WALIOCHINI YA VIFUSI GHOROFA LILILOANGUKA KARIAKOO WATOA UJUMBE MZITO|UOKOZI UNAENDELEA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 255

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s Місяць тому +13

    Subhana Allah 😭😭 laa illah haillah Allah 🤲 Yarrab..tusamehe dhambi....tufanyie wepes na utupe Tahfify Yaa Allah

  • @Kingstonbagamoyo
    @Kingstonbagamoyo Місяць тому +1

    Uokozi uendelee kifusi kupunguzwe,big up sana mlio karibu hapo mchikichi na wana janga wote tupo pamoja tulio mbali na kariakoo,,,mungu awajaalie mema afya njema wagonjwa na pepo ilio njema inshallah

  • @Mohamedmustafa-z9t
    @Mohamedmustafa-z9t Місяць тому +13

    😭😭😭😭 Eee Mola wetu, wanusuru waja wako, wanusuru ndugu zetu , ambao hatma yao iko mbele yako. Wapenguvu, weledi na umakini mkubwa wanaofanya kazi ya uokozi, waweze kuwaokoa ndugu zetu , tunakuomba kupitia majina yako matukufu, na Yale ya Barahatih wanusuru hao ndugu zetu, na utuondolee huo mtihani hakika wewe ndo muweza wa yote. Ulimtoa nabii Yusuf kwenye tumbo la Samaki akiwa hai , Kwa uweza wako. wanusuru ndugu zetu wakiwa hai, waungane nasi tubaki kukuabudu kama ulivyotuamrisha yaa Rabi , Wa Swalalahu Allah saydnaMuhammad, Alhamdulilah Rabil alamyina

  • @listerlujiso6009
    @listerlujiso6009 Місяць тому +28

    Mungu Wewe Ni Mkuu Sana Endelea Kujidhihirsha Juu Ya Hili Watoke Salama Kwa Ukuu Wako Mungu Tunakuomba😭😭😭😭🙏🙏

  • @marthalazaro9739
    @marthalazaro9739 Місяць тому +3

    MUNGU muumba wa vyote Naomba Uwafanyie wepesi., Naomba Uhurumie viumbe vyako. Amina

  • @AlexMwajanga
    @AlexMwajanga Місяць тому

    Da mungu awalinde uko mliko poleni sana ndugu zetu waanga wa tukio hili😢😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @JoyFull-w1l
    @JoyFull-w1l Місяць тому +2

    😭😭 Mungu wasaidie watoke salama nakusihii..wewe uliewatoa shadrack meshack na Abnego ktk tanuru la moto fanya na kwa hawa Bwana🙏🙏

  • @nicolauswandao8988
    @nicolauswandao8988 Місяць тому

    Poleni sana ndugu zetu bado tupo na ninyi Mungu atawasaidia mtaokolewa wote mlio hai. MUHIMU ZAIDI Tuendeleee kuomba Mungu bila kukata tamaaa😭😭😭 Kwa imani mtaokolewa

  • @jafarimsigwa277
    @jafarimsigwa277 Місяць тому +1

    Mwenyezi Mungu naomba uwanusuru watu hawa , na utupe amani ktk Taifa kusiwe na vita yakashambuliwa maghorofa maafa haya yanatisha.

  • @AgnessIlumba
    @AgnessIlumba Місяць тому +1

    mungu wewe ni mkuu sana Endelea kujidhhilisha hili jambo watoke salama kwa ukuu wa jina lako

  • @Naiboy-v3y
    @Naiboy-v3y Місяць тому

    Dah inauma sana pole sana ndugu zetu mlopata matatizo mwenyez mungu atawalinda mtatoka salama

  • @ZulfaZulfa-yr7nd
    @ZulfaZulfa-yr7nd Місяць тому +1

    Emora wasaidie waanga wafanikiwe kutoka uko waripo🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭

  • @GodfreyPattzoh
    @GodfreyPattzoh Місяць тому

    Poleni ndugu zetu mliopatwa na janga hilo na mlio tangulia mbele za haki mungu awalaze mahali pema.ushauri kwa serikali iongezwe sheria ndogo ghorofa zisijengwe kwenda juu sana alteast mwisho ziwe ghorofa nne kwa wale ambao wanahitaji kujenga ghorofa ili tuweze kuepukana na changamoto kama hizi za kupoteza nguvu kazi

