SPORTS HQ: DUBE ANATUA YANGA MZIZE ANAENDA AZAM FC | AZAM WATUMA OFA YA MABADILISHANO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 кві 2024
  • Kwenye dili hili nani ananufaika zaidi? Yanga SC au Azam FC? Tuandikie hapa mtazamo wako
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 8

  • @mazengojohn2090
    @mazengojohn2090 2 місяці тому

    Mzize mnzur kuliko dube

  • @user-ox2mt4ns7o
    @user-ox2mt4ns7o 2 місяці тому

    Exchange ya Mzize na Dube biashara hiyo haipo ni siasa ya kimchezo.Yanga haiwezi kukubali biashara hiyo.Yanga na Azam wanajuana na hata kinachoendelea.Ni njia ya kuwatoa mchezoni wananchi

  • @ibrahimzacharia7273
    @ibrahimzacharia7273 2 місяці тому +2

    Chonde chonde yanga wasifanye huo ujinga wa kumuachia mzize ni kijana mdogo ambaye ana makubwa sn yajayo kwa mzize yanafurahisha ujinga huo usifanyike Dube aje lkn mzize abaki hapo hapo yanga mtakuja kukumbuka maneno yangu

  • @lingwamalagila3003
    @lingwamalagila3003 2 місяці тому

    Hawezi kwenda wakati kikosi cha kwanza cha timu bora ni mojawapo aende kujitafuta Hawataweza wala ofa hiyo kwa umri wake asiwahi Kama ana umri wa Fei toto aende maana Fei ni ndoto kwenda sasa nje ya Nchi

  • @SHABANIMALIMA
    @SHABANIMALIMA 2 місяці тому

    😁😁😁😁 Hata kwa Yanga ilikuwa hivi hivi Kipindi cha sakata la Feisal Salum Kuondoka Yanga kwenda Azam mwenye kumbukumbu atakumbuka Yanga walituma offer kwa Azam wakimtaka James Akaminko na Kipre Junior 😁😁 hiyo issue iliishia wapi

  • @mazengojohn2090
    @mazengojohn2090 2 місяці тому

    Mbona taarifa za simba hamna kutwa yanga kina kibu hawahusishwi au hawana soko

  • @selemanmcharazo
    @selemanmcharazo 2 місяці тому

    Mnapigia debe Simba na Azam wapuuzi nyie ndo maana muda mwingi mnaikandia yanga.

  • @yunusimchala6569
    @yunusimchala6569 2 місяці тому

    Dube amevunja mkataba na azam sio mchezaji wa Azam why wabadliishane? Hao ni wachanbuzi makuma mchambuzi bongo ni miraji tu