HUU NI UONGO NA SHIRIKI KUBWA KATIKA TAUHIDI 3

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 112

  • @Captainome
    @Captainome Рік тому +3

    Me namsalimia tu shekh diwani Al MAJAAZ.SITAKI KUNENA JAMBO.ASALAM ALEKUM SHEKH.

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 24 дні тому

      Asalaam aleykum warahmatullahi wabarakatu… USILAM UMEKATAZA KUITANA HAYA MAJINA YASIOFAA Surah Hujurat Aya 11 imetusihi mambo haya, unawaita waumini wenzako SubhanaAllah, aya hii ilikuja kwa walioamini wote tusiitane kwa majina mabaya (ya kejeli), kwani ubaya wa sifa na jina ni utokaji nje wa maadili ya Dini, na yeyote yule asiyetubu (kutubia kwa tabia yake hiyo), basi hao ndio walio wadhalimu. ALLAH ametueleza kuwa “kuitana majina mabaya na utokaji nje wa maadili ya Dini, baada ya kuwa mmeingia kwenye Uislamu na mmeufahamu. basi watu wenyekufanya hivyo ndio watu waliozidhulumu nafsi zao kwa kuyatenda mambo haya yaliyokatazwa.
      ‎يا أيها الذين آمنوا لا يسخر قوم من قوم عسى أن يكونوا خيرا منهم ولا نساء من نساء عسى أن يكن خيرا منهن ولا تلمزوا أنفسكم ولا تنابزوا بالألقاب بئس الاسم الفسوق بعد الإيمان ومن لم يتب فأولئك هم الظالمون
      Tumekatazwa hata kutukana na kuikejeri miungu isio kuwa ALLAH
      ‎وَلَا تَسُبُّوا الَّذِينَ يَدْعُونَ مِن دُونِ اللَّهِ فَيَسُبُّوا اللَّهَ عَدْوًا بِغَيْرِ عِلْمٍ كَذَلِكَ زَيَّنَّا لِكُلِّ أُمَّةٍ عَمَلَهُمْ ثُمَّ إِلَى رَبِّهِم مَّرْجِعُهُمْ
      ‎فَيُنَبِّئُهُم بِمَا كَانُوا يَعْمَلُونَ
      HAPO UMEEENDA KINYUME NA MAFUNDISHO YA DINI YA UISLAM
      Sidhani kama UISLAM UMEfundisha mtu akikosea au akafanya jambo lisilofaa aitwe kwa majina hayo uloandika au tu kwa uelewa wako umeona kafanya jambo sio sahihi ndo umeuite majina kama hayo au maneno uloandika
      ‎ادْعُ إِلَىٰ سَبِيلِ رَبِّكَ بِالْحِكْمَةِ وَالْمَوْعِظَةِ الْحَسَنَةِ ۖ وَجَادِلْهُمْ بِالَّتِي هِيَ أَحْسَنُ ۚ إِنَّ رَبَّكَ هُوَ أَعْلَمُ بِمَنْ ضَلَّ عَنْ سَبِيلِهِ ۖ وَهُوَ أَعْلَمُ بِالْمُهْتَدِينَ
      JIFUNZE KWANZA TUVOAMRISHWA KWENYE QURAAN AFU NDO UJE KUONYESHA MISIMAMO YAKO NA MIHEMKO NA JAZBA ULIZONAZO MITANDAONI
      WABILAHI TAWFIQ

  • @oklahommy9838
    @oklahommy9838 Рік тому +5

    Masheikh wetu kiukweli mulichemshwa na yule munayemuita mtoto mkachemshika kweli

  • @mkude
    @mkude Рік тому +1

    Waaleikum msalaam,tuko kwenye majaaz😊😅

  • @Abuumuqbil4994
    @Abuumuqbil4994 Рік тому +1

    Wacha mambo yko diwani hatuwezi kuwachangia wazushi wa majazzziiiiiiii😮😢😢

  • @khalidabas252
    @khalidabas252 Рік тому +3

    Paka ameondoka ndani ya nymba, panya wanajifaragua.

