#live_HUYU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 402

  • @AbdulaziziAlly-z3q
    @AbdulaziziAlly-z3q 12 днів тому +22

    Jamani tuweni wa kweeli shekh kishki ktk Hili yupo sawa. Allah amesema tusijitakase nafsi zetu.

  • @fawziyahassan5714
    @fawziyahassan5714 5 днів тому +4

    Nasimama kwa Jina la Mungu na Mtume Muhammad saw
    Hawa wote ni washirikina na Mungu atawalipa ujira wao haoa duniani na kesho Akhera Muto wenye nguvu utawababu hadi vichwani mwao labda Mungu awajaalie Rehma zake Warejee kwa Mungu
    Wakumbuke dhambi ya Ushirikina na kuhadaa ni mbaya zaidi ya Uzinifu

    • @fahhadsaleem6012
      @fahhadsaleem6012 3 дні тому

      Mpende Allah umpendavyo na mtume wake ni mwiko ktika mafundisho ya kiislam kuhukumu umeghazibika mtume asema s.a.w zungumza jema au ukishndwa kaa kimya ...Allah atustiri ndimi zetu naisihi nafsi yangu na yako pia

  • @umukulthumu1419
    @umukulthumu1419 11 днів тому +11

    Shekh kishki nimmoja tuu nijeshi lamtu mmoja mtaungana sana shekhe kishki endelea kuwabomoa hawa mafisadi wanaotaka kuifisadi dini yetu kuitia dowa kwa sababu ya matumbo yao yan yote mnayofanya kumfanya kishki aonekane mbaya na mwenye wivu ila anaongea kuokoa makundi yawatu hasa wanawake 😭

    • @mohamediliyei5879
      @mohamediliyei5879 6 днів тому

      Usharifu ni kosa wapi alafu kula mirungi ikawe halali jamani chuki hazina maana kwenye dini tunazijua hila za hao masalafi wenu tunawauzia mirungi je ni wapi mirungi halali kuliwa acheni chuki za ajabu na mkiendelea tutawapost ili muone uovu wenu japo mwawapigia debe

    • @mohamediliyei5879
      @mohamediliyei5879 6 днів тому

      Usharifu ni kosa wapi alafu kula mirungi ikawe halali jamani chuki hazina maana kwenye dini tunazijua hila za hao masalafi wenu tunawauzia mirungi je ni wapi mirungi halali kuliwa acheni chuki za ajabu na mkiendelea tutawapost ili muone uovu wenu japo mwawapigia debe

  • @MamahetuChikuti-mp5lj
    @MamahetuChikuti-mp5lj 13 днів тому +9

    Subhanalla😢😢😢 Tena wasema nipe so wamsifu ili upewe pesa Innalillahi wainnahillahi rajiun mungu atuongoze katika njia iliyonyooka insha Allah

    • @rahmaally5128
      @rahmaally5128 3 дні тому

      Amiin, huyu nae anatak kupita njia ya alhad musa , Allah awaangamiz kwa kutetea kwao shirk

  • @SAFIAFOMAR
    @SAFIAFOMAR 3 дні тому +2

    Sheikh Waleed nakupenda na kukuheshimu sana ila kwa hili umeniangusha

  • @HALIDIGITANO
    @HALIDIGITANO 13 днів тому +8

    Allah atujaalie mwisho mwema, mwanadam NI mwenye mapungufu

  • @RamjaaneKing
    @RamjaaneKing 4 дні тому +2

    Uyo Firdaus Ana usharifu Wowote

  • @Assiya39
    @Assiya39 12 днів тому +7

    Subhanallah 😭 uwislam unauzwa jmn njaaa mbaya 😢

  • @HadinanKimimbi
    @HadinanKimimbi 10 днів тому +4

    Kishki Tunakupenda Tena Tunakukubari Sana Ujumbe Umefika

  • @mzeemzee7503
    @mzeemzee7503 13 днів тому +10

    TATIZO SI USHARIFU WENGI WAMEJIFICHA NDANI YA DINI HALI WAMEVAA NGOZI YA KONDOO NI MASHEKHE WAISLAMU HADHI KUBWA WAKATI WAFEDHEHA UMEFIKA WANAOGOPA IZARA ALLAH ALISHAAHIDI UKWELI LAZIMA UDHIHIRI KWA ULIMWENGU UWE MSHIRIKINA YOYOTE DHULMA AINA YOYOTE MALIPO NIHAPA DUNIYANI AKHERA NI HESABU ❤

  • @abuuammar4924
    @abuuammar4924 13 днів тому +13

    Tulimwambia kishk hawa watu sio wa kukaa nao..ona sasa wanamgeuka kwa sabab ya pesa.

