Kabisa huyu mwamba namkubali sana. Anaujasiri wa pekee ambao watumishi wengi sana hawana Laiti angekuwa na lugha inayoruhusu majadiliano angeubadilisha sana ukristo wa Leo.
Lugha Pekee ni WADHALIMU kuacha UDHALIMU WAO, Na Kuacha kuonea "WATU", Na kutetea wanao onewa; kama kule -NGORONGORO -LOLIONDO -MSOMERA. Na kumtetea kila Mtu anae onewa na Utawala wa KIDHALIMU.
Hubiri injili unachokifanya unachokifanya ni kuwahubiri watu,Injili ni habari njema wewe unahubiri kila siku kuwasema watumishi wa Mungu acha Mungu mwenyewe,sio kazi yako kuhukumu watendakazi wa Bwana ni kazi ya BWANA shamba.
NDIO INJILI ni HABARI NJEMA, kama kuna habari njema MAANA yake lazima pia tujulishwe mbaya ilikuwa ipi.. Sasa habari mbaya zinafanywa na watu na habari njema pia zinafanywa na watu, Sasa swali ni JE, utahubiri habari njema bila KUFAFANUA habari mbaya ni zipi, BABA YANGU MCH MBARIKIWA MWAKIPESILE SONGA MBELE BABA MAANA HATA MIMI ULINISAIDIA KUACHA DHAMBI YA UZINZI KWA NJIA HII HII, UISHI MILELE EEH MBARIKIWA..
always ukisema ukweli wapo wengi watakao kunyooshea kidole kwasababu ukweli unauma.msema ukweli sikuzote huchukiwa,ila kila mtu atavuna alchokipanda kadiri ya matendo yake
Hiyo kusema mchungaji mwema hutoa uhai wake kwaajili ya kondoo, Mchungaji mwenyewe ni Yesu na ameshautoa uhai wake kwaajili ya kondoo, kondoo hao na wewe ni miongoni mwao
1 Yohana 3 : 16 Katika hili tumelifahamu pendo, kwa kuwa yeye aliutoa uhai wake kwa ajili yetu; IMETUPASA NA SISI KUUTOA UHAI WETU KWA AJILI YA HAO NDUGU.
Mbarikiwa unahoja ila unakosea namana ya kufikisha hoja zako ndiko kwenye changamoto unatumia lugha ngumu mno ushauri wangu badili namna ya kufikisha hoja zako kwenye jamii
Hapana aina iyo ya uwasilishaji ndio upekee wake na uo ndio umbarikiwa wenyewe na zaidi sana ndio uliotuponya wengi na bado unaendelea kutuponya cku kw cku. Unaweza tu ukacha kumfuatilia kwa faida yko ama kw hasara yko ya kesho mpendwa.
Ally Omary, chukua hoja uifanyie kazi maana hata wewe na wengine wengi wanaojua kuwasilisha bado na WENYEWE HAKUNA WALICHOKIWAKILISHA ILI TUJIFUNZE.. hata hivyo hata Yohana mbatizaji alipomkemea Herode AACHE UZINZI bado ni kama ALIKOSEA kuwasilisha...? Haya Paulo aliwageukia wenzie katika UTUMISHI, yaani Kefa na Petro JE na yeye aliikosea Sana DINI YA DHULUMA...!!!😢 Haya mtumishi wa Mungu Stephano alipowakemea WAKOSAJI Kwa mahubiri yake mpaka wakampiga mawe nae alikuwa hajui kuwasilisha..!!?? Haya JE, Elia Nabii alikua akitafutwa na watawala wa KIPINDI kile ILI auwawe Kwa sababu ya KUPINGA DHULUMA JE, nae alikuwa hajui kuwasilisha..!!???😢😢 Haya tufanye biblia ni MATUKIO ya zamani mno, HEBU tujifunze Kwa wakosoaji wengine kama Martin Luther king Je nae alikuwa hajui kuwasilisha kiasi cha kuuwawa Kwa kumulika uovu kwenye kanisa lake..!!?? Yesu Kristo alipowakemea wakuu wa makuhani na mafarisayo na wengine wengi Kwa kutumia MANENO magumu zaidi ya MCH. MBARIKIWA ikiwemo KUWAITA WAKOSAJI Mbweha, shetani, nk bado Kwa tafakari yako nae ALIKOSEA kuwasilisha.. Sasa swali nani aliewahi kupatia kuwasilisha kiasi cha kuleta amani ya kweli na utu duniani..?
