Fanya haya kwa bibi kuendelee kuwa mdogo,usiachike.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 194

  • @cessianthony2644
    @cessianthony2644 4 роки тому +159

    Tulioanza kuscroll comments kabla ya kuangalia video tujuenae

  • @xkingx8041
    @xkingx8041 4 роки тому +57

    Nime umbwa mwanamke!! Kuzaa ni baraak za mwenyezi Mungu!!! Ivi hivi nilivyo ,, najipenda na najiaami saaaaaaaaaana. Wanawake tuachane na mambo ya dunia.

  • @annakattoa7502
    @annakattoa7502 4 роки тому +55

    Shetani yuko kazini, mpaka Mungu akaruhusu mwanamke kuzaaa alijua nn anafanya, Ila sbb tunamiungu yetu vichwani tunaugua vichaa vya kumtumikia mwanadamu lazima tutalipa garama. tunaugua vichaaa vya ngono kuhangaika kumridhisha mwanaume ambae hata kwenye umri wa miaka 20 alikuwa anakucheat bila sbb hio, PROBLEM NIKWAMBA WANAWAKE TUNA INFERIORITY. love yoself jiamini, kula healthy fanya maxoezi natural period

    • @thexoshowtira
      @thexoshowtira  4 роки тому +1

      Uko sahihi kabisa

    • @catenzeki678
      @catenzeki678 4 роки тому +5

      @Anna kattoa kweli kbisa.Siri ipo katika kujipenda na kujijali ila sio kufanya kitu kikudhuru kisa unataka umfurahishe mumeo

    • @annakattoa7502
      @annakattoa7502 4 роки тому +2

      Wanawake ni jeshi kubwa ndio maana Dunia ipo busy kuhakikisha vita ya wenye kwa wenyewe haiishi, unatengenezewa kichaa ili ujiue mwenyewe kwisha positivity ije kwenye artificial na negative kwenye reality. Kwamba Mwanamke anaetakiwa kujiamini niyule ambae mwanadamu kafanikisha kumuunda tena kwa sayansi hahahahaha Devil is busy

    • @rosesamwelitenga4648
      @rosesamwelitenga4648 4 роки тому

      Asante kwa ushauri ...sitafanya upuuz kujiwekea makolokolo katk nyuchi yangu

    • @liliansikazwe7444
      @liliansikazwe7444 4 роки тому +3

      mm mwenyew mazoez yamenisaidia sana nipo tight na nina watoto wawili na mme wang ananishangaa......kuhus wanaum hata akioa bikra bado atachepuka tu....

  • @happymahega2000
    @happymahega2000 4 роки тому +12

    Nampenda huyu dokta jaman his personality, so humble, down to earth , barikiwa sana dokta Isaack

  • @marymwacha995
    @marymwacha995 3 роки тому +9

    Dr. Isack huwa uko vzr kaka, nakuelewa kupitia njia Panda you're good Dr kaka,God bless you. Hafu hao wanawake wanaoangaika kuwa na maku ndogo ktk uhalisia haiwezekani. Tofuti na hapo basis wasizae au wakae ivoivo bila kuzaa au kukutana na mwanaume kama kweli, maana hawezekani umeshakuwa MTU mzima hutaki kubaliana na matokeo unataka kujirudisha utotoni kwanini usiukubali uhalisia? Eti maku ndogo basi usizae na uitunze K yako bila kutanana na mwanaume ili uendelee kuwa nayo ndogo. Na ndio maana mnapata Fungal infections, PID, cervical cancer etc.

  • @catenzeki678
    @catenzeki678 4 роки тому +15

    Nmependa ushauri wa Dr kwamba kitu chochote ambacho hakijafanyiwa utafiti kwa maabara lazima kiwe na madhara.Tahadhari kwetu kina wanawake

  • @junaithammahad3844
    @junaithammahad3844 3 роки тому +18

    Niliwahi tumia iyo shabu once. Uke ulikuwa mdogo but unakuwa uke kama unaukakasi yani akuna raha yyt. Na baada ya mda unahisi muwasho flan. Kiukwel sishauri mtu atumie ni mbaya sana nashukuru mungu nilijitambua kwanzia apo nikaona ni upumbavu sikurudia tena. Kiukwel ni vizur sana kujikubali

    • @user-us6ze8bz3u
      @user-us6ze8bz3u Рік тому +2

      Ni kweli kbsaa dada..baadae unapofanya makamuzi Na wako WA halali duuuh inakua taabu balaa..hio kitu Ina speed Kali ya kukausha umbile la kike..pia nahisi kama Ina madhara flani HV.