  • @Users2523
    @Users2523 Рік тому +2

    Ndio kazi yenu kuchangisha watu ila mnatuangusha kwenye munaqash

    • @AliKhamis-xb7et
      @AliKhamis-xb7et 23 дні тому

      nyinyi mahurafi Diwani wewe muhuni na kiDawa wako. muogopeni Allah nyinyivwaovu kuliko walio vya msalaba wanafiki

    • @darajanida
      @darajanida 13 днів тому

      ​@@AliKhamis-xb7et sasa wewe kuwaita watu wahuni ndo uchamungu au

  • @SuleimanJuma-r5p
    @SuleimanJuma-r5p 26 днів тому +1

    ❤❤❤❤❤

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 Рік тому +2

    Maghurafi chaliiiiiiiiiiiiiiiiii kwishaaaaaaa

    • @darajanida
      @darajanida 13 днів тому

      wacha ushabiki katika dini

  • @DiudaKozi-qu8sl
    @DiudaKozi-qu8sl Рік тому

    Sheikh kidawa katengeneze kitabu chako kwaza cha tawhidi Kwa polojo ulilotunga na uzushi wako uliouweka kwenye kitabu chako

  • @halidijuma1884
    @halidijuma1884 Рік тому +1

    Ila mungiandaa kipindi maalumu kwa ajili ya ripoti ya munaqashà ili mtuoneshe wapi mĺiopatia na wapi walio kosea,, CONCLUSION

  • @AboubakarSheha
    @AboubakarSheha Рік тому +1

    Hatutoi michango tena, mnatudangany kwenye nikash na mmejisif sn

  • @mchakhamis-fr5nc
    @mchakhamis-fr5nc Рік тому

    Shekh sabas amekamilisha ahadi yake ya kumning'iniza mtoto wa bachu nifurahi sans maashallah

  • @AliShee-mb2gh
    @AliShee-mb2gh Рік тому

    haleluyyah nyinyi
    wakristo kwenu ni waislamu

  • @ramadhanyusuf2401
    @ramadhanyusuf2401 Рік тому +1

    Hasira tupu mnafanya ubabaishaji sasa 😂

  • @Yu-jr9uf
    @Yu-jr9uf Рік тому

    Toka ushindwe kwny mnnaqasha naskia uvivu kukuskiliza.... Na mkileta hoja yeyote sasa hv tunamuita yule mtoto aje apo apo ofisini kwenu awafundishe

  • @zanlec7357
    @zanlec7357 19 днів тому

    Diwani unamianika KIDAWA Mzanzibar na Mkaskazini MWENZANGU. Huyu Jamaa Hana kitu mnampumbaz na kumuuuza kwenye Mitandao. N hatari Sana . Hamna uwezo WA Kusimama na Masalafy.
    KIDAWA Rudi Zanzibar upesi Uje usome hawa MASUFI NI hawana Akili Kwa Mujibu WA Imam Shafi

  • @AbuurabiuJuma-wn5il
    @AbuurabiuJuma-wn5il Рік тому +1

    Shida ya Al mjasima ni mayis kwa wingi hoja hewa ndo mlichojaaliwa

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 Рік тому +1

    Mbona kila mtu ni mwanazuoni katika masufi???

  • @hilalkhalfan1452
    @hilalkhalfan1452 Рік тому +7

    SASA MMESHINDWA KWENYE MAULID, MNAONA MCHOKOROE MSIO YAJUA🤣

  • @9119-r4t
    @9119-r4t Рік тому +2

    Jana sabas kawa msabasi.

