UKIOTA NDOTO HIZI 7 JUA ROHO YA UMASIKINI NA MIKOSI INAKUANDAMA- Apostle Johaness John

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 55

  • @user-jy8xy1vy3e
    @user-jy8xy1vy3e 9 місяців тому

    Mungu akubariki akuinue kiwango kingine porsta

  • @bettymariga
    @bettymariga 4 місяці тому

    amen 🙏🙏 mungu atusaidie

  • @HappynesHamis
    @HappynesHamis 11 місяців тому +1

    Pastor shkran sana kwa somo zuri mm niliota zamani sana kua naokota change
    2,,, niko shule ya msingi

  • @bozbun3994
    @bozbun3994 11 місяців тому

    Ni kweli kabisa

  • @LinetSimiyu-wg2dw
    @LinetSimiyu-wg2dw 10 місяців тому

    Amen be blessed the servant of God then Kuna hii ndoto natamani kujua maana yake niliota nikiwa nakamua maziwa ya ngombe nikiosha miguu na mikono mwishowe nikahosifia ndama alipoenda kuyanyonya kuwa atayamaliza

  • @tumainimbilinyi6591
    @tumainimbilinyi6591 11 місяців тому +1

    Amina mtumishi mungu akubarki umegusa maisha yangu mtumishi 🙏🙏

  • @HappinesWilliam
    @HappinesWilliam 11 місяців тому +1

    Amina baba umegusa sana ndoto zetu

  • @SarahChepteek-c7l
    @SarahChepteek-c7l 10 місяців тому +1

    Mbona nikilala ata mchana ninaoda bora tu nilale ninaoda pastor

  • @user-jd1bc2fw1x
    @user-jd1bc2fw1x 11 місяців тому

    Amen mtumishi but hukiota umejenga nyumba katikati ya maji but niya ghorofa humanisha nini

  • @NanseBath
    @NanseBath 11 місяців тому

    Ameeen mtumishi

  • @christophehakizimana5103
    @christophehakizimana5103 11 місяців тому +1

    Amen

  • @irene3abi123
    @irene3abi123 Рік тому +2

    It is absolutely true;About bugs, school, collecting coins
    Yamenikuta mimi😢

  • @verityngoda268
    @verityngoda268 Рік тому +3

    Kwa Jina lake Mwenyezi Mungu Nimebarikiwa Amen

  • @farhanialfarsi1983
    @farhanialfarsi1983 11 місяців тому +1

    Asante imetukuta Ila wengine hawa tuambii kama wewe unavyo fafanua kawa ndani mungu awe NA wewe nazidi kukulinda upate saidia wengine

  • @liam23438
    @liam23438 Рік тому +1

    Amen , barikiwa Mutumishi wa MUNGU kwa mafundisho 🙏🙏

  • @sarahmwikali3564
    @sarahmwikali3564 Рік тому +1

    Thankyou for sharing. God bless you servant of God

  • @ameria2332
    @ameria2332 Рік тому +2

    Amen .

  • @fatumamichael5664
    @fatumamichael5664 Рік тому

    Amina mtumishi umenigusa sana maisha yangu mungu akubariki

  • @ziyadanyandwi2908
    @ziyadanyandwi2908 Рік тому +1

    Mungu tusaidie

  • @mrantena_
    @mrantena_ 11 місяців тому

    Sahii, amen🙏🙏

  • @ziyadanyandwi2908
    @ziyadanyandwi2908 Рік тому +1

    Asante sana ubarikiwe

  • @agathemichelle238
    @agathemichelle238 Рік тому

    Bwana Yesu asifiwe Mtumushi zamani nilikuwa naota sana naona naenda ila sifiki na sioni ninapo kwenda.... Ila ivi biliishaga siionagi tena iyo ndoto inaamanisha nini tafazali Naomba tafsiri 🙏

    • @shiningstarheavenlyembassy
      @shiningstarheavenlyembassy  Рік тому

      Kuota HUONI unakokwenda ni kukosa mwelekeo kwenye maisha yako! OMBA na haribu hiyo ROHO ya Giza

  • @rahimaomar4642
    @rahimaomar4642 4 місяці тому

    Mimi huwa naota mara kwa mara niko shule ya secondary lakin niko darasan nafanya mtihan namajibu yake nakuwa siyajui nanyingine huwa naota naokota hela za Silvia nyingi barabaran kwenye mchanga

  • @lydiathomas9689
    @lydiathomas9689 11 місяців тому +1

    Nliwah kuota napanda mlima mrefu
    Kwa tabu sana ila badae kuna kajiwe kadogo pemben nikakashika na nikafanikiwa nikapanda ckujua nn cha kufanya nikaw naomba ila kwa hofu aisee nikapatwa na majanga majanga madeni yan nikapitia kipindi kigumu san ila Mungu ni mwema niliomba na kufunga na sasa Mungu ni mwema mambo yanaenda vizur

    • @shiningstarheavenlyembassy
      @shiningstarheavenlyembassy  11 місяців тому +1

