SHUHUDIA MAJIBIZANO KATI MCHUNGAJI MWAKIPESILE NA MCHUNGAJI EMMANUEL EZEKIEL

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 540

  • @user-rq3se9tc4k
    @user-rq3se9tc4k Рік тому +7

    Daaah nilikuwa napenda sana nyimbo zake huyu mwakipesile daaaah amejua kunivunja nguvu

  • @user-bp5pq9to9e
    @user-bp5pq9to9e 5 місяців тому +2

    Mwakipesile!unamhitaji Yesu Kristo Aliyeangikwa pale Msalabani!kwa namna hii umepotea,pole sana!

  • @JescarMwakipesile
    @JescarMwakipesile 29 днів тому

    Mchungaji Emmanuel Ezekiel Mungu amekupa hekima. Mungu AKUBARIKI. Umetulia. Hamaki na lugha isiyo sahihi Bwana YESU hakuwa nayo. Mungu tusaidie.

  • @vickykulwa9746
    @vickykulwa9746 Рік тому +3

    Mungu sio mungu wa machafuko hapo ni kutubu tu matusi yasitoke vinywani mwenu

  • @reginaldmapunda6702
    @reginaldmapunda6702 10 місяців тому +1

    Huyu mbarikiwa ni tatizo kubwa. Na wanaomfuata nao ni wadhaifu. Nakupongeza sana Ezekiel kwa utume na hekima zako. Najua unanafasi ya kuturekebisha wengi na Mungu akupe uwezo zaidi wa kuhimili mitusi ya watu kama hawa. Mbarikiwa hafai hata kwa uji wa mgonjwa anahitaji kuombewa na sio kuombea. Anahitaji kuponywa na sio kuponya.

  • @aidaraphael1956
    @aidaraphael1956 Рік тому +2

    Hongera mtumishi kwa ushauri umefanya sehemu yako,Eee YESU tuponye

  • @user-yt8zp7rg8u
    @user-yt8zp7rg8u 4 місяці тому

    Bwana komboa tena watu wako Bwana ondoa huu uvamizi katika jina La Yesu Amina

  • @emmanuelnnko-dv1th
    @emmanuelnnko-dv1th Рік тому +1

    Dah watumishi wa Mungu mlikofikasasa nisehemu iyo sitahili ata kidogo mnaichafua madhabau ya Mungu alie juu bilashaka madhabau ya Mungu mmeifanya kua kitega uchumi nanyi waumini kuweni makini izi nisiku za mwisho Yesu Yuko njiani anarudi Asomae nahafahamu by Rev Dr Nnko

    • @godfreymasele8853
      @godfreymasele8853 Рік тому

      Ndugu Nabii EZEKIEL anasena umuonapo ndugu anakosea muonye. So huyu mbarikiwa ana stress kavurugwa, chizi lazima asaidiwe. Hakuna Injili yahivyo. Mchungaji gani huyo matusi kama makahaba wa kambi ya fisi? Aambiwe ukweli huyo analiharibu Kanisa la Mungu. Muharibifu huyo mbarikiwa

  • @estherluvanda1192
    @estherluvanda1192 Рік тому +9

    Mungu akubariki sana Mchungaji kwa kumsaidia Mbarikiwa ni kweli ana tatizo la akili.

  • @emmiemmi3861
    @emmiemmi3861 Рік тому +9

    Mimi mwanzoni mwakipesile nilikua namfuatilia tokea hasira ya mwanae ijae kifuani anapotea😢

    • @foncetecelectricalandelect34
      @foncetecelectricalandelect34 Рік тому

      Hapo ndo utajua kuwa vazi halifichi umbo halisi la mtu

    • @joyyjoyy5474
      @joyyjoyy5474 Рік тому

      Haki wachungaji wanatupoteza hii ni nn Sasa, wanatufundisha nn wanatupeleka wapi eeeeee Mungu wangu tusaidie, watu hawataki kuonywa jmn sijui wachungaji wanatuwazia nn SS kama kondoo

    • @Hapomwanzo
      @Hapomwanzo Рік тому

      Nyie watoto, mtu wa Mungu kabisa, siku zote huwezi ikamuelewa kirahisi, hata wewe kuna mambo mengi watu hawakuelewi, hivi kama mmeshindwa kumuelewa Yesu, mwakipesile mtamuelewa?.
      Na bahati mbaya mawakala wa shetani huwa hamnaga akili ya kufuatilia kwa undani, upana wa jambo maana shetani mwenzeni(Emmanuel ezekiel), amekata kakipande ka maelezo lakini clip yenyewe inamaelezo zaidi ya hayo.
      Sasa hatuna namna ya kuwasaidia maana na nyie ni kazi aliyowapa shetani, endeleeni basi.

  • @user-zz1vv2qw2t
    @user-zz1vv2qw2t Рік тому +1

    Nabiii ttto anaufadhali kuliko mwakipesile nabiii tito hatukani ila mje wapambanashe wapigane natito kicwa chatito MA Mwakipesile vinafanana🎉

  • @Emmanuel-cp1no
    @Emmanuel-cp1no 4 місяці тому +1

    Ndo maana ata nyimbo zake uwa anaimba kwa majigambo sana kumbe yesu yuko mbali sana na mbarikiwa pole sana

  • @JumanneJuma-qd1fo
    @JumanneJuma-qd1fo 4 місяці тому +1

    Hivi ni Yesu ninayemjua Yuko ndani yako !

