🔴LIVE: MAKONDA ANAUNGURUMA ARUSHA MUDA HUU, ANAWAFYATUA VIONGOZI BILA HURUMA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 чер 2024
  • ..................
    Kwa taarifa zaidi subscribe channel yetu na endelea kutufuatilia kupitia mitandao ya kijamii
    Instagram, Twitter na Facebook
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 82

  • @FredPaul-fy8wq
    @FredPaul-fy8wq 5 днів тому +1

    Baba makonda unachapa kazi nzuri mungu akulinde uixhi miaka mingi Duniani

  • @user-qi2uv5zr3l
    @user-qi2uv5zr3l 25 днів тому +18

    Magufuli alipofariki watu walikata tamaa wakisema hawezi tena kupatikana kiongozi mwingine kama yeye, sasa leo magufuli wa pili huyo hapo kajitokeza, mheshimiwa RC Makonda amevaa kiatu cha magufuli. Kwa kweli Makonda anafanya kazi kwa haki. Mungu tunaomba ulinzi wako juu ya Makonda.

    • @marryeliasmarryelias9289
      @marryeliasmarryelias9289 25 днів тому +1

      Eee mwenzi MUNGU nakuomba unlinde huyu kaka makpnda tafadhali MUNGU tunakusii usimame nae Kwa Kila atua🙏🙏😭

    • @manncheyepastory6845
      @manncheyepastory6845 22 дні тому

      Kinacho fanyika Arusha na mikoa mingine wainge kwani maeneo mengi wamengeuza shida za wananchi kuwa mirandi Yao , na wengine wanaitengeza , au wanachocheya Raha Yao nikuona migogoro inadumu,Raisi tumia jicho la tatu,,, ,

    • @devothasimbi6495
      @devothasimbi6495 17 днів тому

      Unamaanisha Nini sijakuelewa Kabisa unaweza nifafanulia kwa upana zaidi​@@manncheyepastory6845

    • @chriskasiga7562
      @chriskasiga7562 9 днів тому

      ❤❤

  • @joachimgolola62
    @joachimgolola62 25 днів тому +4

    Piga kazi na Mungu,akulinde.

  • @leahkabura4271
    @leahkabura4271 25 днів тому +2

    Nmelia aki ya Mungu😢
    Watu wanateswa na viongozi! Makonda Mungu akubariki

  • @user-ru4wm6bn7y
    @user-ru4wm6bn7y 25 днів тому +1

    Mungu akutie nguvu na kukupa afya njema kwa neema zake.Amina.

  • @dorcasmfaume4796
    @dorcasmfaume4796 25 днів тому +2

    Tunakuombea ulinzi Mungu aachilie malaika zake walinzi wakuzingire Kila unapokuwa kwa jina la Yesu Kristo

  • @lukooaugustino9424
    @lukooaugustino9424 25 днів тому +2

    Makonda Mungu akujalie njema ili iendelee kupiga kazi

  • @kimandafukitefu2999
    @kimandafukitefu2999 25 днів тому +2

    AISEE JAMAA ANAFANYA KAZI SANA UKWELI USEMWE

  • @IsayahNgoiva
    @IsayahNgoiva 25 днів тому +3

    Makonda safi,,ufisadi itakoma arusha jiji

  • @hillarydominic1890
    @hillarydominic1890 25 днів тому +4

    Congratulations MAKONDA 🇰🇪

  • @migombaelinest3500
    @migombaelinest3500 25 днів тому +1

    Mungu akubaliki kaka makondo kwa kila hatua unayopiga.

  • @JumaAbdallah-gn5qu
    @JumaAbdallah-gn5qu 25 днів тому +3

    🔧🔧🔧🔧🔧spana spanaaa😆😆😆spanaa😄😄😄🔧🔧🔧Piga KAZI Baba

  • @esterlaurent9395
    @esterlaurent9395 24 дні тому

    Nampenda sana makonda jaman ♥️♥️♥️♥️piga kazi baba watanyoka tu

  • @evidencekangimba1538
    @evidencekangimba1538 25 днів тому +1

    Jamaa akimaliza hotuba zake upigwe wimbo wa taifa kwa heshima yake

  • @ConfusedBarbecue-he1nb
    @ConfusedBarbecue-he1nb 23 дні тому

    Makonda mungu akulinde naamina hawakupendi kwa kazi unayoifanya

  • @user-yj2ki5fd3p
    @user-yj2ki5fd3p 24 дні тому +1

    Mungu akutunze Kuna watu wengi wanatesekea kw ajil yawengine . Wantooshe na mafundisho pia

  • @nicensheka8034
    @nicensheka8034 25 днів тому

    Mungu akulinde ndugu yetu Makonda. Kazi unaiweza sana sana, tungepata wengine wachache tu kama wewe, nchi ingesimama

  • @user-db2bv7ok7y
    @user-db2bv7ok7y 25 днів тому +3

    Wakuu wa mikoa wengine mko wapi kwa nini msiinge kwa mwenzenu wakuu 2:36

  • @eddyntabo6001
    @eddyntabo6001 10 днів тому

    Good job,makonda.eddy from Kenya

  • @daudimwakipesile4801
    @daudimwakipesile4801 25 днів тому

    Mungu akukumbuke brother

  • @aloycemassawe8652
    @aloycemassawe8652 25 днів тому +1

    Mungu akupe nguvu.

