PASTOR EMMANUEL EZEKIEL AMJIBU MBARIKIWA MWAKIPESILE 'HUNA MUNGU UNAWEZAJE KUNITUKANA MADHABAHUNI'

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 237

  • @rebeccakagemro3166
    @rebeccakagemro3166 Рік тому +5

    Wote mnavuna mlicho panda.yesu alipochagua mitume wake,hakuwapeleka chuo cha bible.ROHO MTAKATIFU NDIE MWALIMU WA KWELI.mmemkataa,na kuitafuta hekima ya kibinadamu mashuleni.rudini kwenye maandiko.mjipime na neno la Mungu.mtajua kua wote bado mnahitaji neema ya Mungu ili mpate kuingia.mungu awabariki.

  • @nipamdingi9440
    @nipamdingi9440 3 місяці тому

    Mbarikiwa zingatia huo ushauri mzuri Pr Emmanuel anaokupa. Nimekufuatilia ssana! BAADA TU MSIBA WA MWANAO WOKOVU NIKWELI HAUKO SAWA, UNAUMWA NENDA MIREMBE UKATIBIWE. NARUDIA TENA! KICHWA CHAKO HAKIKO SAWA! KATIBIWE MIREMBE HOSPITAL. MUNGU AKUELEWESHE ZAIDI🙏

  • @elicanaambweni8666
    @elicanaambweni8666 4 місяці тому

    Kha Yesu akirudi ataikuta Imani,he dhambi ninini,hivi kunanini Nawaz nchi zote lmani zimekuwa siasa kama hapa kwetu uwii

  • @julietsaru6972
    @julietsaru6972 Рік тому +4

    Vyeti havitawapeleka mbinguni! Jueni hivyo watumishi! Hata wewe hiyo siyo njia ya kukumea ndugu yako. Hicho bado ni kinyume cha maandiko. Uko na uchungu ndani yako, na roho ya kugonganisha. Sihukumu yeyote, na wala sitasimama na yeyote, ila mjue Mungu pekee yake ndiyo mhukumu wa haki! Tubuni nyote watumishi!!! Nawahurumia😢😢😢

    • @EdnahKigola
      @EdnahKigola Рік тому +1

      Kwakwel vyet havimpelek mtu mbingun ni ziad ewe mbarikiw endelea tu Mungu atakupigania elim sio tiket ya kwend mbingun

    • @EdnahKigola
      @EdnahKigola Рік тому +1

      Uong bhn serikal ndo chanz cha matatiz

    • @wawamasengeti5598
      @wawamasengeti5598 Рік тому

      Sasa ndugu yangu vyeti ungesema vyote Ni vya wapi na muda wa course, hata uokoke zaman au karibuni haijalishi Mungu tu ndio ajuaeee jman daaah

  • @rossembwambo5573
    @rossembwambo5573 Рік тому +3

    Zaidi mtubu ,mungu hasomewi,mitume wa yesu walienda shule wap.

  • @BernardBahatiMallya
    @BernardBahatiMallya 11 місяців тому +3

    Nafurahia kutuonyesha vyeti vyako mpendwa wa Mungu, naomba kujua Musa alikuwa na vyeti vipi. Rudi kwenye Neno. Ushauri sii amri.

    • @prosperjuma905
      @prosperjuma905 11 місяців тому

      Huwez kudharau shule kwenye utumishi.

    • @BernardBahatiMallya
      @BernardBahatiMallya 11 місяців тому +1

      @@prosperjuma905 Sawa mpendwa, ulimi kwa za vyeti BAADAYE. Ubarikiwe na Bwana wetu Yesu Kristo.

    • @Truthteller1985
      @Truthteller1985 11 місяців тому

      Mimi nimekuelewa

    • @jacksonmwasibila9310
      @jacksonmwasibila9310 3 місяці тому

      Musa alisoma hekima yote ndani. Huyo mbarikiwa ana shida sana .

    • @jacksonmwasibila9310
      @jacksonmwasibila9310 3 місяці тому

      Alisomea hekima yote ya waMisri.