  • @AgnessMloka
    @AgnessMloka 3 місяці тому

    Mwanasheria ,usomi,madaktari, mababa wa kiroho, nyangaladofu, kuuwa, ushahidi, mapepo ,majogoo na makuku ,ubabe mbona havihusiani ,,wachungaji mnapotoka mnaacha kumtaka mungu na rehema zake mnaanza kusemana mitandaoni ,hivi hata hamwoni aibu,,. Mnaacha mungu akae mbali mnatishiana wanasheria na usomi mnakera

    • @AgnessMloka
      @AgnessMloka 3 місяці тому

      Mtandaoni kuna mambo

    • @nkoyiisack6808
      @nkoyiisack6808 3 місяці тому

      Mambo ya Mungu na usomi wa vyuoo ndipo mnapotea kabisaaa😢

  • @elvismtai84
    @elvismtai84 Рік тому +4

    Mwakipesile : ushauri kwako,usipuuze,nikuombe Sana jifunze kukaa kimya kipindi hiki,nafsi yako imebeba Mambo mengi,umeliacha Neno la Mungu unashambulia watu.ukiendelea hivyo unaweza kupoteza kondoo

  • @estermsigwa1476
    @estermsigwa1476 Рік тому +1

    Mungu hakai ndani ya kinywa kisichojua kujizuia chenye kunena mabaya aiseeee mwakipesile namna unayotumia kufundisha neno sio njia sahihi yaan kutokana jins ulivyo na watu wako hutofautiani na wamama wambea wakaao vibalazani na vile vicheko vya kimbea kimbea
    Hubiri injiri iliyo ya kweli hakuna mtu anayekulazimisha kuingia kwenye makanisa ndugu ila acha kukashifu watu ambao wao hata hawakufatilii wewe

    • @annamushi5702
      @annamushi5702 2 місяці тому

      Yaani kama ulikuwa kwenye mawazo yangu, huyu jamaa Kila mtumishi kwake hafai, anayefaa ni yeye tu, ameshawaponza na wafuasi wake, wamekuwa mazuzu, matusi Kwa kwenda mbele, hili ndo kanisa la shetani sasa. Ajuaye na afahamu.

  • @belyseirakoze5371
    @belyseirakoze5371 Рік тому +1

    Dunia inapo elekeya ni Mungu ndo atuokowe itafikiya siku watu watitaka amani watajitenga na madini maana izi dini zinapo tupeleka 😢ameanza kuja Mungu Mungu uyo Mungu wa kenya sijuwi Yesu wa Congo sijuwi Yesu wa kenya mara Mackenzie 😢😢😢 dunia ina waya waya

  • @JacklineWiston-lf1zy
    @JacklineWiston-lf1zy Рік тому +2

    Af me nakufahamu kweli tabia zako n za ajabu hufanani na utumishii yani unakawaida ya maneno machafu sana

  • @marymremi1051
    @marymremi1051 Рік тому +7

    mchungaji Emmanuel achana na mbarikiwa kaa kimya mwisho wa kuongea utafika. ni kama kachanganyikiwa kwa kifo cha mwanaye

  • @nicholausangumbwike1222
    @nicholausangumbwike1222 Рік тому

    Hakika kumfuata Yesu ni kazi sana. Siku ile kuna watu Yesu atawakataa. Injili ya Yesu ni ya upole sana. Paulo anasema kushindana kwetu si juu ya damu na nyama bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili na juu pepo wabaya katika ulimwengu wa roho. Kinachoendelea hapa ni huzuni sana, na sasa lazima lifike mwisho katika jina la Yesu.

  • @derickcowly6681
    @derickcowly6681 Рік тому +1

    Omba rehema sana Mpendwa Mbarikiwa Mungu wangu akubariki sana nakuomea rehema kwa Damu ya Yesu kristo

  • @ChristinaMnenwa
    @ChristinaMnenwa 4 місяці тому +1

    Imekuwa gumzo mwakipesile mchungaji gan anatoa maneno kama hayo mbingu gan anaingia mtukanaji jera utaludi Tena hata aliyeona umeonewa Sasa ni wazi kabisa kutoka kwako nikosa

  • @MathayoMponela
    @MathayoMponela 3 місяці тому

    Kuazia Leo sikuelew tenamwakposille umesema Bibi Riya .nikitabu chashetan mungu akusameh ujui ulitendaro

  • @samweli7985
    @samweli7985 Рік тому +7

    Mchungaji kazana kumsaidiya mwakipesile, maana anapoelekea akili itamruka

  • @alphoncealmack9240
    @alphoncealmack9240 Рік тому +3

    Huyo mbarikiwa keshapotea siku nyingi sna elimu hamna kabisa kichwani mwake

  • @ruzindazajonas8506
    @ruzindazajonas8506 Рік тому

    Mungu weee! Huyo mtumishi anahitaji kuombewa apewe hekima ya kuheshmu watumishi wenzake pia ajui ni lipi anastahili kunena madhabahuni.

    • @yohanachaula4399
      @yohanachaula4399 Рік тому

      Wewe unayejua kunena tuonenye au ni vema ungekuwa unatuonyesha unayoyafanyaga yanayo stahili

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 Рік тому +4

    Mbona unatusi yaani unatukana jamaniii tunajifunza nini kwako mchungaji Mbarikiwa

  • @HenrickMhema
    @HenrickMhema 3 місяці тому +1

    Baba mwakipesile nakushauri sauti ya wengi ni sauti ya Mungu

  • @derickcowly6681
    @derickcowly6681 Рік тому

    Bwana Yesu asifiwe sana mtumishi wa Mungu Mbarikiwa umekosa hekima mbele ya Mungu ktk kristo mchungaji mwenzako amesema ukweli wake ktk kristo Yesu

  • @Evsadickmwakalebela5727
    @Evsadickmwakalebela5727 Рік тому

    Mnachokifanya ni kulitukanisha jina la kristo, wote hamko sawa katika Hilo. Swala la vyeti na utumishi Lina mahusiana Gani, Na mwakipesile umejawa na uchingu jambo ambalo kiblia haliko sawa, Kwa sabababu mambo ya Mungu hayatatuliwi mtandaoni hivyo ni kuwapa nguvu wapagani na waovu kuona wokovu ni kitu bure

  • @benetisrael6201
    @benetisrael6201 Рік тому +5

    Mbarikiwa anahitaji kutulia asiongee chochote Kwa Sasa amecha kuhubir anajibu mashambulizi madhabahuni kitu ambacho si sawa kabsa wapo washrka hapo naamn hawapend kusikia hayo Ila watafanyaje

    • @Hapomwanzo
      @Hapomwanzo Рік тому

      Mimi kuna kitu huwa sielewi, hivi madhabahuni mnakosemaga ni wapi? na panafaa kuzungumzia mambo gani hasa, naomba mnisaidie na mimi nielewe.

