SAFARI YA MAISHA YA MUZIKI YA BI MWANAHAWA ALLY HADI ANA STAAFU KUIMBA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лют 2025
  • Usisahau ku"SUBSCRIBE" UA-cam channel yetu kwa videos nyinginezo
    #zamaraditv #mambonimengi

КОМЕНТАРІ • 71

  • @ashuramuhammed3257
    @ashuramuhammed3257 3 місяці тому +2

    Ushaur wa Bure tubia Tena bibi achana na mambo ayo mungu hayapendi

  • @leahdeogratius2069
    @leahdeogratius2069 4 місяці тому +1

    Sio mpenzi wa Taharabu, lakini nampenda huyu Mama angu! Allah akutunze!! Hongera Zamaradi Allah akuzidishie kheri!! Naikumbuka hiyo ajali, dah nchi mzima na wapenz wa taharabu ilikuwa huzuni kwa kweli!!

  • @TrustElbashil
    @TrustElbashil 4 місяці тому +1

    Hongera sana mama mwanahawa kwa kuimba miaka 58 sio mchezo mungu anakupenda sana mama mapumziko mema

  • @fathiyahmuzney7367
    @fathiyahmuzney7367 4 місяці тому +4

    Saut ya huyu mama ndio imefanya niipende taarab nampenda sana ❤

  • @EmmanuelFaustini
    @EmmanuelFaustini 3 місяці тому

    Nampenda sana mwahawa ali wapo wengi waimbaji wa taharabu lakini mwanahawa kwangu saluting kwa uimbji wake kwa kweli nampenda

  • @SabitMohd-h8o
    @SabitMohd-h8o 4 місяці тому

    Jambo jema kilichobaki ni toba kabla Allah Hajazuia pumzi zake ❤

  • @maria_mutondioriginal5
    @maria_mutondioriginal5 4 місяці тому

    Mungu amtunze bado tunakuhitaji miaka 72 bado una nguvu ukijisikia kuimba imba mama mpendwa hicho ni kipaji chako hata bibi kidude aliimba hadi mwisho wa uhai wake. Tunashukuru kuwa mh. Rais amesikia kilio chako na amekuja kukupa mkono wa heri ❤ ila ukijisikia kuimba imba mama usifungwe na chochote mpendwa ❤

  • @KhalfanKiko
    @KhalfanKiko 3 місяці тому

    Shukran kwa muda wote mama kula penshen yako kwa utuliv hapo makadara huku ukimrudia muumba wako

  • @MbaroukAbdallah-k8h
    @MbaroukAbdallah-k8h 4 місяці тому +1

    IN SHA ALLAH TURUDI KWA MOLA SASA MAMA YETU TUPATE MWISHO MWEMA NAKUPENDA BI MWANA HAWA

  • @veronicacharles2427
    @veronicacharles2427 4 місяці тому

    Nampenda Sna Huyu mama Tangu enzi mm taarabu si sna Ila naielewa kupitia yy

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 4 місяці тому +2

    Mashallah asànte mwanahawa ally ❤ shukran sana kwa uburudan nzul

  • @SahimSalim-l5f
    @SahimSalim-l5f 4 місяці тому +2

    Legend Bi mwanahawa

  • @HajiAliKhamis
    @HajiAliKhamis 4 місяці тому

    very nice lkn km ingekua kimya kimya zawadi ingekuaje some time silence is better than ria.

  • @OmarKombo-h2j
    @OmarKombo-h2j 4 місяці тому

    Nakukubali bi. Mwanahawa
    Mwenyezi mungu akupe nguvu na afya njema

  • @Sidik-d7e
    @Sidik-d7e 4 місяці тому

    ASSLAMALAKUM WARAMATUALLAH WABARAKATU MY MOTHER ALLAH ALWAYS MAKE U HAPPY WITH UR LOVELY FAMILY IN ZANZIBAR ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤REMEMBER ME IN UR DUA UR SON SIDIK FROM LONDON 🇬🇧 UK WS ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @menelus911mene5
    @menelus911mene5 4 місяці тому

    B I MWANA WEWE NI MWANA TAARABU HAPO KWAKO NI MAHARA PAKE DADA EBU UENDELEE KUTUBURUDISHA WA PENDWA WAKO MWANAHAWA NIWEWE TUU UMEIMBA UMASIKINI WANGU DUH WIMBO HUU NIMEUPENDA POKEA MAUWA YAKO 🎉🎉🎉🎉🎉 DADA NAKUPENDA SANA ❤

  • @zaydelabay9776
    @zaydelabay9776 4 місяці тому +2

    ASANTE MWANAHAWA

  • @AwadhAdam-j5f
    @AwadhAdam-j5f 4 місяці тому +1

    Huyu isa kijoti aliniuma sana japo nilikua mdogo hadi leo nikisikia hiyo nyimbo yake bado naumia 😢endelea kupumzika kwa amani Isa kijoti

  • @biommy6700
    @biommy6700 4 місяці тому +1

    Mama la mama nani km Wewe, umewacha muziki na sauti yako haizeeki

  • @HusnaIdarus
    @HusnaIdarus 4 місяці тому

    Anasauti nzuri

  • @omarymsusa8903
    @omarymsusa8903 4 місяці тому

    Wekeni hesabu zenu sawa kama bi mwanahawa kazaliwa 1952 basi atakuwa na miaka 72 na sio 58