  • @jakobongwara3038
    @jakobongwara3038 Рік тому +2

    Usiangalie umli mungu hazoeleki

  • @user-lz2zd1ty7b
    @user-lz2zd1ty7b 9 місяців тому

    Utumishi ni wito na ni unyenyekevu kwa Mungu Wewe ulieitwa Kuna vitu3 moja Kuna mtu kuteuliwa na Mungu kuwa mteule mtu huyo aliyeteuliwa na Mungu huyo mtu ni Hatari mbili Kuna mtu kulenga manufaa yake mwenyewe kupitia wahumini Tatu Kuna mtu kuona bhanae njia hii siyo sahihi wacha nianze na Mimi nimtumikie Mungu kwa uaminifu kulingana na changamoto za maisha na kutamani awe Mtumishi wa Mungu hayo ndio na ndio sehemu ambazo = = = Vyeti mbinguni vimejaaaa asikwambie mtu unaweza kuwa na Vyeti ukawa Ni - - - na unaweza kuwa huna cheti ukawa Ni - - - kwahiyo hebu Mungu akusamehe Tu na Kama sisi tungekuwa Mungu anakumbuka Makosa Yetu Mimi ningekuwa na semi 100000 zilizojaaa lakini Mungu wetu ni wahuruma Sana Tunamkosea tukiomba msamaha🙏anasamehe

  • @user-pz7zi2bf1w
    @user-pz7zi2bf1w Рік тому +3

    Mbarikiwa lejea Mungu

  • @simonmsimbege-ty7yk
    @simonmsimbege-ty7yk Рік тому +4

    Mbalikiwa kanisaidia Sana Mimi kiroho namwelewa Sana acha Mambo yako ya ajabu fanya kazi yako mhukum wahaki anakuja ira mbalikiwa katubadilisha wengi tulikuwa wahovyo Sana wachafu Sana natulikuwa tunasali MUNGU ampe hekima naakili nyingi naunyenyekevu naujasili mwingi mbalikwa

    • @jacksonmwasibila9310
      @jacksonmwasibila9310 3 місяці тому

      Sawa lakini anacho wapandikiza ninyi sio ucha Mungu, ila ni uchungu na uadui na watumishi wa Mungu, pia serikali.

  • @venancekibiki558
    @venancekibiki558 Рік тому +3

    Mbarikiwa ni Mtu wa Mungu

    • @KaburuKimath-eu5nf
      @KaburuKimath-eu5nf Рік тому +1

      Mbarikiwa ni mtu WA mungu hababaiki Wala so mtu WA vyeti

  • @charlesmbunda6759
    @charlesmbunda6759 Рік тому +1

    Dah natamani angesikiliza! Ila unyenyekevu siyo kitu rahisi. Mungu amsaidie

  • @brownaled2576
    @brownaled2576 Рік тому +4

    Wenye vyeti ninyi ndyo wabaya Sana mmesababisha waumini wenu kuwa masikini Sana alafu ninyi mmenufaika Sana na vyeti hivyo ni jeuri Sana ninyi wazazi wetu wameshindwa ata kutupeleka shule kwa ujanja ujanja wenu wa mavyeti hayo

  • @meshackkatindasa3869
    @meshackkatindasa3869 Рік тому +1

    Jamani. Tumchunguze vizuri mbarikiwa.
    Uya kijana hana neno la mungu ndani yake.
    Angekuwa na neno la mungu ndani yakejua kwamba hapaswi kujihesabia haki. Na kuwaona wengine kuwa bora kuliko yeye, kama inavyosema.
    Nawashauri watu wake, ambao wanamwita baba. Waombe kwa mungu awafunulie mwenendo huyo mchungaji kama uko sawa au la

  • @johnmsigwa7783
    @johnmsigwa7783 11 місяців тому

    Wachungaji wa MUNGU acheni magomvi. Pambaneni kuhubiri injili ya Kristo YESU. Niwaombe muache migogoro. Nawaonya mnayoyafanya mtakwenda kujibu, yupo Mungu anatusubiri.

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 11 місяців тому

    Hata Yesu alipiwavuruga wafanya biashara sokoni alionekana mwehu !! Gospel true !! Au true Gospel ?? Msomi anaboronga lugha !!? Ila Kweli Husemwa bila mipaka !! Maana hata Yohana Mbatizaji alimwambia Mtawala..Herode ukweli..!!

