"WAZIRI JIANGALIE! UNATAKA TUFANYE USHOGA? KAMA NI MISAADA WAKOME HATUTAKI" WAITARA AKIWASHA BUNGENI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 191

  • @MudiMtundu
    @MudiMtundu 4 місяці тому +25

    Uko sahihi baba Asante kwajili yawatanzania wote

  • @majidukalugendo4738
    @majidukalugendo4738 4 місяці тому +26

    Asante sana Mhe. Waitara kiukweli umetuwakilisha vema wananchi. Sisi tunawategemea ninyi kwanza mkatae vitendo vinavyokwenda kinyume na maadili. Mkikaa kimya maana yake mnakubaliana na vitendo hivyo vya kutuharibia vijana. Tunakupongeza sana sana!!

  • @faridaally-jp1gx
    @faridaally-jp1gx 4 місяці тому +42

    Hongera baba kutetea mungu akulinde watoto wanaharibiwa sana

  • @dominickchristopher1669
    @dominickchristopher1669 4 місяці тому +18

    Tanzania inaitaji viongozi wa aina hii hongera mbunge mungu hakulinde uyo wazili no dalali wa wazungu

  • @PauloMiage-m1x
    @PauloMiage-m1x 4 місяці тому +27

    😂😂😂😂😂😂😂 Asante sana waaaaaah hapa Huyu nmemwelewa ata akiomba kura huyu apewe kabsa amkeni hivi tutawakubali

  • @KenedyMwakyimo-lf6jg
    @KenedyMwakyimo-lf6jg 4 місяці тому +18

    🎉daàh nmependa xana hii Mungu akubariki

    • @abduljuma7807
      @abduljuma7807 4 місяці тому

      Hao mawaziri wote wanaonyamazia maovu kwenye wizara zao hatuwapi kura kuwatetea wazungu

  • @gosbertrwezahura3645
    @gosbertrwezahura3645 4 місяці тому +12

    Safi kabisa. Una uthubutu kuliko hata kiongozi wa nchi.

  • @mariamarywenslaus2938
    @mariamarywenslaus2938 4 місяці тому +15

    True point 😲😲😲😲😲

  • @mutawillibard2544
    @mutawillibard2544 4 місяці тому +17

    Point mkuu atuwezi kulea ujinga maana tukirea ujinga leo kesho hatutapata taifa imara

  • @TwahaAliMtumbi
    @TwahaAliMtumbi 4 місяці тому +13

    Hongera Sana waitara

  • @Paulopeter-nh4gl
    @Paulopeter-nh4gl 4 місяці тому +5

    Hongera sana mjomba wangu kwa kutuwakilisha wananchi wa tarime na watanzania kwa ujumla

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 4 місяці тому +15

    Jamaaa anajuaaa Allah akulinde ameongeaa ukwelii

  • @yusufumahendeka2456
    @yusufumahendeka2456 4 місяці тому +11

    Hongera sana sana Mungu azidi kukushika sana

  • @diamondjx
    @diamondjx 4 місяці тому +15

    Safi sana mbunge

  • @user-fj3zp2qz3p
    @user-fj3zp2qz3p 3 місяці тому +2

    Hongera kwa kupinga ushoga Mungu akusaidie

  • @AkswaZo
    @AkswaZo 4 місяці тому +6

    Hongera kiongozi kwa kusimamia maadili hadharani

  • @nururashidy1447
    @nururashidy1447 4 місяці тому +1

    Asante mhe. Ujumbe umefika iv Rais wangu siaseme tu nae akemee ushongo na itungwe sheria kali kama Uganda

  • @IssaSaid-t2r
    @IssaSaid-t2r 4 місяці тому +3

    Asante baba kwa kuongea kwa sauti ya juuu kabs kwa kwaniabaya ya watanzania.viongozi kama hawa ndio tunao wahitaji walio kunywa maji ya bendera ya taifa hii ni vita kama vita nyingine

  • @fettyramadhan622
    @fettyramadhan622 4 місяці тому +1

    Kweli

  • @HadijaTatu
    @HadijaTatu 3 місяці тому +2

    Hakika hii ni vita ya ukombozi wa kifikra na wakuongoza vita hivi ni viongozi wanaojielewa kama ww mungu akuweke babab

  • @suzysam6002
    @suzysam6002 4 місяці тому +3

    Mungu was mbinguni akubariki sana akukumbuke siku zote akakupe haja ya moyo wako

  • @piusdamian594
    @piusdamian594 4 місяці тому +2

    Chief Mwita Mwita respect 💯

  • @saddiqsaddiq6880
    @saddiqsaddiq6880 4 місяці тому +6

    Muhishimiwa hongera ×100

  • @irmgardsamia1827
    @irmgardsamia1827 4 місяці тому +1

    Saaafi sana

  • @salomemlagila5757
    @salomemlagila5757 4 місяці тому +2

    Asante baba

  • @user-se5ue6wd8i
    @user-se5ue6wd8i 4 місяці тому +5

    Kweli kabisa

  • @FunnyMastiff-hd3bb
    @FunnyMastiff-hd3bb 3 місяці тому

    Asante sana

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 4 місяці тому +8

    Sf waitara ww ndio umechana mkeka laivu hongera

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 18 днів тому

    Tunawahutaji viongoz wengi kama hawa bungen.Hawa ndio viongoz Mungu amewateua kutetea T.z Mungu akubariki sn.