Ila sisi wanadamu wa kikazi hiki, kama tungekuwepo nyakati za Yesu, basi tungejikwaa kwa mengi sana, maana lugha zake zilikuwa tata sana, acha hizi za chungaji mbarikiwa za upole hizi.
Mungu akurehemu , Maana unatakiwa kuhubiri siyokufuatilia wahubiri wengine, Em kaa chini ufikirie mara nyingi kuongea kwingi ni kufa kiroho , fanyeni kazi ya Mungu kunawatu wanakufa dhambini nyinyi mnazidi kupandikiz chuki , maana wewe kupewe hela baada yakupata ajali vinahusiana nini na unafiki kaaaaaah Mungu aturehemu mnaharibu kazi ya Mungu acheni kujikuta wenye haki ,Mbarikiw na familia yako mnalia sana mitandaoni na kusema watu siyo vizur wala siyo Agizo la Mungu 😢
Hii ni Moja ya kuhubili ni unatakiwa kumsikiliza kwa umakini hapo kukemewa au kuonywa na mtu WA mungu ndo upendo WA pekee sana hukweli ukiambiwa unauma sana lakini ukilitendea kazi hayonmaonyo hakika utabaki salama
Bro acha tu, Yesu alisema nyakati za mwisho watakuwepo manabii wa uongo. Ulikuwa unabii na nilazima wawepo hata mtu atumie nguvu namna gani hao watakuwepo tu. Laiti nguvu hii ingetumika kufundisha usahihi wa Neno la Mungu, ingefaa zaidi. Ila Sasa watu ni wajuaji. Yaache magugu na ngano zikuwe pamoja ila mwisho yatatenganishwa, sijui hawasomi!!!
namkubri mchungaji mbarikiwa je yeye akikemewa ana kubaliana na kukemewa mana hakuna mwadamu ambaye hakemewi ushali wangu kwake ajifunze kukemewa na akubali kubadirika
Asingetokana na kufundishwa na kukemewa unahisi amefikaje hapo? Kwa hayo unayomkubari unahisi ametokea tu kuwa hivyo? Akubali kubadilika ili awe kama wewe?
@@Mbarikiwa_Mwakipesile nikweli kweli kabisa nakukubili lakini nilisikia ukisema muhubiri machachali wa t a g magembe hii ndio ilinishangaza hivi miaka ya huyu mzee kiwokovu hujamfikia tu kwa umliwako mtumishi unazaliwa yeye amesha okoka yuko kwenye wokovu sasa hata kama amekusea yeye kumunye nilazima utumi lugha nzuri ila siyo muhubiri machachali hivi hii imekavizuri inamana baba mzazi akikukosea huruhusiwi kutumia lugha nzuri? miaka 56 ya wokovu je? hafaikuwa baba wakimwlitu? achakiroho
Hiyo kusema mchungaji mwema hutoa uhai wake kwaajili ya kondoo, Mchungaji mwenyewe ni Yesu na ameshautoa uhai wake kwaajili ya kondoo, kondoo hao na wewe ni miongoni mwao
1 Yohana 3 : 16 Katika hili tumelifahamu pendo, kwa kuwa yeye aliutoa uhai wake kwa ajili yetu; IMETUPASA NA SISI KUUTOA UHAI WETU KWA AJILI YA HAO NDUGU.
Mungu akutunze , mtumishi wa bwana, ❤
Lugha za Yesu zilikuwa ngumu sana, sio hizi, zinazolalamikiwa soft kabisa, ila kwa sababu ni kizazi cha nyoka, twajikwaa sana.
Kabisa huyu mwamba namkubali sana. Anaujasiri wa pekee ambao watumishi wengi sana hawana Laiti angekuwa na lugha inayoruhusu majadiliano angeubadilisha sana ukristo wa Leo.
Lugha Pekee ni WADHALIMU kuacha UDHALIMU WAO, Na
Kuacha kuonea "WATU", Na kutetea wanao onewa; kama kule
-NGORONGORO
-LOLIONDO
-MSOMERA.
Na kumtetea kila Mtu anae onewa na Utawala wa KIDHALIMU.
kwel, kwa picha ninayoiona hapa, kwel nakubali kumekucha.
Dunia inahitaji sana watu kama hawa. Mwana mageuzi
Mapito ni Mengi katika kuelekea uso wa BWANA.
