Dr. Chris Mauki : kwa mazingira haya mume atakuacha hata iweje ( part 1 )

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Inawezekana unampenda sana mumeo ila endapo una vijimazingira hivi basi ujue atakuchoka karibuni na huo unaweza kuwa mwisho wa ndoa yenu Nifuatilie nikusaidie

КОМЕНТАРІ • 62

  • @LYDIAATUGONZA-zz6ox
    @LYDIAATUGONZA-zz6ox 10 місяців тому +8

    jaman topic hii inaenda kuikomboa ndoa yangu jaman mm sikujua hili kabla mungu akubariki Dr chris

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 10 місяців тому +2

    Haya asante sana umeniongezea mtaji kwenye biashara yangu,,,asante hubby wangu 🎉

  • @ayubuminja334
    @ayubuminja334 7 місяців тому

    Nashukuru sana kwa masomo yako nazidi kujifunza zaidi MUNGU akubariki sana

  • @bilalybarisesa5206
    @bilalybarisesa5206 10 місяців тому +2

    Somo zuri sna Dk. Ubarikiwe sna Mkuu

  • @user-th5xz1fg5t
    @user-th5xz1fg5t 10 місяців тому +3

    mungu akubarik kk mauki

  • @DavidDavid-wf5ug
    @DavidDavid-wf5ug Місяць тому

    Huku kwetu India Kuna kabila moja mwanamke ndiye mtoa maari na mama ana say kuwa kuliko mume .vipi Hapo bro.

  • @jullymwaikenda564
    @jullymwaikenda564 7 місяців тому +1

    Mungu akubaliki

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 10 місяців тому +3

    😢asantee Mauki darasa zuri❤❤❤

  • @user-zr6eo6hw7w
    @user-zr6eo6hw7w 6 місяців тому +1

    🎉🎉🎉🎉🎉 Pokea maua yako doctor

  • @treasureforashes3497
    @treasureforashes3497 9 місяців тому +1

    Namshukuru Mungu alinipa a partner ,we both speak out and none of us feel tumetawaliwa.kuna wanaume na wanawake wajinga

  • @mrjulius5840
    @mrjulius5840 10 місяців тому +10

    SOMO ZITO SANA, HASA HAWA WANAWAKE WENYE AJIRA, KAZI , PESA, ELIMU

    • @ngussamhingoarts8574
      @ngussamhingoarts8574 10 місяців тому +1

      Asante kwa somo zuri. Kuna mambo mengi katika hilo. Ufahamu wa mtu uanapofunguka kujua mambo mengi tena kwa kuyatolea jasho halafu asisikilizwe kabisa huleta msongo kwa mwanamke. Labda mambo yasiyo na tija ya kaendelea huwa inachosha. Ndio maana wanawake wengine kwa kutokutambuliwa wanayoyafahmu kama ni sehemu ya maendeleo ya familia wanajikuta wanapitiliza. Mwanaume akitoa nafasi ya kujadili mambo na kumpa mwanamke nafasi ya kuchangia na kumwamini husaidia hizo hali za kujihami ili afanikiwe kutumia uwezo wake kwa faida ya familia. Hekima kubwa sana inatakiwa kwa wanaume kuongoza familia.

    • @mrjulius5840
      @mrjulius5840 10 місяців тому

      Sahihi

    • @vailethjames1934
      @vailethjames1934 10 місяців тому

      Ishu sio elimu elimu inasaidia mtu kuwa maturity so ukiona ajakuwa ni malezi mabovu sio kusoma

