MAMBO 4 YAKUFANYA MWANAUME AKUKUMBUKE.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 495

  • @NeemaPaschal-y2g
    @NeemaPaschal-y2g 3 дні тому +2

    Dah asante saaan nashukuru kwa ushauri wako nimejifunzaa kitu

  • @bernadethachristopher
    @bernadethachristopher 6 місяців тому +7

    Mubaba huwa nakuelewa sana..
    Huwa hukosei kabisa kwenye ishu za ushauri..mi nimejinza na nitaendelea kujifunza kwa maana kwa sasa naishi kwenye njia zote.. ubarikiwe sana

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  6 місяців тому

      Asante sna mpemdwa🙏

  • @marrypeter7488
    @marrypeter7488 5 місяців тому +10

    This is very true ata wangu nikimnuniaa baadae ananitftaa kwa hili nimevuka kwakwel😊😊

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  5 місяців тому +1

      Good

    • @StevenEdison-eq5nd
      @StevenEdison-eq5nd 2 місяці тому +1

      Mi pia

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  2 місяці тому

      @@StevenEdison-eq5nd Karibu katika darasa langu la WhatsApp tuendelee kujifunza mengi pamoja, na kushauriana mambo mbali mbali. 0659152333.

  • @user-jb1fi5iq8g
    @user-jb1fi5iq8g 15 днів тому +2

    Ahsante kaka kwa ushauru mzuri nimejifunza kitu

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  5 днів тому

      @@user-jb1fi5iq8g good nafurahi kusikia hivyo

  • @Hadija-i8z
    @Hadija-i8z День тому +1

    Ahxant kwa ushaur🎉🎉🎉🎉

  • @SaraMsawila
    @SaraMsawila 4 місяці тому +2

    Thanks brother kwa ujumbe wako mzur xana umenifungua ki2 flani ambacho siku najua ❤❤❤

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  4 місяці тому

      Karibu katika darasa langu la whatsapp tujifunze pamoja🤝 0659152333

    • @user-sr2bl6ym8t
      @user-sr2bl6ym8t 4 місяці тому

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  4 місяці тому

      @@user-sr2bl6ym8t Karibu katika darasa letu la whatsapp tujifunze zaidi na kushauriana😊🤝 0659152333

  • @aishaabdahh1957
    @aishaabdahh1957 5 місяців тому +4

    Shukran kaka kwa ushauri mzuri mnoo wallah nimejifunza

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  5 місяців тому

      Karibu saana, na usiache ku subscribe🙂

  • @PhayJohn
    @PhayJohn 14 днів тому +1

    Nitafany hvyo kala nimependa up ushaur ❤ japo me natabia ya kumtafta sn mpnz wangu nitafnya Kama ulivyosema

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  5 днів тому

      @@PhayJohn fanya hivyo pale tu utakapoona yeye sio mtu wakukutafuta hadi umuanze wewe

    • @nishaabdula5015
      @nishaabdula5015 2 години тому

      Fanya mwaya mm adi ana lala mika na anaweza ajamaliza kuongea mm nisha muaga na akalamika mm nisha kata cm

  • @pendolema6038
    @pendolema6038 3 місяці тому +4

    Asante ,mwaka huu naolewa jmn😂😂💃💃🧖‍♀️

  • @user-ht8np4yh5t
    @user-ht8np4yh5t 3 місяці тому +2

    Kumbe mm nakuwaga na karo kihere here eeee nmejifunzaaa brooo shukran dr brother

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  3 місяці тому

      Karibu sna😊👏. Nimeweka video mpya karibu kutazama

  • @BLESSSTEPHEN
    @BLESSSTEPHEN Місяць тому +3

    Jamani acheni utoto hauwezi kukaa kimya kwa mwanaume au mwanamke unempenda na hakuna mahusiano mazuri bila mawasiliano 😮

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  Місяць тому

      @@BLESSSTEPHEN hili ni kwa wote but wanaume wengi wanatabia yakutegea wengine

  • @nahlahassan-fd6le
    @nahlahassan-fd6le 9 місяців тому +69

    Mimi mwanaume alinambia pia siwez kuishi bila ya yeye, kwakua nampapatikia, namnyenyekea kla siku, ila sahiv nimeacha mwez wa pil huu sahiv sjamtafta na yeye hajantafta mpaka Leo.