  • @kitinepigfarms152
    @kitinepigfarms152 Рік тому +1

    Mh!!! Mdogowangu mwakipesile rudi nyuma jitasimini, kugombana na selikari na kugombana na watumishi wenzio haijengi, maisha ya kujiamini kupita kiasi haifai kunawakati ukubali kushauliwa

    • @EdnahKigola
      @EdnahKigola Рік тому

      Kwakwel kubal tu kukaa kimy ndo jb tosh pia

  • @mozesjoseph7630
    @mozesjoseph7630 Рік тому +2

    Karibu kajifunze Kwa mbarikiwa.

  • @nehemiahmtamboh1360
    @nehemiahmtamboh1360 Рік тому +1

    Mnafundisha nini waumimi kama mnalinganishiana byeti mungu hana elimu ya dunia piganieni kuokoa roho za watu

  • @beatricepallangyo2821
    @beatricepallangyo2821 Рік тому

    Kwa kweli Mungu Aturehemu. Nimegundua kuwa wapo watu wamechanganyikiwa hawaelewi maana ya Kusoma Theology. Unaposema Utumishi siyo vyeti unamaanisha nini? Lazima kusoma ili kuweza kuwaongoza watu na Hekima ya Kimungu. Ipo namna ya kuongea na unaowaongoza na hii inafundishwa. Tuache Ushabiki katika Neno la Mungu.
    Mtumishi uko sahihi kabisa na nunakupongeza sana kwa kuisoma Theology. Nakuomba uachane na huyu anayekukwaza maana utajikuta unatenda dhambi.
    Tuombe sana maana Kanisa lina mzigo Mkubwa sana.

  • @marrybnyato6088
    @marrybnyato6088 Рік тому +2

    Najikuta nakupenda kipesile ubarikiwe tu

  • @jacksonmathayo3859
    @jacksonmathayo3859 Рік тому

    MUNGU Awape Hekima, MUNGU Awape Utaratibu , MUNGU Aamue Myoyoni Mwenu, Watu watajua Ninyi ni Wanafunzi Wa YESU Mkiwa na Umoja , Kama yalivyo Makanisa ya Watakatifu Wote MUNGU Si Wa Mchafuko Bali Wa Amani

  • @msanginaza905
    @msanginaza905 Рік тому +2

    Mbarikiwa ni mbabe sana ...akae chini ajitafakariiii sana

  • @estawilison1372
    @estawilison1372 Рік тому +1

    Kaz ya mungu vyet havina maana hata kama Ni vyet 1000

  • @shikombetvshikombe897
    @shikombetvshikombe897 Місяць тому

    Emmanuel
    Rudi msalaban ninyi hamwez kuelewana never
    Hapo mmoja ni forward mwingine ni beki.

  • @elijahbaraka9470
    @elijahbaraka9470 9 місяців тому

    Hata yesu mwenyewe hakusoma chuo chochote cha bible.

  • @doricemwalukasa6699
    @doricemwalukasa6699 11 місяців тому

    Hakuna haja ya watumishi kugombana. Mungu tusaidie hizi ni nyakati za mwisho.

  • @raphaelnkulamasala108
    @raphaelnkulamasala108 Рік тому +1

    Unatumia nguvu nyingi sana lakini hauna nondo kutushawisha Acha tu

  • @johnmsigwa7783
    @johnmsigwa7783 11 місяців тому +2

    Badala ya kuombeana tuna laluana. Niwaonye acheni mara moja

  • @lxstudiotz
    @lxstudiotz 11 місяців тому

    Mimi ndio niaemfahamu mbarikiwa vizuri kuliko mtu yoyote Tanzanian! Kichwa chake hakipo sawa toka zamani sana!

  • @Rev.MbwanaJ.R-dp3gi
    @Rev.MbwanaJ.R-dp3gi Рік тому +1

    Pride itakupeleka jehanam..mbinguni watu hawaendi kwa vyeti vya kitaaluma..

    • @simontamba2189
      @simontamba2189 11 місяців тому

      Mwambieee
      Daudi
      Kumbe una mwanasheria ? Sio Mungu ayaaa bhanaa ola siku zinakuja

    • @simionsteven5618
      @simionsteven5618 11 місяців тому

      Sikilizeni enyi watu!, Vyuo vya biblia ndivyo vimeleta upotovu, kama neno LA mungu lingetufikia moja kwa moja kutoka kwa mungu tusonge yaona haya tunayoyàona Leo.