  • @edwardmagige3187
    @edwardmagige3187 Місяць тому

    Nimeamini mwizi huzaa mwizi haka ka mbarikiwa kanezaa kizazi kibaya kimeoa mke mbaya fatilia watoto wake au mke wake duu!! Sijui babaake alikuwa vipi kwa wale mnao mjua kiundani zaidi.

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 Рік тому +9

    MUNGU Akubariki Sana Mchungaji Emane Ezekiel Umefanya Vizuri na Ikiwezekana usiendelee kuongea Zaidi usijeukajikwaa.

    • @magrethminja1309
      @magrethminja1309 Рік тому +1

      Hawa ni kuwasigeza nadhabahun,Mungu awaulize ww nyamaza Mungu akuteee acha afurahishe nataifa,@Past Emanuel Mungu akupe Roho ya ujasir na uvumilivu,unavushwa kivingine ww 😷🙏

    • @Hapomwanzo
      @Hapomwanzo Рік тому

      Kweli kabisa pastor Emmanueli mungu ampe roho ya WEHU NA UPUMBAVU, ili aendelee kupinga watu wanaofanya kazi ya Mungu na mungu amzidishie ushetani moyoni mwake na wote tuseme ameeni.

    • @michaelmwalimu6057
      @michaelmwalimu6057 Рік тому

      Kweli kabisa mbarikiwa hana akili

    • @michaelmwalimu6057
      @michaelmwalimu6057 Рік тому

      Kwanza umoja wa cptc hawawezi kukupokea hata ukitaka mbarikiwa hivi karibuni utatiwa mikononi mwa vyombo wa sheria

    • @rukiasalum7628
      @rukiasalum7628 Рік тому

      Bora unyamaze huyu hashauki

  • @JohnMatano-yk6jw
    @JohnMatano-yk6jw 2 місяці тому

    Wewe ujibuye mbarikiwa unamtumikia nani kwasababu ya ushaidi unao utowa wewe hakuna utumishi kwakusema vigezo unavyo vitowa vyakutegemea mawakili na madakitari na makaratasi enti ni vyeti ulisomea utumishi wewe nimuongo dhahiri Wala huduma yako haitambuliki mbinguni maana nimetarajia utashauri kumbe na wewe ni walewapotoshaji hebu Toka maramoja Kwa shetan na umugeukie yesu

  • @jumannebundala2594
    @jumannebundala2594 Рік тому +1

    Eeeh mwenyez mungu tuepushe na shali hizi mwisho wa dunia

  • @matesosamwel6685
    @matesosamwel6685 Рік тому +1

    Anauvamizi na hamfahamu vzri shetani!! Mwisho wake naiona siyo mzuri,mtumishi Ema,achana nar

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 Рік тому +2

    Biblia inasema " Watu wangu wana angamia kwa kukosa maarifa,na kwakuwa umeyakataa maarifa,Mimi nami nitakukataa wewe usiwe kuhani kwangu..." Hosea 4:6 --- Mungu wetu ni very smart,hataki kuwa na representative mjinga mjinga au mpumbavu .

  • @joycekaje8755
    @joycekaje8755 Рік тому +5

    Wewe unajiita mchungaji wa kutukana wengine?Mwakipesile,mwogope Mungu acha matusi,Ngumi tena kwenye madhabahu. Mungu aturehemu.

    • @Hapomwanzo
      @Hapomwanzo Рік тому

      Maelezo yapi umeyaona ni matusi, ambayo unaamini hata kwenye biblia hayapo? Kinachowasumbua wengine ni uvivu wa kusoma biblia tu! haya yataje nikueleweshe hapa.

    • @emmanuelkilembe8366
      @emmanuelkilembe8366 Рік тому +1

      Yaaani, Mtu anafanya kazi ya kumsaidia Shetani madhabahuni kwa kutukana watu; mnaitumia Biblia vibaya sana..Mnatukana watu madhabahuni kweli.....!!!!

    • @Hapomwanzo
      @Hapomwanzo Рік тому

      @@emmanuelkilembe8366 Nadhani kiswahili unaelewa, tutajie matusi hayo tuyaone, tafsiri ya biblia uliyopewa na wazungu isiwafanye kuwa rohoni msikokujua.

    • @emmanuelkilembe8366
      @emmanuelkilembe8366 Рік тому +1

      Yule, popo, Mbwa mfu; na maneno mengi ya kejeri, Ndugu kama wewe ni mfuasi wake. Nikushauri jihadhari sana na Chuki. Biblia unayosema ya Wazungu mdio inayotumika kukuhubilia kanisani..
      Fahamu jambo hili...
      Kuna Neno la Mungu pia Kuna Maandiko!!

    • @leonceuwandameno6378
      @leonceuwandameno6378 Рік тому

      unaona lugha ya Mwakipesile ni ya haki?

  • @ayoubmwaka2374
    @ayoubmwaka2374 Рік тому +13

    Mnao mtetea mwakipesile hiyo ni kukosa akili ya kupima mambo kama yalivyo kwa usahihi wake. Kile kichwa cha habari na hoja alizotumia kukitetea ni dhahiri kabisa huyu jamaa ni punguani

    • @abonimatozi3481
      @abonimatozi3481 Рік тому +2

      Mwakipesile amechanganyikiwa msipomsaidia ataelekea bapaya.

