Watu badala ya kujadili mambo ya shery wap kujadili lisa kweli 😂😂 nacheka pekeyang t maan comment nyingi lisa lisa😅😅❤❤🎉🎉 nawapenda sana tim lisa and Alvin
Asante sana anko Jay kwa story tamu tumeinjoy sana,ila umenipiga dongo la uso mimi pia huwa naskiza simulizi saa nane za usiku mpaka nimecheka umejuaje aisee mchana huwa nko bz ndo mana but tuko pamoja twakupenda mnoooo ❤❤❤🎉🎉🎉
Sherry Wacha ujinga asira ni mbaya unaribu vitu vya mwenzio juu ya mapenzi ujinga huo huasikilizi wazazi wako na rafiki yako amesema ukweli 😢😢😢 duuuh 🔥🔥🔥 Anko daaah
Duh Cherry njia ya muongo fupi yaani Mtu unadaiwa na Maxi mbona udaiwi na Anna😃😃alafu wanaume uki cheat wanaweza kukuvumilia ukipata Mimba eti unauhakika ni yangu nonsense!!!!
Leo mkininyima like Sio poa
Finally tujuwe itakuwaje hiyo harusi ya BINTI SHERY tunasikiliza hili tujuwe ila teyari tumemmis LISA wangapi wamemmis LISA LIKE ✌️✌️✌️✌️
Mm kila siku na miss LISA jamani ila kelvin atagundulika nanani ukatili wake maana ashamshtikia mlinzi wa LISA
lisa tunampenda
Nilidhan na leo tutapata bint lisa 😢😢😢ila Asante kwa bint shery❤❤❤
Jamani namm leo nimewahi naombeni like hata kumi tu
Wow finally binti shery ubarikiwe mno Ankojay ❤❤❤❤
Kazi nzuri kaka,listening from Kenya(Eldoret)much love.
Wow jamn nimewahi pia lkn ninamajonzi n ndoa ya lisa n kelvin jambaz daah wenye uzun kam mimi tugonge like ap cham la alvilisa 😢😢❤❤❤❤
Ila pia Kuna ndoa ya Alvin Na lisa
ndio lkn kutakua n kipngamiz kikubwa maan alvin nahofia ifakuw ajasajil ndoa n lisa jmn
Liz imefikia pa taamu
😢😢😢❤❤
Mimi pia naumia sana lisa kuolewa na kelvin ni mbaya sana yuataka kumtumia? Lisa kwa manufaa yake
Watu badala ya kujadili mambo ya shery wap kujadili lisa kweli 😂😂 nacheka pekeyang t maan comment nyingi lisa lisa😅😅❤❤🎉🎉 nawapenda sana tim lisa and Alvin
😂😂😂tumevurugwa na lisa...
😂😂😂😂😂😢
Nik ndan ya shabiki wa Anko J ila msininyime like mm jap nmechelewa sanaa😂😂😢😢❤❤🎉
❤❤❤❤niyeye tena anko jy chaurongo mzee wa kujisifia lisha anamalizia shauriyakooooooo❤❤❤❤❤
🤣🤣
Nmechelewa 😂😂like zangu basi ❤
Binti Shery hii ndo story pendwa kwa sasa, 😂😂😂 team binti Lisa kazi mnayo 😂😂😂😂
😂😂😂😂
Asante snaa ankojay,ila shery una mambo jarbu kuw n msimamo kitakuramba,enyway nimefurh snaa❤❤
Wow amazing 😍😍😍 Binti shery❤❤
Sawa Kaka nakuelewa sana asante
Oooooh nasikitika sana Lisa Kwa na Kelvin...angejuaaaaa
Nishakaribia asantee ankojay mapesa
❤❤ ubarikiwe anko j
Sherry msamehe mpenzi wako jaman kosa si kosa kosa kurudia kosa ndio kosa😂😂😂😂
❤❤❤hujawai kosea bro
Mmh leo lissa atupati huo ndo ukweli
Safi sana Ankojay ❤❤❤
Leo mkininyima like zanu Walai itakuwa sio poa 😢😢
Asante anko jey ❤️❤️🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🎉🎉🎉
Wa kwanza anko Like zenu wadau
Nimewahi jamani ❤❤❤❤❤❤❤ wapili
Nilichelew wap jaman 🎉🎉🎉
Leo na mi nimewayi wapiii laiki zang🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉maua pia twaaaa
wow!!! Thanks a lote Anko Jay lop u ❤❤❤
Asante sana anko Jay kwa story tamu tumeinjoy sana,ila umenipiga dongo la uso mimi pia huwa naskiza simulizi saa nane za usiku mpaka nimecheka umejuaje aisee mchana huwa nko bz ndo mana but tuko pamoja twakupenda mnoooo ❤❤❤🎉🎉🎉
Asante Anko Kwa finally ❤
Waoooo!! Imeixhia patamu natamani ingeendelea,ongera zako ankojay sauri pia unajua kusimulia Kama vile ndy yeye pia kupanga sauti barikiwe xna
Pendo la mungu hutoka moyoni wa mtu asente asente Sana ANKO JAY
Simulizi nzuri hongera ankojay mungu azidi kukulinda.
