hpo mm nahisi utakuwa unazini maana pale unakuwa sio mke wake kukaaveda ni kwaajil ya kulinda mali ya mume tu mfano uja uzito na ndio maana mja mzito eda yke akizaa .wallah aalam
Mume akaukiya kaa achari mayembe kwa juwakali shahuri ya kibaruwa akifika nyumbani bibi asema asema shariya yasema bibi siyo lazima amepikiye mume abu pls wasaidiwe watoto wasasa
Al-Baqarah 2:229 ٱلطَّلَٰقُ مَرَّتَانِۖ فَإِمْسَاكٌۢ بِمَعْرُوفٍ أَوْ تَسْرِيحٌۢ بِإِحْسَٰنٍۗ وَلَا يَحِلُّ لَكُمْ أَن تَأْخُذُوا مِمَّآ ءَاتَيْتُمُوهُنَّ شَيْئًا إِلَّآ أَن يَخَافَآ أَلَّا يُقِيمَا حُدُودَ ٱللَّهِۖ فَإِنْ خِفْتُمْ أَلَّا يُقِيمَا حُدُودَ ٱللَّهِ فَلَا جُنَاحَ عَلَيْهِمَا فِيمَا ٱفْتَدَتْ بِهِۦۗ تِلْكَ حُدُودُ ٱللَّهِ فَلَا تَعْتَدُوهَاۚ وَمَن يَتَعَدَّ حُدُودَ ٱللَّهِ فَأُولَٰٓئِكَ هُمُ ٱلظَّٰلِمُونَ T'alaka ni mara mbili. Kisha ni kukaa kwa wema au kuachana kwa vizuri. Wala si halali kwenu kuchukua chochote mlicho wapa wake zenu, ila ikiwa wote wawili wakiogopa ya kwamba hawataweza kushikamana na mipaka ya Mwenyezi Mungu. Basi mkiogopa kuwa hawataweza kushikamana na mipaka ya Mwenyezi Mungu hapo itakuwa hapana lawama ikiwa mwanamke atajikomboa. Hii ndiyo mipaka ya Mwenyezi Mungu; basi msiikiuke. Na watakao ikiuka mipaka ya Mwenyezi Mungu, hao ndio madhaalimu.

@@alibaraka6699 shekh kumuacha mwenyezi mungu no mtihani huo,maana mwanazuoni ni mwanaadam na in mwenye matamanio,Allah ametuagiza qur ani na sunna,na tusome kabla ya yote
Niko na problem nataka munisaidie kama mume amekuacha talaka tatu alafu hakuondoka nyumbani kwa baadae akasema amekuacha kwa talaka moja den hakuondoka hivo hivo alika pale pale nyumbani.jee inaezekena kukurege ama ndio ishapita.nisaidieni kimawazo
VP km unamuacha mke bila ya kumtamkia ila ukamsindikiza kwa baba yake na baada ya kupokewa na baba yake baada ya mazungumzo ya muda ukaaga kuondoka huku ukimuomba mzee kua akae na mkeo unasafiri lakini pia ukamkabizi talaka mzee wake baada ya cku 2 mzee ana isoma angundua kua umempa talaka 3 kwa pamoja, bintie na huku akiwa mjamzito sheria inatuelekeza mini shekh?
Niko NA swali mwenye ajua anijibu jmn mnisaidie, mm niliachana NA mume wangu sahii miaka 15 haja nipa talaka je naeza ulewa NA mume mwengine ama bado nimke wa mtu?
Allah,akuzidishie ustadhi wetu mada,zako nzuri sana
Mashla barakallah shukran sana kwa mawaidha yko
Allah ibarik fik, sheikh mm napenda sana kukusikiza sababu unafahamisha vizuri,
Masha Allah Allah akuzidishie Sheikh
Shukrani shekhe nimepata majibu
ustaz naomba kuliza ukiachwa talak 3 unakaa eda
Ah asemay shkh n kwl ila inahitj moyo kwl wkt unatolew manen machf n ww ukavumilia mh
Mimi nauliza je yafaaa kumpa talak tatu ilihali yuko ktk nifas? Na je eda yake ni ipi?