  • @ElidaMwandupe
    @ElidaMwandupe 2 місяці тому +3

    Ushauli mzuli sana nimeufata naona kabisa ndoa inaniusu❤

  • @aminabeatrice7521
    @aminabeatrice7521 5 місяців тому +7

    Walai hi nidawa nzuri sanaa imenisaidia alidhani namshobekea sanaa kwavile yeye ni hundsome ikawa anajivuta sana nkaja nkakanyagia saii niyeye nakol ama anitext anitagute yeye bila hivyoo mi sina shuhuli nayeye nashukuru mungu imenisaidia

  • @MarthaHitra
    @MarthaHitra 3 місяці тому +2

    Kaka Asante Yani me ndo pigo zangu hz ata wiki mbili namalza hasipo nitafta fresh akinitafta pia fresh Sina papara

  • @Maurinemenza
    @Maurinemenza 6 місяців тому +4

    Thnks alot kaka umenisaidia sana bro 🤜🤜🤜🤜

  • @Maurinemenza
    @Maurinemenza 6 місяців тому +3

    Kama mimi hapa nikiona text hvi pap ndio hyo mmi nareply 😢kwanzia sahi siezi rudia tena thnks bro umenisave sana❤❤❤❤❤

  • @Aminanganisya
    @Aminanganisya 3 місяці тому

    Nitafany hivy jamn yupo mbli bc mm ninashauku kila mda nimpigie . Fundsh zuri kazi inaaza leo asante

  • @user-xg7wf2hc9x
    @user-xg7wf2hc9x 6 місяців тому +3

    Shukran Kkngu God bless you

  • @user-us6ze8bz3u
    @user-us6ze8bz3u Місяць тому +1

    You have saud it all.thanks.

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  Місяць тому

      @@user-us6ze8bz3u thanks 🙏 😊

  • @salmakiti1517
    @salmakiti1517 5 місяців тому +2

    Yote uliyo sema mm ndio niko hivyo jamani anipenda kumbe asante mkaka😂❤

  • @febostanyika1821
    @febostanyika1821 4 місяці тому +3

    Asante kak mana du kunawanaumme wanavibuli sana hasa akijua unampenda

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  3 місяці тому

      Karibu kutazama video yangu mpya

  • @user-mc6um1it1r
    @user-mc6um1it1r 9 місяців тому +5

    Asante kaka kwa kunifunguwa kichwa

  • @spreadlove5300
    @spreadlove5300 15 днів тому +1

    Yote haya hutegemea ntu na ntu 😢😢 ili mradi chunga isiwe one sided mapenzi

  • @TausiMfaume-ge5es
    @TausiMfaume-ge5es День тому +1

    Nimekuekewa kaka na huko sahihi

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  6 годин тому

      @@TausiMfaume-ge5es asante sn

  • @chokinare8737
    @chokinare8737 3 місяці тому +6

    Wongo mtupu kutowasiliana vizuri n madharau hata boss unashika simu haraka ju unamheshimu

  • @gracekasongo9181
    @gracekasongo9181 4 місяці тому +2

    Courage vraiment mon père🙏🙏🙏

  • @afsamimi2780
    @afsamimi2780 4 місяці тому +1

    Shukran kka,Mungu akujaze kheir

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  4 місяці тому

      Amina🙏
      Karibu katika darasa letu la whatsapp tuzidi kujifunza pamoja na kushauriana zaidi.. 0659152333😊🤝

  • @user-ub3xy9qu5q
    @user-ub3xy9qu5q 3 місяці тому +3

    Yani ww kaka nimekupenda sana Axante kwa ushauri

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  3 місяці тому

      Karibu sn mpedwa😊. Na nimepost video mpya karibu utazame.

  • @Mimy_keys
    @Mimy_keys 5 місяців тому +1

    Asante Kaka , Duh Wanaume bana ukiacha kumtafuta anajuwa uko busy na Mwengine 😂😅 Ila hilo la Kumuaga wa 1 kwenye Maongezi aisee ndo komesha 😅😂😂 Utaskia mm ndo nimekupigia , ooh unataka kuongea na nani , mara ao maongezi yng hayana mana sieti ? 😂🤣🤣🤣

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  5 місяців тому +2

      Kinachofanya mtu ajali sn ni hofu na mashaka mtu akishindwa kuwa na hofu hawezi kukujali, wanaume wengi ndio wako hivyo akiwa hana hofu na wewe basi utaona anakupuuzia cos anajua hakuna utakachoweza kufanya wala utakapoweza kwenda. So ukimtengenezea hofu bali mara zote atajitahidi kufanya the best hili kuhakikisha unakuwa mwenye furaha hili asijiharibie

