![Nguli channel - 2020](/img/default-banner.jpg)
- 218
- 93 545
Nguli channel - 2020
Приєднався 25 тра 2017
Ninayaweza yote kwake anitiae nguvu
Відео
WATOTO - LAKE ZONE VOICE : Official Music Lyrics 4K
Переглядів 2863 місяці тому
UMEWAI KUJIULIZA, NI KWA NINI HAWA WATOTO WANAITWA WATOTO WA MITAANI?
MATENDO YAKO - TPS MOSHI KILIMANJARO TZ
Переглядів 5644 місяці тому
MATENDO YAKO - TPS MOSHI KILIMANJARO TZ
MZIKI CHINI YA MUNGU - Pr. Paul Semba
Переглядів 3724 місяці тому
MZIKI CHINI YA MUNGU - Pr. Paul Semba
Kanani SDA CHOIR II Live performance At KANINDO SDA CHURCH
Переглядів 1738 місяців тому
Kanani SDA CHOIR II Live performance At KANINDO SDA CHURCH
YATOSHA JANGWANI - MCH. MAGULILO MWAKALONGE
Переглядів 1949 місяців тому
YATOSHA JANGWANI - MCH. MAGULILO MWAKALONGE
SIRI NI YESU- MAMA WA SIRI NI YESU AJA NA STYLE NYINGINE YA GIA
Переглядів 419 місяців тому
SIRI NI YESU- MAMA WA SIRI NI YESU AJA NA STYLE NYINGINE YA GIA
STYLE MPYA KATIKA TAMASHA LA KITALU NCHINI KENYA KUTOKA KWA HEAVENLY ECHOES CONCERT
Переглядів 2329 місяців тому
STYLE MPYA KATIKA TAMASHA LA KITALU NCHINI KENYA KUTOKA KWA HEAVENLY ECHOES CONCERT
SABATO YA UIMBAJI SHULE YA POLISI MOSHI -TANZANIA
Переглядів 1,5 тис.11 місяців тому
SABATO YA UIMBAJI SHULE YA POLISI MOSHI -TANZANIA
NILIPOTOKA KABISA_ MABATINI MEN VOICE_2023
Переглядів 309Рік тому
NILIPOTOKA KABISA_ MABATINI MEN VOICE_2023
RAHA VICHEKO.......KWANDU NA KWAYA YAKE MABATINI SDA.
Переглядів 5332 роки тому
RAHA VICHEKO.......KWANDU NA KWAYA YAKE MABATINI SDA.
Lake Zone Voice - Mungu au ni Pesa?! # Official Video#
Переглядів 3434 роки тому
Lake Zone Voice - Mungu au ni Pesa?! # Official Video#
NIKUFANANISHE NA NANI - Lake Zone Voice #Mwanza #Official Video#
Переглядів 6234 роки тому
NIKUFANANISHE NA NANI - Lake Zone Voice #Mwanza #Official Video#
JIWE _ LAKE ZONE VOICE# Official Vedeo# usisahau KU SUBSCRIBE# KU LIKE# NA KU KOMENT#
Переглядів 3564 роки тому
JIWE _ LAKE ZONE VOICE# Official Vedeo# usisahau KU SUBSCRIBE# KU LIKE# NA KU KOMENT#
Lake Zone Voice - AMBATANA # Official Vedeo.
Переглядів 5694 роки тому
Lake Zone Voice - AMBATANA # Official Vedeo.
MAAJABU YA WATOTO WA KISABATO - JIJINI MWANZA
Переглядів 15 тис.4 роки тому
MAAJABU YA WATOTO WA KISABATO - JIJINI MWANZA
Pr Adam Pius - Kambi la mtaa wa Mabatini 2020
Переглядів 3364 роки тому
Pr Adam Pius - Kambi la mtaa wa Mabatini 2020
Pr Baraka Butoke - mhutubu kambi Mabatini 2020
Переглядів 684 роки тому
Pr Baraka Butoke - mhutubu kambi Mabatini 2020
MAZISHI YA Mwl KIBASO - Ingiri Chini Rorya
Переглядів 1854 роки тому
MAZISHI YA Mwl KIBASO - Ingiri Chini Rorya
Sauti nzr sana
Ubarikiwe sana mchungaji karibu tena njombe
Hahahaha 🤣 umetisha sana
Tubarikiwe sana
Wabarikiwe sanaaa vijana wa BWANAA
Ubarikiwe sana
Safi Sana vijana wetu
Amen! Umebarikiwa
Safi sana
Nakushukuru Pastor kwa mahubiri Yako ya kweli
Kwanini wasabato SDA wameruhusu kuvaa suluali,kusuka,nakuvaa wigi wanawake wamegundua nini
Kwa nini wanaume wanaenda kwa kinyozi kunyolewa nywele? Mwanamke kuwa mkristo safi ,sio lazima anyoe upaa .
