ALIYECHOMOLEWA KWENYE KIFUSI AELEZEA VIFO ALIVYOAACHA NDANI SHIMO LA GHOROFA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 284

  • @patrickedson50
    @patrickedson50 Місяць тому +80

    Mungu mwema sana, umempa Mungu maisha yako sasa usimyanganye tena, endelea kuishi maisha ya Toba

  • @EliakimjoashJoash
    @EliakimjoashJoash Місяць тому +7

    Kuna kipindi unaweza jishauwa shauwa nakuropoka ropoka ujinga ulioujaza akili ako ooh hakuna Mungu... ooh yale sio maneno ya mwenyez Mungu ni watu tu wameandika ili kututawala... pata mda umfate huyo alichomolewa huko kifusini umwambie huu upuuzi wako! You guys Mungu yupo, anaishi na anatenda shetani kamwe asituvuluge fikra zetu tukamuacha!! Katika misiba, dhiki na shida Bwana hujitokeza! Hili liwe funzo

  • @Catherine-o5t5o
    @Catherine-o5t5o Місяць тому +3

    daaah pole sana ndugu yangu mungu ni mwema aiseee !!

  • @YonaSwila-kv3lj
    @YonaSwila-kv3lj 3 дні тому

    Mkabizi mungu maisha yako kama jinsi ulivyoomba Toba kwa mungu ko endeleza maombi hayo

  • @sharakhamis3954
    @sharakhamis3954 Місяць тому

    Imani na tamaa ni muhimu katika uislam. Peace and hope in Islam Alhamdulillah

  • @kinasaba
    @kinasaba Місяць тому +3

    Ni jambo la Muhimu sana kumkumbuka Mungu kipindi kama hiki. Hakika wengi wa waliokumbwa na janga hili, wameshuhudia mkono wa Mungu. Tumuombe Mungu, azidi kulitetea Taifa hili.

  • @MwanaidiTwaha-my6mz
    @MwanaidiTwaha-my6mz Місяць тому +3

    Mungu mkubwa pole kaka yetu na Hongera Kwa kumtegemea Mungu ndie kakuokoa ndg yetu na wengine kawafanya kuwa wafu yote hayo ni Kadar zake

  • @juliusmartin1839
    @juliusmartin1839 Місяць тому +62

    Akasema Mungu wa Mbinguni nipokee Roho yangu, Nisameheee dhambi zangu zote. Duh! Wokovu na Toba muhimu sana.

    • @SharonAron-t1j
      @SharonAron-t1j Місяць тому +5

      Hapo hajaamini kwenye damu ya Yesu mana wokovu ni kwa imani

    • @MB-yq3ty
      @MB-yq3ty Місяць тому +7

      ​@@SharonAron-t1j
      Damu ndo ya nini sasa. Watu wanaamini Mungu wewe unaamini damu.

    • @mudigames5479
      @mudigames5479 Місяць тому

      😂​@@MB-yq3ty

    • @kashrajabu5744
      @kashrajabu5744 Місяць тому

      ​@@MB-yq3tynimecheka wakati mnamajonzi😅😂

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 Місяць тому

      ​@@SharonAron-t1jSasa kama yeye huyo aliyetolewa damu aliuawa kwa kupigwa, badala ya kumuomba Mungu mwenyewe unaomba asiye na msaada

  • @francismlembwa2733
    @francismlembwa2733 Місяць тому +2

    Poleni sana wafanyabiashara kariakoo Kwa Tukio hili baya kabisa na la kuhudhunisha, Mungu atasahidia kunusuru maisha ya walikwama ,pia tunamshukuru sana serikali Kwa kufanya uokozi huu wa haraka, wafanyabiashara mmeovyesha moyo wa ujasiri kuwaokoa wenzetu Kwa hatua ya awali mungu awabariki sana na awatie nguvu,

  • @mohamedimbinga7422
    @mohamedimbinga7422 Місяць тому +3

    Duuh sheikh Alilamika kumuuliza kijana umeniacha kweli NAFSI ni ki2 kingne

  • @coastermahenge8910
    @coastermahenge8910 Місяць тому +4

    Polen sana ,walionusurika nenden mkafanye. Sadaka yakusaidia yatima nawasio jiweza kama shukran Kwa Mungu