    • @Kalaharidesertstorm
      @Kalaharidesertstorm 13 днів тому +2

      Hakuna siku hakki na batil itawahi kuwa sawa ukiwategemea Hawa jama kwa mambo Yako mengine msimamo utaiwacha ama ukubadili unyonge 😂 maana Hawa batil hawaiwachi maadamu Kuna maslahi

  • @omarymbwana9798
    @omarymbwana9798 13 днів тому +11

    Hawa wote ndio wale wale SHEKH Kishiki naamini huna zima mbele ya Allah kazi yko ushafanya hawata acha kuteteana wote ndio wale wale washirikina hawa

  • @JumaAthuman-bk6hx
    @JumaAthuman-bk6hx 13 днів тому +17

    Ukitaka kujua washirikina wa bakwata wote angalia vidole vyao ukiona amevaa mapete mawili mawili matatu ujue ni shida. Njaa za matapeli. Inna lillah wa inna ilayih rajiun.

    • @fadhilimusa9732
      @fadhilimusa9732 13 днів тому

      Wewe una utajiri acha husuda mche allah

    • @HuzeifaMsomali17
      @HuzeifaMsomali17 13 днів тому

      Basi Msijisifu Usafi kwani Allah anamjua sana mwenye kujikinga na Maovu. 53:32 Qur'an 📚📖✍️

    • @hamadsaid9021
      @hamadsaid9021 13 днів тому +1

      Umesema kweli

    • @bwagizoselemani8434
      @bwagizoselemani8434 13 днів тому +2

      Kwel kaka weng waganga hao hakuna anaebisha hapo

    • @sajumahege4903
      @sajumahege4903 13 днів тому +2

      Qadiria na uchawi ni chanda na pete, nitafutie hata darsa moja inayozungumzia tawheed. Vichenguzi vya uislam makemeo ya ramli hirizi, kuvunja nazi nioneshe hiyo darsa

  • @wasohaya
    @wasohaya 13 днів тому +4

    Inasikitisha sana kuona watu wakigombana kwa hili jambo ilhali Mola mwenyewe ameshatuambia tusizitakase nafsi zetu kwani yeye Allah ndio mjuzi wa Hilo.
    Yaani ummah tumekua tukivurugwa kwa Kila upande kuanzia nje hadi sisi kwa sisi wenyewe.
    Allah atuongoze . Amin

  • @zantaima4913
    @zantaima4913 9 днів тому +2

    Kiufahamu wangu hapa nimeelewa kuwa sheikh walid hajakusudia kuwa huyo Bwana ni sharifu wa Haqiiqiyah bal yeye mwenyewe amejiita sharifu yaani kajifanyia { UBUNIFU } Kwenye mambo yake anayoyafanya sio kwamba sheikh amekubali kuwa huyo kijana ni sharifu kihaqiqah { SILSILA } Wallahu a'lam.

  • @Rukaka_jr
    @Rukaka_jr 13 днів тому +14

    Njaa inaharibu imani zetu inna lillah wa inna ilaihi rajuuni, #tokomezamasharifuFake

    • @solomomadej
      @solomomadej 13 днів тому

      Mh

    • @HajiMgwami
      @HajiMgwami 13 днів тому +2

      KUA SHARIFU NI JAMBO LINGINE NA KUUZA MAFUTA NI JAMBO LINING, SHEIKH HARUHUSU KUUZWA MAFUTA AMESEMA YEYE NI SHARIFU, HATA KISHK HAJAMKATAA KUA NI SHARIFU ANAKKATAA KUUUZA MAFUTA AU MAJI KWA WATU, BASI

    • @yousufNyange
      @yousufNyange 13 днів тому

      sas kama njaa inaharib imani sindo tuwape hela masheh wazidi imani ,,

    • @yousufNyange
      @yousufNyange 13 днів тому

      Ww untaka uwaone wanakufa njaa ndousema mashallah et,

    • @MohamediJafari-fg5vt
      @MohamediJafari-fg5vt 12 днів тому

      Acha ujinga na wew yani ili mradi tu mtetean.​@@HajiMgwami

  • @AbdallahShaabani
    @AbdallahShaabani 13 днів тому +9

    Hayo ndiyo Yana haribu dini ya Allah na wasipo jirekebisha moto unawahusu pumbavu sana

