IRAN YAANZA KULIPA KISASI DHIDI YA ISRAEL, KHAMENEI ASEMA DAMU KWA DAMU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 79

  • @hamzamasoud9120
    @hamzamasoud9120 Місяць тому +12

    Huyu mtangazaji na Mchambuzi Mungu awabariki mko vizuri sanaaa

  • @FaizaJeizan-q5d
    @FaizaJeizan-q5d Місяць тому +8

    Inshallah Allah wasaidie iran

  • @msukumamnywamaziwa2785
    @msukumamnywamaziwa2785 Місяць тому +6

    ❤❤❤❤🎉🎉Safi sanaaaa, Iran na mikakati yake.

  • @zawadimpayo3839
    @zawadimpayo3839 Місяць тому +6

    Ngoja tuone mwisho wavita ya mashariki yakati

  • @meckmussa1840
    @meckmussa1840 22 дні тому +1

    Watapigwa kama kuku hao IRAN

  • @edithamassati5874
    @edithamassati5874 Місяць тому +2

    Nakukubari Baruwani Mhuza.

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 Місяць тому +1

    Ruhby uko vizuri sana kw kweli❤❤❤

  • @MohammedBwanga
    @MohammedBwanga Місяць тому +1

    Nakukubali kiaka unatisha hupepesi unanyooka vizuri sn

  • @SalumSalim-ss5me
    @SalumSalim-ss5me Місяць тому +1

    Mkn mko njema

  • @MfiriFulgensi
    @MfiriFulgensi Місяць тому +3

    Irani inabaki is kukupa kisas kwasababu amepigiwa ndani ya ardhi yake

  • @FaizaJeizan-q5d
    @FaizaJeizan-q5d Місяць тому +2

    Mungu awape nguvu awauwe wote hao ni laana wakubwa

  • @yunusothmannofel244
    @yunusothmannofel244 Місяць тому +3

    Iran wamemuua haniye

    • @MfiriFulgensi
      @MfiriFulgensi Місяць тому

      Sii kweli ni lawama na izraeli na marekani

    • @MfiriFulgensi
      @MfiriFulgensi Місяць тому

      Unasema wa izraeli na palestina hawezi kuisha ipo mioyoni kwa vijana walionusurika ambao mama na baba zao waliuliwa kikatili pamoja na nduguzao na kuharibiwa kwa mali na maisha yao

  • @bhaijanali5092
    @bhaijanali5092 Місяць тому +5

    Hamas wameanza kulipa kisasi wanajeshi 21 wa Israel wamelamba mchanga

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 Місяць тому +1

    Waongo

  • @angelsulle7177
    @angelsulle7177 Місяць тому

    Israeli Mungu atawalinda kuweni na Amani Waana wa Mungu Dunia inawaombea❤❤❤

    • @HammyJey
      @HammyJey Місяць тому

      Wenzako washajazana airport huko wanatafuta ndege za kusepa mbele wanusurike kifo ww muafrica unaleta drama 😅

  • @FaizaJeizan-q5d
    @FaizaJeizan-q5d Місяць тому +3

    Hamas haina nguvu ingemaliza hao maizalrail wa mchongo

  • @Fardadihd
    @Fardadihd Місяць тому +3

    AWADH HEMU NIUNGE KATIKA GROUP LA WHATSAP

  • @user-jf7is4fk2v
    @user-jf7is4fk2v Місяць тому +2

    iran ni mnafiki namba moja na ndie aliyemuuwa ismael haniyeh

    • @salimfaraj5509
      @salimfaraj5509 Місяць тому

      Nikweli inakuwaje auuliwe ndani ya Iran na kwanini asiuliwe kiongozi wa Iran

    • @KibwanaSimba
      @KibwanaSimba Місяць тому

      mm nakuunga mkono kiongozi iran ni mnaafiki sana na huyu kamuua yeye anajaribu kudanga watu kua atalipiza kisas lakini sio kweli ni mnaafik tu