  • @barakamnazareti5745
    @barakamnazareti5745 Місяць тому +6

    Nilichopenda kwa habar yahuyu jamaa mungu amemfanya kua wakwanza ndio sababu aliomba toba niseme tu mungu yupo na anaishi

  • @PiliAntony
    @PiliAntony Місяць тому +1

    Mwenyezi mungu mkubwa ina uzunisha poleni sana jamani eee mwenyez mungu. Waponye walio baki na walio tangulia mwenyezi mungu wa pe pepo ya milele huzuni kubwa sana kwa watanzania jaman huruma. Huzuni tulia hata sijui nn jamani mungu mungu wangu wape nguvu wa fiwa. Na uwaponye walio wagogwa uwape nguvu 😭😭😭😭😭😭

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 Місяць тому +38

    Ulikumbuka na kutubu hiyo ni Neema tosha!
    Shukuru Mungu

    • @edinamwinuka-tg3ws
      @edinamwinuka-tg3ws Місяць тому

      Hakika ni Neema ya Mungu mwenyewe.

    • @kassim1262
      @kassim1262 Місяць тому +3

      Mungu yupi kwnza huyo unaemtaja ww maana muumba mbingu naardhi navilivyomo ndani yke ucmjue cku ykifo tu umjue mwnzo maana hata fir'auna alitubia cku ykifo haikufaa kitu

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 Місяць тому

      Naam kama siku mtu anakufa roho inatoka, hapo hapana kutubu tena hata uwe umechukuliwa na wasiojulikana wakatoa uhai wako, labda ulimjua Mungu wa kweli na wapekee kisha ukamuabudu ipasavyo, si kiujanja ujanja, ukiona pombe unakunywa, unaishi kwenye zinaa, dhulma kwa wanadamu wenzio, wizi. Toba roho inatoka imekua unaiyona reality ya unachokabiliana nacho baada uhai kuisha.

  • @MasoudMOHAMMED-qp3yt
    @MasoudMOHAMMED-qp3yt Місяць тому +41

    Usiseme hukubali kufa kirahisi kufa hakuna ujanja mche mungu sana

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 Місяць тому +3

      Kafiri hajui kitu ndugu nyamaza tu😅

    • @petermanala6138
      @petermanala6138 Місяць тому +2

      Ametambulisha dini wew unajua nn

    • @brendajulius2995
      @brendajulius2995 Місяць тому

      ​@@hanifa9153 Nakuona malaika Gabriel ktk uwezo wako

    • @GeradinaJohn-xh8pw
      @GeradinaJohn-xh8pw Місяць тому

      Wewe kwani wewe ni mkamilifu kiasi hicho usimhukumu mwenzio sisi pia ni wasafiri tunasafiri tu ipo siku nasi tutaarudi kwake Mwenyezi rafiki​@@hanifa9153

    • @saimonijonas1471
      @saimonijonas1471 Місяць тому +12

      Kumbuka ametoka kwenye tukio ambalo kwa kawaida hayuko sawa kiakili.Anachoongea anaweza kuongea baadhi yameno yakawa hayako sawa.

  • @RahelMhezi-f9o
    @RahelMhezi-f9o Місяць тому +2

    Daaaaa kaka yangu Pole sana ndugu yangu tumshukuru Mungu, pia tuwaombee majeruhi wapone

  • @mbuchechilewa4251
    @mbuchechilewa4251 Місяць тому

    Kaka pole sana usali sana mana mungu kakuponya

  • @MmmMm-l2j
    @MmmMm-l2j Місяць тому

    Poleni sana ndugu zetu

  • @BrendaeMsuya
    @BrendaeMsuya Місяць тому +9

    Serikali ya tanzania inasumbua sana,,, yaan tupo nyuma sana kwa kila jambo,,, tatzo kama ili linahitaji uharaka na umakini, ,, lakn waokohaji wanakuja kwa kuchelewa wanafika wanaanza kushika viuno ,,, mnazingua sana ,,,,, 😢😢😢

  • @MwanaHamis-y4e
    @MwanaHamis-y4e Місяць тому +1

    Sema ni Mungu tu aliyekupigania kufa akuna ujanja mshikuru Mungu na isiacbe ibada Mungu awawekee wepesi wt waliochini ya kifusi

  • @sirielsamweli
    @sirielsamweli Місяць тому +3

    Pole sanaaaa Mungu ni mwema,,,,,,,

  • @MNYARUALIM
    @MNYARUALIM Місяць тому

    Mungu akupe neema san na usisahau kumtanguliza mungu kwa kila jambo kka 🎉🎉🎉

  • @MpoleJuta58
    @MpoleJuta58 Місяць тому +1

    Mungu mwema azidi kuwapa pumzi njema na nguvu na imani pia Amiin

  • @FATHIYA002
    @FATHIYA002 Місяць тому +3

    Pole sana mshukuru mungu lkn umekosea kdg ulikuwa upa,bane na mwenzio ndio sadaka tosha.