    • @Hapomwanzo
      @Hapomwanzo Рік тому

      Nyie watoto kinachowasumbua ni akili ndogo ya kumuelewa mwakipesile.
      Na siku zote shetani hutumia viumbe(watu wa hovyo na wasio na sifa njema) kama nyie kwa ajili ya kuharibu kusudi la Mungu, sasa timizeni unabii huo,enyi wenye uelewa finyu.

    • @sospetermungai7733
      @sospetermungai7733 Рік тому

      Mwakipesile tumeamini kumbe hauna mungu ndani yako: ktk mane no uliyotumia uliyotumia hayafai kwamahubiri katika mahubiri hutakiwi kutumia neno pumbavu zenu lakini neno Hilo umeritumia ndugu hauko sawa umeshaharibika bibria siokitabu chashetani

    • @Hapomwanzo
      @Hapomwanzo Рік тому

      @@sospetermungai7733 wewe mwenye mungu unanini cha maana zaidi ya ujinga uliyojaza kichwani?. Onyesha kazi sio mdomo tu!.

    • @lightnessgamasa6039
      @lightnessgamasa6039 Рік тому

      ​@@abonimatozi3481 kweli kabisa mungu amsaidie mwakipesile

  • @NdekirwaPallangyo
    @NdekirwaPallangyo Місяць тому

    🎉yes upo karbu kurud ninakuomba usnisaau niku.bushe na uniuishe tena ee ulie mikomboa kwa dam ya garama kuu 13:13 13:13 13:13

  • @danielmabula2154
    @danielmabula2154 Рік тому +2

    😢😢Duh tupo pabaya, kina Makenzie tupo nao na huku Tanzania, haya mafundisho ya huyo mchungaji hayapo sawa, ana kiburi wala haelewi anachoongea, hajawahi kwenda jela huyo. Wala hajui machungu ya huko. Anataka kujifanananisha na watu mishi wazuri Kina petro au Paulo, huyu afungwe huduma ni mchonganishi.

  • @mariamswedi1140
    @mariamswedi1140 5 місяців тому

    usihangaike nae hyo anguko lake hyo hakuwa wa Mungu amekurupuka tu hyo Mwakipesile amechanganyikiwa sana

  • @edwinmbwilo6128
    @edwinmbwilo6128 Рік тому +6

    Mimi nipo T.A.G lakini elimu ya thiolojia imewaharibu watumishi wengi sana. Hiyo elimu imeondoa Roho Mt makanisani.
    Hivi kwanini hammsaidii kilichomuua mtoto wake Bali mnafatilia vitu visivyo na tija
    Pazeni sauti juu ya aliyemuua mtoto wake muone kama hatakuwa sambamba na ninyi. Mwenzenu analia nyinyi badala ya kumsaidia shida inayomsumbua mnamshambulia

    • @emmanuelkilembe8366
      @emmanuelkilembe8366 Рік тому +1

      Kama upo T.A.G huwezi kuongea hivyo, labda Kuna nyingine Mpya..Ninachojua Mimi T.A.G wanazingatia sana Elimu ya Biblia..Nashamgaa kwanini hamtaki watu wasome wakati wanatafuta maarifa ili wafundishe kitu sahihi...!!

    • @LUPPER.
      @LUPPER. Рік тому +1

      Huwezi kusomea biblia.

    • @edwinmbwilo6128
      @edwinmbwilo6128 Рік тому

      Jimbo Ruvuma Mashariki
      Section Tunduru Mjini
      Tunduru Christian Center TCC

    • @Hapomwanzo
      @Hapomwanzo Рік тому

      @@emmanuelkilembe8366 ELIMU YA THEOLOJIA NI MPANGO WA SHETANI NA WALA SIO MPANGO WA MUNGU, UKINIBISHIA NAOMBA UNIPE MFANO MMOJA WA MTU ALIYESOMEA THEOLIJIA KWENYE BIBLIA NA UNITAJIE CHUO KIMOJA TU CHA THEOLOJIA KILICHOANDIKWA KWENYE BIBLIA.

    • @emmanuelkilembe8366
      @emmanuelkilembe8366 Рік тому

      @@Hapomwanzo Naomba nikuulize wewe umesoma Elimu yoyote?
      Unajua Faida za kusoma?
      Nikuulize walio andika Biblia niwasomi au watu ambao hawajasoma?
      Nikuambie tu ndugu, usiaminishwe Uongo Kwa leongo la kufanywa mjinga..!!
      Yesu anasema Nendeni ulimwenguni kote mkawafanye mataifa kuwa WANAFUNZI. Hebu niambie mwanafunzi ni nani, na anafundiahwa na nani?
      Unafahamu CHUO CHA NABII ISAYA? kwenye Biblia..unafahamu kwamba Paulo unae soma nyaraka zake ni msomi wa Theologia?..
      Kutokusoma kwako kusiharalishe kwamba kusoma nikupoteza Muda...

  • @shalomchurch8476
    @shalomchurch8476 Рік тому +4

    Huyu MBARIKIWa Mungu amusaidie akili yake Kwa sasa

  • @highvoltages4169
    @highvoltages4169 Рік тому +15

    Mi binafsi nimemsikiliza kwa makini huyo mchungaji Emmanuel Ezekiel, nimemuelewa sana, ameongea vizuri sana, katoa ushauri mzuri ambao unahusu NIDHAMU YA KITUMISHI, mi naona kuna hekma kwa mchungaji Emmanuel Ezekiel msiupuuze huo ushauri

    • @Hapomwanzo
      @Hapomwanzo Рік тому

      Kweli hata mimi nimesikiliza vizuri sana na nikaona roho ya YEZEBELI inaishi ndani mwake ,si hilo tu bali nimeona anahekima ya KIFARISAYO na UNIKOLAI MWINGI sana, mungu amtie nguvu sana asiiache roho hiyo.