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 Місяць тому +1

    Wanalipuliwa Kila siku

  • @user-gr9wc7bc2m
    @user-gr9wc7bc2m Місяць тому

    Hakuna mwarabu atasimama mbele ya israeli watabigwa hadi wawe watumwa

  • @edithamassati5874
    @edithamassati5874 Місяць тому +3

    Israel ni noma jamani hata Bible hamsomi? They Shall rise like the lion of Judah

    • @paschaljuma3312
      @paschaljuma3312 Місяць тому

      Noma kwa wajinga wachache kama wewe

    • @jofreykilangila4118
      @jofreykilangila4118 Місяць тому

      Izlaeli ya MUNGU ililindwa na MUNGU mwenyewe. Sio ya Leo inalindwa kwa mabomu

    • @user-mi3cs9lc6y
      @user-mi3cs9lc6y Місяць тому

      Hujielewi

    • @SwedyMohamed-vt5zm
      @SwedyMohamed-vt5zm Місяць тому

      Israel bila Marekani hamna kitu. Israel wa Sasa ni Mashoga ni mailluminant.Israel wa Sasa ni zao la Zionism ideology ni mashetani wanabebwa na christian Zionists.

    • @dicksonmbuta6700
      @dicksonmbuta6700 Місяць тому

      @@jofreykilangila4118 UPEO WAKO MDODO MNOO

  • @MfiriFulgensi
    @MfiriFulgensi Місяць тому +1

    Izraele anaweza tu kuimaliza hii vita kwa makubaliano na kuyaheshimu hayo makubaliano kwamaana sikuzote izraeli ndie wakwanza kuvunja mikataba ya makubaliano kwa kuwakandamiza wenzao

  • @ramadhanhassan5285
    @ramadhanhassan5285 Місяць тому +1

    Waarabu unganeni muwe kitu kimoja mpige hao maadui

  • @rajababrahman4365
    @rajababrahman4365 Місяць тому +1

    Israeli is trongr
    Kuishinda Israeli ni saw na kubomoa mlima Kilimanjaro

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 Місяць тому

      Namuona wako hawajaingia kwenye vita , kamili , Israël wameshindwa kwenye mapambano, ndomana wanauwa viongozi wajuu wahamasi , ilikuaminisha dunia kua wananguvu zaidi lakini sikweli 😂😂😂😂😂

    • @nizarrama225
      @nizarrama225 Місяць тому

      Sahihi kabisa, kama wananguvu mbona wameshindwa kuwakomboa wao 😂​@@uwimana6533

    • @user-xc6ls9xn8h
      @user-xc6ls9xn8h Місяць тому +1

      Hakuna kuwonewa karne hii ww huelewi dunia inaendaje

    • @user-mi3cs9lc6y
      @user-mi3cs9lc6y Місяць тому

      Isreel waoga hawana lolote Kama wananguvu kwanini wanavizia

  • @LeodegardRutakyamirwa-hg9hu
    @LeodegardRutakyamirwa-hg9hu Місяць тому

    HUO ni ugomvi hautakwisha

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 Місяць тому +1

    Acha Israeli iwa uwe wote

  • @georgeurembo4553
    @georgeurembo4553 Місяць тому

    Israel hawafai wanaweza kumuua ht huyu rais mpya wa iran

  • @FridayMwassa
    @FridayMwassa Місяць тому

    Nchi nyingi za kiislamu hazina wanasayansi kama wayahudi

    • @YustoMlay-cv4zb
      @YustoMlay-cv4zb Місяць тому

      Iran ,saudia na UAE na Russia hao wote wanawatumia sana wanasayansi WA Israel.

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 Місяць тому +1

    Iran zaif

  • @FaizaJeizan-q5d
    @FaizaJeizan-q5d Місяць тому +2

    Ndio kisasi cha kinafki alicho lipa huyo iran

    • @AliNassor-qt6fm
      @AliNassor-qt6fm Місяць тому +1

      Niko pamoja na ww ni unafiki tu wa Iran

  • @samwelmushi6162
    @samwelmushi6162 Місяць тому +1

    Kila siku mnasema Israel haiko peke yake tangu enzi za mabbaba zenu hapo kipigo tu na kamwe hamuwezi

