Muumbaji siku zote ni omniscience hawezi kuwa ktk ubora wake baadhi ya siku. ..wanaokuwa ktk ubora wao ni wanadamu maana kuna siku wako dhaifu...heading siyo bora
Kacou 2:Tamka hukumu! 6. Haya! Tunajua ya kwamba manabii wajumbe wote walipokea ujumbe yao toka mbinguni na tuone sasa Ujumbe huu wa shairi la 6 na la 7. Ni Ujumbe ya kwanza inao mwambia mwafrika, kwa mfano, amuabudu Mungu wa kweli aliye fanya mbingu: nyota, jua, mwezi, hata pia malaika walioanguka wanao tumia horoskope, orodha za maajabu, dini. Mungu haja wahi kuwa tatika dini. Ukristo halisi siyo dini bali maisha. Malaika huyo anaomba wahaiti na wabenina kuachana na vodoo, uchawi, asili na zingine aina zote za kuabudu na kuita mapepo… Mungu aliumba dunia kwa kuishi kwetu na hatupashwe kuigeuza kuwa msitu takatifu, sanamu na mask kwa kuiabudu… Hii ndiyo ilikuwa Ujumbe ya malaika wa kwanza. Na huyu malaika wa kwanza ni mtume Paulo. Bahari kubwa na chemchem za maji hazikuumbwa kwa kuabudiwa bali ni Mungu ndiye inatupasa kumwabudu; ni Mungu ndiye muumbaji. Mnaona? 7. Baadaye, kwa shairi la 8, malaika wa pili alitoka; siyo katika seminari wala katika shule la uchungaji bali alitoka mbiguni. Kwa kutangaza teolojia? Hapana! Kwa kufundisha mahubiri ambayo tayari yalihubiriwa tangu zamani kumepita miaka arobaini au mia moja? Hapana! Kwa kuenda kuwafunulia neno waalimu na wenye kuleta mafunzo katika shule za wachungaji? Hapana! Kwa kutoa maoni yake kulingana na yale mtu Fulani alisema imepita miaka arobaini? Hapana!... LAKINI WAKATI ILITIMIA ILI KUHUBIRI INJILI YA UPEO MWINGINE! [Ndl: Kusanyiko linasema: Amina!]. Kuhubiri hukumu ya Babiloni, kanisa katolika kwa kuwa alipiganisha, aliua watakatifu na kuharibu njia zote za wokovu. Na hii imewekwa wazi katika Ufunuo 17. Ilikuwa kwa karne ya XV na ya XVI pamoja na mageuzi. Na ile iliongoza hadi uprotestanti. 8. Baada ya mageuzi, Martin Lutheri, Ulrich Zwingli, Farel, Yoani Kalvini, John Wesley na wengine walipo fariki, makanisa yakasonga Kanisa la kweli. Mungu akapandisha sasa malaika wa tatu, mjumbe wa tatu pamoja na Ujumbe ya unabii kwa watu wote wa dunia. Mungu hapandishi kamwe kanisa au kundi la watu kwa kuleta au kurudisha Ukweli duniani bali nabii-mjumbe. Kumkataa huyu nabii, ni kumkataa Mungu, kwa kuwa nabii ni kinywa cha Mungu, msemaji wa Mungu, anaye kuja na Ujumbe ya Mungu, anayetumwa na Mungu, siyo mtu anayeleta maneno ya ujuzi au mtu anayeangusha watu katika makutano ya maombi pamoja na maajabu na ufunuo ya udanganyifu, hata kama hizo ufunuo zinakuwa kila mara kweli… [Ndl: Kusanyiko linasema: Amina!]. WWW.PHILIPPEKACOU.ORG #Sikensi #
I love your preaching pastor Baraka,may God bless you abundantly
The truth gospel with this man of God
Hongera sana Pastor
Amen 🙏
I learn heaven life through your preaching pastor be blessed 🙏🙏
Barikiwa mchungaji
Pastor unanibariki sana
Hallelujah Aminaaa
Mungu naomba watu waone ubora wako kwenye maisha yangu
The msg is of another level
TOUCHED WITH THE SERMON. BLESSED
Mungu ni Bora kila wakati na sio nyakati flani pekee ila hubiri ni zuri sana
Amen ahsante pr Baraka
Pr Bwana akubariki
God speaks to people through people
Mchungaji ubarikiwe
Fundishen na mafundisho ya hukumu tuifahamu
Muumbaji siku zote ni omniscience hawezi kuwa ktk ubora wake baadhi ya siku. ..wanaokuwa ktk ubora wao ni wanadamu maana kuna siku wako dhaifu...heading siyo bora
Siku zote omba mungu usione ubaya wa kitu bila kuona ubora wake
Kwa sadaka ao we ucpime
Mungu aseme nawe
Unataka waishije? Wamekula sh ngapi yako?
