Maneno Ya Sheikh Izudin Juu Ya Usharif "Usharifu Ni Nasaba ,We Ni Sharif Jina Tuu Umejipa Jina"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 261

  • @AliAme-m3i
    @AliAme-m3i 3 місяці тому +17

    Mashallah sheikh nakukubaki sana nakufuatilia vipindi vyako una hekma sana nafaidika sana naww allah akuhifadhi

  • @SadaSalum-q5l
    @SadaSalum-q5l 2 місяці тому +11

    Maashaallah,Allah anijaalie hii mimba nilionayo anibarik mtoto mwema wakiume namume wangu akubali tumuite jina lako inshaallah,hakika hekma yako niyahali yajuu kabisaa

  • @aishamuhammad7785
    @aishamuhammad7785 3 місяці тому +46

    Shekhe Izzuddiin nakupenda bure, baaraqallaahu fiyka kwa kuongea ukweli, ALLAAH akulipe kheri shekhe

    • @Fumokale
      @Fumokale 3 місяці тому

      Mumekubalika???? Na naaaani....wacha masifa ya kujipa wenaweee....Sharifu ni malifu kitale ni kidafu

    • @SakinaSakinat-qd9rs
      @SakinaSakinat-qd9rs 3 місяці тому

      Amiin

  • @znzmawaidh8702
    @znzmawaidh8702 3 місяці тому +21

    Allah akbar Sheikh Allah akulipe pepo na akuzidishie elimu Amiin Yaa Allah

  • @MunirAbdullah-sy8ks
    @MunirAbdullah-sy8ks 3 місяці тому +27

    Allah akulipe shekhe umeongea maneno mazito wallah

  • @saidahemeid5370
    @saidahemeid5370 3 місяці тому +9

    MashaAllah Tabarakallah. Umeeleza vizuri kabisa. Na wakuelewa na aelewe. Jazakallahu Kheir.

  • @AbdulkarimKigarawa
    @AbdulkarimKigarawa 3 місяці тому +15

    Uyu sheikh namkubali sana kwaajili ya Allah

  • @omargargaar5611
    @omargargaar5611 3 місяці тому +4

    MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah Allah akuhifadhi sheikh Izudini umeongea ukweli Allah akulinde na shari

  • @istambulahmed6664
    @istambulahmed6664 3 місяці тому +12

    شكرا وجزاك الله خيرا وبارك الله فيك قد استفدت جدا جدا

  • @BATULIMUSSA-j6w
    @BATULIMUSSA-j6w 3 місяці тому +2

    Alhamdulllah nimejifunza kitu kupitia shekhe Allah akuzidishie zaid na zaid Inshallah

  • @Hubban-p3n
    @Hubban-p3n 3 місяці тому +10

    Allaahu Subhaanahu Wa Ta'ala
    Akulipe Kheri Sheikh...
    Maneno Ya Hekima Sana.

  • @AbdulghafurAbdi-cg2sq
    @AbdulghafurAbdi-cg2sq 3 місяці тому +4

    Màshallah ustadhi Izzdin nakuombea kwa Allah akupe umri na afya akupe husnuli hatima indatul mauti Aameen

  • @IddyDaruweshi-jv1fu
    @IddyDaruweshi-jv1fu 3 місяці тому +2

    MASHA ALLAHU KHEIR UMENENA UZURI SANA KUTOKA MOYONI SHARIFFU IZZUDIN ALAWI.
    DUNIA YETU YA SASA INAMITIHANI NAKUOMBA SHARIFFU WAOMBEENI DUA WATU KAMA HAWA WASIJIFANANISHE NANYI

  • @KuradusengeAbdurahman
    @KuradusengeAbdurahman 3 місяці тому +15

    Sheikh izzuddin mashaallah katetea haki

  • @SawiaKamukala
    @SawiaKamukala 3 місяці тому +6

    Maa shaa llaah uko vizuri allaah akuzidishie ilim

  • @mayimunanjeri8846
    @mayimunanjeri8846 2 місяці тому

    Maa Sha Allah shukran sana Sheikh kwa ilmu Allah akujaze kheri za duniani na Akhera