    • @kherichapa7324
      @kherichapa7324 3 місяці тому

      58,,ni miaka ya uimbaji sio umri alonao uwe unaelewa na wewe

  • @djjackdjjack5055
    @djjackdjjack5055 4 місяці тому +1

    ❤❤

  • @lawskuli9876
    @lawskuli9876 3 місяці тому

    Sauti yake huyu mama haizeeki

  • @edwinmathayo1066
    @edwinmathayo1066 4 місяці тому

    Mtoto wake wa kwanza jau😂

  • @RAMLATHAJI-ig4pf
    @RAMLATHAJI-ig4pf 4 місяці тому

    uyu ndo mwanahawa

  • @SuolFat
    @SuolFat 4 місяці тому

    Nani anakumbuka ule wimbo wa ....Waso haya Wana mji wao

  • @Freeedom-e4h
    @Freeedom-e4h 4 місяці тому

    Wewe bibi nani alosema hayo km unakatwa kwa mapanga wacha ftina za ccm kwa watu wa kawaida wa miraani hawasubutu kusema hayo hao viongozi hakuna anoweza kusema hayo.na hiyo nyimbo haijakera watu km nyimbo nyengine .au ndo unajifagilia uitwe gena Mungu anakuona na maneno yako wacha mziki ushakonga

  • @AsmaAmeir-c6r
    @AsmaAmeir-c6r 3 місяці тому

    Ally a Dallaglio mwanae mwanahawa tunamjuwa kama mchina mweusi anatengeza taa za fari ziloharibika aina za plastic

  • @MaryamSimai-b9f
    @MaryamSimai-b9f 4 місяці тому

    Maisha ya vijiji hakika uliitendea haki

  • @OmanSohar-d7z
    @OmanSohar-d7z 4 місяці тому

    Agetumiyq kwa quran kichwa hicho mola agemzidishiya

  • @Fathasssane-vs2th
    @Fathasssane-vs2th 4 місяці тому +6

    Tubia bibi umeisha unaenda kuangwa kwa muziki badala utubie mtihan

    • @TEDY-MTEMY24
      @TEDY-MTEMY24 4 місяці тому +7

      Sasa kutubia kwani ni suala la kutangaza??, hata kwa kuwazatu maisha ya music anayaacha unadhani atafanya nini zaidi ya kuendelea na maisha ya ibada,, hongera mwanahawa kwa kuweza kuitumia taranta yako hakika ilitumika vizuri na kuwaleta watu wengi pamoja ,,, Mungu akulinde uishi kwa furaha na amani 🙏 katika kipindi kilichobaki ❤❤

    • @JenniferTemba-t9i
      @JenniferTemba-t9i 4 місяці тому +5

      Miungu watu sasa una mnyooshea mwenzio kidole kimoja ww vingap vinakuangalia .

    • @BimHamdi
      @BimHamdi 4 місяці тому +1

      Toba ni baina ya mja na mola wake tu sasa unatak atutangazie kam katubia? Tuombe mwisho mwema ndio jambo la muhimu

    • @starbusinesslikondo1833
      @starbusinesslikondo1833 4 місяці тому

      Unajua ww uwezi jua kila mtu na maisha yake na anatupia anavyo jua yeye wewe ndio wakunuamulia mpka umemuona ana stafu bas jua mungu ndio alio mpka uwo uwezo kwaiyo ww muonbee Dua tuuu aish maisha marefu

    • @salimmashjary8028
      @salimmashjary8028 4 місяці тому

      ​@@TEDY-MTEMY24watu kama nyiniyi ndio munajiona kiburi muko sawa ndugi yangu wacha tibia hiyo.hivo sivo njia yakuelezeya mtu.ww bado waymbwa

  • @DanielGaspel
    @DanielGaspel 4 місяці тому +3

    KWANINI WA ZANZIBAR WAKIOLEWA HUWA WANAACHIKA ....PUNGUZENI MIDOMO

    • @AbdulhaamisSoud
      @AbdulhaamisSoud 4 місяці тому +6

      Kuachika hata bara wanaachika Malaya wakubwa nyie

    • @liylahahmed829
      @liylahahmed829 4 місяці тому

      Kwan kila anoachwa ana mdomo ww vp acha upuuzi

    • @TatoTato-t7s
      @TatoTato-t7s 4 місяці тому +1

      Wenae acha kukashifu watu mie wadar kauliyako sio nzuri

    • @DanielGaspel
      @DanielGaspel 4 місяці тому

      @@TatoTato-t7s sasa kwani uongo

    • @DanielGaspel
      @DanielGaspel 4 місяці тому

      @@AbdulhaamisSoud nyie mmezidi wafilwaji wa kubwa nyie

  • @lonnmutta2073
    @lonnmutta2073 4 місяці тому

    ASANATE BI MKUBWA UMETULEA KW BUSARA NA HEKMA

  • @BimHamdi
    @BimHamdi 4 місяці тому

    Bi mwanahawa umenishtua kwenye hio stori ya ajali ulopata ukatafuta kipochi badala ya kutafuta wenzako😢

    • @FayMussa
      @FayMussa 4 місяці тому

      😂😂

    • @Fondo0
      @Fondo0 4 місяці тому

      😂

  • @MkundeLugula
    @MkundeLugula 4 місяці тому +1

    Zena yuko wp cmuoni