Inonga kawaida yake kupigisha short,kwao anacheza,lkn simba anuza,timu,
Mangungu mpe kaz wewe ni ndugu yko
Bravo
Umeongea kiufundi muda wote nimekusikiliza na kuheshimu mawazo yako but kwenye Ahly kuwa unga la hasha I don't buy it
Mwamba Justin unajua sana mpaka unazidisha utamu
Good job mr!
Hivi timu yetu zanzibar inaendaga kufanya nini
Inaonekana unawapigia deme waondoke
Kote umesema Vizuri Kasoro Kwenye Ahlly ungaunga hapo na Kumuacha Mangungu umedanganya
Wewe jamaa unachanganya sana hata hueleweki
😂😂
Uyo analopoka tu
Wewe siumesema huoni yanga kumfunga simba wewe acha ugnga broo
Aseeee just umetisha sana