    • @RehemMaige
      @RehemMaige 2 місяці тому

      Nmekuelewa sana sana

  • @ChristinaGomisi
    @ChristinaGomisi 2 місяці тому +2

    Hiii ni tabia Anguu kabisa na inasaidiaa sana

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  Місяць тому

      @@ChristinaGomisi but usiizoee😀

  • @user-jw7qq1rt4r
    @user-jw7qq1rt4r 4 місяці тому +1

    Asante kaka kwa somo zuri mungu akubariki sana

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  4 місяці тому

      Amina mpendwa🙏.
      Karibu katika darasa letu la whatsapp tuzidi kujifunza pamoja na kushauriana zaidi.. 0659152333😊🤝

    • @user-jw7qq1rt4r
      @user-jw7qq1rt4r 4 місяці тому

      Asante sana kaka ​@@mbekitv693

  • @monallyliay8364
    @monallyliay8364 3 місяці тому +3

    Wangu toka ameenda njee ajanitafuta ana kaz kumwambia mdg wake anisalimie kwel mapez hayoo jamannn

  • @user-or1rr6lx6j
    @user-or1rr6lx6j 5 місяців тому +3

    😂 kwakweli mimi hapo kama unaniambia mimi kabsa, kwenye kumpigia sm kujibu sms onhoo!hadi huwa analalamika. Sana,, kumbe nafanya vizuri eee!😂

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  5 місяців тому +1

      No mimi namaanisha balance sio ufanye makusudi bali kuwe na balance ya kutafutana sio kila siku mtu mmoja tu ndio anamtafuta mwenzake.

    • @graciousmtei2571
      @graciousmtei2571 5 місяців тому +1

      😂😂😂😂😂😂

    • @nicehonesty912
      @nicehonesty912 5 місяців тому +1

      Nimechekaa

  • @user-mc6um1it1r
    @user-mc6um1it1r 9 місяців тому +2

    Asante kaka kwa kunifunguwa kichwa maana mm hiyo zangu

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  9 місяців тому

      Hongera sn mpendwa 😀👍

  • @asiamatitu6456
    @asiamatitu6456 4 місяці тому +1

    Thank you bro 🙏 ,hio ni noma

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  4 місяці тому

      Karibu katika darasa letu la whatsapp tujifunze zaidi na kushauriana😊🤝 0659152333

  • @rachelsimbeye9637
    @rachelsimbeye9637 3 місяці тому +5

    Ngoja nijaribu

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  Місяць тому

      @@rachelsimbeye9637 fanya kama ukiona yeye hajali kuhusu wewe Ila kama anakujali na kukukumbuka usifanye.

  • @DelilaKazamaso-bq4hy
    @DelilaKazamaso-bq4hy 11 місяців тому +4

    Asante sana Kaka 🙏🙏🥰

  • @khatijakhatija9518
    @khatijakhatija9518 5 місяців тому

    Aaaah kumbe na enjoy ❤❤❤❤❤ waah alhamdhulillah ❤❤❤

  • @suzanbegas4139
    @suzanbegas4139 6 місяців тому +1

    ASANTE SN 🙏🏼 Hi Nikweli kabisa 💯🎯✔️ Jana nimefanya yote hayo

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  6 місяців тому

      Good 👍🙂

    • @RestutaFesto
      @RestutaFesto 2 місяці тому

      @@mbekitv693 Aiseeeeeeee
      Baraaaaaaatup

  • @user-kf5fy5pe9z
    @user-kf5fy5pe9z 4 місяці тому +3

    Asante sana naanza leo kutekeleza

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  4 місяці тому

      Karibu ujiunge katika darasa langu la whatsapp tupate kujifunza mengi pamoja 0659152333😊🤝

  • @AquilinahSamuely
    @AquilinahSamuely Місяць тому +1

    Asante kwa ushauri mzury

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  Місяць тому

      @@AquilinahSamuely fanya kama ukiona yeye hajali kuhusu wewe Ila kama anakujali na kukukumbuka usifanye.

  • @neemarevocartus8119
    @neemarevocartus8119 Місяць тому +1

    Me ngoj nijarib ❤

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  Місяць тому

      @@neemarevocartus8119 fanya kama ukiona yeye hajali kuhusu wewe Ila kama anakujali na kukukumbuka usifanye.