  • @AllyKimeshu-cb5qc
    @AllyKimeshu-cb5qc 11 місяців тому +1

    Mungu haangalii vyeti vyako anaangalia moyo safi na utayari 🤦

  • @AminaMichaels
    @AminaMichaels 11 місяців тому

    Mmmmmmmmmh mungu atusaidie

  • @AmosSambe
    @AmosSambe Рік тому +3

    Mbarikiwa mpaka Sasa simuelewi kabsa mm

    • @petermwenda6470
      @petermwenda6470 Рік тому

      Hukuwahi kumielewa

    • @helsonjonathan
      @helsonjonathan Рік тому

      Uyu jamaaa point yake nini hasa maana naona analalamika tu 😂😂😂😂😂

    • @MusaLakwai
      @MusaLakwai Рік тому

      Umuerewi kwa rip au na wewe ndio walewale

  • @user-uq7kk4dw2o
    @user-uq7kk4dw2o Рік тому

    Jaman,nyinyi watu wa
    Mungu,unashangaaa sana,kwann wewe usinyamaze kimya,kama umesoma,singe tafuta watu pamoja, mkaa????

  • @davidwambura5915
    @davidwambura5915 Рік тому +2

    Mbalikiwa inatakiwa abadilike.

  • @helenamasinjisa1217
    @helenamasinjisa1217 Рік тому +1

    Mtumishi wa Mungu hasifiwi cheti

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 11 місяців тому

      Hivi Yesu alikuwa na cheti cha chuo chochote ?

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 11 місяців тому

    Wewe ndo uende mirembe mwache mtumishi wa mungu

  • @elijahbaraka9470
    @elijahbaraka9470 9 місяців тому

    Ivyo vyeti Roho mtakatifu ndo kakupa ao yesu mwenye?

  • @AnnAMilima-eo4me
    @AnnAMilima-eo4me Рік тому +1

    Kwann msiitane mkaambizanq live?hv mlishawah kuona watumishi wa katoriki wanashambuliana?

  • @fridalyanguka1733
    @fridalyanguka1733 Рік тому +1

    Tutangulize upendo tu Kwa wenzetu kwani hatutaona mzigo wa maneno Kwa mtu yeyote na ndio kanuni ya kuwa rohoni.

  • @alunekyusa4905
    @alunekyusa4905 Рік тому

    Kusomea sio maana ya kuwa umeokoka au unamjua Mungu ,mitume au Yesu alisomea wapi nionyeshe kitabu gani

  • @yusuphchankwa4759
    @yusuphchankwa4759 Рік тому

    Hahahahahahaha nimecheka sana sana Mungu atusaidie sana

  • @shikombetvshikombe897
    @shikombetvshikombe897 Рік тому

    Bado hujamwelewa mbarikiwe acha kazi ya kumjibu huyo ni jembe la YESU hayo makatasi yako yasikupe ujasiri wa kumkoaoa mtumishinwa Bwana. Kama wew ujui kuonya acha mbarikiwa aionye serikali na jamii kwa ujumla.
    Ajidhaniae kuwa amesimama aangalie asije kuanguka

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 11 місяців тому

    Umesoma unavyeti lakini huna elimu hata tundurisu alimuambia mwanasheria mkuu kwanza unaonekana umeramba asali

  • @techcharlesandrea33
    @techcharlesandrea33 11 місяців тому

    Hahaaaa kuwa na miaka mingi sio kigezo kijana

  • @indalesiohenery6124
    @indalesiohenery6124 11 місяців тому

    Injili ya Yesu sio ya amani

  • @techcharlesandrea33
    @techcharlesandrea33 11 місяців тому

    Displine haisomewi babaaaaa elimu ya MUNGU haisomewi. Hiyo ni elimu ya wazungu sio ya MUNGU. Mmefundishwa unyumbu.

  • @SadickAlly-jm5sr
    @SadickAlly-jm5sr Рік тому +2

    Masifa unayo kaka, hata wewe hauko sawa

  • @elijahbaraka9470
    @elijahbaraka9470 9 місяців тому

    Uliwai kuona vyeti vya paulo,musa,petro,matayo,yohana? Ivyo vyeti vina waletea kiburitu.