  • @saidtembele3070
    @saidtembele3070 3 місяці тому +4

    Alhamdulillah, Allah akujaze kheyr bora umesema ww watakuelewa maana wakizungumza kina shekh kishk utasikia wale mawahab wale kila kitu wanapinga

  • @omarmwabege
    @omarmwabege 3 місяці тому +6

    Maa Shaa Allah, hapa Sheikh Izudeen umeongea

  • @UmmaryLikinge
    @UmmaryLikinge 3 місяці тому +7

    Maashaallah kheri minallah

  • @MozaFarah-c4i
    @MozaFarah-c4i 3 місяці тому +5

    MASHALLAH MUNGU AKUZUDISHIE HEKIMA, UFAHAM NA UMRI TAWIL. UMEFAFANUA KWA KINA HATA MTU ASOELEWA KAFAHAM

  • @omarmwabege
    @omarmwabege 3 місяці тому +8

    Yani hapa leo sheikh Izudeen umenifurahisha sana.

  • @HileHile-ns9xv
    @HileHile-ns9xv 3 місяці тому +6

    Maasha Allah barakallah Allah asate kwa kutuelimisha

  • @mohammedabdullah5895
    @mohammedabdullah5895 2 місяці тому

    Sheh wangu unajuwa puenty zakujibu mashallah ❤❤❤

  • @مدينةشعبانسيف
    @مدينةشعبانسيف 2 місяці тому

    ManshaAllah Barakallah fikh wehrim mafiha warakilrijanna wajanaturh Fridays 🙏 nyie MASHEIKH wetu Allah awape umri mlefu maan mzidi kuitetea dini ya Allah

  • @يورسكي
    @يورسكي 2 місяці тому

    Mashallah tabaraka Allah ,hpo nachangia na napenda ata Dua zako in Sha Allah yarabi azidi kukuhifadhi

  • @salumuabdallah5163
    @salumuabdallah5163 3 місяці тому +4

    Maa Shaa Allah sheikh

  • @Omanzikra-ft5cr
    @Omanzikra-ft5cr 3 місяці тому +2

    Masha allah sheikh ahsante kwamajibu mazuri

  • @raimajimoto1122
    @raimajimoto1122 3 місяці тому +3

    Umeongea maneno mazur sana shehe Allah akuweke

  • @NyandwiHussein-s4j
    @NyandwiHussein-s4j 3 місяці тому +3

    ManshaAllah kbs umeweka wazi kbs 💐

  • @AthmanYusufKea
    @AthmanYusufKea 3 місяці тому +1

    Allah atufanyie wepesi katika mazito yetu. Shukran kwa jibulo kiongozi

  • @hashimmchwaka9497
    @hashimmchwaka9497 2 місяці тому

    Nikweli kabisa hongera sana kwa mada yako nzuri sana m/mungu akujalie umri mwema afya njema akuzidishie elimu ili uzidi kutupa habari njema na kuzidi kufunua akili zetu kwenye mambo ya heri m/mungu atakulipa unavojua yeye kwa yote Amin

  • @mobilespecialschool4216
    @mobilespecialschool4216 3 місяці тому +30

    Kuna mda hawa mashekhe wanakua kwenye kusimamia haq kuna mda wanajifyatua akili, unaona hapa umeongea Haq sheikh Allah akulinde

    • @salisali3738
      @salisali3738 3 місяці тому

      😂

    • @AishaIssa-ld8lw
      @AishaIssa-ld8lw 3 місяці тому

      Wambiee

    • @omarmwabege
      @omarmwabege 3 місяці тому

      Mughaafala tuelewe

    • @sikandarsuleimanTV
      @sikandarsuleimanTV 3 місяці тому +1

      Wewe inaonekana ni mshabiki sio mwamafunzi wa Haqq ,
      Sheikh Izudin (Allah Subhanahu Wataala amuhifadhi) anasimamia na kusema Haqq ila nyie Mawahabi ndio munamtia sifa mbaya