  • @glorydaniel6549
    @glorydaniel6549 Місяць тому +1

    Mungu wangu tunaomba uwaokoe hawa ndugu zetu, bila wewe sisi hatuwezu🙏🙏😭😭😭😭😭😭😭

  • @stanleyshedrack2386
    @stanleyshedrack2386 Місяць тому

    You tube channell nyingine smart hapa bongo ni hii hapa....safi sana

  • @KasangaKalanga-vo6od
    @KasangaKalanga-vo6od Місяць тому +1

    Poleni Sana ndugu zetu, serikali ifanye haraka basi kuwaokoa

  • @JamilaKhamis-b5w
    @JamilaKhamis-b5w Місяць тому

    Mungu nimkuu sana atawalinda watatoka salama

  • @JaneBinyanya
    @JaneBinyanya Місяць тому

    Poleni sana ndugu zetu eeeh Mungu wasaidie🙏🙏

  • @GdFf-ik2eo
    @GdFf-ik2eo Місяць тому

    Yaa Allah tunakuomba mola mtukufu uwafanyie wepesi uwawezeshe watoke nje ya rabby

  • @AsmaKasimu-d4d
    @AsmaKasimu-d4d Місяць тому

    Ee Mwenyezi MUNGU ukuu wako ni wawako Simama nasi Eeee Mungu

  • @Elizabeth97-d1v
    @Elizabeth97-d1v Місяць тому

    Poleni wote walioangukiwa mungu awakupatie🤲🤲🤲🙏🙏

  • @aminattai2676
    @aminattai2676 Місяць тому +2

    Duniani binaadamu hatakiwi kumdharau mtu yoyote yule,usijione unapesa ni tajiri au wewe ni family gani au unamiliki kiti gani au wewe ni muumini gani au wewe ni kabila gani,tujifundishe kitu kupitia ajali hii,watu wanyonge wengine masikini au wengine walikuwa wanadharauliwa na wahusika wa biashara maeneo haya,ila leo anakusaidia mtu usiemtarajia na humjui na inawezekana hana lilote katika maisha yake ili amuokoe binaadamu mwenzake na katika zoezi ilo nina imani kuna wengine ata wanahatarisha maisha yao ili kufanya kulicho bora ili maisha ya mwengine yaokolewe.ALLAH ATUJAALIE SUBRA KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU KWA ZILE FAMILIA ZILIZOPOTEZA WAPENDWA WAO AMBAO ATA SISI NI WAPENDWA WETU KAMA SEHEMU YA JAMHURI WA TANZANIA SIMANZI NA VILIO VINATUHUSU,INNALILAHI WAINNAILAYHI RAJIUN

  • @JamilaMoha-p5u
    @JamilaMoha-p5u Місяць тому

    😭😭🙏ewe mola wetu wanusuru waja wako wanusuru ndugu zetu wape nguvu ili waweze kutoka kwenye Hilo jengo la golofa lililopolomoka 😭🙏

  • @JoycSamsonyitale
    @JoycSamsonyitale Місяць тому

    Mungu tusema asante bab asante san kwakuwaokowama

  • @NeemaNeema-x8y
    @NeemaNeema-x8y Місяць тому

    polen sana ndugu mungu awalinde nakuwatia nguvu

  • @JinibalagoBalago
    @JinibalagoBalago Місяць тому

    Mungu awasaidie xana ndug zetu

  • @NeemaMayala-zt6bb
    @NeemaMayala-zt6bb Місяць тому

    Mungu awafanyie wepes ndug zetu na awape umakini Zaid wanao waokoa eeeMungu wang nakuomba uwanusulu ndg zet katka janga hil

  • @AishaSefu-x9m
    @AishaSefu-x9m Місяць тому

    Mmmh polen sana mungu awatienguvu inshallah

  • @songoro1556
    @songoro1556 Місяць тому

    Poleni sana ndungu zangu mungu awatie nguvu

  • @NasserLumumba
    @NasserLumumba Місяць тому

    Mwenyezi Mungu awanusulu ndugu zetu inauma sana

  • @NasoroSaidi-z4m
    @NasoroSaidi-z4m Місяць тому

    Mungu Waonekanie Hawa mungu Muweza wayote ameen

  • @KhamisJumanne-q2l
    @KhamisJumanne-q2l Місяць тому

    Poleni sana wapambanaji Mungu awapiganie

  • @MahamuduNjogoro
    @MahamuduNjogoro Місяць тому

    Huluma sio malezi wapambane na maisha yao ndomana tuna ambiwa tumche mungu

  • @SeifuOmari-c8v
    @SeifuOmari-c8v Місяць тому

    Heee mwenyezi mungu wafanyie uwepesi ndugu zetu jaman

  • @noreenmichael-u4s
    @noreenmichael-u4s Місяць тому

    Mungu awape wepesi 🤲

  • @EvalineUrio-y9q
    @EvalineUrio-y9q Місяць тому

    Mungu azidi kutetea maisha yenu😢😢😢😢

  • @hemedmwipopo780
    @hemedmwipopo780 Місяць тому

    Inshaallah Mwenyezi Mungu atawaokoa.

