Kanikumbusha 2020 nikimchumbia mke wangu Consolata Thirindi kutoka Meru nchini Kenya.Safari za kwenda nyumbani kwetu Busia na kwao Runda jijini Nairobi ndani ya crysler.Sasa ni miaka minne kwenye ndoa.Taraji mwanatu yupo miaka mitatu sasa.
Kazi muliijua kwelikweli, hakika tutawakumbuka, Pia hamkuwa wachoyo mukawashilikisha akina Joti, Mpoki, na Kingwendu, Hakika mmenda,, lkn kazi zenu bado zinafanya vizuri
Tunaoangali Hii nyimbo 2024 tunajielewa sanaaaa tujuane kwa like jamani❤
Kama umemuona kingwendu gonga like
Tx Moshi suleimani mbwembwe, Muhidin gurumo Joseph mahina othmani momba saidi Mabel's,allahumaghfirlahu warahamahu waskanahu filjana, hao waliujua mziki bila basata Allah awapunguzie adhabu siku yakiyama
2024 nipo naona tena msondo
Kwa kuwa tunapendana mengi utasikia lakini usijali
Ahsante Suleiman mbwembwe
Kama umemuona Joti na Mpoki hakika tutafute pesa.,likes nyingi kwangu wandugu
Wanamziki wassai wakopi mtindo wakale yenye mafundisho hongerini kama mngali wazima wanamsondongoma.
Watching this 2024 nani mwingene finya Like hapa🎉🎉
Mungu amlaze pema hayatiselemani mbwembwe athumani momba na moshi william
Yakale dhahabu kweli, hawa wazee walikuwa wanamuziki haswa. Mwenyezi Mungu warehemu wote waliotangulia mbele yahaki..
Mziki mzuri unaishi daima...
Nyinyi niwamungu nakwake yutarejea mbwembwe Moshi mahina ngurumo momba mabele zaidi yakulia hakuna ziada mliijua kazi haswaaa
Tx Moshi mbwembwe momba mahina mabela anko gurumo, hao haijawahi Wala haitatokea walikua kaziyao, wapumzike kwaamani kazi waliijua
Chama langu la ukweli linanikumbusha mbali sana eee mungu wape pumziko jema
Kila nafsi itaonja Umauti 😭😭 Mwenyezi Mungu awapumzisheni kwa amani wote mliotangulia mbele za haki 😭😭😭Mbele yenu nyuma yetu
🙏🙏
Inauma sana BUT we have no choice. Duniani tunapita tu. Rest in peace all regend. Tunawakumbuka sana
Hakika zaman ziliibwa nyimbo yaani ujumbe had maudhui yanaingia najikuta nakumbuka Enzi za uhai WA mzee Wang daaaah pumzikeni kea aman
Mungu ndiye muamuzi wayote waweke mahalipeme peponi Amina
Mziki ulikuwa mziki sasa siku hizi unaweza kusikiliza wimbo usielewe watoto wa siku hizi wanaimba nn big up msondo kweli kazi mliifanya
Cheusi
nahizi ni dhalilii kwamba roho zenu sio njema kwake hata akivaa vizuli mnamwambia analinga mbwembwe brother RIP
Mwenyezi Mungu awasamehe dhambi zao, huwa napata huzuni wakati mwengine nikisikiliza nyimbo zao.
Hakika hizi nyimbo zinaukonga moyo wangu sana…...nyimbo zilitungwa zikatungika. muziki bomba sana kwa kweli...ujumbe murua sana
hapa mliacha kazi mkafanya kazi
mimi si mpenzi sana wa msondo lakini kibao hiki nakikubali sana
Mabelaaaa
2020 kama tupo pamoja gonga like yako hapa twende sawa
Hakika wazee Hawa hawawenzi kusahaulika ktk fani ya mziki wa dansi hapa tz.
Kanikumbusha 2020 nikimchumbia mke wangu Consolata Thirindi kutoka Meru nchini Kenya.Safari za kwenda nyumbani kwetu Busia na kwao Runda jijini Nairobi ndani ya crysler.Sasa ni miaka minne kwenye ndoa.Taraji mwanatu yupo miaka mitatu sasa.
Mungu awalaze pema tunawakumbuka sana
Allah awajalie safari ya kheri na ss tuko nyuma yenu allah awafanyie wepesi na adhabu ya kaburi
Mungu ni wetu sote. Wapumzke Kwa amani wakongwe Hawa, walikuw Bora sana. R.I.P Suleiman mbwembwe, Tx moshi william na maalim gurumo
Mungu atupunguzie adhabu za kaburi sote🙏😥
Masharubu nakosa niseme nn kwa ninyi wazee wangu
Mwenyezu mungu awapumzishe kwa amani wote
Kazi muliijua kwelikweli, hakika tutawakumbuka,
Pia hamkuwa wachoyo mukawashilikisha akina Joti, Mpoki, na Kingwendu,
Hakika mmenda,, lkn kazi zenu bado zinafanya vizuri
Pumzikeni wote mliotangulia , lkn pia nikiwaangalia kina Joti inanifurahisha saanaa
Acheni mungu aitwe mungu xafunzima yauimbaji hatunayo tena nimachungu Mkubwa xana
Mungu awapunguzie adhabu
Lala mahala pema hakika uruduburudisha
Mwenyezi.mungu.awaweke.peponi.amina
hizi ndio mziki tunataka zakizmani na zina mafunzo vijana wasikuizi sijui wanaimba vitu atuelewi jameni.