Jaman mm naswali anayeweza kuujibu mnisaidiee ...je mke akipewa talaka tatu kisha akakutana na mtalak kimwili....kabla ya eda kuisha je hapo inakuje
hpo mm nahisi utakuwa unazini maana pale unakuwa sio mke wake kukaaveda ni kwaajil ya kulinda mali ya mume tu mfano uja uzito na ndio maana mja mzito eda yke akizaa .wallah aalam
@@jumatano3693 shukran sana
Talaka inakufa
@@iddimiraji7760 sijaelewa
ماشاءالله يا شيخALLAH AKUONGOZE ZAIDI
Allah's amjaze ilmu Zaid i
Sheikh mwenye mimba ukimuacha talaka 3 zinakubalika?au meenye minba anaachika?
Mungu akubarik.nafurahia clips zako ni nzuri sana.
Uliza
Sazingine mume maskini mpoleee lakini huyo bibi ata mtoto hana ruhusa ku peleka mtoto wake kwa mamake mwangu tuku ambinini
Mume akaukiya kaa achari mayembe kwa juwakali shahuri ya kibaruwa akifika nyumbani bibi asema asema shariya yasema bibi siyo lazima amepikiye mume abu pls wasaidiwe watoto wasasa
Mashallah
Mada nzur sana , weken na namba zenu shekhe
+254772611120
@@IzudinAlwyDin hizo talaka 3 kwa pamoja km zina swii Hutu alieachwa atakaa EDA? na km alikua mjamzito atafaa kulejewa?
+254772611120
Masha Alla
+254772611120
Sheikh mm niko na swali juu ya hii mada
mashallah akuzaidishie
Mada makini sana ila naomba kuuliza twalaka ya simu in lhalali?
ndy
Kweli kabisa she
Mwenyezi Mungu anasema TALAKA NI MARA MBILI na wanazuoni ndio wanasema TALAKA NI TATU KWA PAMOJA hapa sijui tumfuate yupi.
Fuata wanazuoni فسأل اهل ذكر ان كنتم لا تعلمون.
@@rashidmohamed7860 Nimekuelewa Sheikh Rashid. Tuwafuate wanachuoni na tuachane na Mwenyezi Mungu.
Al-Baqarah 2:229
ٱلطَّلَٰقُ مَرَّتَانِۖ فَإِمْسَاكٌۢ بِمَعْرُوفٍ أَوْ تَسْرِيحٌۢ بِإِحْسَٰنٍۗ وَلَا يَحِلُّ لَكُمْ أَن تَأْخُذُوا مِمَّآ ءَاتَيْتُمُوهُنَّ شَيْئًا إِلَّآ أَن يَخَافَآ أَلَّا يُقِيمَا حُدُودَ ٱللَّهِۖ فَإِنْ خِفْتُمْ أَلَّا يُقِيمَا حُدُودَ ٱللَّهِ فَلَا جُنَاحَ عَلَيْهِمَا فِيمَا ٱفْتَدَتْ بِهِۦۗ تِلْكَ حُدُودُ ٱللَّهِ فَلَا تَعْتَدُوهَاۚ وَمَن يَتَعَدَّ حُدُودَ ٱللَّهِ فَأُولَٰٓئِكَ هُمُ ٱلظَّٰلِمُونَ
T'alaka ni mara mbili. Kisha ni kukaa kwa wema au kuachana kwa vizuri. Wala si halali kwenu kuchukua chochote mlicho wapa wake zenu, ila ikiwa wote wawili wakiogopa ya kwamba hawataweza kushikamana na mipaka ya Mwenyezi Mungu. Basi mkiogopa kuwa hawataweza kushikamana na mipaka ya Mwenyezi Mungu hapo itakuwa hapana lawama ikiwa mwanamke atajikomboa. Hii ndiyo mipaka ya Mwenyezi Mungu; basi msiikiuke. Na watakao ikiuka mipaka ya Mwenyezi Mungu, hao ndio madhaalimu.