  • @user-qq8kc1df5e
    @user-qq8kc1df5e 4 місяці тому +1

    Mm naomba mnisaidie mm mume wagu huwayupo siriasi sana nitawezaje kuishi nae

  • @rahimusaid7976
    @rahimusaid7976 10 місяців тому +3

    Brother umetisha sana

  • @user-tq6ti1bm9p
    @user-tq6ti1bm9p 8 місяців тому

    CM munguakulinde
    Akuongeze maarifa

  • @zawadipeter7152
    @zawadipeter7152 10 місяців тому +18

    Jaman mbona ndoa ngumu sasa mwenza wangu kwa sasa hana kazi mm ninashona nakushona bado tunapata ela ya kuĺa tu lakin sasa hata ukimuuliza tunafanyaje kujiongeza jibu lake sina ela ivo sina chakusema

    • @mariagrayson5414
      @mariagrayson5414 10 місяців тому +1

      Pole sana

    • @janechaula2870
      @janechaula2870 10 місяців тому

      Ngumu hatari

    • @MariamNecmi-cy2jl
      @MariamNecmi-cy2jl 10 місяців тому +1

      Mmh!!! Una mtiani mpendwa ila kuwa nae kiukaribu zaidi Kwa kushauriana but usimwache mana Hadi ujempata mwingine na mkafika hapo ulipofika na huyo c jambo jepesi mwaya

    • @auntiemylee3157
      @auntiemylee3157 10 місяців тому +1

      Kama n kazi imeisha atapata nyingine

    • @amanifesto4792
      @amanifesto4792 9 місяців тому +1

      Kwani ww unataka lahatu na mda wa shida upo ndo umsaidie mwenzako kwa sasa changamoto huwa hazidumu

  • @SwalhatjafarMussa-yq2iu
    @SwalhatjafarMussa-yq2iu 10 місяців тому +2

    Asante

  • @sharifamtilly1014
    @sharifamtilly1014 7 місяців тому +1

    Dr Chris unatisha bro, wanawake wengi wa kisasa yupo tayr kumsifia mwanaume wa nnje lkn sio mme wake w ndoa

  • @nahlahassan-fd6le
    @nahlahassan-fd6le 10 місяців тому +4

    Aaaaka!! Hizi tabia zote zakumtawala mwanaume najihis zoote ninazo vo jamani😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @user-dt2dk4uf9i
    @user-dt2dk4uf9i 9 місяців тому +2

    Mahusiano ya ndoa yanaumiza sana furaha ya mda mfup,ugomvii! Ngoja nianze kumsifia tu asije akaondoka😢

    • @user-ve6ho2db7l
      @user-ve6ho2db7l 4 місяці тому

      🤣🤣 umenifurahisha ety asijeakaondoka

  • @user-eh9fu4vk6d
    @user-eh9fu4vk6d 21 день тому

    Naomben dua zenu kwn hayo yote ndo kitu nafny ila bad hatuna maelewano ykudumu😢

  • @janethegidius855
    @janethegidius855 10 місяців тому +5

    mbona hautoi elimu kwa wanaume wakati sikuhizi matatizo mengi ya kifamilia yana let wa na wanaume

    • @DanielNelson-oq5qs
      @DanielNelson-oq5qs 4 місяці тому

      Toa ww tukusikie

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 2 місяці тому

      Hii nayo ni Dalili pia ya mwanamke kuachwa kuamini tatizo ni mwanaume

  • @user-cr3qn8vl1g
    @user-cr3qn8vl1g 9 місяців тому

    Duuh jaman mwenyewe nipo apo nimekupata vizur sana nachotaka ansnipa lkn hana neno tutaoana na tumeshazaa

  • @janemhando1858
    @janemhando1858 4 місяці тому +1

    Sasa km kila anachoshaur hakina mashiko inakuwajebapo

  • @memeniyonzima9343
    @memeniyonzima9343 10 місяців тому +1

    🙏🙏

  • @user-by2mr1wf4c
    @user-by2mr1wf4c 10 місяців тому +1

    Nimelipata somo vizurii Sanaa lakini naomba nisaidie na Kama unamfanyia kila kitu lakini anaondoka kwa sababu ety kwa mwanamke anayeenda yule mtu anampatia ela Sanaa kila anapohitaji nifanyaje