Asante Sana kwa simulizi zako za mafunzo love uuuuuuu
Niko ndani wapi likes zenu❤❤❤❤❤
Ahsante 😂❤❤❤
Anko je tuletee lisa naamin lisa na kelivn hakutokuw na uhusiano kwn sk zote mwnye nia mbaya humrudia mwenyew
Nimechelewa kweli leo ,, jay asante🎉
Sherry Wacha ujinga asira ni mbaya unaribu vitu vya mwenzio juu ya mapenzi ujinga huo huasikilizi wazazi wako na rafiki yako amesema ukweli 😢😢😢 duuuh 🔥🔥🔥 Anko daaah
Nimewahi ❤❤❤❤
Asante Ankojay for part 2 much love ❤❤❤
Eheeee tulijuwa Binti Lisa
Haasante❤❤
Nipen like bc jaman
Wooh Asante sana anko nilikuwa nisubili kwa hamu nimewai leo jamani like ata moja tuu😂😂
Binti shery hana mambo mengi yeye utowa mzigo kwa Wakati ila Binti Lisa ni mbahiri kama nn 😂😂😂
😅😅😅😅
Kwa kwel had ananibore
😂😂😂🙌
Wa3leo Aisee nimewahi
Very stor so much ❤❤
Acha tusikilize kwanza
Ansante. Saaaana. Anko. Jay. ❤❤❤🎉🎉
Asate sana ako Jay ubalikiwe sana
Tuleteee muendelezo wa binti lisa
Huyu Shery si wakuoa ni badaa kabisa!
Keep up anko
Tujuane wachelewaji leo nimewahi like zenu hapa😂😂😂😂
Safi sana simulizi
Leo nimechelewa sana
Nice bro ❤❤❤
Shukrani sana Mungu awatanguriye kwasimurinzi ❤😢😂🎉🎉🎉
Ilaah hansi ni mnafki saan siku alvin akimjuwa Hana bahati
Oooo jamani nimekuja kwa kuchelewa
Hongeraa
Nice ❤❤🎉🎉
Hivi mnao sema wakwanza mna angaliaga vues kwanza huko juu!?
😂😂
😂😂😂nahis hawapaon😂😂😂😂
Sababu wana post ndio maana wanaamini wao wa kwanza😃
Huez jua lbd wa kwanza kucomment😂😂😂
Jaman hata mie nashangaaga sana
Sherry pendwa sehemu unayo pendwa Wacha shombo
Wow good job Anko 🎉🎉🎉🩵🩵
❤❤❤❤❤❤❤ anko jay
Simulizi nzuri sana
No comment no nothing 😂😂😂
Shery unalilia nin baby?....😍😍😍😍😍
Ankoy j hujambo na KITTY FEFE AMEPOTELEA WAPI
Jamani tulomiss binti lisa 33
Thanksankojay allah akubariki❤❤
Amin
Anko mbona kwenye playlist yako sojaona chizi fresh😊
isachii chizi fresh simulizi itakuja
Ila shery ni bandika bandua dahh😅😅 akiachana nauyu ajipi mdaa anamwingine yani ukimzingua anakubwaga ataki upweke 😂
Tulisema issue nikuoga na kurudi soko hakunaga kusubiri😅😅😂😂😂😂😂
Walisema ataumiza. Watu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Shery unakuagakama Pamela ilawe shery ukojuu
Ila shery urafiki wake haukua WA kweli alikua mubinafsi
Huyo sheli naye anabembelezwa kama ana arumas bwana
🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️ from 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao
Mambo. 🥰🥰🥰
Dada Lisa mwala lete mzigo
❤
Simulizi tamu
Ila mabinti wa chuo mna kiranga sana mbona hamna msimamo?
😂😂😂😂kweli hii weka mbali na Watt 😂😂😂😂sherry anaukalia tu
Jamani hamfley❤
Duh Cherry njia ya muongo fupi yaani Mtu unadaiwa na Maxi mbona udaiwi na Anna😃😃alafu wanaume uki cheat wanaweza kukuvumilia ukipata Mimba eti unauhakika ni yangu nonsense!!!!
Hii binti shery wala haifundishi cchote ujeuri tyu
😂😂😂
Sheryl wewe punguza
Mdada kua Mkweri
Ila shery unavisirani jamanii😢😢 usipojituliza utajikuta unakosa kote kotee bara na pwani
Ila huyu anko jy hiyo sauti yako tu daah hatari na nusu..
Kiukweli asante sana
Anko key nkipnda wewe na smulz zko mna wewe nd frja yngu nkijiis upweke nasklza smlz zko nfrjka
Huyu mwanaume anakera sana huyu humfrey Kama urafiki mpk mimba ni shida ila wanaume ni kero sanaaa hujihesabia haki sana
Leo ww 20 maajab
Nzur
Shukran Sana Ankojay ❤❤❤
Anko 🎉🎉🎉🎉🎉