  • @prophetislael5265
    @prophetislael5265 Рік тому +2

    Halafu nikweli mwakipesile wenzake ndio wanakosea yeye hakosei akikosoa wanzake wananyamaza ukimkosoa yeye sasa nivita

  • @VictorAdamu-cf3ih
    @VictorAdamu-cf3ih Рік тому +1

    Bas huja mgugo vzl mbarikiwa mwakipesile .yeye ni Mnya chusa wa Tukuyu kaishia Darasa la Saba s/m Majombo prmry school kaishia lasaba kazaliwa Mwaka 1983 Mke wake anaitwa Salome Mwampeta kazaliwa Mwaka 1986 jamani niviana wadogo safal bado anayo ndefu.Mumuombee

    • @josephamani
      @josephamani Рік тому

      Mbalikiwa Hana hekima bia Hana elimu yoyotr na ndiyo maana kachanganyikiwa

  • @jakobongwara3038
    @jakobongwara3038 Рік тому

    Kumbee msemi pubafu hunajipya yesu alisomea wapi? Wewe kalale

  • @servantmosesmunuve2687
    @servantmosesmunuve2687 Рік тому

    Ukona masomo lakini tofautisha masomo na Mambo ya kiroho,Kama dhambi inakashifiwa kwa Nini mnachomeka? Mkona uzoefu wa systems za dini lakini maovu yakitendeka mlikua kimya haiwezekani haki ikihubiriwa mnapiga kwa kujidai mmesomea church discipline.kwa hivyo wacha kiburi.

  • @YOSHUAMWAMPETA
    @YOSHUAMWAMPETA 11 місяців тому +1

    BWANA YESU ASIFIWE ! Pasto Emmanuel Ezekiel kwanza nakupa pole ila nadhani pengine unakosea namna ya Kumshauri Mwakipesile labda inatakiwa kuomba Ushauri Kwa Yesu ili tusijetukashauri kimazoea ikawa tupo kiakili wakati suala ni la Kiroho mno.

  • @mozesjoseph7630
    @mozesjoseph7630 Рік тому

    Mbarikiwa safi sana na tunampenda sana Yani sana. Unamjuwa mbarikiwa vizuri rakini. Acha mambo Yako wewe ndoo unapotosha watu. Huwezi kujiringanisha na mbarikiwa. Ni mtu. Wa mngu. Na ameokoa wengi. Wewe umeokoa wangapi

    • @hildandumbalo5827
      @hildandumbalo5827 11 місяців тому

      Makanisa mengi sasa hivi ni ya chuma ulete sio la Mwakipesile

  • @emmosilver6039
    @emmosilver6039 3 місяці тому

    Kiukweli huyo jamaa anamatatizo makubwa sana,Sasa katika kwa wakristo,viongozi wa siasi.sasa atahamia kwa wasanii wa Dunia na kwa waisilamu.

  • @madafajulius3257
    @madafajulius3257 Рік тому +1

    Achana na mchungaji mbarikiwa wewe, huyo ni mchungaji wa nyakati, wewe umesoma kitugani, Watu wanaamini alipo MUNGU sio vyeti

  • @pastorgodsonjohn8562
    @pastorgodsonjohn8562 11 місяців тому

    Popo anajitetea pumbafu kabisa kwahiyo vyeti ni sifa ya maadili pumbafu sana

  • @user-sw1dv1iq6h
    @user-sw1dv1iq6h 11 місяців тому

    Cheti hakisaidii. Moyo wako😊

  • @msanginaza905
    @msanginaza905 Рік тому +2

    Ila watumishi msilimbane jamani lkn pia mbarikiwa asitumie mudaaaa wa ibada kuwaswma watu wengine sio vizuri watu Wana matatizo wanahitaji uponyajiiii ww ni kuongea tuuuu! Mbarikiwa badilika bwana

    • @jacobkulaya6062
      @jacobkulaya6062 Рік тому

      Mbarikiwa sio wa mwaka 1977 huyo mdogo sana 1984 hadi5

  • @MariamBashilu
    @MariamBashilu 11 місяців тому

    We baba wa hivyo kumbe au umetumwwa chunguzwa wew kwanza

  • @gidongailo7174
    @gidongailo7174 11 місяців тому

    Weka vyeti😂😂

  • @barakamwamtenga2448
    @barakamwamtenga2448 Рік тому +1

    Mbona sikuelewi wewe kijana imanueli

  • @mozesjoseph7630
    @mozesjoseph7630 Рік тому

    Wewe huwezi kujiringanisha. Na mbarikiwa.