Ubarikiwe sana Baba yangu
Kumbe wakati mwingine unaakili
Safi sana ..... ubarikiwe
Amina Mtu wa MUNGU
Kamahujamwelewa.mwasomola.hujuwi.isitolia.ya.kanisa
Mungu akutagulie
Bariki wa pastor,kwa kuliambia kanisa la Mungu
Mungu atuurumiye kusema kweli zaka na sadaka wengi tumekuwa wa binafsi wachungaji pamoja na viongozi wengine pamoja na washiriki wote duniani Mungu atupiganie tusimame kwenye kweli yake ambayo hiyo ni neno la BWANA
Kusema dhambi sio ukamilifu wa utakatifu bali pia na kuuishi. Kuiomba serikali itakase kanisa ni kulifanya kanisa kuwa Kahaba. Yaani SDA organization kwasasa ni Kahaba maana inategema serikali ili kutakasa kanisa badala ya kumtegemea Mungu
Ujumbe was mungu hauna konakona
Huo ndio ujinga na dhihaka kwa Mungu na waumini watauwa wa kweli. Tuibiwe tunachokitoa tunyamaze maana Ni Mali ya Mungu? Sisi tukatae roho hizo za ujambazi, tukatae kuibiwa tunazoziona. Tusizoziona Mungu atashughulikia zaidi.
mbombo ngafu
Heri ni kwa Wanamatengenezo waliotoka ndani ya hili limfumo la SDA lililokwisha kuasi
Saivi SDA imekuwa kabisa katoliki. Yaani wakiambiwa UKWELI wanakuwa mbogo kuliko Hata wakatoliki
Wanahatali hawa watoto
Barikiwa Baba,unafaa kuwa mlezi,japo Nina swali Kwanini wachungaji mnastaafu Kwa kazi ya Mungu?
Hili lilitokea hapa kwetu ,tukanyamazishwa
Kweli tupu
Amen
Mungu akubark par mdamla
Zaka na sadaka sio za waumini ni za Mungu sasa kama wakiiba anayeibiwa ni Mungu. Ila sisi tuwaombee ili waache maana wakiendea ole wao maana mungu hadhihakiwi
Sisi wote ni watumishi kwenye shamba la Mungu mwachie Mungu atashughulika nao waovu, Usitafufute umarufu wa kidunia hata wewe ni mchafu
Baadhi ya viongozi wameacha njia warudi katika njia ya zamani mpate kuokolewa
Kazi ni ibada ndo maana amri ya nne imeunganisha kazi na ibada. Wapendwa tu hape kazi kwa siku 6
Penda sana hii pastor imesema ukweli
Nimejengwa na hubiri lako hili, Mungu akubariki sana. JE, zaka na sadaka unahamadishwa KUMBE kiongozi mkuu anasubiri ziingie akaunti azihamishe kwenda kwa private account yake. Dhambi hii wachungaji mtaitubu lini? Ulisema kwa clip Yako kuwa katika kanisa lako kiongozi ameiba million 400. (Zaka na sadaka) za waumini. Pastor hii imekaaje?
Safi sana Pastor 🎉
Ahsante sana,mtu wa Mungu, barikiwa.
Barikiwa
Viongozi kama wewe wasioficha dhambi na wanaozitaja kwa majina ndiyo mnaotakiwa ili kulijenga kanisa la Mungu litakalo simama hata wakati wa mwisho
Ni sawa. Ila huyu anapoiomba serikali itakase kanisa anakosea kabisa na hili linaligeuza kanisa kuwa kahaba ambacho ndivyo SDA ilivyo kwasasa.
safi sana mch.mwasomola.
Ninabarikiwa
Wasabato wamemzoea MUNGU hawataki kuambiwa ukweli nawanapig vita watumishi nyinyi
Ubarikiwe sana Baba. Unatuponya wa Tanzania. Tuna umasikini wa fikra
Goood
Shemela hongera sanaaaaaaaa
Ahsante sana shemelaa
Hivi una mwanamke mchawi hivi huyo tunamuita anayeamini au asiyeamini
Huyo ni kafiri. Ni asiyeamini. Hamwamini Mungu alie hai, anaamini miungu mingine
Kuja Burundi my Pastor labda wenzako watapata somo.
Namkubali pr wakweli
@FrenkiOtieno endelea KUFUATILIA masomo ya Mzee wetu Pr Kenan MWASOMOLA kwenye channel yetu ya Nguli