  • @maendeleoleo2594
    @maendeleoleo2594 4 місяці тому +16

    Kuna wakati saa mbovu inasema ukweli😆😆

    • @paschalekagito3507
      @paschalekagito3507 4 місяці тому +1

      Saa mbovu ipi sasa we fisi wewe fala

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 4 місяці тому +1

      Ungekuwa unafuatilia bunge Kila siku usengemeita fisi, anaongea pumba sana huyu waitara

    • @officialentertainment1995
      @officialentertainment1995 4 місяці тому

      ​@@MiriamAbdallahchadema bhana😊😊😊😊😊

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 4 місяці тому

      @@officialentertainment1995 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kafanyeje tena 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @ramadhanishabani807
      @ramadhanishabani807 3 місяці тому

      Hii ni saa mbovu kwakweli leo imejitahidi

  • @jogoomohamed2652
    @jogoomohamed2652 4 місяці тому

    Safi sana mh, safi sana mtu mwenye hofu ya MWENYEZI MUNGU,safi sana mhe unayejua duniani tunapita,safi sana mkuu mwenye utanzania kamili.MWENYEZI MUNGU atakulipa kwa kilio chako.

  • @RaphaelJickson
    @RaphaelJickson 4 місяці тому +5

    Daaa!!! Noma sana mambo ya nchi hi ACHA tyu

    • @HamisAbdallah-cj2sc
      @HamisAbdallah-cj2sc 3 місяці тому

      Hongera Sana muishimiwa mwakiembe ameonhea lakini hapati ushirikiano hata kidogo tatizo misaada tatizo

  • @SHARIFAMAKAMBA
    @SHARIFAMAKAMBA 4 місяці тому +1

    Big up

  • @eladiuspeter586
    @eladiuspeter586 4 місяці тому +5

    Leo Umeongea point

  • @sarahdeograthias9097
    @sarahdeograthias9097 4 місяці тому +1

    Safi sana Mh God bless you

  • @GabrielSky64
    @GabrielSky64 4 місяці тому +2

    Heche is back. Safi Sana muheshimiwa

  • @PastorNdabilaJembelaYesu
    @PastorNdabilaJembelaYesu 2 місяці тому

    Hongera sana mwita

  • @Halphanmpagaze
    @Halphanmpagaze 4 місяці тому +1

    Safiii

  • @Drjohnny-bf6bp
    @Drjohnny-bf6bp 4 місяці тому +1

    Hongera sana🎉

  • @DaimonMwapelele
    @DaimonMwapelele 4 місяці тому +1

    Safi Sana haya mashetan yatoke na pesa zao na huyo raid alone kwendakwenda kwa hao mafilaun kuombaomba misaada

  • @andrewmichaelmwakipole5054
    @andrewmichaelmwakipole5054 4 місяці тому

    Aswaaaaa amazake amazangu Mungu akupe neema tunaitaji viongozi Kama awa

  • @DeoSeme-qe9qq
    @DeoSeme-qe9qq 4 місяці тому

    Nakuombea kwa Mungu,akupe maisha marefu,Umetuwakilisha kiukweli

  • @trendings1293
    @trendings1293 4 місяці тому

    Asante muheshimiwaaa

  • @willymwaipaja6783
    @willymwaipaja6783 4 місяці тому

    Harakati za kuwainua wanawake wawe vichwa juu ya wanaume vinapofanikiwa, ndipo harakati za ushoga vinaanza na baadae haki za watoto kufanya watakavyo bila kupingwa na wazazi wao. yote haya yanapingana na Neno la Mungu ila yanakubaliwa na wazungu. Na wote ambao mungu wao ni vile waonavyo wazungu ndio ambao huendesha harakati hizi. Yaani hawa hawafai kabisa, ila kwa haki za wazungu wanafaa na ndio viongozi wa kutuendesha kwenye machukizo. Majanga na mabalaa na laana yatazidi kuongezeka kama matokeo ya kumchukiza Mungu kwa uasi dhidi ya neno lake kutokana na upotoka kwetu