    • @eliahmhanzi6357
      @eliahmhanzi6357 Рік тому +1

      @high voltages, lakini mi sijamuelewa vyeti sio sababu isipo kuwa amebadilisha wangapi?, mimi sipo Kikosi Kazi lakini Mbarikiwa amenisaidia sana kupitia elimu zake na wapo wengi sana ambao wapo kama mimi na wengine nawafahamu wamesaidika kupitia yeye, najua hizi ni choko choko tu za shetani

    • @highvoltages4169
      @highvoltages4169 Рік тому

      @@eliahmhanzi6357 mi sijazungumiza vyeti , nimezungumzia maudhui ya ushauri alioutoa huyo mch.Emanuel,
      Unajua brand ya Mbarikiwa ni kubwa sana, na watu anaochunga Mbarikiwa sio hao tu alionao hapo kanisani, bali wengi sana wanaofuatilia 1.Nyimbo zake, 2.Mahubiri yake 3.Mwenendo wake (ushuhuda)
      Kwahiyo kuna baadhi ya matamshi na maneno anayotumia ambayo yanaweza yakampunguzia thamani
      Mbarikiwa sio lazima ajibu kila mtu anaeponda, mengine apotezee aache yapite

    • @Hapomwanzo
      @Hapomwanzo Рік тому

      @@highvoltages4169 Naamini na hata wewe waamini kwamba Yesu aliokoka zaidi ya wote, lakini lugha alizokuwa akizungumza na watu ni zaidi ya lugha za mbarikiwa, hebu soma kwanza hapa Mathayo 16:23 na Luka 13:31-32.
      Ukishasoma tuambie ikiwezekana tusiitumie tena biblia maana inamatusi sana.

    • @Hapomwanzo
      @Hapomwanzo Рік тому

      @@highvoltages4169 Jambo la pili ni hili, huyo mchungaji wako Emmanuel alifanya kwa maksudi kukata kakipande hako ili apate sababu za kutimiza ushetani wake kwa mbarikiwa, lakini ungesikiliza clip yote ungepata picha halisi ya alichozungumza mbarikiwa, ila kama na wewe ulikuwa na hamu ya kumtukana mbarikiwa, hatuna jinsi ya kukusaidia.

  • @jeremiahsinakodi2575
    @jeremiahsinakodi2575 3 місяці тому

    Mbarikiwa amekosa busara na Roho ya Mungu imemuacha kabisa

  • @saramss7262
    @saramss7262 Рік тому

    Yaani mbarikiweee Unamkosea MUNGU acha Ubabeee wewe Mbona Wachungaji wapo kimyaaa hilaa wewe umezidii mbingu ipii utaingia Taratibu Acha kutukanaaa unafanya vibaya kwa kweli MUNGU Akusaidiyee acha kujiesabia hakiiu

  • @suzanalucasemanuel7006
    @suzanalucasemanuel7006 Рік тому

    Kama watumishi wa mungu mnagombana wenyew kwa wenyew na sisi waumin inakuaje sasa sijui mnatufundisha nn jamana kweli dunia imeisha

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 Рік тому

      Ndo hapo mnatakiwa kujitafakal Kwa Kutumia vema ya Akili zenu. Hapo hakuna lmaan/Dini ni Usanii tu
      Tokeni huko na Mfanye Touba ya kweli Kabla haijafungwa Milango ya Touba. Usomeni Uislamu Kwa Nia njema ya kuelewa Ukweli.

  • @salomenchimbi6851
    @salomenchimbi6851 Рік тому +4

    Mmh..!! hekima ni kitu Muhimu sana

    • @hoseamwambambale3503
      @hoseamwambambale3503 Рік тому +1

      Kabisa lakn awa watu kila ambae anasema umekosea anageuka kua adui na apo nami. Naapa akuna wanacho kifanya cha Mungu ila yote wanafanya kwa matakwa yao sio ya Mungu

    • @mathayokaaya4093
      @mathayokaaya4093 Рік тому

      Nikwel kabisa uyu siyo mchungaji nipepo hayo makelele nishida

  • @NdekirwaPallangyo
    @NdekirwaPallangyo Місяць тому

    🎉yes upo karbu kurud ninakuomba usnisaau niku.bushe na uniuishe tena ee ulie mikomboa kwa dam ya garama kuu

  • @NellyMadeni-yv6fd
    @NellyMadeni-yv6fd 10 місяців тому

    Safi sana Mbarikiwa komesha mapopo hawa majoka wana wa majoka. Wenye vyeti nyie ndio hovyoo mashetani wakubwa

  • @francomkandawile8572
    @francomkandawile8572 Рік тому

    Mimi naomba mama Mwakipesile ingia magotini nahisi kunauvamizi umefanyika katika ulimwengu wa kiroho kwenye huduma yenu, mwombee Mumeo huu sio muda wa kushangilia kila kitu anachokiongea Mwakipesile ni muda kulia na kuomboleza mbele za Bwana, Najiuliza hivi babu yangu mzee kulola angeyasikia haya anayoyaongea Mwakipesile mtandaoni na huku anajiita Mwinjilisti sijui ingekuwaje, Mwinjilisti unaitumia madhabahu kutukana watu badala ya kumhubiri Yesu? Kama angekuwa mtoto wangu wa kumzaa ameyafanya haya Madhabahuni p Bwana sasa hivi angekuwa pengine ameshakula viboko vya kutosha, na angekaa bila kuhubiri kwa Muda.

    • @augustinochimtunga2391
      @augustinochimtunga2391 Рік тому

      Kweli kuna neno linasema mtakaowafungia duniani na Mbinguni wamefungiwa,mtu ameshupaza shingoo

  • @NdekirwaPallangyo
    @NdekirwaPallangyo Місяць тому

    🎉yes upo karbu kurud ninakuomba usnisaau niku.bushe na uniuishe tena ee ulie mikomboa kwa dam ya garama kuu 13:13 13:13 13:13 🎉😢😅😂❤ 13:13 13:13 13:13 13:13 🎉

  • @godwinmsuya6080
    @godwinmsuya6080 Рік тому +1

    1Tim 4: 1-5. Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani.

