Toka umeondoka sina raha hata kidogo mimi mwenzio ,wanipa wasiwasi mpenzi Zarina , nyimbo bora sana anayejua walioimba kuanzia meimbaji kiongozi mpaka wapiga vyombo atujuze
Mpenzi Zarina one of the classics kwenye muziki wa dansi Tanzania. Wanipa wasiwasi mpenzi Zarina, nirudipo kazini najiona nipo pekee nyumbani…...Abel Barthazar alikuwa mpigaji mzuri sana wa Solo ambaye huwa hatumpi sifa yake anayostahili. Marehemu Mzee Gurumo anasema kama sio uvivu wa mazoezi Abel alikuwa ndio mpiga Solo kipenzi chake.
Watu walikuwa wana muda wa kupangilia mashairi na vyombo, MSIKIE MZEE MNENGE NA SAXOPHONE YAKE.sikilliza rhythm ya AHMED OMARI SOLOIST NI Abel Baltazar. Wqimbaji ni Bitchuka na Gurumo na Juma Akida
Edwin R Boma Kuna wimbo nadhani ni wa Juwata wenye maneno haya, " Yamekwisha sifanyi makosa kama yale, mpenzi nisamehe sitorudia tena" Hiki kibao kiliitwaje? natamani sana kusikiliza kibao hiki chenye maneno murua.
Toka umeondoka sina raha hata kidogo mimi mwenzio ,wanipa wasiwasi mpenzi Zarina , nyimbo bora sana anayejua walioimba kuanzia meimbaji kiongozi mpaka wapiga vyombo atujuze
Inanikumbusha mwishoni mwa miaka ya 70. Ndo nilitoka tu kumpoteza mama mzazi! 😢. Nikiwa kijijini kwenye malezi mapya bila ya yeye!
Mpenzi Zarina one of the classics kwenye muziki wa dansi Tanzania. Wanipa wasiwasi mpenzi Zarina, nirudipo kazini najiona nipo pekee nyumbani…...Abel Barthazar alikuwa mpigaji mzuri sana wa Solo ambaye huwa hatumpi sifa yake anayostahili. Marehemu Mzee Gurumo anasema kama sio uvivu wa mazoezi Abel alikuwa ndio mpiga Solo kipenzi chake.
Reminds me my days in Azania,such a romantic song,Almighty JAH bless those guys of Msondo for the effort.
Wow! Brings back memories!
Back memories
Ngoma ya mafunzo ya kuridhisha! Bitchuka kazi kwako Kaka!!. Dr. Ogeto International
Who remembers a number of the early 70s praising liberation struggles in Mozambique. It had a very good beat.
frelimo song
@@edwardgura2989 is it available?
Hassan rehani bitchuka super stereo those times dah walio hai Allah awape umri mrefu na waliotangulia mbele za haki awapunguzie adhabu za kaburi
Alhamdulillah
Beautiful song. Reminds me of them days.
Daah Asante nakumbuka waze wangu😭😭😭
Asante bichuka ulitutendea haki ugua pole
Hii nyimbo alimuimbia mke wake Zainab Salum ambaye yupo nae hadi sasa, kwa sasa mzee anaumwa na anahitaji msaada kwa kweli
Jmn natafuta xana no yyt iliyotolewa ajili ya kumsaidia mzee bitchuka km ipo nisaidieni nijikune nami ajil ya mzee
Zarina Allah amrehemu alikua Tanga Chumbageni
Napenda vile vyombo zinachezwa
Rest In Power Gurumo
So deep song
asanteni
Educative song codes Juwata Jazz
Watu walikuwa wana muda wa kupangilia mashairi na vyombo, MSIKIE MZEE MNENGE NA SAXOPHONE YAKE.sikilliza rhythm ya AHMED OMARI SOLOIST NI Abel Baltazar. Wqimbaji ni Bitchuka na Gurumo na Juma Akida
Another Joseph lusungu master piece
Miaka ya utoto wangu baba akiwa Bado yu hai.
penda sanaaa this
Utunzi wako bitchuka.
Ngoma kali mno leo mzee unaumwa huna msaada wowote inauma sana
Waimbaji.. Juma Akida (!!!??), Gurumo, Hassan Bitchuka, na...
Nafikiri Mzee John Simon alikuwa kashatoka hapa ingawa sina uhakika sana
Hapo mzee lusungu alikuwa anaongoza waimbaji. RIP mzee lusungu.
Nani anasikiliza 2017
weng tu
Ha ha... April 2020.
Reminds me of the time I was at Ngombezi Tanga
Msondo asanteni sana.
Edwin R Boma Kuna wimbo nadhani ni wa Juwata wenye maneno haya, " Yamekwisha sifanyi makosa kama yale, mpenzi nisamehe sitorudia tena"
Hiki kibao kiliitwaje? natamani sana kusikiliza kibao hiki chenye maneno murua.
enzi zile hakuna simu ni barua tu
Yaani utulivu wanguvu hisia Kali
wapi Abel. nobody inherited his talent, good music yawa
Nani anasikiliza 2019
Da.wameondoka.na.msondo.na.msondo.yao.wametuachia.masktko.akn.tena
Mauwa jumaa
Thnaks
Muziki ulipokuwa unaitwa muziki
Huu wimbo @diamond aurudie sisee #Diamondplatnumz
Nilikua naupenda huu wimbo tangu nikiwa na miaka 10,
Yani iyongoma nikiisikia natulia kusikiliza mistari
Kama umzima uko uliko na unanisikia