    • @jenniferkalinga736
      @jenniferkalinga736 Рік тому

      Nimesoma comment zote ila yako imenifurahisha 🤣nimekumbuka rafiki yang ashawahi kutumia shabu

    • @ramadhanimfaume2168
      @ramadhanimfaume2168 8 місяців тому +1

      Emungu tuepusha wanasema hat kokwa za embe likely ndan unaanik likikauka unasag ungaunga wak unaweka kwenye maj ya uvuguvug kisha unamaw kutwa mal tatu kijik cha chakul jamn

  • @rehemaathuman6669
    @rehemaathuman6669 2 роки тому +11

    Mwanamke anaeangaika kwa na vitu vya ajabu masikini ili mladi tuu amfuraishe mwanaume amuone Bora alafu mwisho siku Wala sio wako uyo ataenda kwa mtu ambae ata ahangaiki ,,anaejikunali ,,na kujiamini ,,,,,,duuu inatia uluma ila mungu azidi kutupigania VIUMBE vyake tunaohangaika na maisha ya kupendwa na kujipendekeza ,,,mwisho siku safari ni moja tuu

  • @maryamkhatau9445
    @maryamkhatau9445 4 роки тому +11

    Maumbile ya mwanamke kadri anavyokuwa ndivyo kunavyozidi kutanuka kikubwa tukubali maumbile na asili yetu tuloumbwa nayo Allah atuongoze

  • @balangdalaluamb6540
    @balangdalaluamb6540 4 роки тому +13

    Sintohainga na chchote ntabak na uhalisia wangu Mungu alikuwa na sbbu na ndo maana alituumba kwa kusud maalum

    • @hopelikaka71
      @hopelikaka71 11 місяців тому +1

      Mbona unanyoa nywele kwapani na sehemu za Siri usimuache mungi

  • @zamamuuhamisi6654
    @zamamuuhamisi6654 4 роки тому +7

    Wooh nmefurahi kukuona Dr issac nkusikiaga tu kwenye njia panda penda sana ww

  • @mariamm2724
    @mariamm2724 4 роки тому +5

    Mimi huwa siamin kbs hbr za eti ukijifungua njia huwa regevu ni uwongo ulienda shule , mungu muachen aitwe mungu , kwa uumbaji alio mjaalia mwanamke, amin hata uzae mala 5 , yaan wewe upo fiti tu .

    • @aminakipande5645
      @aminakipande5645 3 роки тому

      Kabisa mamii kuhangaikia hawa viumbe nikujishosha nakumkufuru mungu tu

    • @sarahyuzo5947
      @sarahyuzo5947 2 роки тому

      Asanteee😘

  • @hasnaabduly4945
    @hasnaabduly4945 4 роки тому +9

    Dr anaonekana mpole jamanii😍😍😍😍

  • @officialcarolyne2985
    @officialcarolyne2985 4 роки тому +10

    Mmmm 🤔 huyu Dr, amesoma wacha tuuuu

  • @lukullikiwamba6494
    @lukullikiwamba6494 3 роки тому +9

    Chakula na usafi Ndio kitu muhimu zaidi.... ayo mambo mengine ninhatari sana

  • @desirenkuba4920
    @desirenkuba4920 4 роки тому +5

    Yes, it's psychological. Watu wote ni tofauti. Ila wadada acheni panics.
    In general, wanawake wembamba ni wapana na deep kuzidi wale wanene.
    Ila problem is more psychologically.