Muziki ulipokuwa unaitwa Muziki,sio hizi shuzi za sasa hivi za kina Harmonize na wenzake
Dah kweli bwana lakn mlijua zaidi wazee wetu RIP respect kwenu
Akika tutawakumbuka sana kwa hizi tungo
Said Mabela anakung'uta gita vizuri sana
Msondo ngoma nyimbo zao mpaka leo zinatisha
Mungu wape pumziko la milele
Nimeona vitoto vinajiuliza huyu mbona kama joti nikawajibu ni wakina ndaro hao
Watu hutoka mbali, Joti alikuwa bado mdogo na hajatoka bado,,,,,
Msondo wapo vizuri Sana nyimbo zao zina maudhui Sana,
Kaeni Makini wanndishi wa habari
Kwa wimbo huu juwata mko juu
Pumzikeni wapenzi ,MMungu awakumbatie!
Daaaah hakuna namna kweli tunapita
Suleiman Mbwembwe, pumzika kwa Amani
Mashujaa wote Wa Msondo waliotangulia Mbele za haki tunawaombea wapumzke salama
na kwa kuwa hana ubaya nanyi mola atamlipia....daa zaidi ya shule...msondo original habari mbaya ni kwamba kikosi kizima kimerejea kwake ...r.i.p all
Dunia tunapita.. ....naumia sana nikizisikia nyimbo hizi .
Napenda mitondo sana
Predovic Locks
Beier Station
Kuna vitoto vimemuona joti na mpoki lakin hawajawajua😂😂😂 wamemjua kingwendu tu😂😂😂😂😂
Mmetutoka lakini sauti zènu na kazi zenu kamwe hatutazisahau, Mungu awalaze mahala pema peponi
asanteni mmemaliza kaz yenu
Watajuta Kama hawakufanya ibada
Wee unayewasikiliza ndiye ukafanye ibada!
baba ya ngoma katika ubora wake. r. i. p moshi, momba,mbwembwe ,mahina na gurumo.
Amen
Nice collection....
Nyimbo zao hazichuji
R.I.P Msondo herois!!!!!
muziki ni uu
Hizi ndo zilikuwa nyimbo,siyo kwa sasa,mara namtafuta hanii ndo nn sasa.
Zilizopendwa na zitakatopendwa.
Kingwendu alikua bado barobaro kweli ni kitambo
Nakumbuka mbali 😢😢
Tutawakumbuka daima.
kweli
The last crew of Msondo Ngoma,may their soul rest in perfect peace Ameem
Pimzikeni kwa amani wote mliotangulia mola awapunguzie adhabu ya kabur
Zamani💪
Wazeee wetu
Omari niachie mimi.
Koepp Way
Gerda Lights
Mungu awapunguzie adhabu ya Kabri, naumia sana ninapo Anglia video izi😢😢😢😢
InshaAllah Amin
Mungu awabariki ata ss tutakufa kazi yao wamemaliza vizuri sana.waishi Sauti zao milele
Masharubu ni hatari kama enzi zile za Bima
mwenyexi awapunguzie adhabu ya kaburi na hii nyimbo zao ziwe funzo kwa jamii
Tatizo nyimbo za ckuihz bila kuimba matusi watu hawasikilizi nyimbo zako
Ahhh Msondoooo
saruti kwenu haitatokea tena
Tutawakumbuka daima, penye penzi hapakosi tezi""" huwezi kula muwa bila kuvuta fundo . Asieee kweli ardhi hii inameza
Masharubuu.
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
My feelings covered by
Happiness + sadness
True
Yes
Kalumanzila msondo
the rythm guitar,.... marvellous.
Joti kalikuwa ni kembambaa
Kuvalis Unions
MSONDOOOOO
2018 mpooooooo hatupoiiiiiiiiii hapa mwendo Wa barudani
Hakika magwiji wa mziki
old is Gold
Lemiongala
Mlijua sana
Compared to none.
Mziki wa kweli
Rip wote
Kumbe wa2 tunatoka mbali kka mpoki alikuwa mzee
Kuzaliwa mwaname
Kukalia mwanammqe
Roho zenu mahali pema peponi miliotangulia
ndugu
Mpoki na kingwendu
Old is gold 😭😭😭😭
😭yaani RIP Dunia mapito