  • @petermwanyondo5370
    @petermwanyondo5370 Рік тому

    Twelezeni habali yakwenda mbinguni nautii namaneno yamungu kwamingu hakunaga vyeti vyakutupeleka Iman matendo ndovyeti Tosha kwamungu

  • @Anna-py1ce
    @Anna-py1ce 2 місяці тому

    Kwakweli nyinyi watumishi Mungu awasaidie

  • @mathayomwashambwa1238
    @mathayomwashambwa1238 Рік тому

    MCHUNGAJI EZEKIEL ULIFANYA VYEMA KIBINADAAMU, KITANZANIA, NA UTUMISHI NK NK KUJARIBU KUONGEA, ILA USHAURI WANGU KWAKO...UKISOMA THE BIBLE LEAGUE.. PROVERBS 13:18. INASEMA.. IF YOU REFUSE TO LEARN FROM YOUR MISTAKES, YOU WILL BE POOR, AND NO ONE WILL RESPECT YOU. IF YOU LISTEN WHEN YOU ARE CRITICIZED, YOU WILL BE HONORED.... MAANA YAKE. IKIWA UTAKATAA KUJIFUNZA KUTOKA KTK MAKOSA YAKO, UTAKUWA MASKINI, NA HAKUNA ATAKAYE KUHESHIMU WEWE. IKIWA UTASIKILIZA WAKATI UNAKOSOLEWA UTAHESHIMIKA ...HIVYO A) KTK MAKOSA YA MTU KUNA MASOMO YA KUJIFUNZA YEYE MWENYEWE..B) KUSIKILIZA WAKOSOAJI WAKO NI NJIA YA KUFANIKIWA...SASA KABLA HUJAMSHAURI AU KUMUONYA MTU MWANGALIE USONI, MSIKILIZE ONGEA YAKE, UNAWEZA KUJUA KUWA HUYU SIO MTU WA KUJIFUNZA WALA KUKOSOLEWA.....WENYE HEKIMA HUJIFUNZA KWA KUSIKILIZA WAKATI WAJINGA HUJIFUNZA KWA MAJERAHA. HIVYO PASTOR EZEKIEL MUIGE YESU KRISTO.. ALINYAMAZA KIMYA KATIKATI YA MASHUTUMU..YOHANA 18;37. HIVYO USI-POST VIDEO NYINGINE KUJIBIZANA WALA HAITAKUSAIDIA.......KAMA UMENIELEWA ASANTE, USIPONIELEWA UNISAMEHE TU, NA NITASHUKURU.... NIMEONGEA KAMA NDUGU KTK UFALME WA KRISTO BWANA WANGU. ASANTE SANA.

  • @furahamwatwinza9560
    @furahamwatwinza9560 2 місяці тому

    Mbarikiwa hamuna kitu mukichwaaaa,,empute seti,,,,

  • @abibumbota5160
    @abibumbota5160 Рік тому +1

    Nimecheka sanaaaa leo mwakipesile waenda mbingun hawako hivo

  • @Werema3760
    @Werema3760 Рік тому +2

    Huyu Mungu ninaemjua wa Israel hakuwai tembea na wanaojiita watumishi wa namna hii. "VYETI" si qualification ya kiroho kuwa mtumishi wa Mungu halisi. Labda wa tumbo. Roho hategemei vyeti. Mungu akukumbuke tu.

    • @leonceuwandameno6378
      @leonceuwandameno6378 Рік тому

      Basi aache matusi, jeusi na sema hovyo: mmshauri Mchungaji mwakipesile.

    • @obinasimbeye1750
      @obinasimbeye1750 Рік тому

      Kwa hiyo huyo mwakipesile ndio mchungaji kwa wewe uliyetoa comment hapo JUU.

    • @HighzackMichael
      @HighzackMichael Рік тому +1

      Mbona unapondea upande mmoja? Kwani kusoma ni dhambi? Cheti sio Cha lazima lakini ni cheti Cha muhimu.

  • @HenrickMhema
    @HenrickMhema 3 місяці тому +1

    Duuuu mwakipesile ni msela tu sasa anatoa matusi hivo madhabahuni

    • @africatoeuropechurchtv8856
      @africatoeuropechurchtv8856 Місяць тому

      Sielewi sababu ya upuuzi wake.

    • @africatoeuropechurchtv8856
      @africatoeuropechurchtv8856 Місяць тому

      Msela anayetumia neno la Mungu, jamani tuangalie vizuri labda Mungu kachoka na kuumia nguvu hiyo. Irekebishe matusi sielewi wanayaingizaje

  • @ellymwakyando1385
    @ellymwakyando1385 Рік тому

    Yatendeni Mambo yote pasipo manung'uniko, pasipo malumbano pasipo mashindano, YESU Anarudi, hizi ni Nyakati za hatari, watumishi mnavutana amtangazi Habari Njema za Ufalme, YESU Anarudi Amkeni.

    • @pecmabeyo4471
      @pecmabeyo4471 Рік тому

      Acha mbalikiwa awekwe sawa huwezi kutukana Biblia eti ni kitabu cha shetani ukaangaliwa tu,..angekua Muislam huyo mbalikiwa akatukana quruani namna Hiyo waislam wangemtia Bakora.

  • @daviddavidpeter-435
    @daviddavidpeter-435 10 місяців тому

    Daah! Mbarikiwa mungu akusaidie😢😢

  • @user-cs7qi7mp5l
    @user-cs7qi7mp5l 11 місяців тому +1

    Huyo hayuko sawa kiroho, inaonekana kavamiwa na wadudu

  • @FrankNzombo-ps8gw
    @FrankNzombo-ps8gw Рік тому +2

    Kweli anawashilika wasio jitambua hawa ndo wanapotosha watu wasimuue Mungu wa kweli

  • @user-qe7vy7cl6f
    @user-qe7vy7cl6f Рік тому

    Mungu aingilie kati

  • @ruzindazajonas8506
    @ruzindazajonas8506 Рік тому

    Mfalme Suleimani akamuomba Mungu ampe hekima na maalifu, wewe mtumishi wa Mungu, tulia, unyooshe mikono Bwana wa Mbinguni na watumishi wenzako wakushauri. Una makosa au kuna shida sehemu fulani linalohitaji clinical psychological counselling.