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 24 дні тому

      Asalaam aleykum warahmatullahi wabarakatu… USILAM UMEKATAZA KUITANA HAYA MAJINA YASIOFAA Surah Hujurat Aya 11 imetusihi mambo haya, unawaita waumini wenzako SubhanaAllah, aya hii ilikuja kwa walioamini wote tusiitane kwa majina mabaya (ya kejeli), kwani ubaya wa sifa na jina ni utokaji nje wa maadili ya Dini, na yeyote yule asiyetubu (kutubia kwa tabia yake hiyo), basi hao ndio walio wadhalimu. ALLAH ametueleza kuwa “kuitana majina mabaya na utokaji nje wa maadili ya Dini, baada ya kuwa mmeingia kwenye Uislamu na mmeufahamu. basi watu wenyekufanya hivyo ndio watu waliozidhulumu nafsi zao kwa kuyatenda mambo haya yaliyokatazwa.
      ‎يا أيها الذين آمنوا لا يسخر قوم من قوم عسى أن يكونوا خيرا منهم ولا نساء من نساء عسى أن يكن خيرا منهن ولا تلمزوا أنفسكم ولا تنابزوا بالألقاب بئس الاسم الفسوق بعد الإيمان ومن لم يتب فأولئك هم الظالمون
      Tumekatazwa hata kutukana na kuikejeri miungu isio kuwa ALLAH
      ‎وَلَا تَسُبُّوا الَّذِينَ يَدْعُونَ مِن دُونِ اللَّهِ فَيَسُبُّوا اللَّهَ عَدْوًا بِغَيْرِ عِلْمٍ كَذَلِكَ زَيَّنَّا لِكُلِّ أُمَّةٍ عَمَلَهُمْ ثُمَّ إِلَى رَبِّهِم مَّرْجِعُهُمْ
      ‎فَيُنَبِّئُهُم بِمَا كَانُوا يَعْمَلُونَ
      HAPO UMEEENDA KINYUME NA MAFUNDISHO YA DINI YA UISLAM
      Sidhani kama UISLAM UMEfundisha mtu akikosea au akafanya jambo lisilofaa aitwe kwa majina hayo uloandika au tu kwa uelewa wako umeona kafanya jambo sio sahihi ndo umeuite majina kama hayo au maneno uloandika
      ‎ادْعُ إِلَىٰ سَبِيلِ رَبِّكَ بِالْحِكْمَةِ وَالْمَوْعِظَةِ الْحَسَنَةِ ۖ وَجَادِلْهُمْ بِالَّتِي هِيَ أَحْسَنُ ۚ إِنَّ رَبَّكَ هُوَ أَعْلَمُ بِمَنْ ضَلَّ عَنْ سَبِيلِهِ ۖ وَهُوَ أَعْلَمُ بِالْمُهْتَدِينَ
      JIFUNZE KWANZA TUVOAMRISHWA KWENYE QURAAN AFU NDO UJE KUONYESHA MISIMAMO YAKO NA MIHEMKO NA JAZBA ULIZONAZO MITANDAONI
      WABILAHI TAWFIQ

  • @iddikayombe166
    @iddikayombe166 Рік тому

    Hoja 19 zimerejeshwa majibu yakoje?

  • @UmAkram-z1u
    @UmAkram-z1u Рік тому +1

    hawa masufii wapotezaji watu

  • @fatibra7768
    @fatibra7768 Рік тому +2

    Kajifunze kuisoma Qur ani

    • @hashimshariff2743
      @hashimshariff2743 Рік тому

      Qurani gani ajifunze kwani amekosea wapi

    • @cosmasjoshua1973
      @cosmasjoshua1973 Рік тому

      Kiboko yenu Qassimu Mafuta

    • @hashimshariff2743
      @hashimshariff2743 Рік тому +1

      Hebu tusomee wewe hiyo qurani uijuayo wewe kama shekhe ni mkosa ama kinyume chake hujui hata hujui kabisa kuisoma muhimu ni ukoment

  • @DiudaKozi-qu8sl
    @DiudaKozi-qu8sl Рік тому

    Masufi mnajipaka kinyesi chenu kilichokutokeni Tanga

  • @SimaiSharif
    @SimaiSharif Рік тому

    Assalamualaikum

  • @adammaulid2356
    @adammaulid2356 Рік тому

    TAQSIMU ZA TAUHID ZIMO NDANI Y QUR-AN ZIMO, JE BARAZANJI MTUME KAWAHI KUFUNDISHA?