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 5 місяців тому

    DU NAMSHUKURU MUNGU KWA JINSI ALIVYONIUMBAAA ,SHOUT OUT TO MY LORD 🎉🎉

  • @pendomgeni6084
    @pendomgeni6084 4 роки тому +3

    Asante sana doctor pamoja na dada tira

  • @angelsis6508
    @angelsis6508 4 роки тому +8

    Dr Issac mzuri jamani

  • @alh2875
    @alh2875 4 роки тому +10

    Kwel dkt upo vzr mm nimezaa watto watatu nasitumii kitu ila niko vzr

    • @magrethshakinenge5024
      @magrethshakinenge5024 4 роки тому

      Ttz wanawake wanahangaika sana

    • @radhiambwana8787
      @radhiambwana8787 3 роки тому

      @@magrethshakinenge5024 wanatafuta matatizo kwalzm ujuwe ukita kuwa namaumbile mazr nikazi ndogo tu lkn hawajui kwavile wameweka uzungu mbele.

    • @marysdiosa8764
      @marysdiosa8764 3 роки тому

      @@radhiambwana8787 nieleweshe my dear

    • @malikihassani1185
      @malikihassani1185 3 роки тому

      @@radhiambwana8787 tueleweshe

    • @allykafirihittu9261
      @allykafirihittu9261 2 роки тому

      @@radhiambwana8787 inakuwaje

  • @julkakbar2290
    @julkakbar2290 4 роки тому +2

    nakupenda tira,,,, ila wnaume zetu hawa hua wanamaneno makali na mneno yenye kumktisha mwanmke tamaa kikubwa ni kusimama na mungu kwani wtt ambao unajifungua Leo ndio ambao watako hangaika na wewe baadae ila mwnume sio mwnao,
    kwahyo kikubwa ni kusimama na mungu tu tusipoangalia wanawake wengi tutaumia na kuzidi umia

  • @aishasaid5702
    @aishasaid5702 4 роки тому +6

    Nyinyi wanaume ndo mnapelekea wanawake kufanya hayo mnatuacha mwanamke akizaa tuu mnamuona hana thamani mnasema kashatanuka

  • @rosehaule220
    @rosehaule220 4 роки тому +6

    Jiamini.mwanamke hayo ni.matusi tu ya wqnaume hili.kukukosesha amani lakini tusi lake lisikuathini ukajiona una kasoro akunaga

    • @julkakbar2290
      @julkakbar2290 4 роки тому

      kweli kbsa wanaume hua wanmaneno mbaya sana

  • @DafrosapusNgomb
    @DafrosapusNgomb 13 днів тому

    Hongera doctor kwa ushaur mzur

  • @zainabuliza2664
    @zainabuliza2664 Рік тому +2

    Yote hayo ni kwaajili tu yakumridhisha mwanaume acheni kujichosha wanawake utatia vyakutia huko ukeni lkn mwenzio akishamiliza hafikirii tena hicho ulichompa na hata akifikiria ucdhani kua hatoenda kwengine ataenda na kuenda tena na sio kwa mtu mmoja bali ni kwa wanawake tofauti tofauti hivyo ndivyo wanaume walivyo mpaka kiama kitafika na kitawakuta wakiwa hivyo. Unatakiwa kujiamini na kujikubali jinsi ulivyo ugonjwa wa kutokujiamin ni mbaya sana
    Unakuta mtu mweuc hajiamini jinc alivyo anaamua kujichubua anakuwa mweupe lkn ngozi ikishachoka anakua mwekundu na anatisha
    Jamani hebu tuacheni haya mambo uke hauhitaji viungo zaid ya kuusafisha vzr kwa maji masafi tu
    Kwanza huyo anaeingia humo ukeni hana ulimi Wala hana muda wakuonja hiyo radha ya hivyo viungo akiingia kaingia na akitoka katoka kainama ukimuuliza hasemi sasa nani kasema umuwekee vyakula humo??? Hivi kwann mtu unajitoa sadaka namna hiyo??? Kah!

  • @gloryandrew8526
    @gloryandrew8526 4 роки тому +7

    Asante kwa somo

  • @nadiaahishakiye8170
    @nadiaahishakiye8170 Рік тому

    Dr isaak ast 🙏kwafunz.Allah akulip kilalaher 🤲,nilikua nimekat tam kuhus ukee kutanuk wakat yakuza nyum yakuz huw unatanuka😔il ww umewez kunifafanulia vizur😊🙏

  • @rithamsacky4655
    @rithamsacky4655 4 роки тому +26

    Jaman wanawake tunahaingaika kwa kila kitu sio nywele sio rangi mungu tusaidiee.....