  • @halimamfaume1925
    @halimamfaume1925 3 місяці тому +2

    MashaAllah ❤❤❤

  • @SultanSuleiman-qf7cx
    @SultanSuleiman-qf7cx 3 місяці тому +8

    MashallAh rafiki wake Sh Suleiman Al mafazy

    • @HisMajesty64
      @HisMajesty64 3 місяці тому

      Allah amuongoze huyo sheikh Suleiman na sote pia maana huo mdomo wake mbali na watu na camera ni mchafu mno.

  • @msarama5406
    @msarama5406 3 місяці тому +10

    Umeeleza vizuri sana sheikh mtu akitaka kuwa mganga tayari hujiita sharifu ili wapige hela za akina mama

    • @AishaIssa-ld8lw
      @AishaIssa-ld8lw 3 місяці тому

      Fungua nawewe kiringe chako upige ela mshenz wew

    • @OTHUMANMANOZA
      @OTHUMANMANOZA 3 місяці тому +1

      ​@@AishaIssa-ld8lwsasa kumuita muislam mwenzio mshenz ni adabu hiyo?

    • @Shuu.A
      @Shuu.A 3 місяці тому +1

      Hao ndio washirikina wenyewe ​@@OTHUMANMANOZA

    • @أمنعمان-س4د
      @أمنعمان-س4د 2 місяці тому

      Kuna watu midomo yao imezowea matusi​@@OTHUMANMANOZA

  • @ShuaibMangecha
    @ShuaibMangecha 3 місяці тому +9

    Swadakta nakubali maelezo yako sheikh

  • @HamisaSaidi-e9y
    @HamisaSaidi-e9y 3 місяці тому +3

    Mashallah unanifurahisha sana Shekhe

  • @KubwaKuliko-dk4bm
    @KubwaKuliko-dk4bm 3 місяці тому +9

    Allah akulipe kheri

  • @AzizaSalimu-d8s
    @AzizaSalimu-d8s 3 місяці тому +5

    Mashaallah swadakta

  • @أمنعمان-س4د
    @أمنعمان-س4د 2 місяці тому

    Alopewa hekma kapewa heri nyingi,MaashaAllah

  • @anthonymgina3893
    @anthonymgina3893 3 місяці тому +6

    MashaAllah, umesema vyema.

  • @sheikhidrisa9793
    @sheikhidrisa9793 3 місяці тому +2

    Alhamdulillah asante sana sayyid

  • @alawiashrack8482
    @alawiashrack8482 3 місяці тому +1

    Mashaallah mashaallah mashaallah

  • @MussageAiuba-k2b
    @MussageAiuba-k2b 3 місяці тому +2

    Mansharaa mwalim ❤ kuntumm

  • @a.856
    @a.856 3 місяці тому +2

    Jazaka Allah khayran

  • @NauriaKhamis-mz4il
    @NauriaKhamis-mz4il 3 місяці тому +5

    Alhamdulilah , magogeni hatimae wameongea ukweli .........#❤🎉❤

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s 3 місяці тому +2

    Maashaallah shekhe

  • @ZDTZ_Media
    @ZDTZ_Media 3 місяці тому +1

    Jazaakallahu khayrah

  • @DrMohdAOmar
    @DrMohdAOmar 2 місяці тому +1

    Nchini tanzania kuna mchezo mwingi kwenye mambo ya dini... Allah awaongoze ndugu zetu

  • @omarramadhan1829
    @omarramadhan1829 2 місяці тому

    Barakallh fqa maalim❤

  • @AbdulswamadHashim
    @AbdulswamadHashim 2 місяці тому

    Sheikh Allah akulinde akuongezee umli wenyehel mashallah nakupenda sheikh Kwaajil ya Allah