    • @shabaniahadi4387
      @shabaniahadi4387 13 днів тому +1

      Hivi mbona kuna watu hamjui kuelewa, tuna mashaka na walimu wenu

    • @abdulsakibu
      @abdulsakibu 13 днів тому

      Dini inaharibika kwa kuwalingania watu? Au we ulitakaje hebu acha husda na matusi ya rejareja kwa mashekhe huo si umaridadi na si mafundisho ya mtume

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 13 днів тому

      Unaalibu dini ni wewe kwa upizani wako wa kijinga upati crocheted alafu usiku ulali chefu

    • @AbdallahShaabani
      @AbdallahShaabani 13 днів тому +1

      @@abdulsakibu hapo shekh yupo wapi hapo hakuna shekh hivi unajua daraja la kuitwa shekh na Kuna sudesi waitwe nani ujinga mtupu shekh alafu ni mganga wa matunguli😂😂😂😂😂

    • @mussaissa6796
      @mussaissa6796 13 днів тому

      MUNGU NI MAMAAKO MWEHU WEWE

  • @mahfoudhmabrouk809
    @mahfoudhmabrouk809 12 днів тому

    Inna loylaahi wa inna ilayhi raajiwna!!
    Allah atusamehe na atupe mwisho mwema!!
    Huu ni mtihani kwa waislam .

  • @tausifautini407
    @tausifautini407 9 днів тому +1

    Kishk usiogope kula nao sahan moja
    Njaa zinawasumbua
    Wanaudhalilisha wisilam
    Kishik ni mmoja tuuuuu☝️

  • @bibleknowledge-b1y
    @bibleknowledge-b1y 12 днів тому +3

    Yesu Kristo alikufa kwa ajili yenu..

    • @choggysly3541
      @choggysly3541 11 днів тому

      Kwahiyo sisi hatufi😮

    • @bibleknowledge-b1y
      @bibleknowledge-b1y 11 днів тому

      ​@@choggysly3541Unajua kwanini yesu kristo aliuwawa(mateso) ni kusawazisha(suluhu) ya dhambi...Unapomkosea Mungu na unamkosea mwanadamu ambayo inapelekea mtu kulalamika kumwambia Mungu kwanini.. Lakini kwa vile yeye anayelalamika mwenyewe ni mwenye dhambi ili afunge malalamiko...Mungu atamtazama Yesu Kristo kwanini huyu hakutenda dhambi bali ameteseka kwa sababu ya hao wenye dhambi..... Yesu aliteseka alitukanwa, alipigwa, alikufa, alijaribiwa na shetani n.k yote mabaya. ...Ili Mungu aonyeshe haki kwa...YESU ANAKUPENDA.....
      Maandiko yanasema Yesu kristo alijaribiwa katika yote bila dhambi..mf wa malalamiko soma jinsi habil anavyomlalamikia Mungu baada yake. kifo (Mwanzo 4:10).
      Waebrania 2:17 Kwa hiyo ilimpasa kufananishwa na ndugu zake katika mambo yote, apate kuwa kuhani mkuu mwenye rehema na mwaminifu katika mambo ya Mungu, ili afanye *upatanisho* kwa dhambi za watu.
      Waebrania 2:17
      [17]Hivyo ilimpasa kufananishwa na ndugu zake katika mambo yote, apate kuwa kuhani mkuu mwenye rehema, mwaminifu katika mambo ya Mungu, ili afanye suluhu kwa dhambi za watu wake.

    • @bibleknowledge-b1y
      @bibleknowledge-b1y 11 днів тому

      ​@@choggysly3541kama huiamini kazi ya Yesu Kristo tayari wewe ni umepoteza kutoka hapa duniani... Ina maana umehukumiwa tokea hapa duniani kabisa(Haina haja ya kusema Bwana Bwana)... Tazama jinsi utakavyokufa na dhambi zako usipomwamini Yesu Kristo fanya kazi ya wokovu.. msingi wa jina Yesu.... Luka 24:47 na kwamba mataifa yote watahubiriwa kwa jina lake habari ya toba na ondoleo la dhambi, kuanzia Yerusalemu.
      Yohana 3:18 Amwaminiye yeye hahukumiwi; asiyeamini amekwisha kuhukumiwa; kwa sababu hakuliamini jina la Mwana pekee wa Mungu.