    • @csato9415
      @csato9415 4 роки тому +5

      @Ritha Msacky ni shida kubwa sana kutojikubali tunabadili nywele, rangi, kucha , kope na hii kubwa kuliko eti utumie shabu (Alum) kubana uke ni kujitafutia kansa siku zijazo.

    • @catenzeki678
      @catenzeki678 4 роки тому +2

      @C Sato kweli kbisa.Sasa uangalie utumie kitu umfurahishe mume wako cku chache lkni baadae upate ugonjwa ata ufe umuache mumeo

    • @mythamaleektv2801
      @mythamaleektv2801 4 роки тому +1

      Yaani tunajiua kufurahisha wanaume

    • @mariaamuri9627
      @mariaamuri9627 4 роки тому +1

      Atusamehe

    • @samuelpamelo7128
      @samuelpamelo7128 4 роки тому

      Acha ivo ivo nayo maji na ute ute ku mlimaji mzuri ni vyashara

  • @khdijaahmed8458
    @khdijaahmed8458 4 роки тому +6

    Kaka upo vzuri san hongera san bor ❤❤❤🔥👌

    • @deboraelias1862
      @deboraelias1862 4 роки тому +1

      kweli docta uko vizuri sana kwenye majibu kama hiyo shabu

    • @vaidoto9683
      @vaidoto9683 4 роки тому +1

      Khdija Ahmed ummependeza

  • @charlesmlonda622
    @charlesmlonda622 Місяць тому

    Wanawake wengi wanatawaliwa na group kila mmoja anakwambia lakwake mm miaka yote natumia kuywa maji mengi sana na maumbile yangu yapo salama nasijawai kuumwa uti wala fangasi kuywa maji mengi mwanamke wlau lita tatu kwa siku adi 5 kisha ukiga jitaidi kjikausha maji sehem zako au ukitoka kkojoa ukinawa kausha uke wako kwa taulo safi uwezi ingia ktk changamoto

  • @maivoneivone5417
    @maivoneivone5417 4 роки тому +9

    Ila kama mme wako anakupenda hatojali hayo ila kwa sababu ni kizazi cha zinaa ndiyomaana mnaweka mpaka viungo vya mboga , mashabu ni hatari kama ipo ipo tu

  • @vailethywalter5674
    @vailethywalter5674 4 роки тому +6

    ahasante dr.

  • @user-zg1hd6no9v
    @user-zg1hd6no9v День тому

    Jamaa mpole sana....

  • @upendodaudi5302
    @upendodaudi5302 4 місяці тому

    Ila wanaume bwana...wengine.wanapenda kubwa aa wengine ndogoooo😅😅😅

  • @user-tw7xc7tc1s
    @user-tw7xc7tc1s 4 місяці тому

    Nakupenda sana doctor aizack

  • @cindymacho5282
    @cindymacho5282 4 роки тому +3

    wanawake wafunga hilizi na mafundo ya kiganga na uchawi na kuwakabidhi mabinti zenu kwa mashetani jehanamu inawasubiri. Pia wanawake wasio na utii na nidhamu ya kumuogopa Mungu

  • @rosentikha1572
    @rosentikha1572 Рік тому

    Nimeipenda hii..je vipi kuusu mazoezi ya kegle

  • @greenermichael2057
    @greenermichael2057 Рік тому

    Dr Isaack nakupenda mno na mwanao anavokufanana had nywele you are so muaaah bro I like the way you are

  • @subiraomar4771
    @subiraomar4771 4 роки тому +3

    Asanteni sana kwa darasa

  • @saidamiraji4077
    @saidamiraji4077 2 роки тому +2

    We umesha zaa na unafaham fika kua ukisha zaa maumbile yanabadilika ss unatumiaje vit vya ajab uyu mwanaume Kam atatak kukuach et kwa sabb ya uke mpan mwach aenda tu atabadilisha wanawak mpaka