  • @AmosSambe
    @AmosSambe Рік тому

    Kweli kabsa

  • @simontamba2189
    @simontamba2189 11 місяців тому

    Bro Mungu hatakuja kuuliza vyeti ila moyo wako
    Sasa mzee Asiwahubilie kwani wao ni nanii Neno linasema paza sauti wahubilie watu makosa yao
    Nathani alikwenda kwa Daudi akawamuhubilia
    Sema asitumie ukalii zaidii lakini kila mtu ni mkosefu

  • @danielnjella4760
    @danielnjella4760 9 місяців тому

    Vyeti ni tafsiri kuwa umesoma kama tulivyokuwa tunasomea chemestry na history ,vilituacha na mioyo ya kukata tamaa,ㅈㅅndivyo ulivyonawe,vimekuacha katili na mwenye kuchonga ndevu na denge.mwee,acha kupambana na mtumishi wa Mungu Mbarikiwa

  • @denispaulo1295
    @denispaulo1295 Рік тому +1

    BWANA Yesu wasame watoto wako wanalingia vyeti hahaha haha jamani siku za mwisho izoooooo

  • @simionsteven5618
    @simionsteven5618 11 місяців тому

    Ukitaka kumuona nyoka kanyaga mkia, mwakisapile amekanyaga mkia

  • @mdemualphonce1559
    @mdemualphonce1559 11 місяців тому

    Vyeti Ila elimu Hana fungus mithali 26yanena wapumbavu acha kuwachochea wengine

  • @mthiaspaul
    @mthiaspaul 11 місяців тому

    Yesu hakusoma chuo chochote hivi nyinyi mmekopy wap uko kusoma?????

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 11 місяців тому +1

    paster wewe emanuel wewe ni mjinga mpumbavu mchumia tumbo wewe emanuel

  • @yustoerioth2756
    @yustoerioth2756 Рік тому

    we bwege tuu

  • @exprodigitaltechtv5571
    @exprodigitaltechtv5571 11 місяців тому

    Kwan Yesu alisoma wapi 😂😂😂😂

  • @alanusrespicius1796
    @alanusrespicius1796 Рік тому

    Mbona uzinzi hujasema?

  • @mozesjoseph7630
    @mozesjoseph7630 Рік тому

    Wewe ndoo hujui kabisa huna rorote.

  • @VictorNgosi
    @VictorNgosi 11 місяців тому

    Kwani kunywa pombe zambi hapo tu tumekuelewa hufai kusoma sio shida yesu alisoma wapi Mohamed alisoma wapi

  • @sofiaantonioantonio7265
    @sofiaantonioantonio7265 Рік тому +1

    Nhamaza usimjibu mshitakia Mungu!

    • @lindakapongo8421
      @lindakapongo8421 Рік тому

      hata wewe hunyamazi tu kwani ukinyamaza kama yesu hutaitwa muchungaji nani huyo mnamchunga

  • @mmassycharles409
    @mmassycharles409 11 місяців тому

    Je mtoto wake alipouawa nyie kama wachungaji mlimsaidiaje? Hata ww hauko sawa, hivyo vyeti haivikupeleki mbinguni..

  • @henrychacha5592
    @henrychacha5592 11 місяців тому

    Njooni ofisini kwangu kesho saa 8 mchana niwapatanishe .

  • @MichaelJudo
    @MichaelJudo День тому

    Wew ulishaona wap huduma ya mungu inasomewa? Hata ungeokoka kipindi cha yesu kama hautasimama katika kweli umeumia,vyeti hivyo vinatoka kwa BWANA au duniani

  • @user-nk8cj1to6g
    @user-nk8cj1to6g 11 місяців тому

    Kwanza mkikutana live ngumi hatakuacha mwaki manaaa eeeeee

  • @exprodigitaltechtv5571
    @exprodigitaltechtv5571 11 місяців тому

    Pastor ezekel Takataka tu ww ni msela unayejificha kwene dini😂😂😂😂 eti GOOGLE

  • @DONALDMTOWE-u9g
    @DONALDMTOWE-u9g Рік тому

    Katika neno la mungu Hakuna usomi ubiri yako. Vyeti hata vingekua elfu kumi. Peleka njaa huko.