  • @SadaHashimhadoswa
    @SadaHashimhadoswa Місяць тому +2

    Mungu ni mwema Sana amekupa mtihani na akakupa na njia ya kufaulu, ila una ubinafs kidogo ulishindwa hata kumwambia baba Kuna njia ya kutokea huku sitokutoa ila jitahdi tutoke ukamuacha 😢😢

    • @nailaomar4810
      @nailaomar4810 Місяць тому +1

      Inaskitisha sana hana ubinaadamu ingekuwa mzee wake angemuacha??

  • @rehemarehema7475
    @rehemarehema7475 Місяць тому +2

    Poleni sana ndungu zangu kwa tukio hilo

  • @FatumaBahatihassan
    @FatumaBahatihassan Місяць тому

    Mdogo wangu apouna kosea kusema etihuwezi kufa kilaisi sema nashukru Mungu kwakuniongoza nikawanime patamwanga nakuweza kupata usaidizi
    Mungu apewe sifadhake kamilifu

  • @MartinDismas-ou5oy
    @MartinDismas-ou5oy Місяць тому

    Poleni Sana.MUNGU ATUHURUMIE NA KUTUSAIDIA😢😢😢. AMEN.

  • @IsakaMnzajila-lf8fy
    @IsakaMnzajila-lf8fy Місяць тому

    Pole ndg jina la bwana mungu wetu ni kubwa akisema iwe itakia hakuna wakupinga

  • @Kingstonbagamoyo
    @Kingstonbagamoyo Місяць тому +2

    Omi pole sana kwa kujitutumua,poleni sana kwa kujitutumua

  • @allymwasubila1221
    @allymwasubila1221 Місяць тому

    Mungu anayosababu ya kukuacha hai mtumikie kwa uaminifu Kaka yangu

  • @mariammariam5723
    @mariammariam5723 Місяць тому +1

    Mungu nimwema inshallah watatoka salama atakae kufa basi siku yake imewadia

  • @matendokagina
    @matendokagina Місяць тому

    Pole sana Kwa mkasa huo,Mungu amekuokoa.

  • @PendoMwakalobo-d3z
    @PendoMwakalobo-d3z Місяць тому

    Mungu atusaidie

  • @ScolahMwalusanya
    @ScolahMwalusanya Місяць тому

    😂pole,sana,kaka,fikilia,wangapi,wamepoteza,maisha,wewe,upo,hai,mshukulu,mungu,tena,mupe,maisha,yako

  • @AishaRashed-m5o
    @AishaRashed-m5o Місяць тому +6

    Tujitahid kufanya Toba hat Kam hakuna matatiz allah anaabundiwa popot pale ulipo mungu ni mwema

  • @maryNdakidemi
    @maryNdakidemi Місяць тому

    Mungu ni mwema jamani kila wakati 🙏🙏👐👐

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c Місяць тому +2

    Siku yako haikufika ilo 1,, pili ulipotoka ukasahau kabisa wenzako,,,wale lazma wakusumbue ww ndiy uliyefanikiwa kutoka,,Hali uliyokuwa nayo ww ulipokuwa chini ndo hiyo hyo walikuwa nayo wenzio tena pengine kukuzidi,,nimeamini maisha ni ubinafsi usimtegemee mtu kwenye maisha yako

    • @malilaebayoth5776
      @malilaebayoth5776 Місяць тому

      Msikilize hadi mwisho kaka,usiwe mwepes kumuattack

    • @ambokilemussa3518
      @ambokilemussa3518 Місяць тому

      Hajakosea mbona kaka huyu jamaa kajibu akiwa na taharuki

  • @nadiafahad3926
    @nadiafahad3926 Місяць тому +4

    Hila kaka umefanya kosa kumuacha uyo mzee japo kuwa unaambiwa Yarrabi nafsi yangu
    Jee, kwa mf, angekuwa mzazi wako ungemuacha hila tunamshukuru Allah Alhamdulillah kwa kutoka salama

    • @elvisnzovu8282
      @elvisnzovu8282 Місяць тому +5

      Msimlaumu huyo kutoka pekee yake,, ajali kama hiyo kila mtu lazima apate wenge. hivi km ni ww ungefikiria kuwa mnatokaje wawili? Acheni kulaumu mtu.