  • @WerongoKavuta
    @WerongoKavuta Місяць тому

    Mungu wewe nimwema sana kwetu siku zoto wasaidie waja wako. Watoke salama

  • @Happywillson-tp4ix
    @Happywillson-tp4ix Місяць тому

    Eemumba wetu waponye baba tunakuomba utende jambo kwao😢😢😢 baba yetu

  • @ShilaziMussa
    @ShilaziMussa Місяць тому

    Poleni Sanaa ndugu zangu Kwa tukio Hilo la kusikitisha mung ata wanusuru

  • @AndulHida-hs5py
    @AndulHida-hs5py Місяць тому +1

    Poleni sana wanakariakoo, Mola awapokee na awasamehe makosa wao walofariki na wale waliopata majeraha mola awaponye inshaallah.

  • @ZaituniMussa-o3l
    @ZaituniMussa-o3l Місяць тому

    Allah awafanyie wepes watoke salama

  • @EDWARDMSAGATA
    @EDWARDMSAGATA Місяць тому

    Poleni sana mungu tenda miujiza WaPo nye watuako

  • @FrankEnos
    @FrankEnos Місяць тому

    Poleni sana watanzania wenzangu mimi ni frank enos nikiwa mwanza

  • @OlivaMwimbile
    @OlivaMwimbile Місяць тому

    Jamani ndugu zetu Mungu aendelee kuwaponya watoke salama

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 Місяць тому +1

    Eeee Mungu tunaomba msaada waokoe hao sisi ni wenye dhambi tusamehe.

  • @AbdulnasirKhamis
    @AbdulnasirKhamis Місяць тому

    Polen san allah awafanyie wepes inshallah

  • @SeifuOmari-c8v
    @SeifuOmari-c8v Місяць тому +2

    Heee mwenyezi mungu wafanyie uwepesi ndugu zetu jaman😂😂😂❤❤😢

  • @RamadhaniJulius-o5j
    @RamadhaniJulius-o5j Місяць тому

    Mungu awasaidie jamani polen... Sana

  • @KM-hx8zy
    @KM-hx8zy Місяць тому

    Bwana Yesu saidia walio wako, na wanao mtaka Shetani wapigwe!

  • @ZeituniKuhowa
    @ZeituniKuhowa Місяць тому +2

    Ehe mwenyezimungu wanusulu ndugu zetu walioko huko kwenye kifusi

  • @estersamwel5028
    @estersamwel5028 Місяць тому

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Eee Mungu mwenyezi twaja mbele zako baba waokoe ndugu zetu kila kitu Kiko mikononi mwako