  • @mugirejoseph5329
    @mugirejoseph5329 3 місяці тому

    Asant kaka angu wabunge muwe hivyo safi

  • @user-bl4pz4bg1j
    @user-bl4pz4bg1j 4 місяці тому

    Asante sana mbunge Waitara

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 4 місяці тому +1

    Hongera sana waitara tunataka wabunge kama huyu Tanzania

  • @janechengula2833
    @janechengula2833 4 місяці тому

    Mungu akubariki baba 💯

  • @paschalfausitine7108
    @paschalfausitine7108 4 місяці тому +7

    Leo wewe ,umeongea point Bora ,tule, mlenda na daga , kuliko watoto wetu, kuwa mashoga , ni usenge tyu

  • @AbdalahMsaga-wf6zl
    @AbdalahMsaga-wf6zl 4 місяці тому

    Waambie ukweli baba kwani mbona bili wap tuna toboa kwanini sisi tuna jirahidi? Tumwombe mama asituongoze ivo awe jasir

  • @umlaith5202
    @umlaith5202 2 місяці тому

    Huyo Waziri havai ,...

  • @ArielNassari
    @ArielNassari 4 місяці тому

    Xawaxawa baba

  • @stellacosmacy4785
    @stellacosmacy4785 4 місяці тому

    Waitara Ahsantee sanaaa baba

  • @husseinbachwa8372
    @husseinbachwa8372 4 місяці тому

    Ahsante saana kaka mwita

  • @maisarirajab4846
    @maisarirajab4846 4 місяці тому

    Safi sana

  • @fatmaally7252
    @fatmaally7252 4 місяці тому

    Yaaaani mungu akubariki baba yangu awo wanaowalawiti watoto wetu awafungwi wanaachiwa huru ndo mana hii hari inaendelea ingekuwa wanafungwa majsha jela aya mambo yasinge endelea yani kama nyie viongozi mnapenda haya mambo au mmeyakubarj yafanyike

  • @magogelameck1501
    @magogelameck1501 4 місяці тому

    Mungu akubariki@Waitara

  • @stellacosmacy4785
    @stellacosmacy4785 4 місяці тому

    Hongeraa wanatuletea ungaa wa ugali unaviashilia wanatuletea sheleeni kwa watoto wetu

  • @RamadhaniHamisi-qt1sv
    @RamadhaniHamisi-qt1sv 4 місяці тому

    Good mheshimiwa

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 4 місяці тому

    Jesus lord 💔😭

  • @AinekishaNyakato
    @AinekishaNyakato 4 місяці тому

    Bora ndoa za mitara wanaume waoe wanawake 20 kuliko mwanangu wa kiume kulawitiwa au kuolea yaani mungu tusimamia hii vita wanawake inabidi tuandamane laa sivyo watoto wetu wa kiume wamo hatarin saaana

  • @RobartShello-qj4vr
    @RobartShello-qj4vr 4 місяці тому

    Hakuna kitu hapo nimakofiitu, utekelezaji sifuri kuanawatu wanaliamo ndo maana munapaza saut hazifiki

  • @DeusOgiro
    @DeusOgiro Місяць тому

    Jambo mbaya sana ushonga

  • @verdianabanabi2205
    @verdianabanabi2205 3 місяці тому

    Hii wanatuletea mikosi na laana kwa vizazi vyetu. Ndiyo maana magu hakuhitaji wazungu. Lakini mpaka sasa wameingia na staili ya misaada kumbe wanasambaza ujinga.

  • @edwardmizambwa237
    @edwardmizambwa237 3 місяці тому

    Kama mkubwa kasema wakubwa ruksa ushoga ila niachieni watoto, na wote mmeona waziri atakua na nini la kusema? Mnamuonea.

  • @AbdalahMsaga-wf6zl
    @AbdalahMsaga-wf6zl 4 місяці тому

    Ongeeni namama kama anashabikia aruhusu na siraha ili boya akikuletea utefe unamuwasha

  • @karimkate1853
    @karimkate1853 4 місяці тому

    Good mwita

  • @rewardnjau7220
    @rewardnjau7220 4 місяці тому

    vita vita mura hakuna vita ndogo

  • @StanyOfficiol-f6p
    @StanyOfficiol-f6p 2 місяці тому

    Kwanini serikari isitunge sheria ya kufungwa? MTU yoyote anae jihusisha na ndoa moja au ushiga

  • @rashidmkoga3053
    @rashidmkoga3053 4 місяці тому

    Mwanaume Museven tu Africa

  • @PaulinaSemindu-ob3de
    @PaulinaSemindu-ob3de 4 місяці тому

    Ninachoumia mtt mdogo analawitiwa mlengwa anakamatwa anapelekwa police na anaachiwa huwaga naumia sana niliona mitandaon😭😭

