Assalama alaykum. Je km mume amekuwacha na akakukfukuza nyumbani kwake?? Ikabidi ukae eda kwenu... je pia unapotoka safari yeyote umuombe ruhusa yeye?? Na ke km hata simu zako hapokei?
Asalam alyakum. Haya sheikh na mm nina miaka minne sasa mume hanitizami kwa lolote wala salam. yani hakuna mawasiliano yaaina yoyo. Pia miaka 17 uafanya kazi nnje ya kenya alikua akija kwa mweni tu. Kwavile hani tizami mm pia ni kaamua kutafuta riziiki nnje ya nchi. Kwani nina mtoto nae. Uasoma nikawa nashindwa na mahitaji ya mtoto . Swali nilikua nitake ruhusa,????? na bado nimkewe ?????
Ni lazima usiwe una chochote chake unakitumia kama mavazi pesa chakula na matumizi ya aina yoyote ile. Baada ya kuwa huna kitu unachotumia kutoka kwake kwa mda wa miezi mi nne basi yafaa kuenda kwa imam au shekhe ukajibe talaqa ili uachike. Nadhani nimekujibu vyema ndugu. Shukran
ILA HUYU MWANMKE HAJARUDISHWA MPAKA LEO KAZUILIWA NA MZEE WAKE AMBAYE NI BABAKE MKUU NA MJOMBAWAKE AKIWA NA MWEZI WA SABA MPAKA SASA ILA NIMESHAOWA MKE MWENGINE JEE HUYU WA KWANZA NIMKEWANGU BADO?
Eda ikiisha bila hajamrudilia huyo sio mke wake tena. Inatakiwa amrudilie kabla ya muda wa eda kuisha. Ukiisha tu basi sio mke wake tena. Na kama ni talaka ya kwanza au ya pili itabidi akamtolee mahari na amuoe upya. Na ikiwa ni talaka ya tatu hapo hawezi kumuoa tena mpaka huyo mwanamke aolewe tena sehemu nyingine kisha itokee bahati mbaya aachike kwa huyo mwanaume ndio yule mme wake wa mwanzo anaweza tena kwenda kumuoa upya. Allah ndie mjuzi zaidi
Naomba kuuliza hili swaala...kulitokea maneno makubwa ya uzushi uongo mume akaandika talaka 3 kwa mpigo...ila mm sikupewa talaka ikaandikwa na mume n familia ikaekwa mume kuchunguza akakuta n fitna uongo ndo ananionesha hizo talaka jee mm mke ama ndo hakuna ndoa hapo?
ASALAM ALAYKU UMEMUWACHA MKE TALAKA MOJA BAADA YASIKU 20 KAKIMBIZWA NA WAZEE WAKE SABABU MM NICENDE KUREJEA LAKIN NILIPOPATA HABARI KUWA KAONDOKA NIKAPELEKA SALAM ZA KUREJEYA KWA WAZEE WAKE YY MKE NIKAMTUMIYA SMS TU KWAO WAKANIULIZA YY KAKUBALI NIKAMWAMBIA KWAHILO HALINA HIYAR

MASHA ALLAH ALEIK
Masha Allah
Sheikh vp kama mume ametamka talaka lkn hakusema kama ni talaka rejea,, je yahesabika ni rejea au vp
Asalam alyakum. Haya sheikh na mm nina miaka minne sasa mume hanitizami kwa lolote wala salam. yani hakuna mawasiliano yaaina yoyo. Pia miaka 17 uafanya kazi nnje ya kenya alikua akija kwa mweni tu. Kwavile hani tizami mm pia ni kaamua kutafuta riziiki nnje ya nchi. Kwani nina mtoto nae. Uasoma nikawa nashindwa na mahitaji ya mtoto . Swali nilikua nitake ruhusa,????? na bado nimkewe ?????
Assalam alaykum mm nimeachika kwa mume wangu na bado nipo kwny eda je inafaa kuingiliana nae ?
Akikuingilia anakuwa amekurejea wallah Aghlam
Je hajakupa talaka wala hashuliki Kimwili wala uduma zote hakufanyi.alafu upate mume.mwengene ataka kuoa ya faaa.Kwani umevumilia mda mrefu sana nataka jibu anaye jua plz.
Ni lazima usiwe una chochote chake unakitumia kama mavazi pesa chakula na matumizi ya aina yoyote ile. Baada ya kuwa huna kitu unachotumia kutoka kwake kwa mda wa miezi mi nne basi yafaa kuenda kwa imam au shekhe ukajibe talaqa ili uachike. Nadhani nimekujibu vyema ndugu. Shukran
Subra
Nataka namba
+254772611120
@@IzudinAlwyDinasalam alykum warahmatullah wabarakakatuh shekh
UNAWWZA KUDAI TALAKA SABABU SHARIYA MIEZI MITATU LAIKIWA MUMEKUBALIANA AYO MENGINE
ILA HUYU MWANMKE HAJARUDISHWA MPAKA LEO KAZUILIWA NA MZEE WAKE AMBAYE NI BABAKE MKUU NA MJOMBAWAKE AKIWA NA MWEZI WA SABA MPAKA SASA ILA NIMESHAOWA MKE MWENGINE JEE HUYU WA KWANZA NIMKEWANGU BADO?
Jee kama mume amemuacha mke talaka moja na akakaa eda hadi ikamalizika bila ya kumrudia jee itakuwa wameshatalakiana kabisa
msikilize sheikh vzr ostadhat wangu bado nimkeo siyotalaka 3 hzo ostadhat