  • @user-ys8dv3rk9l
    @user-ys8dv3rk9l 7 місяців тому

    kuna watu wanatumia mpka alovera nimecheka sana 😂😂

  • @MilembeZacharia-mb6jy
    @MilembeZacharia-mb6jy 9 місяців тому

    Asante kwa somo zuri

  • @annakattoa7502
    @annakattoa7502 4 роки тому +8

    Wanawake tunaangamia kwakukosa maarifa, now unazaa kwa uchungu na bado tunaomba visu vije kuchonga sehemu zetu ili tuwafurahishe wanaume 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Eehh Munguuu tuokoe ile laana uliotupa ukasema “ NATAMAA YENU ITAKUWA JUU YA MWANAUME NA ATAKUTAWALA “ inafanya kazi.

    • @christinarobert8535
      @christinarobert8535 4 роки тому

      Naomba kujua mistar mpenzi Hahaha

    • @annakattoa7502
      @annakattoa7502 4 роки тому

      Naomba niutafute sikupata muda upo kwenye mwanzo Mungu alipooanza kutoa laana kwa Adam na hawa subiri ntakupa soon

    • @kombab1112
      @kombab1112 4 роки тому +1

      Wanawake sijui tunakwama wapi haki, tuliumbwa waerevu kuliko kiumbe chochote duniani lakini tunaacha viumbe hivyo dhaifu kuliko sisi wanatuendesha.... Kama anaenda eti uke umeongezeka huyo mwanamume hajitambui muache aende usijitese

    • @erastobartalome2709
      @erastobartalome2709 3 роки тому

      Hahaha

  • @kadejahh4036
    @kadejahh4036 3 роки тому +1

    Jamani kuna bint alishaozesha kitumbua kwa ayo mambo acheni kubaliana na hari yako mwanamee atakuchepukia tu

  • @dorischarwe8025
    @dorischarwe8025 4 роки тому +7

    Wanaume watatuua

  • @ashasvlog9246
    @ashasvlog9246 3 роки тому +2

    Je maji ya karafu nayo yaani cloves?

  • @tausingomeni2568
    @tausingomeni2568 4 роки тому +3

    Doctor mie nimekupend unaelezea vzr had raha

  • @zamdakimaro2973
    @zamdakimaro2973 4 роки тому +3

    Wanawake tunateseka na huu ulimwengu da mbona hapo zamani mama zetu walikuwa sawa tu

    • @allthingdranabeauty
      @allthingdranabeauty 4 роки тому

      Sababu watu wanakula makemiko sana masoda na mavitu yasukari wao ivyo vitu walikuwa awapati

    • @happykoteihappy-vd7ce
      @happykoteihappy-vd7ce Рік тому +1

      Uke unatanuka sababu ya kubadilisha badilisha wanaume

  • @aminahasan3564
    @aminahasan3564 4 роки тому +1

    Mmmmmm!!!!? wenyewe tutaita service, ujinga mtupu

  • @lydiaaloyce150
    @lydiaaloyce150 4 роки тому +2

    Usimshaur mtu kutumia shabu inaua chembe za ulinz kwa Bibi then inaleta mwasho

  • @christinahillary3417
    @christinahillary3417 4 роки тому +1

    Mimi ninashida na Dr issac maro na cjui nampataje yani nina shida sana

  • @mwajumamafita7809
    @mwajumamafita7809 4 роки тому +7

    Hiv Kama niahali ya kawaida wanawake tunakwama wapi ,,tunajiathir kwann

    • @aishasaid5702
      @aishasaid5702 4 роки тому +2

      Wengine wakijifungua watot huwa wakubwa wanawatanua misuli shoga mwanaume anakukimbia maana ladha inapotea kabisaaa ni lazima hata ufanye japo mazoezi ya kurejesha kawaida lasivyo mume utamkosa

    • @aishasaid5702
      @aishasaid5702 4 роки тому +1

      Wengine maumbile yao mazuri afadhali

    • @shamimuabubakari3508
      @shamimuabubakari3508 4 роки тому

      Yaan sijui tunakwam wapi we sehem kama ile kweli ukaiweke shabu mara nyanya unatak kuirosti tena aaaaaah jaman kama kubwa yangu kama ndog yangu yaaan ahat nizae iwe kwa bwawa najua ndo mungu alovyonikadiria lakin si kujitia midude isoelewek mwish ndo hayo magonjwa yaajab yanaiubuka