Hubiri injili unachokifanya unachokifanya ni kuwahubiri watu,Injili ni habari njema wewe unahubiri kila siku kuwasema watumishi wa Mungu acha Mungu mwenyewe,sio kazi yako kuhukumu watendakazi wa Bwana ni kazi ya BWANA shamba.
Wanao fungwa Gerezani wamehukumiwa na MUNGU au Mwanadamu?.
NDIO INJILI ni HABARI NJEMA, kama kuna habari njema MAANA yake lazima pia tujulishwe mbaya ilikuwa ipi.. Sasa habari mbaya zinafanywa na watu na habari njema pia zinafanywa na watu, Sasa swali ni JE, utahubiri habari njema bila KUFAFANUA habari mbaya ni zipi,
BABA YANGU MCH MBARIKIWA MWAKIPESILE SONGA MBELE BABA MAANA HATA MIMI ULINISAIDIA KUACHA DHAMBI YA UZINZI KWA NJIA HII HII, UISHI MILELE EEH MBARIKIWA..
Sure kabisa
Anaangalie madhaifu ya wenzie tu ummuseme yeye utaona wanavyo bwata na vibaraka wake
always ukisema ukweli wapo wengi watakao kunyooshea kidole kwasababu ukweli unauma.msema ukweli sikuzote huchukiwa,ila kila mtu atavuna alchokipanda kadiri ya matendo yake
Hiyo kusema mchungaji mwema hutoa uhai wake kwaajili ya kondoo, Mchungaji mwenyewe ni Yesu na ameshautoa uhai wake kwaajili ya kondoo, kondoo hao na wewe ni miongoni mwao
1 Yohana 3 : 16
Katika hili tumelifahamu pendo, kwa kuwa yeye aliutoa uhai wake kwa ajili yetu; IMETUPASA NA SISI KUUTOA UHAI WETU KWA AJILI YA HAO NDUGU.
❤❤❤
Mbarikiwa unahoja ila unakosea namana ya kufikisha hoja zako ndiko kwenye changamoto unatumia lugha ngumu mno ushauri wangu badili namna ya kufikisha hoja zako kwenye jamii
Hapana aina iyo ya uwasilishaji ndio upekee wake na uo ndio umbarikiwa wenyewe na zaidi sana ndio uliotuponya wengi na bado unaendelea kutuponya cku kw cku.
Unaweza tu ukacha kumfuatilia kwa faida yko ama kw hasara yko ya kesho mpendwa.
Ally Omary, chukua hoja uifanyie kazi maana hata wewe na wengine wengi wanaojua kuwasilisha bado na WENYEWE HAKUNA WALICHOKIWAKILISHA ILI TUJIFUNZE..
hata hivyo hata Yohana mbatizaji alipomkemea Herode AACHE UZINZI bado ni kama ALIKOSEA kuwasilisha...?
Haya Paulo aliwageukia wenzie katika UTUMISHI, yaani Kefa na Petro JE na yeye aliikosea Sana DINI YA DHULUMA...!!!😢
Haya mtumishi wa Mungu Stephano alipowakemea WAKOSAJI Kwa mahubiri yake mpaka wakampiga mawe nae alikuwa hajui kuwasilisha..!!??
Haya JE, Elia Nabii alikua akitafutwa na watawala wa KIPINDI kile ILI auwawe Kwa sababu ya KUPINGA DHULUMA JE, nae alikuwa hajui kuwasilisha..!!???😢😢
Haya tufanye biblia ni MATUKIO ya zamani mno, HEBU tujifunze Kwa wakosoaji wengine kama Martin Luther king Je nae alikuwa hajui kuwasilisha kiasi cha kuuwawa Kwa kumulika uovu kwenye kanisa lake..!!??
Yesu Kristo alipowakemea wakuu wa makuhani na mafarisayo na wengine wengi Kwa kutumia MANENO magumu zaidi ya MCH. MBARIKIWA ikiwemo KUWAITA WAKOSAJI Mbweha, shetani, nk bado Kwa tafakari yako nae ALIKOSEA kuwasilisha.. Sasa swali nani aliewahi kupatia kuwasilisha kiasi cha kuleta amani ya kweli na utu duniani..?
Ila sisi wanadamu wa kikazi hiki, kama tungekuwepo nyakati za Yesu, basi tungejikwaa kwa mengi sana, maana lugha zake zilikuwa tata sana, acha hizi za chungaji mbarikiwa za upole hizi.