Kacou 2:Tamka hukumu!
6. Haya! Tunajua ya kwamba manabii wajumbe wote walipokea ujumbe yao toka mbinguni na tuone sasa Ujumbe huu wa shairi la 6 na la 7. Ni Ujumbe ya kwanza inao mwambia mwafrika, kwa mfano, amuabudu Mungu wa kweli aliye fanya mbingu: nyota, jua, mwezi, hata pia malaika walioanguka wanao tumia horoskope, orodha za maajabu, dini. Mungu haja wahi kuwa tatika dini. Ukristo halisi siyo dini bali maisha. Malaika huyo anaomba wahaiti na wabenina kuachana na vodoo, uchawi, asili na zingine aina zote za kuabudu na kuita mapepo… Mungu aliumba dunia kwa kuishi kwetu na hatupashwe kuigeuza kuwa msitu takatifu, sanamu na mask kwa kuiabudu… Hii ndiyo ilikuwa Ujumbe ya malaika wa kwanza. Na huyu malaika wa kwanza ni mtume Paulo. Bahari kubwa na chemchem za maji hazikuumbwa kwa kuabudiwa bali ni Mungu ndiye inatupasa kumwabudu; ni Mungu ndiye muumbaji. Mnaona?
7. Baadaye, kwa shairi la 8, malaika wa pili alitoka; siyo katika seminari wala katika shule la uchungaji bali alitoka mbiguni. Kwa kutangaza teolojia? Hapana! Kwa kufundisha mahubiri ambayo tayari yalihubiriwa tangu zamani kumepita miaka arobaini au mia moja? Hapana! Kwa kuenda kuwafunulia neno waalimu na wenye kuleta mafunzo katika shule za wachungaji? Hapana! Kwa kutoa maoni yake kulingana na yale mtu Fulani alisema imepita miaka arobaini? Hapana!... LAKINI WAKATI ILITIMIA ILI KUHUBIRI INJILI YA UPEO MWINGINE! [Ndl: Kusanyiko linasema: Amina!]. Kuhubiri hukumu ya Babiloni, kanisa katolika kwa kuwa alipiganisha, aliua watakatifu na kuharibu njia zote za wokovu. Na hii imewekwa wazi katika Ufunuo 17. Ilikuwa kwa karne ya XV na ya XVI pamoja na mageuzi. Na ile iliongoza hadi uprotestanti.
8. Baada ya mageuzi, Martin Lutheri, Ulrich Zwingli, Farel, Yoani Kalvini, John Wesley na wengine walipo fariki, makanisa yakasonga Kanisa la kweli. Mungu akapandisha sasa malaika wa tatu, mjumbe wa tatu pamoja na Ujumbe ya unabii kwa watu wote wa dunia. Mungu hapandishi kamwe kanisa au kundi la watu kwa kuleta au kurudisha Ukweli duniani bali nabii-mjumbe. Kumkataa huyu nabii, ni kumkataa Mungu, kwa kuwa nabii ni kinywa cha Mungu, msemaji wa Mungu, anaye kuja na Ujumbe ya Mungu, anayetumwa na Mungu, siyo mtu anayeleta maneno ya ujuzi au mtu anayeangusha watu katika makutano ya maombi pamoja na maajabu na ufunuo ya udanganyifu, hata kama hizo ufunuo zinakuwa kila mara kweli… [Ndl: Kusanyiko linasema: Amina!].
WWW.PHILIPPEKACOU.ORG
#Sikensi #
Fupisha maandiko, yanachosha Kwa wingi!
munguakubariki