  • @AinAiman-j9n
    @AinAiman-j9n 2 місяці тому

    Mashaallah nakupenda kwa ajili ya allah

  • @omarmwabege
    @omarmwabege 3 місяці тому +2

    Allah akuhifadhi Na akuongoze

  • @AminaKassim-ni9wd
    @AminaKassim-ni9wd 3 місяці тому +4

    Ma'shaallah umeongea kiufupi ila umeeleweka sana waache na usharifu wao feki wanachofanya ni makosa ila wanabisha ss binadamu wote tunakosea na tunapo kosea tukubali kosa tu

  • @Mariam-ke4og
    @Mariam-ke4og 3 місяці тому +4

    Tunashukuru sana shekh wewe ndiyo mkweli has na tumekuelewa sana watu wanatuletea utapeli hapa waislam hatutaki utapeli

  • @rajabumsuya-hg8jd
    @rajabumsuya-hg8jd 3 місяці тому +11

    Ma sha allah shekh izudin, umenena vyema ma sha allah,,hawa bakwata wanatunzwa pesa wanawa support ili wakina mama wakiislam waendelee kuibiwa pesa

    • @FahmiAbdallah-x9w
      @FahmiAbdallah-x9w 3 місяці тому +3

      ALHAMDULILLAH

    • @zuberimohamed43
      @zuberimohamed43 3 місяці тому

      Bakwata ni nini?

    • @rajabumsuya-hg8jd
      @rajabumsuya-hg8jd 3 місяці тому

      @@zuberimohamed43 na nani aliuunda bakwata swali lako hujamalizia!!

    • @zuberimohamed43
      @zuberimohamed43 3 місяці тому

      @@rajabumsuya-hg8jd hilo ni swali lingine umejenga unachopaswa kunijibu BAKWATA ni nini? tatzo lenu mnakuwaga na blaablaa san hamjibu mnacho ulizwa yaan mnatak kubishan tu

  • @jamaldaud-e4d
    @jamaldaud-e4d 3 місяці тому +10

    Swadakta nachukizwa sana na kile kitoto kisichokuwa na elimu kuanza kuwaibia mama zetu na dada zetu wa kiislamu

  • @ASHURARASHID-w8o
    @ASHURARASHID-w8o 2 місяці тому

    Allah akulip khee shekhee mzidi kuwafichua wanafk

  • @RayMayai
    @RayMayai 3 місяці тому +1

    Fact sheykh❤❤❤❤❤❤

  • @hamadsaburi3569
    @hamadsaburi3569 3 місяці тому +1

    MAA shaa allah

  • @FahmiAbdallah-x9w
    @FahmiAbdallah-x9w 3 місяці тому +3

    MASHAA ALLA

  • @muhammedwakif6216
    @muhammedwakif6216 3 місяці тому +3

    Straight forwards ❤❤

  • @fauzishabani2622
    @fauzishabani2622 3 місяці тому +1

    Shekh . Umejibu vzr sana. Na Hawa machawa vp

  • @amadeomarsaide5023
    @amadeomarsaide5023 3 місяці тому +1

    Maa shaa ALLAH tabárakallah ama hapa Sheikh umeongea ukweli. Mpaka wenye mapete umewapiga za uso

  • @xhilingiibra3571
    @xhilingiibra3571 2 місяці тому

    Ahsante

  • @aminabdalla7824
    @aminabdalla7824 3 місяці тому +11

    Swadakta ya sheik tumekuelewa vyema ....Sasa pale bongo kile kidogo Cha jiita sharifu ...tafadhali kielimishwe vizuri mambo dili ...ila naona jibu kashapata apo Kwa sheik izudin Masha Allah 👌

    • @kijitamfyomi5598
      @kijitamfyomi5598 3 місяці тому +2

      Acheni chuki mungu anakuoneni sharifu firdausi hajasema yeye ana nasaba ya mtume yeye kaitwa sharifu kutokana na makarama alokua nayo ya kuponya watu