  • @MuhibuMrope
    @MuhibuMrope 4 місяці тому

    Mh mhata mbunge wangu ❤❤❤

  • @davidkawesa3594
    @davidkawesa3594 4 місяці тому

    Mngepinga kwa kugomea huwo mpango lakini mnaogopa posho zenu mnaona aibu mnahonga pesa

  • @ngusawales2039
    @ngusawales2039 4 місяці тому +6

    Limewakia kwenye GIA leo namba 3

    • @mwanas2
      @mwanas2 4 місяці тому

      😅😅

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 4 місяці тому

      Limenifurahisha 😅😅😅😅😅😅 kumbe anakuwa vizuri ila ukupe wake tuu😅😅😅😅😅

  • @edwardmwambene3748
    @edwardmwambene3748 4 місяці тому

    💯💯💯🥰🔥🔥

  • @MosesMollel-je2zq
    @MosesMollel-je2zq 4 місяці тому

    Kweli kabisa baba Sema ukweli kila siku ILi watu watoke kwenye ngiza ya wa koloni

  • @ReginaJoseph-cm3cx
    @ReginaJoseph-cm3cx 4 місяці тому

    Mura leo umenifurahisha

  • @josephmwinuka3982
    @josephmwinuka3982 4 місяці тому

    Leo nimekuelewa kuhusu ushoga

  • @BahatiSamila
    @BahatiSamila 4 місяці тому

    Anakiri atafika mbaaali😊❤

  • @kamanyasogoye4855
    @kamanyasogoye4855 4 місяці тому

    Safi sana Mbunge🎉🎉🎉🎉

  • @tobiaspaul9203
    @tobiaspaul9203 4 місяці тому

    Kashikilia nini hicho

  • @salehwaziri5062
    @salehwaziri5062 4 місяці тому

    JPM alipingasana hiikitu lakinileo wakubwawanasngalia maishayao

  • @AnuaryMadili
    @AnuaryMadili 3 місяці тому

    Chief Waitara🎉

  • @user-lw4rm7we9x
    @user-lw4rm7we9x 4 місяці тому

    Mzee nakukubali hao wanao kubali ushogo waende huko uliko wakawe bwabwa wao

  • @user-pg6db8jl2y
    @user-pg6db8jl2y 3 місяці тому

    😂😂😂wakurya atutaki ujingaaa buana

  • @JoshuaMsamila-tk9df
    @JoshuaMsamila-tk9df 4 місяці тому

    Ako kamama basi mungu ndo anajua

  • @ashuranda6934
    @ashuranda6934 3 місяці тому

    Watanzania amukeni jamani inci kwakweli taïfa inakwenda pabaya sana

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 4 місяці тому +1

    Taifa linazamishwa na wakuu mmekuwa mstali wa mbele kwa uchawa kwa wazungu mnatushangaza kweli tunalia mnacheka wengine hivi kweli watoto wetu wa kiume waolewe ni mzazi gani atalala usingizi atakula kwa amani

  • @faithfelistasmwinjomod3955
    @faithfelistasmwinjomod3955 4 місяці тому

    👏👏

  • @MezdDimoso
    @MezdDimoso 4 місяці тому

    Ukimsikiliza huyu kiongozi unagundua kwa nini viongozi wakubwa wapo kimya

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 3 місяці тому

    Hawa mashoga si wapo mitaani watupe rukhsa tuwe tunawauwa kimya kimya mbona wanaisha tu haina neno

  • @jkaaya3639
    @jkaaya3639 4 місяці тому

    Safisana kaka huna tuwakilisha vema❤❤❤

  • @barakakhamisi4022
    @barakakhamisi4022 4 місяці тому +2

    Hatammi amazake ama zagu

  • @ROZITHOMAS-y4q
    @ROZITHOMAS-y4q 4 місяці тому

    Wabunge pigeni kelele hii ni vita ya dunia.

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 4 місяці тому

    Waitara uko vizuri lkn tatizo lako punguza ulevi

  • @SylasJacobo
    @SylasJacobo 4 місяці тому

    Anaekubali ushoga huyo hafai kuwa sehem ya bunge letu tukufu

  • @gazzomaster9462
    @gazzomaster9462 4 місяці тому

    Hii imeendaaa kabisaaa

  • @jafariakili2360
    @jafariakili2360 4 місяці тому

    Huyu ni wabunge safi

  • @DavalsonMarlony
    @DavalsonMarlony 4 місяці тому

    serkali yetu inavyo penda misaada aiwezi pnga ilo swala kwasababu ya upgaji Ila ushoga nikitu kibaya Sana hii tanzania inabid iamke Kama Uganda. saiv mashoga wanaongezeka kla kkicha

  • @emmanuelsenge4672
    @emmanuelsenge4672 3 місяці тому

    Wewe ndio kidume