    • @GeofreySemadinga-l2z
      @GeofreySemadinga-l2z Місяць тому

      ​@@elvisnzovu8282ndugu hao wanaraumu hawajah kuwakuta pengine wangekua hao inaonekana wasngekumbuka atawatoto wao

    • @NtamamiloGibson
      @NtamamiloGibson Місяць тому

      Unaongea tu hauja pata ajali. Popote mtu hujiokoa yeye Kisha kufanya utaratibu wa kuwasaidia wengine. Maelezo yake hata yeye alikuwa na wenge.

    • @salhachumi1814
      @salhachumi1814 Місяць тому +1

      Jmn siyo kosa kwenye Ajali kila Mtu anaangalia afya take saa Mzee angekuwa anamguata mwenzie alipokuwa akitafuta njia ili wajikwamue wote asa ulitaka akitoka aludi tena akati Mzee yeye kajikatia Tamaa jmn 😭😭😭 hat hivyo hakumuacha ndomaana kwasababu yake kutoka wakatolewa na wengine kutokana na maelezo take

    • @rukiajumaa574
      @rukiajumaa574 Місяць тому

      Mnamlaum bure huyu kaka,binafsi namuelewa coz taharuki ikitokea kwanza mtu anapata uoga,anaona km anakufa mwenyewe ko pale unajitazama wewe,,so kiuhalisia namuelewa

  • @IdrisaTuppa
    @IdrisaTuppa Місяць тому

    Eti Siwezi Kufa Hivi Hivi😂 Pole Sana Ndg.

  • @agnestesha7835
    @agnestesha7835 Місяць тому

    Ongera sana mungu ni mwema sana , ila umezungua kumuacha huyo mzee kwenye matatizo utakiwi kuwa mbinafsi Mungu hapendi

  • @MahitaMdiga
    @MahitaMdiga Місяць тому

    Pole.sana kaka angu mungu ni mwema jamani❤😮😢

  • @ZaharaJonathani-b9i
    @ZaharaJonathani-b9i Місяць тому +2

    Ya allah waokoe waliobado hawapata msaada ee mwenyez mungu😢😢😢

  • @FridaClaydon
    @FridaClaydon Місяць тому +3

    Pole Sana mdogo wangu, hakika nimelia kwa uchugu

  • @preciousmarya6423
    @preciousmarya6423 Місяць тому +1

    Pole mnoo ndugu yangu 😢😢😢

  • @SwaumAwadh-v1d
    @SwaumAwadh-v1d Місяць тому

    Allhamdulillah mungu mkubwa tunashkur kwa kupona jirani yng😢

  • @maryamsaleh4787
    @maryamsaleh4787 Місяць тому +9

    😢😢😢😢😢 dah wew kaka umeniliza 😢😢 dah mungu ni mwema alhamdulilah

  • @PoulMilanzi
    @PoulMilanzi Місяць тому

    Mungu waokoe watu waliopo chini ya jengo lililoporomoka huko Kariakoo

  • @JamesElidadi
    @JamesElidadi Місяць тому

    pole sana tuendelee kumuomba mungu

  • @elizabethbarnabas115
    @elizabethbarnabas115 Місяць тому

    Pole Mungu yu mwema Kila wakati

  • @DaudiSiwiti
    @DaudiSiwiti Місяць тому

    Mungu awakumbuke kwa kweli

  • @SharhabilMuhamed
    @SharhabilMuhamed Місяць тому

    Dah! Polen ndugu zetu yote mipango ya mungu iyo

  • @Sheba4651
    @Sheba4651 Місяць тому

    Kifo huja ghafla, la muhimu kumjua Mungu wa kweli na wapekee kisha kumuabudia ipasavyo.

  • @dorothyannan8184
    @dorothyannan8184 Місяць тому +1

    Mungu awafanyie wepesi

  • @Rawdha-y8t
    @Rawdha-y8t Місяць тому +6

    pole ila waliokufa sio wajinga ..