  • @MarianaKayoka
    @MarianaKayoka 4 місяці тому +1

    Ooooh thanks brother

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  4 місяці тому

      Karibu katika darasa letu la whatsapp tuzidi kujifunza pamoja na kushauriana zaidi.. 0659152333😊🤝

  • @fatmarashdi3547
    @fatmarashdi3547 2 місяці тому +1

    Ahsantee kaka kwa ushauri

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  Місяць тому

      @@fatmarashdi3547 fanya kama ukiona yeye hajali kuhusu wewe Ila kama anakujali na kukukumbuka usifanye.

  • @nataliaananias5613
    @nataliaananias5613 5 місяців тому +5

    Mm nilijaribu kufanyaivyo,miez3 sasa hajanitafuta,naona ndio tumeachana kiivyo

    • @grice2075
      @grice2075 5 місяців тому

      😂😂😂😂

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  4 місяці тому +1

      Vizuri umepata majibu mapema

    • @tiffahdevivah
      @tiffahdevivah 4 місяці тому +1

      😂😂😂😂😂😂

    • @tiffahdevivah
      @tiffahdevivah 4 місяці тому +1

      Hata me imenikuta mweee😂😂😂😂

    • @NaimaKhamiss
      @NaimaKhamiss 4 місяці тому

      😅😅😅😅

  • @Nnietechnology
    @Nnietechnology 4 місяці тому +2

    Lkn mbona nyie ni kama mnatuchanganya jamani😢wanaume wenyewe hawana huruma hawa, unampenda unamjali lkn na wao wanatafta wa kumjali na kumpenda😢, nilijaribu kufanya yote hayo lkn aliishia kucheat tu kunidanganya😮

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  4 місяці тому

      Karibu katika darasa langu la whatsapp tujifunze pamoja🤝 0659152333

  • @user-yp2zz3bo6v
    @user-yp2zz3bo6v 3 місяці тому +1

    Thank you dear ❤

  • @DianaAgonza
    @DianaAgonza 4 місяці тому +15

    Akili za kuambiwa,,changanya na za kwako

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  4 місяці тому

      Karibu ujiunge katika darasa langu la whatsapp tupate kujifunza mengi pamoja 0659152333😊🤝

    • @ByuriDotla
      @ByuriDotla 3 місяці тому +1

      HAhaaa

  • @LovenessRichadi
    @LovenessRichadi 19 днів тому +1

    Nimepata kitu asante

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  18 днів тому

      @@LovenessRichadi good💪

  • @HappynessMduma-zf1mp
    @HappynessMduma-zf1mp 5 місяців тому +2

    God bless🙏

  • @user-jo5ig8ww1b
    @user-jo5ig8ww1b 3 місяці тому +1

    Asante saaana asehe kwa madin

  • @JullyIsoyi
    @JullyIsoyi 4 місяці тому +1

    Asante kwa sana kwa hekima kaka🎉

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  4 місяці тому

      Karibu katika darasa letu la whatsapp tuzidi kujifunza pamoja na kushauriana zaidi.. 0659152333😊🤝

  • @NasratOmary
    @NasratOmary 5 місяців тому +1

    Asanteee kw ujumbe mzuri ❤❤

  • @PendooEvody-nv4xm
    @PendooEvody-nv4xm 2 місяці тому +1

    Ngoja nijaribuu na mimi kaka anguu

  • @user-ph7qv1rv7z
    @user-ph7qv1rv7z 8 місяців тому +3

    Kwangu iko tofauti mi nikiona mtu yuko hivi anajifanya yuko bze kama hataki kuongea na mimi kumbe anataka basi namuacha kabisa koz huwa naamini mtu ukimpenda utatamani kumuona au kumsika mara kwa mara ikitokea ananikwepa kwepa baas napiga chini nisije nikawa najipotezea muda

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  5 місяців тому

      Usiwe unakimbia tengeneza mahusiano yako

  • @user-nc6dx6sh7o
    @user-nc6dx6sh7o 2 місяці тому +2

    Asante kaka

  • @bidalambwans-to9yd
    @bidalambwans-to9yd 2 місяці тому +1

    Shukran sana kakaa❤

  • @user-vb9tj5bq6v
    @user-vb9tj5bq6v 3 місяці тому +1

    Aki ahsante ❤

  • @user-zh8ot5vu5w
    @user-zh8ot5vu5w Місяць тому +1

    Asante ka2 nmekuelawa

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  Місяць тому

      @@user-zh8ot5vu5w fanya kama ukiona yeye hajali kuhusu wewe Ila kama anakujali na kukukumbuka usifanye.