    • @lightnessgamasa6039
      @lightnessgamasa6039 Рік тому

      Unakose ,usiwe mchochezi wahili jambo toa ushauri ndugu yangu

    • @DONALDMTOWE-u9g
      @DONALDMTOWE-u9g Рік тому

      @@lightnessgamasa6039 Sijakosea chochote utumishi hauna vyeti kina Mathayo Yohana Ezekia na wengine walisoma wapi?, hao walio mfundisha yeye walitoka mbinguni?, aache njaa na wivu uliokoka 2003 uliza kina Kulola walianza injili lini?. Au kupata smatphone ndio uokovu umezidi?.

  • @romanamassawe814
    @romanamassawe814 Рік тому +1

    Ni kweli mchungaji, huyo jamaa alikuwa pale sinza kwa bishop Deo Lubalo

    • @Hapomwanzo
      @Hapomwanzo Рік тому

      Sasa kama alikuwa kwa deo, yakuhusu nini wewe!.

  • @NajvanNilivan
    @NajvanNilivan 3 місяці тому

    Hahahaha mnagombania wateja au

  • @farouqjaku951
    @farouqjaku951 Рік тому

    WHAT GOES AROUND COMES AROUND-UKISHI KWA UPANGA UTA KUFA KWA UPANGA.KINACHO ZUNGURUKA HURUDI MZURUNGUKONI.

  • @jofreysaimoni4964
    @jofreysaimoni4964 11 місяців тому

    Chetu cha mazabauni yamungu sio hayo makaratasi bali niroho mtakatifu tu inayo soma kwenye ukweli .

  • @user-nk8cj1to6g
    @user-nk8cj1to6g 11 місяців тому

    Nikweri mwakipesile alianza vidhri sana mwanzon lakn kwasasa.kugombana na watu adii serikali inayo kutawala viongozi wote mala wa chungaji Ameacha kubili watu wa mjue mungu anapiga siasa adii madhabahun. Nimkolofi huyo jama anatumia nguvu mda mwingi kuongerea watu vibaya

  • @donypastor475
    @donypastor475 11 місяців тому

    Jamani nynyi watumishi mnakwenda wapi nyinyi badala ya kumpiga shetani mnapigana nyinyi kwa nyinyi 😃ngoja tuone mwisho wenu

  • @mkritowamungu
    @mkritowamungu Рік тому

    Hata ungekuwa na vyeti Mia kama hautendi haki lazima uambiwe na kukanywa mm namwamini na ww kama njia zako sio sahihi rekebisha maana muda wa rehema bado unao.

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 11 місяців тому

    Vyeti bila hekima bure kabisa uchungaji ni tasisi tu ni ajira acha kujingamba. Mwache Mwakipesile afanye kazi ya Bwana toka shika adabu yako unatumika wewe

  • @hamisijuma8124
    @hamisijuma8124 11 місяців тому

    Kaishafungwa mkundu wake anatukana wachungaji wa mungu

  • @ramadhanimtetu3656
    @ramadhanimtetu3656 Рік тому

    Mbarikiwa Tangaza neno Achana na
    Kusema sema Watu sio poa

  • @tusajigwemwakambinda3496
    @tusajigwemwakambinda3496 11 місяців тому

    wachungaji wetu msigombane jamani muombeane

  • @kusemmanuel2211
    @kusemmanuel2211 11 місяців тому

    Unaishi kishetani kwakuwa hakuna ma nabi na mitume waliwayi kwenda shule ili wapate vyieti ili wafundishe : uwo ni programme ya shetani ;wewe ni shetani pamoja nawalio kufundisha,na izo shule zote ni zakishetani na hujaokoka.

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 11 місяців тому

    Unavyeti una makalatasi teteeni hata watu wa loliondo basi umeongea Santa

  • @alanusrespicius1796
    @alanusrespicius1796 Рік тому

    Yesu alikuwa na vyeti?

  • @gloriamichael7935
    @gloriamichael7935 11 місяців тому

    Heee Bibilia ni kitabu Cha shetani uwiiii uwiii uwiiii uwiii makubwa