    • @shamimuabubakari3508
      @shamimuabubakari3508 4 роки тому

      @@aishasaid5702 mpenzi hiyo kufanya hayo mazoez sawa ni ya kawaid maan ni mazoezi na sikutia mavitu mengin pia nikifanya hayo isiporud nasumbuka na nini jaman mungu alivyoruhusu nizae kwan hakujua mie ntakuaje baadae iweje nimkosoe aaaaaah huyo mume kama akinikimbia na anikimbie tu na wala haniumiz yaan jaman mie namshukur sana mungu kwa kunipa roho ya kutokujali mwanaume kuniacha au kunikimbia dah hilo kwangu nishaliwwk mgongon kabis akimbie tu aniache

  • @IreneAbuu-ub9fy
    @IreneAbuu-ub9fy 2 місяці тому

    Mbona mesijuikubana maumbile

  • @beatricemrisho8431
    @beatricemrisho8431 3 роки тому +5

    Dawa ipo inapatikn supermarkets ina ubora zaid tena unaweka kwenye uji baada ya kujifungua...

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 7 місяців тому +1

    Mi sitaki ,siweki kitu kwenye uke ,ni ujinga tu!

  • @rehemasalim513
    @rehemasalim513 4 роки тому

    Products zikija naomba mutujulishe plz im ready for any price

  • @mussaathumani7595
    @mussaathumani7595 Рік тому

    Ushaur mwingi wakati clinic sio kusikia waganga kienyeji mitaani acha kabisa

  • @happyalicko6509
    @happyalicko6509 4 роки тому +2

    Huyu kaka Mzr jaman khaa

  • @allthingdranabeauty
    @allthingdranabeauty 4 роки тому +3

    Kha nyanya ikikaa siku mbili tatu wadudu sasa kweli ukaiweke kwenye uke jamani wanawake tunakwama wapi sasa hiyo nyanya si unaipeleka kwa bacteria wabaya waliokuwa kwenye uke wazidi kukushambulia, tujiongeze wanawake uko chini atasabuni zingine azitakiwi kuko sensitive sana kam vidole tu havitakiwi sasa hiyo nyanya duh

  • @Qs3557
    @Qs3557 11 місяців тому

    Oya we tira Yan kuhangaika na kutaka k isitanuke n Kwa ajir ya bwanaako au unauza Kwa watu wakubwa Yan ww had unakera xo Kwa kufoc dawa huko,. Nitafute mi ninadawa uje gheto

  • @user-vp8og6ij2q
    @user-vp8og6ij2q Рік тому

    Hayo maj nusu ndo unatumia kwa siku nzima

  • @marymassawe8655
    @marymassawe8655 2 місяці тому

    Makahaba ndio wanaohangaika na si wanandoa.

  • @rehemaathuman6669
    @rehemaathuman6669 2 роки тому

    We tira una shida una Ng,Ang,ania Sana dawa uletewe na nini mbona mzuli unaonekana tuu ,,,,acha mambo yako ,,

  • @IreneAbuu-ub9fy
    @IreneAbuu-ub9fy 2 місяці тому

    Tunawezaje

  • @ummimohammed9359
    @ummimohammed9359 2 роки тому

    shoga usisubutu kutia shabu kwa bibi kwanza inachuna itanyambuka chichila yote iyo ushindwe atakumpa uyo babu。

    • @hermankamagi8689
      @hermankamagi8689 Рік тому

      😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @mariagrayson5414
    @mariagrayson5414 Рік тому

    Mwanaume kama hajaridhika na wewe lazima atachomoka tu. Hata ufanye nini. Bora doc bora natural ways tu. Naijuwa hyo walileta job kwetu wadada wengi walinunuwa ila badae mh hapana mm sitaki