Lugha ngumu hiyo ndo iliyokufanya uanze kumsikiliza na kuendelea kumsikiliza mpaka hapo ulipo sasa.
Mungu akurehemu , Maana unatakiwa kuhubiri siyokufuatilia wahubiri wengine, Em kaa chini ufikirie mara nyingi kuongea kwingi ni kufa kiroho , fanyeni kazi ya Mungu kunawatu wanakufa dhambini nyinyi mnazidi kupandikiz chuki , maana wewe kupewe hela baada yakupata ajali vinahusiana nini na unafiki kaaaaaah Mungu aturehemu mnaharibu kazi ya Mungu acheni kujikuta wenye haki ,Mbarikiw na familia yako mnalia sana mitandaoni na kusema watu siyo vizur wala siyo Agizo la Mungu 😢
Hapa Inahubiriwa INJILI ya KRISTO YESU. Watu kuacha UDHALIMU Na kuacha Kutesa na kuonea watu bila Sababu.
Watu wanakufa dhambini ila wewe na hao watumishi wenzako ni wakamilifu? Hamna dhambi? Hamfii dhambini?
Hii ni Moja ya kuhubili ni unatakiwa kumsikiliza kwa umakini hapo kukemewa au kuonywa na mtu WA mungu ndo upendo WA pekee sana hukweli ukiambiwa unauma sana lakini ukilitendea kazi hayonmaonyo hakika utabaki salama
Bro acha tu, Yesu alisema nyakati za mwisho watakuwepo manabii wa uongo. Ulikuwa unabii na nilazima wawepo hata mtu atumie nguvu namna gani hao watakuwepo tu. Laiti nguvu hii ingetumika kufundisha usahihi wa Neno la Mungu, ingefaa zaidi. Ila Sasa watu ni wajuaji. Yaache magugu na ngano zikuwe pamoja ila mwisho yatatenganishwa, sijui hawasomi!!!
namkubri mchungaji mbarikiwa je yeye akikemewa ana kubaliana na kukemewa mana hakuna mwadamu ambaye hakemewi ushali wangu kwake ajifunze kukemewa na akubali kubadirika
Asingetokana na kufundishwa na kukemewa unahisi amefikaje hapo? Kwa hayo unayomkubari unahisi ametokea tu kuwa hivyo? Akubali kubadilika ili awe kama wewe?
@@Mbarikiwa_Mwakipesile
nikweli kweli kabisa nakukubili lakini nilisikia ukisema muhubiri
machachali wa t a g magembe hii ndio ilinishangaza hivi miaka ya huyu mzee kiwokovu hujamfikia tu kwa umliwako mtumishi unazaliwa yeye amesha okoka yuko kwenye wokovu sasa hata kama amekusea yeye kumunye nilazima utumi lugha nzuri ila siyo muhubiri machachali
hivi hii imekavizuri inamana baba mzazi akikukosea huruhusiwi kutumia lugha nzuri? miaka 56 ya wokovu je? hafaikuwa baba wakimwlitu? achakiroho
Thanks
@@kenedyjoseph1044 machachari kwa lugha nyingine ni mtu anayefanya kwa bidii. Au kwa kutaka anachokifanya kizae matokeo sawa na jitihada zake.
Mchungaji mbarikiwa mm nataka kuwa kama ww naitwa victor naishi mbezi dar es salaam nifanyaje maana Kila nikijitahidi najikuta naanguka kweny dhambi
Penda kuwa kama Yesu na siyo mbarikiwa
Usimkaripie mpumbavu asije akakuchukia. Je haukusoma kwenye methali
Hiyo kusema mchungaji mwema hutoa uhai wake kwaajili ya kondoo, Mchungaji mwenyewe ni Yesu na ameshautoa uhai wake kwaajili ya kondoo, kondoo hao na wewe ni miongoni mwao
1 Yohana 3 : 16
Katika hili tumelifahamu pendo, kwa kuwa yeye aliutoa uhai wake kwa ajili yetu; IMETUPASA NA SISI KUUTOA UHAI WETU KWA AJILI YA HAO NDUGU.
@@Mbarikiwa_Mwakipesile hajamaanisha kuutoa uhai wa kuwafilia ndugu yangu!
@@AdorophinapKahwa ila kuwafilia panya?
@@Mbarikiwa_Mwakipesile pole sana