Vyoo vya kukaaa vimechangia sana basi wanaume wanakaa ofisini vyooni.ila wale wenye kazi ngumu kama mafundi ujenzi machinga,wakulima yani watu wa vijijini big up ila hawa,akitoka ofisini v8 choo cha kukaa kisha anakula chips baga,soda baridiiii
Doctor! alikuwa na mwendelezo mzuri wa visababishi vya upungufu wa nguvu za kiume! Tena alisema ziko 30, ninyi mmemfanya aishie 2 tu, siku siku nyingne mumuache aseme zote!
Hivi utaalamu unaeleza nini juu ya tendo la ndoa kwenye muda ? Ama kweli kutaka umaarufu ni shida, yaani uume ukeni ukae dakika ishirini bila kutoa manii ,basi huo ndo utakuwa upungufu wa nguvu za kiume.
Mazoezi ya' kegel'upo poa Sana Dr, big up
Naomba doctor pia aongeleee pia masterbution
Alishaongelea katika vipindi confine kwamba Hakuna tafiti za uhakika kuhusu kwamba mtu aliyepiga kunyeto anaweza kuwa na tatizo la nguvu za kiume.
Alishaongelea katika vipindi confine kwamba Hakuna tafiti za uhakika kuhusu kwamba mtu aliyepiga kunyeto anaweza kuwa na tatizo la nguvu za kiume.
Vyoo vya kukaaa vimechangia sana basi wanaume wanakaa ofisini vyooni.ila wale wenye kazi ngumu kama mafundi ujenzi machinga,wakulima yani watu wa vijijini big up ila hawa,akitoka ofisini v8 choo cha kukaa kisha anakula chips baga,soda baridiiii
Uko vzr mzee
Naomba tofauti za muda Kati ya mshindo wakwanza na wapili
Dk15_25 sio kazi ndogo
Na kuamini sana doctor.
Unayo yaongea ni yakweli kabisa.
Naomba namba zako nine maswali mengi
Doctor! alikuwa na mwendelezo mzuri wa visababishi vya upungufu wa nguvu za kiume! Tena alisema ziko 30, ninyi mmemfanya aishie 2 tu, siku siku nyingne mumuache aseme zote!
Uhusiano wa kukula na na simu...no way...hii sio ukweli
Wewe ndo Zombie, jamaa anatoa nondo za maana!
Haa 😅 aisee hata kuku wa kisasa naye ni shida mh ehe
Hivi utaalamu unaeleza nini juu ya tendo la ndoa kwenye muda ? Ama kweli kutaka umaarufu ni shida, yaani uume ukeni ukae dakika ishirini bila kutoa manii ,basi huo ndo utakuwa upungufu wa nguvu za kiume.
MWAMBA YUKO VIZURI
Sasa he ukitafuna mara21 huku unasim
Sio kweli,hakuna ukweli wowote juu ya hilo,sijui elimu hiyo huyo daktari kaitoa wapi,madaktari wa siku hizi bure kabisa
Kwenye nini hayuko sawa?
Katoe ww elimu
Hata dini inakataza kula na kuongea,kula kwanza kisha utaangalia
Anaongea ukweli sema watanzania hawajui elimu ya ulaji na hawataki kujua 😂 ndio maana hata ptof janabi huwa hawamuelew
HUYU DOKTA NI NOMA
Huyo ni bwana kibona au kibwana
Wapi mrusho mpoto
Niipi dawa yatezi dume?
Je wanao cheza mpira wa. Miguu wana athari ngani
watangazaji wanazingua hawampi mda doctor kuongea wao ndo wanaongea sana mpaka wanaboa
Acheni ku intertain vichaa. Mnakua mazombi mbwa nyie
Atukulaumu wew tatizo lipo kwa alie kulea 😅😅
Mimi hua nashangaa sana, badala mtu aje na hoja yake atusaidie anakuja na makasiriko@@Muhsin-t9w