  • @tumaini_nkinda
    @tumaini_nkinda Рік тому

    Umemshauri vizuri sana! Je! ni Mungu amekutuma? asipokusikia atakua anapingana na Mungu.

  • @HenrickMhema
    @HenrickMhema 3 місяці тому +1

    Kanisa lake litakua la masela tu hilo hamna kitu

  • @lindajohansen9220
    @lindajohansen9220 2 місяці тому

    HUYU MCHUNGAJI MWAKIPESILE NI MMOJA WAO WA MANABII WA UONGO. TUJIHADHARI NAE SANA SANA. PEPO ALIYEMVAA NI PEPO HATARI SANA! Hana tofauti na Kristina Shusho huyu

  • @user-fu8mc1zu6u
    @user-fu8mc1zu6u Рік тому +1

    Ila mbarikwa nilikuwa nakufuatilia xana pia nilikuwa nabarikiwa xana na mahubir yako lakn kwahili au kwa mahubir haya unaenda siko

  • @user-hy8ce5ok8l
    @user-hy8ce5ok8l 8 місяців тому

    Acha kutaja watuwengine.
    Hakuna umoja wa wenye hali ila kwa Mungu tuu.
    Mwambie, apigweeeee

  • @ntamwizanyamwelu7008
    @ntamwizanyamwelu7008 Рік тому +1

    Hekima ya mwanadumu Ni machukizo mbele za Mungu na mwenye ufahamu na asikie

    • @suzanamkate4676
      @suzanamkate4676 Рік тому

      Mungu akupe moyo wa uvumilivu mtumishi wa mungu. Katika kipindi hiki kigumu.

    • @suzanamkate4676
      @suzanamkate4676 Рік тому

      Mungu akusaidie mtumishi wa mungu.

  • @ChristinaMnenwa
    @ChristinaMnenwa 4 місяці тому +1

    Polen wafwasi wa mwakipesile

  • @user-ti7nr8dh3j
    @user-ti7nr8dh3j Рік тому +1

    Mbarikiwa mwakisile 😅😅😅😅😅😅😅😅,, mpaka ngumi

  • @mustafamsati9599
    @mustafamsati9599 Рік тому

    Tatizo ni utata wa mafundisho ya biblia yanatofautiana ndiomaana papa nae anataka ifutwe ili kitengenezwe kitabu kipya ukitaka kuamini kua yakanisan na ya kwenye biblia ni tofauti tafuta utambilisho wa dini ya ukristo kwenye biblia

  • @humphreymwihambi4330
    @humphreymwihambi4330 Рік тому +4

    Katika hili Mbarikiwa aliteleza. Majibu yake hayana kicho. Tuache ushabiki. Maneno yake aliyotoa madhabahuni si sahihi. Mbarikiwa anahitaji mshauri na mentor wa kumsaidia. Anashambulia wengine lakini yeye hataki kuguswa. Kuna vitu namkubali lakini si katika hili.

    • @Hapomwanzo
      @Hapomwanzo Рік тому

      Kabla haujaendelea mbele, naomba unitajie makosa uliyoyaona kwa mbarikiwa halafu mimi nitakupa majibu yenye ushahidi wa kibiblia sasahivi hapa.
      Nakusubuli mtumishi, unitajie hayo makosa.

    • @leonceuwandameno6378
      @leonceuwandameno6378 Рік тому

      makosani ni hii ongea yake .. unaongea kwa majivuno yote haya... mchungaji hajazwi na jazba namna hiyo. Jazba ni ushetani? Yesu ni upendo na upatanishi.

    • @Hapomwanzo
      @Hapomwanzo Рік тому

      @@leonceuwandameno6378 Nakuuliza swali dogo tu hivi wewe ikiwa kuna jambo halikosawa/limekukera, huwa unaongea ukiwa ktk hali gani? huwa unacheka?
      Lugha ya ukali ni taarifa ya kuonyesha hisia za maumivu kwa mhusika juu ya jambo lisilosawa.

    • @janelunanilo162
      @janelunanilo162 Рік тому

      @@Hapomwanzo 🤔

    • @Hapomwanzo
      @Hapomwanzo Рік тому

      @@janelunanilo162 🤣

  • @giftmed1a332
    @giftmed1a332 Рік тому +1

    Kwani hakuna ulingo mpambao uitishwe,aya mipasho tuwaachie dada zetu tu.

  • @josephmaduka468
    @josephmaduka468 Рік тому

    Mtmsh wa mungu hulingia maisha ya haki wala siyo vyet acha ushetan ww

  • @ErnestLule-z7t
    @ErnestLule-z7t 18 днів тому

    Namkubali mwakipesik nondo
    Ila hapo ni geres

  • @prophetislael5265
    @prophetislael5265 Рік тому

    Mwakipesile yeye ndio mchungaji pekee anae ona wachungaji wote au watumishi wote hawafai yeye ndio anae faa anatumia madhabahu kama sehemu yakijiwe kusema wahubili wengine

  • @khadijajacobo627
    @khadijajacobo627 Рік тому

    Mmmh japo nilkua namkubal uyu mtumishi, apana kwa ili nimempinga, mwakipesile anahasirahasira Sana nahuu siyo utumishi

  • @akaniwasamweli5249
    @akaniwasamweli5249 Рік тому

    Mwenye haki ni Mungu tu,

  • @zawadichalale4047
    @zawadichalale4047 Рік тому

    Paster Emmanuel upo sawa kabisa ila muombeeni tu mwenzenu acheni kumshauli hatashaulika

  • @JumanneJuma-qd1fo
    @JumanneJuma-qd1fo 4 місяці тому

    Mbarikiwa unakoenda si salama!