    • @Al.habeebAl.habaaib
      @Al.habeebAl.habaaib 3 місяці тому

      ​@@kijitamfyomi5598 Anakarama gani Yule Mganda? Kwanza anajua maana ya Karama?????
      Mtakufa na njaa zenu

    • @msarama5406
      @msarama5406 3 місяці тому

      ​@@kijitamfyomi5598hebu tupe hizo karama tuzione

    • @PuzzleMc-zp2lg
      @PuzzleMc-zp2lg 3 місяці тому

      Unafki tu kutafta kaz aahh

    • @bashiruramadhani-wv4di
      @bashiruramadhani-wv4di 3 місяці тому

      Yule tapeli tu

  • @zuleikhaabdhallah-bu1sg
    @zuleikhaabdhallah-bu1sg 3 місяці тому +1

    Jazakallah

  • @harounmaarufu3241
    @harounmaarufu3241 3 місяці тому +6

    Kwa hiyo sheikh kishk yuko sawa kabisa

  • @massawemchungajialiyesilim769
    @massawemchungajialiyesilim769 3 місяці тому +1

    Allah akulipe

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 3 місяці тому +1

    Swadakta sheikh 💚

  • @Latifaally390Latifa
    @Latifaally390Latifa 3 місяці тому +2

    Mashaallah

  • @Rehema-b6d
    @Rehema-b6d 3 місяці тому +1

    Mungu Akulinde

  • @MiriamAziz-z5t
    @MiriamAziz-z5t 3 місяці тому +1

    SWADAKTA SHEKH IZZUDIN!

  • @Rehema-b6d
    @Rehema-b6d 3 місяці тому +2

    Nakupenda sanaa sheikh

  • @YahyaMpinji
    @YahyaMpinji 3 місяці тому +1

    Shekhe umeongea vizuri sana waelewa watakuelewa

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt 3 місяці тому

      Kabisa nimemuelewa mashaAllah ameongea naHajamgusa mtu Nimependa Aliposema Tabibu wakweli niyule anaemkumbushaMtu AsiyesalaAsali namatendo mwema yahyn mazuri Hadi nimelia 😭😭😭SubhanaAllah

  • @jaggerjack30
    @jaggerjack30 3 місяці тому +1

    Washirikina wa kislam, napenda hii shekhe amenena vizuri

  • @muddathirkassim2407
    @muddathirkassim2407 3 місяці тому +1

    Sheikh hapoo umeneeena mashallah umesimama naukweli wallah

  • @Mahmoudshabanimzeebaba
    @Mahmoudshabanimzeebaba 3 місяці тому

    Akili kubwa ❤

  • @NaimaUssi
    @NaimaUssi 3 місяці тому +1

    Allah akubarik

  • @aljalilatiba9873
    @aljalilatiba9873 3 місяці тому +2

    Naam mashallah umenena

  • @jumahory859
    @jumahory859 3 місяці тому +1

    kaeleza vizuri ka ma umesoma fal safa zalugha na nahau utamwelewa

  • @EpcDistributor09
    @EpcDistributor09 3 місяці тому +1

    Kasema kweli sheikh izudin

  • @omanoman-ir1ez
    @omanoman-ir1ez 3 місяці тому +2

    shekh imeonngea vizuri sana huu uislam ni dini ya kweli kabisa na mtu yeyote kijifanya kaja na lake akisema hili jambo la mungu tutajua tu kama huyu yupo sahihi au laa. hivyo nakushukuru umeeleza vizuri pili binafsi huwa nachukia wale ambao baadhi yetu tunawaamini katika uislam halafu wakafanya mambo kamq ya kikristo huwa nachukia sana inafika mahala kunakuwa hakuna tofauti baina ya muislqm na mkristo huwa nachukia sasa sijui njaa au vip?