    • @selemanishabani6843
      @selemanishabani6843 10 днів тому

      unasli nini wakati alikufa kwa ajili yako,na utakufa wakati kuna mtu amesha kufia,si uish milele na uwe huru kufanya utakalo,kasome kwanza hatuongei na waigaji

    • @suleimanjabiri729
      @suleimanjabiri729 10 днів тому

      Huyu nae katokea wapi...

  • @5amediaonline335
    @5amediaonline335 12 днів тому +1

    KISHKI AWACHWE AFUNUE MACHO WATU WA KUFATA MIKUMBO ACHA AELEKEZE UMMA nyinyi Mshekh Ubwabwa Endeleni kupeleka Wailsamu Mnavotaka Nyie Allah Anawaona ma Mtaenda Kuwajibika

  • @khamisikhalfan4720
    @khamisikhalfan4720 5 днів тому

    Vibaraka wa sharifu mjitathmini ila huyu ametangaza haoi mpaka 75 na hazai mpaka 75 tena NDOA yake usiku wa manane hivi haitoshi kumuona kweli huyu ni mshurikina au pesa anazowapa ndio mnapigia debe subhanallah

  • @mohammadswaleh6900
    @mohammadswaleh6900 13 днів тому +28

    Huezi kuona masalafy wakihongana miskitini kama Hawa masufi,huyu kapewa hela kidogo Anakubali ni Shariffu je akipewa zaidi si atasema ni Mtume Haswa😮😮😂😂 Alhamdullah Alaa neemati Sunnah

    • @mailacamillius
      @mailacamillius 13 днів тому +4

      Acha FITINA na UFASIQI

    • @yasinkassim7131
      @yasinkassim7131 13 днів тому +4

      Sheikh اتق الله uliona wakati anahongwa au wadhania hivyo, na mtume anasemaje kuhusu dhana mbaya????

    • @shabaniahadi4387
      @shabaniahadi4387 13 днів тому +1

      Kama sio wewe hujui kusikiliza na kuelewa basi mwalimu wako anashida.
      Kwanza kwenye issue za kutunza kaanza mtume kumrunza Hassan Bin Thaabit alivyokuwa akimsifia kwa mashairi.
      Pili uelewe nini kasema kasema huyu anajiita sharifu, mkatae au mkubali ndiyo yeye kashajiita.
      Kaeni chini msome balagha na wenzake, hamtapata shida kuelewa maongezi ya wasomi

    • @SuolFat
      @SuolFat 13 днів тому +1

      Hhhhhhhh eti salafi wahuni tu hamna lolote

    • @muhammadkhatwab
      @muhammadkhatwab 13 днів тому

      MASALAFI WANAITANA DAJJAL
      ua-cam.com/video/wN-avA4NWsc/v-deo.htmlsi=eZjHiI6zgCnm_lUo

  • @mumking8985
    @mumking8985 13 днів тому +3

    Allah akulinde na husda za waja

  • @alidingongo443
    @alidingongo443 13 днів тому

    Njaa mbaya
    In Shaa Allah Ijumaa ijayo tuko na nyinyi

  • @Assiya39
    @Assiya39 12 днів тому +2

    Dunia ingekuwa basi wallah ningesimama nikashuka 🙌 si kwaupuuzi huu

    • @shaibchat8054
      @shaibchat8054 11 днів тому

      Kama unataka kushuka duniani we kufa

  • @tigerroar3545
    @tigerroar3545 4 дні тому

    Njaa mbaya sana makhurafi

  • @tibaasiligreatmoment8850
    @tibaasiligreatmoment8850 13 днів тому +1

    ولهذا قال الإمام ابن خلدون في مقدمته ( أول من أدخل السحر للمسلمين هم الصوفية)

    • @abuujibriltv5233
      @abuujibriltv5233 13 днів тому

      İmamu hawezi kuandika kiarabu kibovu namna hii. Ume mzulia

  • @DaudiSaid
    @DaudiSaid 7 днів тому

    Hatari sana ktk Dini uislam utanusuriwa na Allah pekee lkn si kwa masheiKh kama hawa leo hii waumini wamekuwa wateja mkoa wa Dar wallah haujapata sheikh sahihi bado ni mtihani mwingine tena

  • @Salhanafoo
    @Salhanafoo 8 днів тому

    Huu ni mtihan jmn kweli allahu akbar

  • @JumaJuma-i2g
    @JumaJuma-i2g 13 днів тому +5

    JAMAA ANATANGAZA BIASHARA YA SHARIFU WA MCHONGO

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 12 днів тому

      Ndio masufi walivyo, ndio maana imaam Shafy alisema mtu akiingia katika usufi asbuhi haitofika adhuhuri atakuwa mpumbavu.

