Julius Mzeru: Bendi ya Orchestra Mlimani Park ilikuwa ni Shule ya Muziki. Amueleza Adam Zuberi...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 15

  • @papaogutu
    @papaogutu Рік тому

    Adamu Zuberi,very informed presenter, you're my role model in broadcasting and interview skills

  • @johnmapunda99
    @johnmapunda99 2 роки тому +1

    Asante ndugu Adam Zuberi kutuwekea haya mambo hapa.Kazi yako tunaikubali sana.

  • @friminershayo5325
    @friminershayo5325 2 роки тому +1

    Duuuuuuuu 😍 history song 🎵 ♥
    Mziki unaoishi...👏👏👌💯

  • @wilkinsonndigajustus33
    @wilkinsonndigajustus33 3 роки тому +1

    Adam Zuberi mkereketwa wa muziki ulio timia was kiswahili.Kafanya makubwa kufufua hisia zetu tulioshabikia muziki wetu was kiswahili.

  • @AnthonyKisondella
    @AnthonyKisondella 4 роки тому +1

    Adam Zuberi, mmoja ya ma-presenter ambaye namkubali mno.
    Hazina yetu!.. Be blessed

  • @khalidikmuhija5397
    @khalidikmuhija5397 3 роки тому +1

    Ali Jamwaka, Au Ali Tumba. Mpiga tumba hodari.

  • @mohammedalmuhaidhri6957
    @mohammedalmuhaidhri6957 4 роки тому +2

    Ni vizuri saana

  • @MakameAbdallah-wn3hc
    @MakameAbdallah-wn3hc Рік тому

    Wee acha tu mmh
    Mbona Tulifaidi

  • @adammlowo7362
    @adammlowo7362 2 роки тому +2

    Kuna wimbo siukumbuki vzr ila kiitikio chake Bank mahari pa usalama uliimbwa na band gani?

    • @allynayomo485
      @allynayomo485 2 роки тому +1

      Wimbo ni judi wa band ya oss ulirekodiwa mwaka 1986 mwimbaji kiongozi bichuka

    • @MUZIKINAWANAMUZIKI
      @MUZIKINAWANAMUZIKI  2 роки тому +1

      Orchestra Safari Sound (OSS) Ndekule

    • @selemanmadege611
      @selemanmadege611 2 роки тому +1

      Unaotaja banki Mahalia pa usalama ni Christina Moshi wa OSS ndekule

    • @Kabeya410
      @Kabeya410 Рік тому +1

      🤣 Wimbo unaitwa CRISTINA MOSHI ametokeza saana SKAS KASMBULA KAIMBISHA.

  • @jaafarmsakwa4657
    @jaafarmsakwa4657 4 роки тому +1

    Nulikuwa darasa la saba