  • @yeyemkulu8743
    @yeyemkulu8743 3 місяці тому +2

    Upo sahihi sheikh

  • @mullahmasudy2622
    @mullahmasudy2622 3 місяці тому +1

    Swadakta... Umejibu Fwasaha kwelikweli

  • @DominiqueNyingeh
    @DominiqueNyingeh 2 місяці тому

    Mashallah din Iko Kenya. . Tanzania wanamchezo na dini

  • @allymbarouk5362
    @allymbarouk5362 3 місяці тому +1

    Shekh Izzuddin ungempasua tu direct huyu jamaa sharifu wa uwongo

  • @MwajumaLajab
    @MwajumaLajab 3 місяці тому +3

    Upo sahihi

    • @TunauzaSimu-fn2ff
      @TunauzaSimu-fn2ff 3 місяці тому

      Hakika mweye dini na elmu hajibizani mitandaoni maneno mabaya mabaya na kuwa mkali km unalazimisha.

  • @nurumohammed1310
    @nurumohammed1310 3 місяці тому

    Shekhe ww Nakukubali sanaaa mlisikia wp sharifu akatumia maji na mafuta sharifu kama sharifu wallhi sharifu akiapiza mara moja mji mzimaa ukateketea huyoo ndio sharifu sasa sio sharifu atumie mafuta sijui maji huyoo si sharifu

  • @abdurashidinasorodini
    @abdurashidinasorodini 3 місяці тому +11

    dah hongera kishiki kwa kuvundua hu uvundo wewe kaa pembeni sasa upumzika umemaliza kazi

  • @Aminah-i9p
    @Aminah-i9p 3 місяці тому +1

    Umeweka WAZI sasa akili kichwani,mungu akuongoze sheikh,,,nakupenda Sana mungu kukupa busara,haya sharifu ingekuwa busara,mkaacha majibizano mtandaoni,kaeni chini muyamalize,wote ndugu moja dini

  • @neemamwachepha213
    @neemamwachepha213 3 місяці тому +1

    SwadaQta Sheikh

  • @Fatma-up9qs
    @Fatma-up9qs 2 місяці тому

    Hali hii watoto wa kiume wote walitangulia mbele ya haki wakiwa wadogo. Bila kuacha vizazi vyao. Allah mwingi wa Rehma aliepusha fitna kubwa ktk huu ulimwengu.

    • @LatifahPambe
      @LatifahPambe 2 місяці тому

      ALLAH ni mjuzi na mwenye HEKMA

  • @Worldunite
    @Worldunite 3 місяці тому +1

    Kwa hili nimekukubali

  • @saidsalim4524
    @saidsalim4524 3 місяці тому +1

    Shekhee nakuomba sana ukipe elimu kile kitapeli kinajiita sharifuu kutapeli waislamu kwa kuwapaka maji ya upako yule nitapeli kwa ana elimu kabisaaaaa

  • @abassking8296
    @abassking8296 2 місяці тому

    Masheikh wa mombasa asilimia 75 ni rahisi kuwaelewa wakitoa mifano ya kufafanua kitu kuliko masheikh wote wa afrika mashariki

  • @iddyiddy1282
    @iddyiddy1282 3 місяці тому +1

    Natumai shekhe izzudin kaeleza vzr hata kichwa ngumu ataelewa, Asemayo shekhe kishki si bure Bali kweli😊 njaa tu karama sio kitu cha hovyo kila mtu kuanacho, Labda karama ya usokoro kwinyo.

  • @SultanSuleiman-qf7cx
    @SultanSuleiman-qf7cx 2 місяці тому

    Kiasi nicheke Leo Nimezidi kujua wakweli Masheikh WENGI wanatafuna maneno juu ya utapeli wa Bnt Fridausi hasa matwarika wanamkingua sana MVUA ya Aqiidah Sasa hii rasha rasha ya Sheikh Izzuddin iwafikie bila chenga

  • @shebeabdallah5505
    @shebeabdallah5505 2 місяці тому

    Shekh izudini umezungumza sahihi kabisa huyu sharifu mzushi sana . Hizo taratibu za ki kristo

  • @ndayambajefikirini7252
    @ndayambajefikirini7252 3 місяці тому +2

    Unakili sana sheikh