  • @InoJohn-p3u
    @InoJohn-p3u Місяць тому +1

    Asante kaka nitajaribu

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  Місяць тому

      @@InoJohn-p3u Ila jaribu kama utaona yeye ameanza kukupuuzia

  • @myTanzanianplate
    @myTanzanianplate 5 місяців тому +2

    Knomaa....nimekuelewa sana

  • @user-wy7wn7cf6s
    @user-wy7wn7cf6s 2 місяці тому +1

    Asante sana kaka

  • @ShadyaIssa-gs2ej
    @ShadyaIssa-gs2ej 3 місяці тому +1

    Yah exactly 💯😘

  • @NsabimanaAnge-lj4qp
    @NsabimanaAnge-lj4qp 3 місяці тому +1

    Dah asnt sana walai 😢

  • @KaviraMbimbe
    @KaviraMbimbe 3 місяці тому +2

    Kaka mungu a ku bariki

  • @samiraissa7434
    @samiraissa7434 3 місяці тому +1

    Asante kwA ushauri

  • @paschalrashidon-bg5pk
    @paschalrashidon-bg5pk 4 місяці тому +1

    Big up

  • @HabidaAhmadi
    @HabidaAhmadi 21 день тому +1

    Mi tynakaa hata miez mi3 hatutaftani ila fresh tu

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  18 днів тому

      @@HabidaAhmadi hiyo sio sifa nzuri ni kama mnajipotezea muda tu

  • @NeemaSaidi-ql7lt
    @NeemaSaidi-ql7lt 4 місяці тому +2

    asante❤❤

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  4 місяці тому

      Karibu katika darasa langu la whatsapp tujifunze pamoja🤝 0659152333

  • @user-bm7px7jz6n
    @user-bm7px7jz6n 2 місяці тому +1

    Thnkx bro 😊😊

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  2 місяці тому

      Karibu katika darasa langu la WhatsApp tuendelee kujifunza mengi pamoja, na kushauriana mambo mbali mbali. 0659152333.

  • @user-yu5qf6tw3o
    @user-yu5qf6tw3o 3 місяці тому +1

    Thanks bro❤❤

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  3 місяці тому

      Karibu kutazama video yangu mpya

  • @linethgozberth
    @linethgozberth 24 дні тому +1

    ahsant sana umenfunza pia❤❤🎉🎉

  • @MegaNasri-bv7tc
    @MegaNasri-bv7tc 3 місяці тому +1

    Asante sn

  • @gracekasongo9181
    @gracekasongo9181 4 місяці тому +1

    Jambo papa asante kwamashauri zako❤

  • @TumainiNyambo
    @TumainiNyambo 4 місяці тому +1

    Nimeipenda 😂

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  4 місяці тому

      Karibu katika darasa letu la whatsapp tujifunze zaidi na kushauriana😊🤝 0659152333

  • @RufaidaAbdi
    @RufaidaAbdi 5 місяців тому +1

    Asante cause ni serious issue

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  5 місяців тому

      Karibu saana, na usiache ku subscribe🙂

    • @user-fi7ht2cv8b
      @user-fi7ht2cv8b 5 місяців тому +1

      Waoh fantastic

  • @shamsaramadhan5283
    @shamsaramadhan5283 4 місяці тому +1

    dah yaniiii😢😢😢 hadi najiona najipendekeza jaman laaaaaa

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  4 місяці тому

      Karibu ujiunge katika darasa langu la whatsapp tupate kujifunza mengi pamoja 0659152333😊🤝

  • @user-yw9xn4cc7o
    @user-yw9xn4cc7o 6 місяців тому +1

    Asante kaka kwa ushauri wako

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  6 місяців тому

      Karibu sn mpendwa, pia usisahau kusubscribe

  • @user-hf6hl7ky5o
    @user-hf6hl7ky5o 7 місяців тому +1

    kaka sina kitu kya kukupa ila nasema asante kwa kufunguwa akili yangu

  • @user-gl9sj2dy7h
    @user-gl9sj2dy7h 7 місяців тому +2

    Hilo sawa kabisa

  • @NoeliaErnesti
    @NoeliaErnesti 13 днів тому +1

    Mimi hua nakaa kimya ikifika usiku saa tatu natuma mesg '"usikumwema aaawe hakubali anapenda kuongea na mimi usiku saana je ni sahihi?