  • @keffaonchiri7813
    @keffaonchiri7813 10 днів тому

    Huyu ndio kiboko cha Wa Tanzania,Makonda hoyeeeee!

  • @HappyYusuph-ru3nn
    @HappyYusuph-ru3nn 24 дні тому

    Fanya kazi kaka yangu mungu atakusimamia

  • @saidmilanzi45
    @saidmilanzi45 24 дні тому +1

    Sema baba👍👍👍👍👍👏👏😀

  • @OmanOman-dn6dj
    @OmanOman-dn6dj 25 днів тому +2

    Yule Mwanasheria mrefu mweusi yuko wali

  • @Erickbenard89
    @Erickbenard89 24 дні тому

    Piga kazi mzee mungu atakulinda

  • @user-tx6dh6ii3m
    @user-tx6dh6ii3m 25 днів тому

    Asante mkuu wamkoa ndonakuelewa baba wezi miwengi sn

  • @user-fw8le7lk8d
    @user-fw8le7lk8d 25 днів тому

    Mungu akulinde sana maana huu ni mtihani 😮😮

  • @user-jl5un4wf3u
    @user-jl5un4wf3u 25 днів тому +1

    Huyobwana nikibaraka wahaowanaompa ufanyakazibora hizofedha zaunyanganyi anakulanao.

  • @user-mu9uf5le6j
    @user-mu9uf5le6j 25 днів тому +1

    Mimi ndio mwanainchi namba moja naemkubali makonda toka akiwa mjumbe wa katiba adi akiwa mkuu wawilaya adi mkuu wa mkoa pia uenezi adi leo mkuu wa mkoa makonda oyeee

  • @samsonhamery3809
    @samsonhamery3809 25 днів тому +1

    Vyama vya upinzani wanaomtukanaga Makonda na kumkebehi waone Soni wanyamaze kimya Makonda yuko katika kutewatendea watu haki amepata heshima kubwa kwa wananchi

  • @RajabuHussein-to7jz
    @RajabuHussein-to7jz 22 дні тому

    Natamani makonda Aje morogoro Kuna madudu

  • @Zainabubukoko
    @Zainabubukoko 10 днів тому

    Makonda piga kazi

  • @JacksonMiage
    @JacksonMiage 24 дні тому

    Fika kata ya lashaine

  • @chriseskibet718
    @chriseskibet718 24 дні тому

    Sitachoka kufuatilia RC Makonda mtandaoni,najiskia amani sana nikiwa Kenya anaposaidia watu.

  • @user-oo7qg9yn2p
    @user-oo7qg9yn2p 11 днів тому

    Biidhini llah

  • @PhilipShayo
    @PhilipShayo 24 дні тому

    2:07:49

  • @saidmilanzi45
    @saidmilanzi45 24 дні тому +1

    🇹🇦🇹🇦🇹🇿

  • @esthermwikali5403
    @esthermwikali5403 17 днів тому

    Uyu ndiwani ni muongo

  • @PhilipShayo
    @PhilipShayo 24 дні тому

    Makonda kamanda huyo,mtetezi wa wanyonge

  • @jacksonPaulo-py2tc
    @jacksonPaulo-py2tc 25 днів тому

    Nakukubali baba tungua Hawa Wala rushwa wamezid sana😅

  • @OmanOman-dn6dj
    @OmanOman-dn6dj 25 днів тому +1

    Washajichanganya

  • @emanulmwaitege5531
    @emanulmwaitege5531 25 днів тому

    Safi makonda

  • @diametz5899
    @diametz5899 25 днів тому +1

    😢😢

  • @OmanOman-dn6dj
    @OmanOman-dn6dj 25 днів тому +2

    Makonda Safiii

  • @ConfusedBarbecue-he1nb
    @ConfusedBarbecue-he1nb 23 дні тому

    Wapigaji mtamtetea mtendaji!

  • @geofreybakina6010
    @geofreybakina6010 25 днів тому

    Sasa kama hapo ni Arusha tu je nchi nzima si watu wamekufa jmn

  • @VeronicaMasawe
    @VeronicaMasawe 25 днів тому +4

    Huyu ni simba, anahunguruma balaa

  • @PamelaKagisa
    @PamelaKagisa 25 днів тому

    Mweshimiwa makonda namba yako ya simu au ya wasaidizi wako tunaipataje?