  • @suleimankhalid5978
    @suleimankhalid5978 Рік тому

    Ndg zangu bora njooni zenu tu zanzibar tuwasomee watu wenye majini lkn mambo ya munakash basi bora maana sie ni ndg ktk iman tusijetwangana ngumi wenyeewe kwa wenyewe

  • @habibuchakusaga7981
    @habibuchakusaga7981 Рік тому

    Ufaham wenu ni mdogosana mnajidhalilisha kukataa kituambacho kipo ndaniya Quran na mnasona

  • @AbuurabiuJuma-wn5il
    @AbuurabiuJuma-wn5il Рік тому

    Matus utafikiri hamkulelewa shida yenu mjasima matus

  • @abdulqadirmasuo1550
    @abdulqadirmasuo1550 Рік тому +1

    MFA MAJI HAACHI KUTAPATAPA

  • @mohamedmichonjo5077
    @mohamedmichonjo5077 Рік тому

    Swadaqta

  • @binzubeir6510
    @binzubeir6510 26 днів тому

    Kidawa huna «ADABU».

  • @barzaqtradingcompany8541
    @barzaqtradingcompany8541 Рік тому

    Ashairi wame gawanya Tawhid
    قسَّم بعض السادة الأشاعرة رحمهم الله تبارك اسمه التوحيد إلى ثلاثة أقسام: توحيد الذات، وتوحيد الصفات، وتوحيد الأفعال. أَيّ اعتقاد أنّه لا يوجد ذات مثل ذاته، ولا صفات لغيره مثل صفاته، وأنّه المتفرد بخلق الأشياء وإيجادها وليس لغيره من ذلك شيء. أمّا توحيد الذات فمأخوذ مِنْ قوله تعالى {قل هو الله أحد} [الأخلاص /1]. وتوحيد الصفات فمأخوذ من قوله تعالى {ليس كمثله شيء} [الشورى/11]. وتوحيد الأفعال فمأخوذ مِنْ قوله تعالى {الله خالق كل شيء} [الزمر / 62]، وقوله {والله خلقكم وما تعملون} [الصافات /96]، إلى غيرها مِنَ الآيات الكريمة

  • @Abuumuqbil4994
    @Abuumuqbil4994 Рік тому

    Bora tucheke tu ni mwendo wa majazii tu

  • @abuujuhaima5588
    @abuujuhaima5588 Рік тому

    @Yusufu_Diwani najua unapitia hizi Coment nakunasihi umche Allah, ww haqqi unaijua iko wapi naunajua kabisa kuwa unawapotosha watu hili sina mashakanalo na ogopa sana siku ambayo utakuwa kaburini pekeyako, nakunasihi hii ni dhimma unaibeba.

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 Рік тому

    Wanajitoa kimaso maso

  • @DiudaKozi-qu8sl
    @DiudaKozi-qu8sl Рік тому

    Nyinyi ndo wavurugaji.Naona diwani upo na mwanga mwezako

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 24 дні тому

      Asalaam aleykum warahmatullahi wabarakatu… USILAM UMEKATAZA KUITANA HAYA MAJINA YASIOFAA Surah Hujurat Aya 11 imetusihi mambo haya, unawaita waumini wenzako SubhanaAllah, aya hii ilikuja kwa walioamini wote tusiitane kwa majina mabaya (ya kejeli), kwani ubaya wa sifa na jina ni utokaji nje wa maadili ya Dini, na yeyote yule asiyetubu (kutubia kwa tabia yake hiyo), basi hao ndio walio wadhalimu. ALLAH ametueleza kuwa “kuitana majina mabaya na utokaji nje wa maadili ya Dini, baada ya kuwa mmeingia kwenye Uislamu na mmeufahamu. basi watu wenyekufanya hivyo ndio watu waliozidhulumu nafsi zao kwa kuyatenda mambo haya yaliyokatazwa.
      ‎يا أيها الذين آمنوا لا يسخر قوم من قوم عسى أن يكونوا خيرا منهم ولا نساء من نساء عسى أن يكن خيرا منهن ولا تلمزوا أنفسكم ولا تنابزوا بالألقاب بئس الاسم الفسوق بعد الإيمان ومن لم يتب فأولئك هم الظالمون
      Tumekatazwa hata kutukana na kuikejeri miungu isio kuwa ALLAH
      ‎وَلَا تَسُبُّوا الَّذِينَ يَدْعُونَ مِن دُونِ اللَّهِ فَيَسُبُّوا اللَّهَ عَدْوًا بِغَيْرِ عِلْمٍ كَذَلِكَ زَيَّنَّا لِكُلِّ أُمَّةٍ عَمَلَهُمْ ثُمَّ إِلَى رَبِّهِم مَّرْجِعُهُمْ
      ‎فَيُنَبِّئُهُم بِمَا كَانُوا يَعْمَلُونَ
      HAPO UMEEENDA KINYUME NA MAFUNDISHO YA DINI YA UISLAM
      Sidhani kama UISLAM UMEfundisha mtu akikosea au akafanya jambo lisilofaa aitwe kwa majina hayo uloandika au tu kwa uelewa wako umeona kafanya jambo sio sahihi ndo umeuite majina kama hayo au maneno uloandika
      ‎ادْعُ إِلَىٰ سَبِيلِ رَبِّكَ بِالْحِكْمَةِ وَالْمَوْعِظَةِ الْحَسَنَةِ ۖ وَجَادِلْهُمْ بِالَّتِي هِيَ أَحْسَنُ ۚ إِنَّ رَبَّكَ هُوَ أَعْلَمُ بِمَنْ ضَلَّ عَنْ سَبِيلِهِ ۖ وَهُوَ أَعْلَمُ بِالْمُهْتَدِينَ
      JIFUNZE KWANZA TUVOAMRISHWA KWENYE QURAAN AFU NDO UJE KUONYESHA MISIMAMO YAKO NA MIHEMKO NA JAZBA ULIZONAZO MITANDAONI
      WABILAHI TAWFIQ

