri linakaa maji, ila kazi zako nzuri

  • @reginaldmakene5987
    @reginaldmakene5987 4 місяці тому +4

    Umemuuza mbona shimo la maji taka limejaa maji,? Umempeleka bondeni ahangaike na mafuriko huyo

    • @seifseifmohamed7118
      @seifseifmohamed7118 4 місяці тому

      Ni sehemu ya swampy maji tu

    • @Gamba81
      @Gamba81 4 місяці тому +2

      Watanzania hamkosi cha kusema

    • @reginaldmakene5987
      @reginaldmakene5987 4 місяці тому

      @@Gamba81 kwani huna macho, hilo shimo maji yamejaa kutoka wapi kama si eneo lenye chem hem.

    • @mycmeranyswai7957
      @mycmeranyswai7957 4 місяці тому

      angalia tar napia huu ni msimu wa mvua dar kunanyesha mvua balaa ivyo usiropoke tuu chunguza kwanza hakiki maneno yako kisha useme....amemuuza we ndo umemnunua au acha wivu utazeeka kabla ya siku zako

    • @mycmeranyswai7957
      @mycmeranyswai7957 4 місяці тому

      ​@@Gamba81hilo apo juu akili halina wivu unataka kumuua nyumba nzur hayapongezi yanaponda

  • @mgenimoosa5252
    @mgenimoosa5252 4 місяці тому +3

    Jee ikiwa nataka kujegewa lkn Zanzibar inawezekana?

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 4 місяці тому +2

    Mhuu zahili apo shimo mtalifunika na hayo maji, hii sehemu nisehemu ya maji kusema laukweli apo sijuwi kama msingi chini hauko imala maji yatatafuna matofali

  • @shabanidunda5390
    @shabanidunda5390 Місяць тому

    Umetumiwa shilingi ngapi ?

  • @user-zq9jc5sw7t
    @user-zq9jc5sw7t 4 місяці тому +2

    Kazi.nzuri.jee.hapo.imegarimu.milioni.ngapi

    • @mycmeranyswai7957
      @mycmeranyswai7957 4 місяці тому

      nenda inbox kisha utaelewa

    • @user-vf8mw6eu9w
      @user-vf8mw6eu9w 3 дні тому

      Ndo alitakiwa atuambie sasa yeye ana sema mjengo wa ghalama nafuu

  • @selemanimushi6575
    @selemanimushi6575 4 місяці тому

    usisahau kutuambia hapo kuna bwawa la kufuga samaki pia 🤣🤣

  • @al-mamarial-mamari5457
    @al-mamarial-mamari5457 4 місяці тому

    Zanzibar jee utajenga

  • @mmake30
    @mmake30 4 місяці тому +1

    bati ni g ngapi? na ni kampuni gani?

  • @cobraff7943
    @cobraff7943 4 місяці тому +4

    Vipi ikiwa unataka kujengewa zanzibar unawezekana

  • @user-os8qc7pl1g
    @user-os8qc7pl1g 4 місяці тому +1

    Kaka mbona husemagi bei gani jamani . Uweunatoa na bajeti

  • @luluwabinthamed2860
    @luluwabinthamed2860 4 місяці тому

    Sema ukweli uwe na hofu ya mongu kaka yangu

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 4 місяці тому

    Kwanini hujazi kifusi jamani hapo ndipo unaharibu

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 4 місяці тому

    Umemuingiza Mkenge

  • @fanni-ck6do
    @fanni-ck6do 4 місяці тому +1

    gharama ya kupauwa kama hivo bati mbao bei yake

  • @user-sb8fg8ld2h
    @user-sb8fg8ld2h 4 місяці тому

    Unapatikana wapi

  • @issajumaali4009
    @issajumaali4009 4 місяці тому

    Hiyo nyumba gharama zake zikoje hadi hapo?

  • @JrNsummy-xk8xe
    @JrNsummy-xk8xe 4 місяці тому

    Makisio bei gani kama hiyo?

  • @aminasalum-yh4fh
    @aminasalum-yh4fh 4 місяці тому

    TUAMBIENI NA BEI ZAKE

  • @queenqueen-en1ds
    @queenqueen-en1ds 4 місяці тому

    Vipi hali je hujambo no yako ni ipi ilinikupate

  • @LidyaAdof
    @LidyaAdof 4 місяці тому +1

    naomba namba yako kaka nmependa kaz yk

    • @mycmeranyswai7957
      @mycmeranyswai7957 4 місяці тому +1

      mpendwa namba inaonekana hapo kwenye video chukua

  • @sistertrashid2488
    @sistertrashid2488 4 місяці тому

    Mimi nahitaji uniambie kwanza nahitaji kiwanja

  • @mohdnasser3620
    @mohdnasser3620 4 місяці тому

    😅Hiyo ni mwanzo ukiteleza kidogo atapigwa na kitu kizito

  • @mohdnasser3620
    @mohdnasser3620 4 місяці тому

    Niliisha pigwa na kitu kizito kichwani

  • @mohdnasser3620
    @mohdnasser3620 4 місяці тому

    Kwa wa tz usiamini hata kidogo vp apewe million 7 ajenge nyumba ya million 15 ..huyo ni muongo hapo ukiteleza kidogo tu umekwisha eti kila kitu anajenga bure

    • @user-qm8qz9yw2t
      @user-qm8qz9yw2t 4 місяці тому

      Hiyo pesa katolea mfano tu sikiliza kwa makini usikoment km hujui

  • @user-yr9sx3tw7u
    @user-yr9sx3tw7u 4 місяці тому +1

    Naomba namba yako Kaz yako nimeipenda

    • @omanoman2044
      @omanoman2044 4 місяці тому

      Kataja namba et ten naomba namba eeh mtihan

    • @zainab8251
      @zainab8251 4 місяці тому

      😂😂😂

    • @omanoman2044
      @omanoman2044 4 місяці тому

      @@zainab8251 unacheka mwezie anaomba namba watuy hawajitambui hata kidog

    • @Dafetty
      @Dafetty 4 місяці тому

      😂😂😂😂

  • @mohdnasser3620
    @mohdnasser3620 4 місяці тому

    usiamini mtanzania yoyote hata akiwa ni Malaika ukijuwa katoka tz basi usimuamini

  • @josephbureta5952
    @josephbureta5952 4 місяці тому

    Hapo kaz anayo panajama ziwa la mpunga

  • @ismailmshana2828
    @ismailmshana2828 4 місяці тому

    Mbon bwawan

  • @dicksonelisa867
    @dicksonelisa867 4 місяці тому

    Kweli kwa hadithi hio msimamamizi wa jengo haruhusiwi kuingia ndani anachungulia kwa dirisha poleni mnao mnao jichanganya