  • @user-paschalrebeca3
    @user-paschalrebeca3 Місяць тому

    🎉

  • @user-qz2te3fu2g
    @user-qz2te3fu2g 6 місяців тому

    🎉🎉

  • @RebyJ-x1h
    @RebyJ-x1h 20 днів тому

    nahtaji unishaur

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 4 місяці тому

    Ndoa ni ngumu sana Sasa unakuta yeye hawezi kufanya kitu Fulani hadi mwanamke afanye hicho kitu ndo maana mwanamke ck hizi hakuna haja ya kutafuta suluhisho na Mimi nakaa kando unajiongenza ki maarifa

  • @user-bg6hh4qm9x
    @user-bg6hh4qm9x 9 місяців тому

    Kuna sisi ambao hatujaoana n wanatuambia tukifnya tendo hatutoolewa so tunaogopa hilo la tendo

  • @user-dp3nt1wz8v
    @user-dp3nt1wz8v 10 місяців тому +1

    Somo zuri sana

  • @gudanemma1459
    @gudanemma1459 8 місяців тому

    Uyo Eggle anamaanisha nn apo😮😢

  • @SylvierWille
    @SylvierWille Місяць тому

    Mwingne anasema akikwazwa hawezi kuwa na matamanio anakaa mwezi je nikweli

  • @rahimusaid7976
    @rahimusaid7976 10 місяців тому +6

    Ukivamia imaya ya mwanaume utapigwa na kitu kizito

  • @jojosada174
    @jojosada174 10 місяців тому

    Ndowa zasikuzamwisho nimicokotu kabisa

  • @aminaabdallah5344
    @aminaabdallah5344 10 місяців тому +2

    Hapo kwenye tendo la ndoa…Je, mwanaume yeye mwenyewe akiwa ahitaji?

  • @JustinItira-rr6bu
    @JustinItira-rr6bu 9 місяців тому

    Me pia ninashida aki kazi ngambo nasomesha watoto,nalipa kila kitu hadi wazazi upande zote ,,nae mume wangu hanisaidii aki yeye pia anataka pesa,,aki nimeshindwa

  • @FatumaKhaliki-mv8tt
    @FatumaKhaliki-mv8tt 9 місяців тому

    Huyu mwanaume anae umia akisalitiwa jaman nayeye amesaliti Mke wake kwa mwanamke wa mwanaume mwingine nyie ndoa inamaumivu Mungu pekee ndio anajua😭

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 10 місяців тому

    Mke wangu nisifieee😂

  • @user-ib6id2it4x
    @user-ib6id2it4x 5 місяців тому

    Tatzo wanaume wa cku hzi wanajisahau sana,,,yn unakuta mwanamke kabeba majukumu kuliko mwanaume hapo anataka kitokee nn

  • @mercynasambu6582
    @mercynasambu6582 2 місяці тому

    Mimi naomba kuongea na wewe tafadhali

  • @angelamos8545
    @angelamos8545 10 місяців тому

    Bwanaaa eeh Mwanaume ukute hajakuoa alafu anataka sex hyo ni nn mwsho wa sku hakuna ndoa wala nn kupotezeana mda ksa tu mmezaa ndio nn mm huwa nashangaa mwaname anataka tendo kama ameoa vile kisa anakulisha ugali wake wa bure au nn😮

  • @zawadipeter7152
    @zawadipeter7152 10 місяців тому +2

    Jaman mbona ndoa ngumu sasa mwenza wangu kwa sasa hana kazi mm ninashona nakushona bado tunapata ela ya kuĺa tu lakin sasa hata ukimuuliza tunafanyaje kujiongeza jibu lake sina ela ivo sina chakusema

    • @ireneosiah5590
      @ireneosiah5590 10 місяців тому

      Mna base sana kw wanawake wakat wanaume nao ni binadamu nao wanakoseasanaa tuuuu tena wapewe Elimu 😂😂😂😂mfano mzur wamuige nabii Hosea kwny biblical watafika