    • @darajanida
      @darajanida 13 днів тому

      mwanga ni bibi yako punda wewe

  • @abuabdirahman114
    @abuabdirahman114 26 днів тому

    Diwani leo umefungwa watu watie talaki ilikuwaje huko utufungie kama kweli unatangaza haq ? Wewe nimzushi na muongo mche allah

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 24 дні тому

      Asalaam aleykum warahmatullahi wabarakatu… USILAM UMEKATAZA KUITANA HAYA MAJINA YASIOFAA Surah Hujurat Aya 11 imetusihi mambo haya, unawaita waumini wenzako SubhanaAllah, aya hii ilikuja kwa walioamini wote tusiitane kwa majina mabaya (ya kejeli), kwani ubaya wa sifa na jina ni utokaji nje wa maadili ya Dini, na yeyote yule asiyetubu (kutubia kwa tabia yake hiyo), basi hao ndio walio wadhalimu. ALLAH ametueleza kuwa “kuitana majina mabaya na utokaji nje wa maadili ya Dini, baada ya kuwa mmeingia kwenye Uislamu na mmeufahamu. basi watu wenyekufanya hivyo ndio watu waliozidhulumu nafsi zao kwa kuyatenda mambo haya yaliyokatazwa.
      ‎يا أيها الذين آمنوا لا يسخر قوم من قوم عسى أن يكونوا خيرا منهم ولا نساء من نساء عسى أن يكن خيرا منهن ولا تلمزوا أنفسكم ولا تنابزوا بالألقاب بئس الاسم الفسوق بعد الإيمان ومن لم يتب فأولئك هم الظالمون
      Tumekatazwa hata kutukana na kuikejeri miungu isio kuwa ALLAH
      ‎وَلَا تَسُبُّوا الَّذِينَ يَدْعُونَ مِن دُونِ اللَّهِ فَيَسُبُّوا اللَّهَ عَدْوًا بِغَيْرِ عِلْمٍ كَذَلِكَ زَيَّنَّا لِكُلِّ أُمَّةٍ عَمَلَهُمْ ثُمَّ إِلَى رَبِّهِم مَّرْجِعُهُمْ
      ‎فَيُنَبِّئُهُم بِمَا كَانُوا يَعْمَلُونَ
      HAPO UMEEENDA KINYUME NA MAFUNDISHO YA DINI YA UISLAM
      Sidhani kama UISLAM UMEfundisha mtu akikosea au akafanya jambo lisilofaa aitwe kwa majina hayo uloandika au tu kwa uelewa wako umeona kafanya jambo sio sahihi ndo umeuite majina kama hayo au maneno uloandika
      ‎ادْعُ إِلَىٰ سَبِيلِ رَبِّكَ بِالْحِكْمَةِ وَالْمَوْعِظَةِ الْحَسَنَةِ ۖ وَجَادِلْهُمْ بِالَّتِي هِيَ أَحْسَنُ ۚ إِنَّ رَبَّكَ هُوَ أَعْلَمُ بِمَنْ ضَلَّ عَنْ سَبِيلِهِ ۖ وَهُوَ أَعْلَمُ بِالْمُهْتَدِينَ
      JIFUNZE KWANZA TUVOAMRISHWA KWENYE QURAAN AFU NDO UJE KUONYESHA MISIMAMO YAKO NA MIHEMKO NA JAZBA ULIZONAZO MITANDAONI
      WABILAHI TAWFIQ

