Hallelujah utukufu ni wako ee Bwana. Tusaidie Baba yetu tuweze kutubu kwa kumaanisha na tuweze kufumba midomo yetu Kwa maneno yasiyofaa Asante Yesu kwa neno la uzima
Amen amen mungu nipe ufahamu nifahamu nisikie nikasemanimeokoka nakutoa sanda sitoi nahata fungulakumisitoe je mimokokawapija mm Kwa mungu nikamiliche laasha mm sikamilfu
Hallelujah utukufu ni wako ee Bwana. Tusaidie Baba yetu tuweze kutubu kwa kumaanisha na tuweze kufumba midomo yetu Kwa maneno yasiyofaa
Asante Yesu kwa neno la uzima
Hii Injili sijawahi kuisikia kweli Mungu atusaidie tuzidi kumuelewa Kwa uwezo wa Roho Mtakatifu
Bwana tuwezeshe kuyaelewa haya tutoke kwenye mifumo tuliyokalilishwa kumbe MUNGU hayumo, na kuyatendea kazi, natamani kila mtu angesikia haya
Mungu akutunze daima.nabarikiwa sana na neno lako.
Asantii MUNGU kwa ajili ya hili neno.
Namshukuru Mungu kwa ajili ya kweli hii
Natamani haya mafundisho watu wote wanaosema wameokoka wayasikie,najiona sijafanya lolote kwa Bwana,Yesu nisaidie Mimi,Roho mtakatifu nifundishe
Nitumie no nipateje hicho kitabu!?
Vitabu havijatoka mpendwa fuatia tuu ktk UA-cam vitabu vikitoka nitakujuza
Amina
Amina mtumishi wa Bwana Yesu Kristo aliye Mungu akubariki sana kwa ujumbe mzuri namna hii hakika ni uamsho na matengenezo
Injili hii inanibariki sana
Ashukuriwe Mungu aliye juu katika jina la Yesu Kristo. Uturehemu ee Mungu
Nahitaji kuokoka upya niyajue haya,wakati ni sasa.ili nijue kuomba ilivyo sawasawa,ili niyaishi mapenzi ya Mungu nivuke salama.Asante mwalimu
Aminaaaaa
Amen amen mungu nipe ufahamu nifahamu nisikie nikasemanimeokoka nakutoa sanda sitoi nahata fungulakumisitoe je mimokokawapija mm Kwa mungu nikamiliche laasha mm sikamilfu
Aminaa Mtumishi wa Mungu Mungu nisaidie
Mungu anisainndie nimalizesalama
Mungu okoa watoto wako usituache.
Haya mafundisho hayajawahi kufundishwa kamwe ndiyo tunayasikia sijui Kwa waliyotangulia kutoka kabla itakuwaje
Amen. Amen 🙏
Asante xna mutumishi
AMEN MTUMISHI WA MUNGU.
Amen amen 🙏🙏🙏
MUNGU tusaidie turehemu ponya Tanzania.
Ameen
Kweli injili hii niyawatoto wadogo, nakilicho tuuwa kiroho ni nimifumo yadini namazehebu, Leo tunahangaika kujazwa Roho mtakatifu hatujazwi.E Bwana Yesu utufanye upya,. Utujaze Roho wako.Amen.
Asante
Amen
Ameeeen
Ni kipindi cha kujitakasa mno na kumlilia Mungu aturehemu. Mungu wangu tusaidie!
MUNGU NISAIDIE NISIJE NIKAACHWA.
Ee Mungu nisamehe, siku utakapokuja kuchukua kanisa, usiniache BWANA
Hii Injili sijawahi kuisikia kweli Mungu atusaidie tuzidi kumuelewa Kwa uwezo wa Roho Mtakatifu