  • @mireillebabilone1970
    @mireillebabilone1970 Місяць тому

    Mungu Mkubwa kwa kweli, na poleni saana, na poleni kwa familia zote zilizo poteza

  • @thabealaizer3313
    @thabealaizer3313 Місяць тому

    🙏Mungu nakushukuru

  • @AziziMapunda-vt4nv
    @AziziMapunda-vt4nv Місяць тому +1

    Mungu Asante unazidi kuokoa awa

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u Місяць тому +4

    Mshukuru sana Mungu umetoka kwa uwezo wa Mungu

  • @endlessloveofchristlovewor9991
    @endlessloveofchristlovewor9991 Місяць тому +2

    Jina la BWANA ni ngome imara. Wenye haki hukimbilia kwako wakawa salama.
    Mithali 18;10

  • @MaryMaurus
    @MaryMaurus Місяць тому

    Pole Saaaaaana kaka

  • @roitanzumile5955
    @roitanzumile5955 Місяць тому

    Mungu amekuponya kamshukuru Mungu wako

  • @VENANCEAUGUSTINO
    @VENANCEAUGUSTINO Місяць тому

    Mungu awasaidie,muacheni apumzike

  • @pembemussa2804
    @pembemussa2804 Місяць тому

    Bin adam hata asipotambua uwepo wa Mungu akumbuke siku atakapo Ona sasa roho yake yatoka hapo ndipo huamini ya kwamba Mungu yupo
    Mfano mzuri wa uwepo wa Mungu ni pale uwe kwa ndege then rubani atoe tamko ya kwamba ndege iko kwa bad situation kwahyo kila mtu aombe sala yake ya mwisho hapo hata kama ulikua huamini Mungu km yupo siku hyo utatamka maombi yakuamini uwepo wa Mungu na kwamba hakuna wa kukuokoeni ispokua Yeye😢

  • @nadiafahad3926
    @nadiafahad3926 Місяць тому +1

    Alhamdulillah

  • @DaheerK
    @DaheerK Місяць тому

    Uyu kaka namjua duh mungu awabariki ndugu zetu

  • @AllyMadulu
    @AllyMadulu Місяць тому +1

    Allah anakupenda

  • @ReginaldRohho
    @ReginaldRohho Місяць тому

    Pole sana kaka mungu ni mwema

  • @songombingo108
    @songombingo108 Місяць тому

    Kwenye hali ngumu kama hii lazima utaomba Mungu kwa kila maneno 😂😂

  • @alphoncealmack9240
    @alphoncealmack9240 Місяць тому

    Sasa mdogo wangu hutakiwi kuishi tena maisha ulioishi mwanzo mpe MUNGU maisha yako kweli km ulivyokiri mwenyewe MUNGU akusamehe maisha yako.kitendo kile tu ndio kilikufanya ukaokoka na mauti ambayo ilishakuzingira

  • @gastordominic410
    @gastordominic410 Місяць тому

    Huyu jamaa anaweza kujieleza

  • @kimongemalyawere
    @kimongemalyawere Місяць тому

    Omari pole mwanangu

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 Місяць тому

    Nimefurahi sana ulipo sema MUNGU NISAMEHE DHAMBI ZANGU ZOTE AISEE WEWE NDIO UNAMKUMBUKA MUNGU SANA , HAKIKA MUNGU AKUTETEE KWENYE MAISHA YAKO

  • @paschaljoh5729
    @paschaljoh5729 Місяць тому

    Daah, Polen sana ndugu zetu

  • @omargargaar5611
    @omargargaar5611 Місяць тому +4

    Ni kudra za Allah ame kuokoa Allahmdulillah Allahmdulillah duwa ztu Allah awastiri wte walio bakia duwa ztu pole ndgu ztu

  • @MalandoJoseph
    @MalandoJoseph Місяць тому +1

    Poleni sana ndugu yangu

  • @PiyuschalesiPiyuschalesi
    @PiyuschalesiPiyuschalesi Місяць тому

    Poleni sana ndug zetu mlio patwa na majanga haya

  • @noelmbosa2736
    @noelmbosa2736 Місяць тому +7

    kaka nenda kaokoke maana ni Mungu kakutetea bila yeye usingeweza!