  • @ibrahimame9805
    @ibrahimame9805 25 днів тому +1

    Nipo zanzibar ila mh. makonda nakukubali cna.ila tunaibiwa rais anawambia wajitathmini. Upumbavu mtupu. Kazi wizi tu

  • @BernardMandali
    @BernardMandali 24 дні тому

    Jaman rais naomba utukodishie maonda mkoa wa kigoma kwa siku mbili

  • @geofreybakina6010
    @geofreybakina6010 25 днів тому

    Hapo ni Arusha tu,je nchi nzima ipoje,Halmashauri zimedhurumu sana na kuuwa watu.

    • @Herson-yw6cn
      @Herson-yw6cn 24 дні тому +1

      Inasikitisha sana viongozi kuwa vinara wa kuwazidishia umasikini wananchi

    • @devothasimbi6495
      @devothasimbi6495 17 днів тому

      Hui ndimi Tanzania yetu Mimi nitarudi kuishi Tanzania nikifikia mida Wa kustafu sasa ni kuja kutembea tu wiki Tatu narudi kusikon'a unyanyassji uliokithili kwa kiwango cha juu

  • @sonimurat
    @sonimurat 6 днів тому

    Mimi ni mfanyabiashara, huyu navyomuona hata nafasi ya ufagiaji hana, bora kibao cha uso alooo, na wewe mzee umepiga sana watu hula mdogomdogo 😅

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk 25 днів тому +1

    Makonda piga spana wewe ndio rais wangu ambaye nakuombea mungu malengo yatimie napenda sana viongozi wenye msimamo sio ndumilakuwili upo vzr sana mkubwa Tanzania inahitaji kiongozi kama wewe na Africa pia

  • @godsonkilua7738
    @godsonkilua7738 25 днів тому

    Mh Makonda hii tabia ya viongozi wa vijiji kudhurumu wananchi Mimi Ni mmojawapo wa wahanga tumedhurumiwa eneo letu Gairo na kujengwa majengo ya Posta na simu. Kwa hili unalolifanya Mungu atakulinda usiku na mchana.

    • @jamesmzaki6041
      @jamesmzaki6041 25 днів тому

      Mmmh! Umeenda kwa DC Jabir au Shabiby akashindwa kukusaidia???

  • @user-uk3iw1su4i
    @user-uk3iw1su4i 7 днів тому

    oyooo

  • @dignafreddy9763
    @dignafreddy9763 25 днів тому

    Piga spana babaa 😂 Tuko nyuma yako

  • @EmmanuelMajele-ny2hk
    @EmmanuelMajele-ny2hk 25 днів тому

    Makonda Akili nying

  • @danielsonkimaro5672
    @danielsonkimaro5672 8 днів тому

    Barikiwa sana mkuu wa mkoa wa Arusha

  • @KaujuMwakajumba
    @KaujuMwakajumba 25 днів тому

    Hofu yangu ni ulinzi wa huyu malaika wa mungu.... Makonda ni malaika kutoka mbinguni.....walimuua Magufuli.....eeh mungu mlinde huyu kijana mpenda haki.....tatizo CCM wenyewe ndio wanamfanyia dhuruma

  • @rashidimwaluwanda6898
    @rashidimwaluwanda6898 25 днів тому

    Kabisa jamin siyo muchezo

  • @hassannapenda6182
    @hassannapenda6182 25 днів тому

    EEEEE MWENYEZI MUNGU. MPEE ULINZI MTUMISHI WAKO NDG PAUL MAKONDA KWA KAZI ANYOIFANYA. KTK TAIFA HILI. MUNGU AKUBARIKI NDG P.MAKONDA

  • @user-rv2gb1ym9d
    @user-rv2gb1ym9d 25 днів тому

    😭😭😭😭

  • @user-fw8le7lk8d
    @user-fw8le7lk8d 25 днів тому

    😂😂😂

  • @anwarKhan-gn6yt
    @anwarKhan-gn6yt 24 дні тому

    Acha kudhalilisha watumishi

  • @lemmywanjeh4366
    @lemmywanjeh4366 25 днів тому

    Dhuluma iko kila mahali

    • @devothasimbi6495
      @devothasimbi6495 17 днів тому

      Sio kweli dhuruma za hivi haziko kila mahali kama ulivyoamini

  • @JoshuaLaiza-ze7ge
    @JoshuaLaiza-ze7ge 25 днів тому

    hiyo mtendaji hata ajielewi

    • @devothasimbi6495
      @devothasimbi6495 17 днів тому

      Anajielewa kwa uwezo wake na maswali anayoulizwa yanatokana na maelezo Yake cha kusikitisha ni Mume Wa mtu n'a Baba Pia ni jirani piga picha

  • @lemmywanjeh4366
    @lemmywanjeh4366 25 днів тому

    Mimi mkenya na nmefatilia sana huyu makonda I say Mungu amweke
    Jamaa kajichanganya hapo maharaja 3 saii ni 2

  • @user-jl5un4wf3u
    @user-jl5un4wf3u 25 днів тому

    Huyobwana nikibaraka wahaowanaompa ufanyakazibora hizofedha zaunyanganyi anakulanao.