  • @Elecovid
    @Elecovid 3 місяці тому

    Fanya kazi mbarikiwa

  • @lengaillikinjiye704
    @lengaillikinjiye704 Рік тому +3

    🤣🤣🤣🤣🤣Kiukweli Mwakipesile amenichekesha Eti Ngumi ndoige Lakn Wachungaji Mjue mnachokifanya ndani ya Nyumba ya Mungu Si Mahali ya Vita si Mahali Ya kuchezea Mungu anawaona na pia naona washirika wa Kanisa wakiisifia Maneno yasio ya hekima 😭😭😭😭 Mungu awasamehe maana hamjui mlisemalo 🤲🤲🙏🙏

    • @Hapomwanzo
      @Hapomwanzo Рік тому

      Hekima yenyewe huijui, Yesu alikuwa na hekima kuliko watu woote, lakini ona aliyokuwa akiwaambia watu, MATHAYO; 16: 23 LUKA 13:31 NA MATHAYO 23:23...........
      Ukishasoma uweke maoni yako, ili ikiwezekana TUANDAMANE KWA MUNGU ILI TUBADILISHIWE YESU MWINGINE, MAANA HUYU ANA-MATUSI SANA NA HANA HEKIMA.

  • @rukiasalum7628
    @rukiasalum7628 Рік тому

    Eereeh.makubwa.matusi.tena
    Mpaka mnaitana mashetani mungu aturuhumia

  • @user-sx9wp3zx9p
    @user-sx9wp3zx9p 11 місяців тому +1

    Anastahili kuombewatu

  • @user-hy8ce5ok8l
    @user-hy8ce5ok8l 8 місяців тому

    Acha ushamba,
    Umesoma kea mihemiko yako.
    Wenzio wamechaguliwa na Mungu.
    Wewe uliekua unasoma ili utuoneshe vyeti. Haitihusu hata injili unahubili kwa kujipendekeza.
    Wewe mwenyewe akili yako haijakaa sawa.
    Acha kunipendekeza dili na mwakipesile akupe vitu vinavyokufaa, dozi yako

  • @msanginaza905
    @msanginaza905 Рік тому +1

    Duuuuh mwakipwsile aombewe jamani .mbona Ezekiel anaongeee Kwa busara huyu mwaikipesile Mungu hayuko hivyo kabisa daaah aibu naona mjue

  • @LucyMgina-fo1bo
    @LucyMgina-fo1bo 11 місяців тому

    Hili kanisa nisingeweza kusali yaani madhabahu imegeuka sehemu ya kutukana watu duuuh watu wanapokuja kanisani kwa ibada wanahitaji kupoozwa na kutua mizigo ya mioyo yao kwa bwana lakini ndio wanabebeshwa mizigo duuuh mwakipesile geuka hii sio njia sawa

  • @user-zz1vv2qw2t
    @user-zz1vv2qw2t Рік тому

    Wampereke mirembe Hugo mwakipesile kichaaa mperekeni mirembe uyo kichaaa uyo achana nae yani anakela ana domo lefu

  • @godfreymasele8853
    @godfreymasele8853 Рік тому

    Mbarikiwa chizi karogwatena apelekwe mirembeee

  • @mugishomwenda4265
    @mugishomwenda4265 Рік тому

    Vyeti vya makuhani vilivyo musumbuwa Yesu

  • @ruzindazajonas8506
    @ruzindazajonas8506 Рік тому +1

    Mungu weee! Wakristo ni kama watoto wadogo, mtu kama huo ananena maneno kama hao madhabahuni, kweli wanamsikiliza na kushangiliwa! Muwe makina na mnaoasikia na kulishwa!

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 Рік тому

      Hamna DINI humo Sasa Mola Muumba anawaumbuwa, tukiwaabia Ukristo Si Dini sahihi, hutita Wadini na Mchafu tele hutuzushia Waislamu.
      Utasikia "Dini haimpeleki mtu Peponi" !!!
      Kwavile hawajui Nini maana/Tafsiri ya DINI, Kazi ya Dini sahihi, faidaza kuwa na Dini sahihi.

    • @melinaferuzi7842
      @melinaferuzi7842 Рік тому

      @@alhadajjmohammedsmith9042 uli ambiwa dini ita kupeleka mbinguni😂😂😂😂😂 pole sana Yesu alitajiwa katika korhani ila Muhamedi ajulikani ata ktk Biblia sasa sijui kama utaenda mbinguni ya nani na Yesu ndie njia na una ikataha njia tengeneza mausiano yako na Mungu wako wewe na usi yahangalie haya mahaba ahikuhusu

  • @prosperjuma905
    @prosperjuma905 10 місяців тому +2

    Mmoja anaongea kwa hekima. Mwingine anaropoka na kutusi. Afya ya akili ni tatizo kubwa.

  • @Elimunamalezi
    @Elimunamalezi Рік тому

    Sioni haja ya majibizano hayo,mbarikiwe unahubiri au unatukana watu.madhabahuni,shida ni nini mbona mnakosea.kila.siku why??hebu hubirini injili.ya kweli

  • @habibrwegoshora6624
    @habibrwegoshora6624 Рік тому

    TABIA ILIYOENEA TZ KUTUKANANA ,MAJIGAMBO, KUJIONA WW NI BORA ZAIDI YA WENGINE, KUJIONA HUNA DHAMBI YYT, LAKINI MWANADAMU HAKUNA MKAMILIFU HALI KWA SASA NI MBAYA SANA SANA NDUGU ZANGU WATANZANIA TUNAPOTEA KWA SASA

  • @sefaniaslyvestertv1498
    @sefaniaslyvestertv1498 Рік тому +1

    Hakika nimeamini shetani ana nguvu kama ameweza kumwangusha mbarikiwa 😢😢😢😢😢
    Mbarikiwa amekuwa lolimodo wangu katika wokovu but tangu afiwe na mwanawe amepotea kabisa