LIVE II Pr. KENAN MWASOMOLA AELEZA KISA CHA KUZUILIWA KUHUDUMU MAKANISANI II JUMA LA UWAKILI DAY 4
Вставка
- Опубліковано 8 лют 2025
- #fyp Pr. KENANI MWASOMOLA AELEZEA KISA CHA KUZUILIWA KUHUDUMU MAKANISANI
#sdasong
#subscribe
#hopechanneltanzania
#sdachurch
#Kahamanetevent2024
#kenyanewsmedia
#Yatoshajangwani
#sdachurch
#Kahamanetevent2024
#hopechannelindonesia
Ubarikiwe sana Baba yangu
Ubarikiwe sana Baba. Unatuponya wa Tanzania. Tuna umasikini wa fikra
Kusema ukweli mjini tunateseka mno na thambi za manung'uniko, na ususan waumini tuna chembechembe za utapeli. Mungu tuone uruma milango yetu ya faamu zimefungwa.
Safi sana Pastor 🎉
Mwasamola ni rafiki wangu katika kufundisha
safi sana mch.mwasomola.
Barikiwa mno
Naipenda sana hii
Huyu Pr. Namkubali sanaaaaa, aliposema juu ya Kwaya kutumia miziki wachungaji wengi walimuunga mkono, kwa sasaalipowasema kwene kununua vyeo, kuiba pesa za kanisa wamaufyata
Pastor some of us we missed you mby
Viongozi kama wewe wasioficha dhambi na wanaozitaja kwa majina ndiyo mnaotakiwa ili kulijenga kanisa la Mungu litakalo simama hata wakati wa mwisho
Ni sawa. Ila huyu anapoiomba serikali itakase kanisa anakosea kabisa na hili linaligeuza kanisa kuwa kahaba ambacho ndivyo SDA ilivyo kwasasa.
Kusema dhambi sio ukamilifu wa utakatifu bali pia na kuuishi. Kuiomba serikali itakase kanisa ni kulifanya kanisa kuwa Kahaba. Yaani SDA organization kwasasa ni Kahaba maana inategema serikali ili kutakasa kanisa badala ya kumtegemea Mungu
amina
Goood
Kumbe wakati mwingine unaakili
Namkubali pr wakweli
@FrenkiOtieno endelea KUFUATILIA masomo ya Mzee wetu Pr Kenan MWASOMOLA kwenye channel yetu ya Nguli
Kazi ni ibada ndo maana amri ya nne imeunganisha kazi na ibada. Wapendwa tu hape kazi kwa siku 6