  • @aishandayishimiye5127
    @aishandayishimiye5127 13 днів тому

    Allah akuhifadhi sheikh ❤❤❤

  • @5amediaonline335
    @5amediaonline335 12 днів тому +3

    Kishki Yupo sawa kabisa Nyie watu wa Kitwariqa Muna matatizo sana Watu wa ISTIHIDAMI

    • @AbdullDullah-e5k
      @AbdullDullah-e5k 9 днів тому

      Usisemee nafsi ya mtu mwingine kwa mana hata ww hujakamilika

  • @MunahyaMubaraka
    @MunahyaMubaraka 13 днів тому +12

    Najivunia kuwa mwana sunnaa maan ss hatututeteleki ovyooo aswaliwe mtu muhammad s, a, w

  • @LuqmanAndrew-nu9rx
    @LuqmanAndrew-nu9rx 10 днів тому

    Yaan hizi zama n mtihani kweli kweli, vita n waislan dhid ya waislam wenzao na makafir ndio marafik sasa😢

  • @ibrahimmussa212
    @ibrahimmussa212 7 днів тому

    Njaa mbaya sana duuuu aise

  • @MoJr-l9v
    @MoJr-l9v 13 днів тому +3

    Safi sana sheikh wa mkoa Allah akubariki sana Huyo ni Sharifu yule mwarabu atake asitake

  • @faridahalwaily85
    @faridahalwaily85 12 днів тому

    Muombeeeni mwenyezimngu Azidi kuwa some yaa wanaAdamuh unaambiwaa Quran nidawa..Na kulaa jambo ulifanyaloo nikutiyaaa niyaaaa Alhamdulillah tuu ukitiyaa niya mjaa wa mwenyezimngu huponaaa…

  • @mamuamtoto
    @mamuamtoto 11 днів тому +1

    Pesa imemlevya😮Sharifu ametukuzwa

    • @AishaIssa-ld8lw
      @AishaIssa-ld8lw 11 днів тому

      Hajatukuzwa jina laké fírdaus

    • @AishaIssa-ld8lw
      @AishaIssa-ld8lw 11 днів тому

      Hajatukuzwa jina laké fírdaus

    • @AishaIssa-ld8lw
      @AishaIssa-ld8lw 11 днів тому

      Hajatukuzwa jina laké fírdaus

    • @mamuamtoto
      @mamuamtoto 11 днів тому

      @@AishaIssa-ld8lw amemwita Sharif alipomtunza pesa .

  • @zeharaz4116
    @zeharaz4116 13 днів тому +1

    Inna lillah waina illahi rajoun Siku hizi hakuna mashekhe Kuna majanga mtu atumie Akili yake sio kufata kama mnyama tumepewa akili kesho at aseme yeye Nabii kashushiwa Wahi kutoka mbinguni

  • @dragon4397
    @dragon4397 3 дні тому

    matapeli mnachafuwa dini ya Islam may Allah guide you.

  • @rahmaally5128
    @rahmaally5128 3 дні тому

    Yani huyu nae sheikh mzima wa mkoa baada ya kutetea haqq na kusimama na watetea haqq anaporoj ujing na kusapot upotovu upuuz wallah adhab ya Allah kali iwashukie kwen , sheikh Kishk Allah Allah azid kukulind na kukup nguvu kwa kutetea haqq

  • @Mariam-ke4og
    @Mariam-ke4og 3 дні тому

    Shekh wa mkoa unaungana na Sharifu Feki wa mafuta ya upako subhanallah tumekwisha waislam hata wewe pia uko nao dah hatarii