  • @lulushayo8333
    @lulushayo8333 3 роки тому

    Nikweli nikwamda tu ukisha fanya tendo kunarudia kawaida

  • @maryamshrazi1842
    @maryamshrazi1842 Рік тому

    Dr , ni yako tafadhali

  • @khawlathassan7545
    @khawlathassan7545 3 роки тому +1

    Mabadiliko lazima tuvumiliane

  • @abbassingo4598
    @abbassingo4598 2 роки тому

    Ninapenda. Sauli. Akodocta

  • @lidyakimaro5882
    @lidyakimaro5882 Рік тому

    Naomba namba ya cmu ya huyu doctor

  • @mariamukajiru2302
    @mariamukajiru2302 3 роки тому

    Sihangaiki ng'ooo Kama hikichokwa nitaipandia maua

  • @anissahmohamed935
    @anissahmohamed935 3 роки тому

    Kweli kabisa maneno yako

  • @davidlema3554
    @davidlema3554 4 роки тому +2

    Thanks

  • @alenyema
    @alenyema Рік тому +1

    Kipindi kizuri mno

  • @bujsaudaselemani5562
    @bujsaudaselemani5562 4 роки тому +4

    Wangine wana tumiya alovera

  • @iddiadam857
    @iddiadam857 4 роки тому +4

    Phsychological problems😯😯

  • @aishasaid5702
    @aishasaid5702 4 роки тому +2

    Haina ladha ya chumvi

    • @annamasale3893
      @annamasale3893 4 роки тому +1

      Hahaaaa shabu haina radha yachumvi zingekuwa na chumvi uko ukeni wangewashwa wasingetumia kwasabab sehem yasir ni laini kwaiyo kuweka kitu Kama chumvi mtu asingeweza angeumia

  • @samuelpamelo7128
    @samuelpamelo7128 4 роки тому

    Docta. Sisi's drc nayo maji ni zahabu asiikaushe iyo pasha kabisa

  • @restutamjuni4739
    @restutamjuni4739 4 роки тому

    Mm sitokuja kujaribu kutia kitu chochote

    • @charlesmlonda622
      @charlesmlonda622 Рік тому

      Nibora ujikbali ulivyo mm pia sijawai waza kuangaika na mwili wangu

  • @chistinawallasch2827
    @chistinawallasch2827 4 роки тому +2

    Ndiyo mwanzo ya kupata kansa,

  • @user-xw7pd1zy4x
    @user-xw7pd1zy4x 5 місяців тому

  • @shanimbaruku2071
    @shanimbaruku2071 4 роки тому

    Asante

  • @rosehaule220
    @rosehaule220 4 роки тому

    Kwel kabisa dr wengi uhis wana tatizo lakini si kweli

  • @samuelpamelo7128
    @samuelpamelo7128 4 роки тому

    Njo muzuri wanawake wa kitu nawa congomani

  • @asmamajuto2639
    @asmamajuto2639 3 роки тому

    Asant san

  • @zinaibrahim7004
    @zinaibrahim7004 4 роки тому

    asante

  • @T1tanGamingCsgoMore
    @T1tanGamingCsgoMore 4 роки тому

    Jee Dr. Issac ni mtoto wa Dr. Maro, gynecologist alokuwa na clinic yake kariakoo, Dar Es Salaam?

  • @shukurumustafa478
    @shukurumustafa478 3 роки тому

    Duuuh

  • @amanimlay6304
    @amanimlay6304 4 роки тому +3

    tira naomba namba zako am in love with you😘

  • @evasiwalima9681
    @evasiwalima9681 3 роки тому

    Je kama mtu aliongezewa njia wakati wa kujifingua kuna uwezekano wa uke kurud katka hali yake yaani mtu kajifungua kawaida lkn alichanika ukeni mpk akashonwa

    • @thexoshowtira
      @thexoshowtira  3 роки тому +3

      Panarudi kawaida haijalishi ulishonwa au la?maumbile yanarudi kama yalivyokuwa.

    • @zenaomar8377
      @zenaomar8377 2 роки тому

      @@thexoshowtira mm nyuz zilitoka sijui unashauri aje

  • @jacklinelyimo2672
    @jacklinelyimo2672 2 роки тому

    Haya bwana minakupenda tu we dada

  • @dorischarwe8025
    @dorischarwe8025 4 роки тому +2

    Papanuke tu kama fuko ila dawa noooo

  • @IreneAbuu-ub9fy
    @IreneAbuu-ub9fy 2 місяці тому

    Tunawezaje