Al-Baqarah 2:229
ٱلطَّلَٰقُ مَرَّتَانِۖ فَإِمْسَاكٌۢ بِمَعْرُوفٍ أَوْ تَسْرِيحٌۢ بِإِحْسَٰنٍۗ وَلَا يَحِلُّ لَكُمْ أَن تَأْخُذُوا مِمَّآ ءَاتَيْتُمُوهُنَّ شَيْئًا إِلَّآ أَن يَخَافَآ أَلَّا يُقِيمَا حُدُودَ ٱللَّهِۖ فَإِنْ خِفْتُمْ أَلَّا يُقِيمَا حُدُودَ ٱللَّهِ فَلَا جُنَاحَ عَلَيْهِمَا فِيمَا ٱفْتَدَتْ بِهِۦۗ تِلْكَ حُدُودُ ٱللَّهِ فَلَا تَعْتَدُوهَاۚ وَمَن يَتَعَدَّ حُدُودَ ٱللَّهِ فَأُولَٰٓئِكَ هُمُ ٱلظَّٰلِمُونَ
T'alaka ni mara mbili. Kisha ni kukaa kwa wema au kuachana kwa vizuri. Wala si halali kwenu kuchukua chochote mlicho wapa wake zenu, ila ikiwa wote wawili wakiogopa ya kwamba hawataweza kushikamana na mipaka ya Mwenyezi Mungu. Basi mkiogopa kuwa hawataweza kushikamana na mipaka ya Mwenyezi Mungu hapo itakuwa hapana lawama ikiwa mwanamke atajikomboa. Hii ndiyo mipaka ya Mwenyezi Mungu; basi msiikiuke. Na watakao ikiuka mipaka ya Mwenyezi Mungu, hao ndio madhaalimu.
@@alibaraka6699 shekh kumuacha mwenyezi mungu no mtihani huo,maana mwanazuoni ni mwanaadam na in mwenye matamanio,Allah ametuagiza qur ani na sunna,na tusome kabla ya yote
Mashaallah
Unachelewa kujibu suali maelezo meeengi
MASHA ALLAH ALEIK
Niko na problem nataka munisaidie kama mume amekuacha talaka tatu alafu hakuondoka nyumbani kwa baadae akasema amekuacha kwa talaka moja den hakuondoka hivo hivo alika pale pale nyumbani.jee inaezekena kukurege ama ndio ishapita.nisaidieni kimawazo
Yeye ishapita mpnz
ibnu taymiyyah hana madhehebu
Inna Lilah waina ilehi rajiuni, Mimi niko
Nina swali anaye jua aniambia plz. Ujapewa talaka na mume hakushuliki chochote kile. Alafu umempata mume mwengene. Uwataka kuoa ya faaa kuolewa ama la.
Aysha Mother enda kwa kadhi ukaifusahi sasa yy hakuangalii ya nn ukae na yy
Aysha Hairuhusiwi kuolewa kwasababu wewe bado wewe ni mke wamtu kwa sababu bado hujapewa twalaka Jibu haifai
Haifai mpaka akuache ndio uolewe ukae eda ukimaliza ndio uolewe na mwengine
Huwezi kuolewa mpaka upewe talaka
haifai hadi uachike
😅😅😅
VP km unamuacha mke bila ya kumtamkia ila ukamsindikiza kwa baba yake na baada ya kupokewa na baba yake baada ya mazungumzo ya muda ukaaga kuondoka huku ukimuomba mzee kua akae na mkeo unasafiri lakini pia ukamkabizi talaka mzee wake baada ya cku 2 mzee ana isoma angundua kua umempa talaka 3 kwa pamoja, bintie na huku akiwa mjamzito sheria inatuelekeza mini shekh?
Si ruhusa mwana mke kupewa twalaka wakati mwanamke yuko kwenye hedhi au akiwa mja mazito mpaka ajifingue
Niko NA swali mwenye ajua anijibu jmn mnisaidie, mm niliachana NA mume wangu sahii miaka 15 haja nipa talaka je naeza ulewa NA mume mwengine ama bado nimke wa mtu?
@@riz00rajebo82 bado mke wa mtu
@@riz00rajebo82kama bado nenda kwa kadh avunje hiyo ndoa
Mwanangu huja ona wanawake mumeo ankwenda kazini ka pata pesa kido ama hakupata kibaruwa huyo mke allahuakbar
Ma shaa Allah
Siwajibu Farida safi she he tunaomba namba zenu
ULIZA SHEHE
nixe
🙏🙏🙏🙏💚💚💚💚☝️
HUWEZI KUOELEWA NIMKE WAMTU
Kwann unaweza kufafanua
Mashallah
Mashaallah