  • @AhmedAladhary
    @AhmedAladhary 13 днів тому +3

    Tokalini sharifu akatangaziwa

  • @PillyShaweji
    @PillyShaweji 3 дні тому

    Huu ni mtihani chunguzeni Jamani hawa masharifu wanakuja mpaka hukukwetu kijijini hawapo kwajiri ya kusaidia watu ila wapo kipesa zaidi,tumuogope mola wetu hawa

  • @SophiaMbogo-in7yt
    @SophiaMbogo-in7yt 13 днів тому +1

    Shukuran jazaka Allah khairan Allah

  • @UmmaryLikinge
    @UmmaryLikinge 13 днів тому

    Maashaallah kheri..kama ujaelewa hapo ujue kunakitu kinakusumbua

  • @yasinirashidi6656
    @yasinirashidi6656 12 днів тому +1

    Innalillah wainnailayhi rajiun

  • @KhalidNa-bn4gp
    @KhalidNa-bn4gp 4 дні тому

    Vituanavyovifanya huyo anaejiita sharif niaibu aibu hata inchi nyinginee hasaaa wqntuonea ajb SUBHANALLAH

  • @BakarAliy
    @BakarAliy 13 днів тому +4

    Njaaa mbaya sana

  • @hijahamadi5793
    @hijahamadi5793 13 днів тому +2

    Kaamua kujiita sharifu, kama ni jina tu , uislamu hauna ugomvi na jina la mtu , lakini kama ni cheo akome kuwadanganya waislamu , ili apate kuwaibia PESA zao.

  • @StellahGodluck
    @StellahGodluck 8 днів тому

    Akika uislam ulikuja ukiwa mgeni na utarud ukiwa mgeni
    Na mwisho mwema ni kwawale wanaomcha mungu tu

  • @HafsaShekigenda
    @HafsaShekigenda 7 днів тому +1

    Huyo katoka tumboni kwa mama yake nakipaji chake naayo inamaanisha nini kuyaita upako Acheni zenu watu wengi wamepona kwani mmemuona anatunguri hata hajui kusoma vizuri quru, an lakini watu wamepona nawanaendelea kupona usikate tamaa endelea kutusaidia twakupenda NA tutaendelea kukupenda ❤❤❤❤

  • @KisuwaMwabaka
    @KisuwaMwabaka 12 днів тому

    Daaaaa Aya za Allah zinatumika vibaya 😢

  • @FahdIbnyussuf
    @FahdIbnyussuf 13 днів тому +3

    Ata mkiwa masharifu nyote haya ndo nn nawakati ni watu wa bidaaa nyote

  • @SaidMkasha
    @SaidMkasha 13 днів тому +3

    Tumepigwa hapa.. nilimuona wa mana kumbe nae ndo wale wale alhad

  • @RamadhanMgeni-gt1tu
    @RamadhanMgeni-gt1tu 13 днів тому +1

    Dah nimefurahii sana

  • @ZAINUKAMBAMTAFTAJI
    @ZAINUKAMBAMTAFTAJI 13 днів тому

    😢Jmn tuongee nabkurudi nyuma tukumbuke dhana ni mbya kwaiyo tusimdhanie mtu kuw nixhirikna anaejua ni mungu "tukumbuke kumdhania mtu ni dhambi kubwa mbele ya mwenyezimung (s a w)

  • @AdamChogo
    @AdamChogo 13 днів тому +1

    Mahasidi wameona upande wa sharf tuuu hawakucllza mengine hapo husda mbaya sana

  • @kichwaMasta-ys6wt
    @kichwaMasta-ys6wt 2 дні тому

    Shekhe sijategemea kua ungemkubali sharf feki hakika umenitoa machozi

  • @JustinePascal-i1t
    @JustinePascal-i1t 12 днів тому +1

    Waislam naona mmeanza kuumana wenyewe kwa wenyewe

    • @selemanishabani6843
      @selemanishabani6843 10 днів тому

      sio kuumana tunawekana sawa,hatutaki ubabaishaji katika dini

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 13 днів тому +1

    Mitihani shekh mkuu waited mashekh zetu uongee nao tusielekee huko .yarab tugeuziye haya mambo yakae sawa

  • @AbdulmajidAbdallah-mu1uy
    @AbdulmajidAbdallah-mu1uy 11 днів тому

    Mashekh mnatia aibu nyinyi ni kioo cha ummah mnayo yafanya mbele ya watu yanashusha heshima zenu