    • @josephwijengo8851
      @josephwijengo8851 Місяць тому

      Kabisa akaokoke aise

    • @RuqayaHamza
      @RuqayaHamza Місяць тому

      Akaokoke kwani amekwambia haswali au ya aan walokore mnakera mda mwingine kaaa

    • @mcback4384
      @mcback4384 Місяць тому

      ​@@RuqayaHamzauna mapepo ya allah

    • @omarylukindo5306
      @omarylukindo5306 Місяць тому +1

      Akaokoke kwenye nn??Kwan walio okoka hawafi??sema amshukuru mungu Zaid na zaidi,

    • @JohnNdatulu-l8z
      @JohnNdatulu-l8z Місяць тому

      Kabsaa​@@omarylukindo5306

  • @SEFOAliAli
    @SEFOAliAli Місяць тому

    Amakweli mungu ukumbukwa muda wa shida

  • @ndebilengelela6417
    @ndebilengelela6417 Місяць тому

    Classmet pole kaka aiseeeee.

  • @TumainieliMamuya
    @TumainieliMamuya Місяць тому

    Mungu ni mwema sana

  • @HijaMussa-v5r
    @HijaMussa-v5r Місяць тому

    Mungu awasadie majeruhi na awajaalie subra wahanga wote..

  • @KundaelGeorge-tv8mz
    @KundaelGeorge-tv8mz Місяць тому

    Mungu mwema sana jamani. Mungu azidi kuwatetea walioko chini

  • @jituakilimali15
    @jituakilimali15 Місяць тому

    Mwenyenzi mungu awape subira kila aliyeguswa na hili janga Tatizo kubwa ni Elimu za maEngineers wa Tanzania sijui wanasoma wapi hasa hayo matukio sio Yale yamekuwa endelezi

  • @trifoniambilo2400
    @trifoniambilo2400 29 днів тому

    Ple mungu no mwema

  • @zaitunially6898
    @zaitunially6898 Місяць тому +1

    Allah Akbar pole kaka

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw Місяць тому

    Badilikeni ndani ya nafsi zenu kila aliekua anafanya zambi atubie kwa mola wake na mkatoe swadaka sana na msjhukuruni mola wenu kwani amewatoa kwenye jambo kubwa sana lakin kwa Allaah ni madogo sana ole wake atakae endelea kufanya dhambi baada ya onyo hili la mwenyezi mungu kwenu

  • @BarakaSebastian-y5t
    @BarakaSebastian-y5t Місяць тому

    Umeokolewa na mungu mtumikie milele yote

  • @AshaOmary-qj7hg
    @AshaOmary-qj7hg Місяць тому +6

    Pole kaka mshukuru mungu kwa yote mitihani yake

  • @JonathanJackson-g1t
    @JonathanJackson-g1t Місяць тому

    opore sana

  • @MitchealMulongo
    @MitchealMulongo Місяць тому +3

    Ais mwanangu pole

  • @SemeniLinison
    @SemeniLinison Місяць тому

    Pole ndug yang

  • @munasuleyman3159
    @munasuleyman3159 Місяць тому +4

    Pole kaka angu kajitolee sadaka kwa watoto mayatima Allah kakuvua holi na jengine😢😢😢

  • @nyonzimaMobigo
    @nyonzimaMobigo Місяць тому

    Na yule mzee akabaki humo😢

  • @nikolatanolas6033
    @nikolatanolas6033 Місяць тому

    pole sana jamani maana sio mchezo mungu awayie nguvu maana dahhh

  • @mohamedimiraji5495
    @mohamedimiraji5495 Місяць тому

    Wakusanya kodi za majengo kwa digital tu hali ya kuwa mamlaka zao hazina muda wa kukagua majengo husika wana jambo la kujifunza.😮

  • @fatinaSeleman
    @fatinaSeleman Місяць тому

    Allah waokoe waja wako hakika wew ndiye mweny kutia wepes kila penye uzito

  • @fifo262
    @fifo262 Місяць тому

    Miundombinu ya ujezi ni mibovu sana sana sanaa

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 Місяць тому +1

    POLE SANA KWA WOTE WALIOPATWA NA HILI TATIZO. MUNGU AWASAIDIE. HUWEZI JUA YA KESHO MUNGU NDY ANAYEJUA YOTE TUISHI TUKIMTEGEMEA MUNGU.

  • @AminaMohamed-q3e
    @AminaMohamed-q3e Місяць тому

    Pole sana ndug yang Ila mche mung Leo ameokoa maish yak