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  5 днів тому

      @@NoeliaErnesti sijaelewa tatizo lako ni lipi hapo ni kutuma text au kuongea na simu🤔

  • @aishadady5439
    @aishadady5439 5 місяців тому +2

    Umenipa dawa,maana nilikuwa sina raha huyu mwanaume kila nikiamka naanza kumtumia msg,usiku namtumia mm maana yuko mkoa mwingine,ss najiuliza mambo haya mpaka lini....juzi juzi nimekula bati siku2 naona msg oooh mbona unanitenga,..umenisusa,kumbe ndo dawa hiyo

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  5 місяців тому

      Ahahah😀

    • @KihenguKihengu-jp6ef
      @KihenguKihengu-jp6ef 4 місяці тому +1

      Huyo anakupenda ila kama hakupend ndio unakua umempa tiket

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  4 місяці тому

      @@KihenguKihengu-jp6ef
      nakukaribisha katika darasa letu la WhatsApp tuzidi kujifunza pamoja.

  • @zaitunimustapha9718
    @zaitunimustapha9718 11 місяців тому +4

    Swadakta ni kweli kabisa

  • @jenifasoka9031
    @jenifasoka9031 Місяць тому +3

    Za kuambiwa changanya na za kwako

  • @EvelinJovian
    @EvelinJovian 15 днів тому +1

    Nimejifunzaa kitu apa kwakweli

  • @SallyYusuph
    @SallyYusuph 2 місяці тому +1

    Hyo ni kwel kbc nxhawah fany then matokeo nliyapat

  • @LightnessMnyanga-uj4yx
    @LightnessMnyanga-uj4yx 2 місяці тому +1

    Yaan mi nisipoongea nae nahic naumwa 😂ngoja nijaribu kama nitaweza mpaka yeye anitafute , kiukweli ninashobo sana

  • @ShufainaArmani-xk9tg
    @ShufainaArmani-xk9tg 8 місяців тому +1

    asante sana kaka umenifundisha kitu

  • @winilucas
    @winilucas 21 день тому +1

    Asantee❤

  • @shamyramaa
    @shamyramaa 5 місяців тому +2

    Ivi mashoga wanaexperience hii kitu kweli😢

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  5 місяців тому

      Mashona ukiwa na maana gani, marafiki au wanaume wanawake?

  • @user-zb4py9rl9c
    @user-zb4py9rl9c 2 місяці тому +1

    This is true ❤

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  Місяць тому

      @@user-zb4py9rl9c hakika

  • @user-tg3fi3ig3t
    @user-tg3fi3ig3t 5 місяців тому +1

    Shukura kaka❤

  • @shabanikitula645
    @shabanikitula645 4 місяці тому +1

    Hii yakwanza naipenda ilimfanya mtu akajitambulishe bila kupenda

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  4 місяці тому

      Karibu ujiunge katika darasa langu la whatsapp tupate kujifunza mengi pamoja 0659152333😊🤝

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  4 місяці тому

      Karibu ujiunge katika darasa langu la whatsapp tupate kujifunza mengi pamoja 0659152333😊🤝

  • @RehemaLaizer-y2c
    @RehemaLaizer-y2c 24 дні тому +1

    Asantee sana

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  18 днів тому

      @@RehemaLaizer-y2c karibu

  • @KaitaniEdimundi-lm9yz
    @KaitaniEdimundi-lm9yz 5 місяців тому +1

    Nimeipenda

  • @judikadzo8712
    @judikadzo8712 2 місяці тому +1

    Asante sana

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  2 місяці тому +1

      Karibu katika darasa langu la WhatsApp tuendelee kujifunza mengi pamoja, na kushauriana mambo mbali mbali. 0659152333.

  • @user-ru4rf1cu5j
    @user-ru4rf1cu5j 5 місяців тому +1

    Upo sahihi Sana kaka

  • @GaudeGaude-wl5un
    @GaudeGaude-wl5un Місяць тому +1

    Yan mm mpenz wangu huwanaanza kumtafta lkn nlijalbu hyo n mwez wa 2 sas cjaona ata sms yake

    • @mbekitv693
      @mbekitv693  Місяць тому +1

      @@GaudeGaude-wl5un then hilo ni jibu tosha kwamba wewe sio kitu muhimu kwake

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 8 місяців тому +1

    Asante kk kwa ushauri