  • @MawazoAmily
    @MawazoAmily 6 днів тому

    Hakuna uislam saiz ni upigaji tuu na tutanyooka

  • @AbubakariKisuju
    @AbubakariKisuju 11 днів тому

    Pesa bwana"unaweza ukamkataa hata ndugu yako wa tumbo moja

  • @almaarifonlinetv
    @almaarifonlinetv 13 днів тому +1

    Laiti isingekuwako kauli ya Muhammad (s.a.w.w) kusema kuwa yeye ndiye mtume wa mwisho. Basi hawa wajinga wangejiita mitume na manabii. Ila kwakuwa hawawezi wanaona ukaribu walionao zaidi ni kujiita Sheikh, wakaona haitoshi wanajiita Masharif bado wajiite Mawalii tuu.

  • @officialkamdudu
    @officialkamdudu 9 днів тому

    nasimama na Sheikh Kishki hawa waganga njaa wengine wabaki na njaa zao mimi hapana

  • @matatamwaipopo-rp4vz
    @matatamwaipopo-rp4vz 11 днів тому +1

    Mashee wamchongo hao.

  • @Azza-o8c
    @Azza-o8c 8 днів тому

    Wewe Walid ninge kutukana lakini leo acha lipite ukirudi Tena kumpa mtu usharifu basi utakiona

  • @BrotherSunni-y2j
    @BrotherSunni-y2j 9 днів тому

    Usiangalie jengo Angalia elimu

  • @frankchipasura1814
    @frankchipasura1814 12 днів тому

    Huyo kweli ni sharifu,ninamiamini sana

  • @rashidjuma9774
    @rashidjuma9774 12 днів тому

    Tanzania 🇹🇿 maadili ya kidini yameisha kabisa 😢

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 13 днів тому +11

    Hata aseme nani we mshirikina acha ushirikina allah atakuchoma

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 13 днів тому

      Bilashaka Wewe Utakuwa Mshirikina Zaodi Yake. KHABITH LIAMALI

    • @yousufNyange
      @yousufNyange 13 днів тому +1

      Hivi jmani ushirikina tunapeana kama karanga 🤔

    • @yousufNyange
      @yousufNyange 13 днів тому

      Umemuona wapi akipandisha mashetan?????????

    • @ashanassoro6492
      @ashanassoro6492 12 днів тому

      Umesema ukweli huyu ni mshirikina

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 12 днів тому

      @@ashanassoro6492 Bilashaka Nawe Nimshirikina.

  • @DaudFataki
    @DaudFataki 13 днів тому +3

    Mashekhe njaaa

    • @abuujibriltv5233
      @abuujibriltv5233 13 днів тому

      Hizo ni nyimbo mme karirishwa. Shekh walidi ana njaa gani. We ndo una njaa

    • @DaudFataki
      @DaudFataki 12 днів тому

      @@abuujibriltv5233 tahanga ww diniyetu inaendeshwa kwa sheria marehem baba alikuwa sheikh au alikua rafkiyake shekheflan

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 13 днів тому

    " yashtaruun Iiimaanahum bi thamaanan qaleel"-

  • @Seif_Hassan
    @Seif_Hassan 12 днів тому

    😂 SIKILIZA VIZURI MANENO YA SHEIKH WALID "HUYU BWANA KAAMUA KUJIITA SHARIFU, MIPANGO MAENDELEO" WALID SHEIKH WANGU HAPO NIMEMUELEWA VIZURI SANA SIO ANA SUPPORT ILA WENYE AKILI WATAJIONGEZA 😂😂

    • @sharfumbarouk6168
      @sharfumbarouk6168 11 днів тому

      Yeye km kiongozi Tena wa dini msomi anaongea kwa mafumbo, Mtume s. a. w. Anasema ukiona uovu uondoe kwa mkono, wako au kwa ulimi au kuchukia ambao Ni udhaifu wa Imani , na yeye anasapoti 100%

  • @SharifuMickdady-wh7cl
    @SharifuMickdady-wh7cl 3 дні тому

    Hawa mashekh akiwemo mazinge wanafiki

  • @AllyShaban-ms7ot
    @AllyShaban-ms7ot 8 днів тому

    Njaa kal

  • @anraneamisse9243
    @anraneamisse9243 11 днів тому

    Tumwishwaaaa

  • @AbbMotors-pc4rx
    @AbbMotors-pc4rx 13 днів тому

    Yani hii nchi ssivi huko lamu Kenya Kuna masharif lkn huoni wakaleta maji ya upako Wala mafuta