      Zidi kumshuru mungu azidi KUKUSAIDIA make pale YESU ndo alikuvusha kutoka KWENYE changamoto TOFAUTI TOFAUTI ndo MAANA ilikuwa UNAPATA UGUMU kuuoanda mlima. Mlima ni JARIBU, jiwe ni YESU KRISTO yaani jiwe KUU la pembeni . Na kilele Cha mlima ni MAFANIKIO MAKUBWA

  • @Zaujia
    @Zaujia Рік тому +1

    asante sana mtumishi wa mungu

  • @josephwawuda3204
    @josephwawuda3204 Рік тому

    Ameeen mtumishi wangu nimeelewa nahizo ndonto

  • @marymutindi-c3z
    @marymutindi-c3z Рік тому +1

    Asante nimembarikiwa sana mtumishi wa mungu

  • @user-bm5gf9kc6x
    @user-bm5gf9kc6x Рік тому +1

    Asante Sana nimeelewa vizur mtu was mungu ila naomba kujua ukiota upo darasani na hujui Cha kuandika kwenye mtihani mpaka unamaliza Asante sana

    • @shiningstarheavenlyembassy
      @shiningstarheavenlyembassy  Рік тому +1

      ROHO ya KUSHINDWA mtihani, kukosa mwelekeo na KUSHINDwA kutimiza KUSUDI LA YESU MAISHANI MWAKO - kataa ROHO ya KUSHINDwA na kukosa mwelekeo kwenye maisha

    • @HappynesHamis
      @HappynesHamis 11 місяців тому

      ​@@shiningstarheavenlyembassy6:51 🙏

  • @faithmukami1767
    @faithmukami1767 Рік тому +1

    Hukiota hikiwa shuleni hukifanya mtihani ama darasa huliachia shule hunajikuta nini hio na kuona hikiwa humelidi nyuma na darasa mbili ama tatu nini hio.

  • @anitajohnsson102
    @anitajohnsson102 Рік тому +1

    ❤❤🎉

  • @evangelinekamanthe4668
    @evangelinekamanthe4668 11 днів тому

    Ndoto ya kuona ukiwa katikati ya nyota nyingi inamaana gan, mtumishi wa MUNGU?

  • @christinekuloba
    @christinekuloba 11 місяців тому +1

    Mm huota niko shule mara kwa mara

  • @MagretMeck-kg6fk
    @MagretMeck-kg6fk Рік тому +1

    Ndani kwangu Sina panya Ila kunasiku niliota ndani ya nyumba kunapanya wengi sana wanakimbia wanatoka nje ndoton nikawa nawashangaa uko naogopa nikiwa nawakumbatia wanangu nikiwa nawaogopa wale panya Ila wale panya walikua wanakimbia wanatoka nje

  • @user-ix6zb2uh3w
    @user-ix6zb2uh3w Рік тому +2

    Tumsifu] yesu kristo mtumishi .na ukiota umevunjiwa eneo] lako la biashara na hakuna kilicho ibiwa kama pesa au bidhaa yeyote unamaanisha nn?

    • @shiningstarheavenlyembassy
      @shiningstarheavenlyembassy  Рік тому +1

      MUNGU amekusaidia ila anataka UWE MAKINI- MAKINI kwenye KITU unachofanya USIJE ukapata hasara. Kuwa MAKINI na WATU, usalama WA BIASHARA Yako. MWOMBE MUNGU aagize Malaika wake wailinde BIASHARA Yako pia na MAISHA Yako na familia Yako make Kuna MPANGO WA ADUI unalenga kuja KUKUPA hasara. OMBA ulizi Kwa mungu. Kama hutoi FUNGU la 10 Kwa USAHIHI Anza na pia wasaidie YATIMA na wasiojiweza

    • @HappynesHamis
      @HappynesHamis 11 місяців тому

      ​@@shiningstarheavenlyembassy👈

  • @JaneJohn-lj8ug
    @JaneJohn-lj8ug 11 місяців тому +1

    Mm uwa naota ndoto nipo shulen nilikosoma sekondary mara gari linaniacha au nipo primary nafanya mtihani mara sijafanya yaan ni ndoto zinazonirudia kuhusu shule

  • @lailinekiptoo26
    @lailinekiptoo26 Рік тому +1

    Na ukiota unakimbishwa na mtu na haujakamatwa inamanishaje

  • @dariusdariusmaundumaundu2233
    @dariusdariusmaundumaundu2233 Рік тому +1

    Naukioa Kama ukoshule na nimefukuza nanaomba mungu anisaidie nipate spornser anilipie fees na baada ya siku moja Naona message ya mpesa ikiigia kwa simu confirm you have received
    7900from na jina sikuiona after there namwona headteacher bna nimelipa fees na ndoto yangu aikufika mwisho na nikaaza kushikwa na wasiwasi kutoka io siku nimekosana na mzee wangu maana take Ni nn

  • @lilianjoseh
    @lilianjoseh 11 місяців тому +1

    Ukiota uko kwa room na ina giza halafu imejaa mavi nakanyaga mavi , yaani mavi imetapakaa room yote inamanisha nini?