    • @ramadhanjuma610
      @ramadhanjuma610 Місяць тому

      Ndo ume ongea nn sasa ww bubuja ujui Israel Israel ina ishi kwa misaada yawa shilika wake unacho pinga nn

  • @deusNjimba
    @deusNjimba Місяць тому

    ANAE TAFUTWA. NI IRAN. NA. AMESHA. INGIA. KWENYE. MTEGO. KAMA. SADAM

  • @vitusjackson1354
    @vitusjackson1354 Місяць тому +1

    Niunge na Mimi jaman

  • @fistonmakasi3803
    @fistonmakasi3803 Місяць тому

    Iran ina feli wadau

  • @HeboniBabu
    @HeboniBabu Місяць тому

    Wanao changia wote niwatoto

  • @KenedyThabiti
    @KenedyThabiti Місяць тому

    Irani imefika mwisho wake ngoja wajichanganye

  • @abdulswamadabdallashee5802
    @abdulswamadabdallashee5802 Місяць тому +1

    Israel NI watu waoga ndio maana wanauwa viogozi kma wagekua NI mashujaa wasingeua viogozi

  • @salimabdallah5176
    @salimabdallah5176 Місяць тому

    Hakuna Israel 🇮🇱 ni DUNIA Hamas inapigana DUNIA Israel wapo na dunia Hamas wapo MUNGU....

  • @zakariaabdalla-uo3nk
    @zakariaabdalla-uo3nk Місяць тому

    Wamarekan wanfki tu hawana kuzuia

  • @AliNassor-qt6fm
    @AliNassor-qt6fm Місяць тому

    Naomba niunge na group lako Awadh

    • @user-xc6ls9xn8h
      @user-xc6ls9xn8h Місяць тому

      Siyo Iran huyo aliyemuua Ismail haneyh ni mmarekani sema anamsukumia Izrael ndyo anawonekana muuaji

  • @AllaudinMeghji
    @AllaudinMeghji Місяць тому

    Huyu jamaa wa kulia anatafsiri Sauti ya serter wa golden boy.

  • @salimabdallah5176
    @salimabdallah5176 Місяць тому

    Kwa nini dunia ipigane .na mgambo 150 mwaka sasa

  • @zumemooha6504
    @zumemooha6504 Місяць тому

    Iran Hana kisasi ni mnafiki km msoudia

  • @LastdayJesu4153
    @LastdayJesu4153 Місяць тому

    Hahahaha Kiongozi wa Iran tunasubiri nayeye apewe kitu hawa jamaa wayaudi siyo wakukebei😅

  • @user-gr9wc7bc2m
    @user-gr9wc7bc2m Місяць тому

    Wewe dogo unaechambua huvijui vile vita ni vya zamani sana hata kabla hujazaliwa atakaekuja kuamua ni Yesu kwanza waislam mlijenga msikiti wenu palipokuwa na hekalu la wayahudi wenzenu wanawasubiri tu mkianzza vita mnafukuzwa wote hapo akina yasela ararat wamefurukuta wapi

  • @ebengapierre8826
    @ebengapierre8826 Місяць тому

    Ukianza kuhuwa viongozi inahonyesha unashindwa vita izraeli akuna nguvu 😂😂😂😂

  • @AbdallahYusuf-b8l
    @AbdallahYusuf-b8l Місяць тому

    .

  • @CharafimalisalimoAli-qw3hk
    @CharafimalisalimoAli-qw3hk Місяць тому

    HAMAAS WANASEMA WASHAANZA KULIPA KISASI. WANAJESHI 21 WA IZRAELI WASHALAMBA MCHANGA SAIZ😂😂😂.

  • @salimabdallah5176
    @salimabdallah5176 Місяць тому

    Sasa super power ni YEMEN 🇾🇪 hata. Mrusi na China Korea Hawawezi kuipiga manuwari ya marekani YEMEN 🇾🇪 kuipiga....

  • @michaelmillinga5064
    @michaelmillinga5064 Місяць тому

    Very biased comments from analyst

  • @ibrahimabdullah1887
    @ibrahimabdullah1887 Місяць тому

    Namimi naomba group la whatsapp