  • @swabrianwar1020
    @swabrianwar1020 13 днів тому

    sheikh walid hajamkubali amesema " huyu bwana kamuua kujiita sharifu" kma ameamua kujiita saw lkin usharifu hana

  • @MuslimBashiru
    @MuslimBashiru День тому

    Mtajuuana na muomba wenu sharif kwako wew usitulazimishe eti shrif waslam namfumo anaotumia yeye hatunaga huo wamakafir ndotatizo caca aibu kubwa waislam kujifanananisha na makafili shekh umeyumba mshmba Kumbe wew unatmaaaa

  • @mybabyarchive2104
    @mybabyarchive2104 13 днів тому

    Tamaa ya pesa itaingiza masheikh wengi motoni. Hadi matapeli wanatetewa kweli tusubiri kiama tu

  • @mohdkhatib223
    @mohdkhatib223 12 днів тому

    Huyo anaeitwa sheikh walid kumbe ni mpumbavu sana anamtetea mshirikina!
    Lakini masufi ndio walivyo, tena alipopewa na pesa na yule sharifu upako ndo alizidi kumsifia ili aendeleze upumbavu.

    • @msafiriduwiya7765
      @msafiriduwiya7765 12 днів тому

      Hamjamuelewa Walid KASEMA huyu anajiita sharif ni MIPANGO TU utake NDO kashajiita usitake kajiita jueni kutafsiri LUGHA

  • @mudiali4506
    @mudiali4506 13 днів тому +1

    Maasha, Allah

  • @SalumKeya
    @SalumKeya 12 днів тому

    Ndugu zangu waislam kuweni makini na hawa masheikh wa bakwata wapo kwa Ajili ya maslahi yao binafsi c wakuwafata kbsaaaa

  • @ismailmkandara1813
    @ismailmkandara1813 12 днів тому

    Hakuna shekh hapa

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 13 днів тому

    Yaani masheikh na maviongozi ya dini mengi majingamajinga tu sijui tutafika lini wallahi

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu 13 днів тому +4

    Huyu ndo wale wale bakwata hapana shekhe ni wapiga dili

  • @khadijanurdin3163
    @khadijanurdin3163 12 днів тому

    Yaani we ni mtu wa mipango,na mazinge aachane na 9:12 awe wa mipango

  • @AllyShaban-ms7ot
    @AllyShaban-ms7ot 8 днів тому

    Achen tamaa nyinyi

  • @dragon4397
    @dragon4397 3 дні тому

    naona ayibu hata kutazama clip hizi chawa.

  • @remedymoody
    @remedymoody 7 днів тому

    Huyu Shekhe anapewa rushwa hapo hapo mbele watu bila aibu.

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 13 днів тому +1

    Njaa

  • @AyubKasirani
    @AyubKasirani 13 днів тому +1

    WANGA KMA WANGA WENGINE TU 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @mussamtangi3134
    @mussamtangi3134 13 днів тому +1

    Allah akbar

  • @lulachahayeshi93
    @lulachahayeshi93 9 днів тому

    😢😢😢 Allah tunusuru na laghwa za dunia na tamaa na majaribu zilizokithiri. Leo hii Sheikh Walid unampa endorsement anayeleta mambo ya upako kwenye Uislamu?

  • @MuslimBashiru
    @MuslimBashiru День тому

    Au na wew zaolao makafili maana wanapandikz mashekh feki kuwapoteza waisalm

  • @ZenabazigaZenabaziga
    @ZenabazigaZenabaziga 9 днів тому

    Ama kweli pesa nimwanaharam

  • @HamisSaidi-h3u
    @HamisSaidi-h3u 12 днів тому

    Mm ni Shahid wa huyo Bwana Mdogo Sheikh Sharif Firdausi kwa Msaada Wake Allah nimeponyoka Katka Tego la Wachawi na hv Sasa huyo mchawi Aliekua akinitesa Wallah Tena Amekwama hv Sasa haelewek kabeba Mzgo usio julikana mie Nasema hv! Kuanzia Leo kishki vua tu hayo Malemba Yako ww sio Sheikh Mwenye Ufahamu Bali una Elimu tu lakn Ufahamu ni 00 hujamfanyia tafiti huyo Dogo Unakurupuka tu kwenda kuropoka kwa Jamii kishki Hujitambui