  • @hekimalyaumi8214
    @hekimalyaumi8214 Місяць тому

    Mungu yupo pamoja nanyi hajawahi tuacha

  • @AndreaMahali-o4i
    @AndreaMahali-o4i Місяць тому

    Ee mwenyez mungu wasaidie watoke salama

  • @SophiaJoseph-bg6oo
    @SophiaJoseph-bg6oo Місяць тому

    Ee Mungu wasaidie Watu wako watoke salama😢😢

  • @KhadijahezronHezron
    @KhadijahezronHezron Місяць тому

    Mungu wetu wewe ni mkuu sana wakumbuke watu wako

  • @FloraMwasha
    @FloraMwasha Місяць тому

    Mungu awe kiongozi wenu JMn inauma sana

  • @MaryamKingazi
    @MaryamKingazi Місяць тому

    Yarab wasaidie waja wako🤲🤲🤲

  • @NusuraSaid-s9h
    @NusuraSaid-s9h Місяць тому

    Allah awafanyie wepesi watoke salama

  • @leylam2121
    @leylam2121 Місяць тому

    Subbhanallah yani uhuu nimtiani na anaweza kuufaulisha ni Allah pekee

  • @MidredEsau
    @MidredEsau Місяць тому

    Daah jmn tuzidikumuomba mwenyezi mungu

  • @goldenwizzytz
    @goldenwizzytz Місяць тому

    Mungu awaongoze majeruhi na awapunguzie adhabu ya kabri

  • @EmmaculeteAuma
    @EmmaculeteAuma Місяць тому

    Ala kariako n ya tzd mm nilidan n apa Nairobi kumbe kariako n mingi polen sna

  • @AbujadiAbdalaAbujadiAbujad
    @AbujadiAbdalaAbujadiAbujad Місяць тому

    poleni sana

  • @TedySway-vp1fv
    @TedySway-vp1fv Місяць тому

    🙏🙏🙏 mungu nimkuuu

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 Місяць тому

    Allah awatoe salama wote inshaallah

  • @EliasNtejile
    @EliasNtejile Місяць тому

    Poleni sana ndugu watanzania wenzetu

  • @Allybinamour
    @Allybinamour Місяць тому

    allah awafanyie wepes ndugu zetu

  • @TimothySirya
    @TimothySirya Місяць тому

    YESU anaweza na wataokolewa wote

  • @rosembepera
    @rosembepera Місяць тому

    Mungu yupo atasaidia

  • @UpendoLuvata
    @UpendoLuvata Місяць тому

    Mungu awasaidie

  • @RaithRaithnes
    @RaithRaithnes Місяць тому

    Ee mungu simama juu yail polen xan

  • @ELYNEEMANAMAN
    @ELYNEEMANAMAN Місяць тому

    Mungu awasadie ndugu zetu jmn tuendelee kuwa

  • @JaneMushi-w8s
    @JaneMushi-w8s Місяць тому

    Nimelianjaman mungu wasaidei watoke hai

  • @Bintabubakar-id2so
    @Bintabubakar-id2so Місяць тому

    Yarab wajalie waja wako uwatoe Salama 😢😢😢

  • @HappyAbihud
    @HappyAbihud Місяць тому

    Mungu atutie nguvu watanzania

  • @HappyAbihud
    @HappyAbihud Місяць тому

    Eee mungu naomba usikie kilio chetu watanzania naomba uwalinde ndugu zetu walioko kwenye kifus watoke wakiwa hai uwiiiiih mungu eeee

  • @EmmanuelDauda-w3c
    @EmmanuelDauda-w3c Місяць тому

    Mungu awasaidie watoke salama

  • @ShabaniMakumbi-c6z
    @ShabaniMakumbi-c6z Місяць тому

    Allah subhanahu wataala ajaalie uopkovu huu uishe salama na kuwahfadh hao walokwepo kwenye majanga haha na piah serikali ifanye jitihada na kuharakisha hili

  • @SiwakoKalengela
    @SiwakoKalengela Місяць тому

    Poleni sana mungu mwema

  • @hamidukidika
    @hamidukidika Місяць тому

    Eee Mwenyezi Mungu wafanyie wepesi ndugu zetu jamani

  • @Husseinlaila
    @Husseinlaila Місяць тому

    Onh poleni sana ndugu na jamaa kwawale wote waliopatwa na hili janga😂

  • @FrolaKhatibu-x7y
    @FrolaKhatibu-x7y Місяць тому

    Mimi ni nani nisitoe shukulani zangu kwa mungu kunifikisha apa nilipo eeeh mungu naomba uwaguse wote watoke salama kwani sisi atuwezi bila wew😂😂😂

  • @OdethaThabeety
    @OdethaThabeety Місяць тому

    Poleni sana 😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @OmarMiraj-p6m
    @OmarMiraj-p6m Місяць тому

    Allah awafanyie wepesi

  • @DorixFirm
    @DorixFirm Місяць тому

    Mungu awe msaada jamni

  • @MathaMartin-h2r
    @MathaMartin-h2r Місяць тому

    Serikali yetu isiyojali watu inafanya uchunguzi usioisha. Na hapa utasikia " tunafanya uchunguzi" 😢

  • @Sona-f7k
    @Sona-f7k Місяць тому +1

    Poleni sana mandugu zetu watanzania😭😭

  • @OsolinaBrown
    @OsolinaBrown Місяць тому

    Daaah mungu wewe ndio tegemeo letu😭😭😭😭

  • @georgechares8725
    @georgechares8725 Місяць тому

    Mmm tungejipanga kuondoa kifusi hata kwa mikono kingeisha mapema amini

  • @JosephNyeli-e5s
    @JosephNyeli-e5s Місяць тому

    Poleni sana

  • @Martindavid-g5x
    @Martindavid-g5x Місяць тому

    Mungu wasaidie sana

  • @ramadhanhassan5285
    @ramadhanhassan5285 Місяць тому

    Mungu atawasaidia dah inauma poleni tuko nanyinyi

  • @reginamoi
    @reginamoi Місяць тому

    Mungu.wanusulu.watoke.salama

  • @ShukuraniWilondja
    @ShukuraniWilondja Місяць тому

    Mungu tuhonekaniye

  • @KilianPhilibert
    @KilianPhilibert Місяць тому

    Polee sanaa

  • @TedySway-vp1fv
    @TedySway-vp1fv Місяць тому

    Mungu nimwema sana

  • @Kopa-u7n
    @Kopa-u7n Місяць тому +2

    Sorry wa tazanya I'm mumba evans uku zambia ❤😂😂

  • @abbykashuba4332
    @abbykashuba4332 Місяць тому

    Daaa ina uma sana pileni sana mungu ata waponya

  • @MwahijaAbdallah-l6k
    @MwahijaAbdallah-l6k Місяць тому

    Allah awaponye🙏🙏