  • @UmAkram-z1u
    @UmAkram-z1u Рік тому

    msiwasikilize wanaeneza uomgo

  • @muhammadnassor2389
    @muhammadnassor2389 Рік тому

    Anaamsha uyo

  • @khaalidcheo5383
    @khaalidcheo5383 Рік тому

    Visa vauwongo tu.naadisi zakutunga.😮

  • @jumaajambiamusa8214
    @jumaajambiamusa8214 Рік тому

    Maashaallaaah mm naona tu vile mnasema yako meng ya mawahabi naomba myatoea yooote msiache hata moja maaan wanaona wame nyamaziwa sasa wana mea pembe za ki kukurupuka

  • @FarahJey
    @FarahJey Рік тому

    Huyu ustadh mbona hakutetea juzi, wazibeni Macho hao majuha wanao wafuata

  • @DiudaKozi-qu8sl
    @DiudaKozi-qu8sl Рік тому

    Hahahaha masufi wanafukia makabuli Yao yaliyochimbwa Tanga na sheikh Mohammed bachu

  • @theglobalsociallibertyexpr6150

    Samahanini Ndugu zangu "Muhammad Nasoor Bachu " anachanganya masomo husika kwa Darasa moja darasani , sivyo kabisaa nikinyume cha ufahamu katika kanuni kiadilifu Shida ya Muhammad Nasoor Bachu niufinyu mdogo wa elimu husika tafauti Kitabu cha Barzanji hakuandika kwa akili moja finyu na ufahamu umoja , Sheikh Barzanji ameandika kitabu chake hakuna anaeweza kuandika badala ya Barzanji nikitabu kinafaa kusoma , Elimu ya Nahwu na Sarfu , Elmul Badii , Elmul Balagha , Nk usomi na ubishi mwingi nitatizo kubwa kwa Mtoto wa Bachu Samahanini Sana Hivi amewafanya wanafunzi wema waliobobea elimu za Wanazuoni wao ni Washirikina !!!!! Sallaaale ujinga ni ulemavu mbaya sana

    • @HamisMwamba-zz3po
      @HamisMwamba-zz3po Рік тому +1

      Fanyanae wew munaqasha

    • @pavillioncry5241
      @pavillioncry5241 Рік тому

      Hebu tuache bwana kusoma qur_an hujuwi

    • @azzahrau
      @azzahrau Рік тому

      Hata sibachu pekeyake nimawahabi wote
      Kisha jambo lengine nawatahadharisha nduguzangu kama una mtoto wako wakike usijaribu kumuozesha wahabi hawa jamaa hawana tabia njema kabisa adabu yao nichache alafu nimafedhuli hawana heshma hawajui kumuheshimu mkubwa

    • @YussufSaid-ok4pu
      @YussufSaid-ok4pu Рік тому

      Kwanza ww nakunasih nenda ukasoma somen

    • @Yu-jr9uf
      @Yu-jr9uf Рік тому

      ​@@azzahrausijui kama kichwan upo sawa

  • @adammaulid2356
    @adammaulid2356 Рік тому

    Vyombo vy kaz gani wakat hamuna elimu y kuwap watu!?munaganga njaa tu

  • @makamekombo-qy6dx
    @makamekombo-qy6dx Рік тому

    Tawhiid ime fafanuliwa na Wana wa vyuoni wema walio pita ss tuna nukuutu Wala hatuhitaji porojo zenu Masufi
    leteni ushahi wenu ktk Qur an na Hadith sahihi kuwa vigawanyo hivo Ni uongo mulete Nukuu za Wana wa vyuoni na sio nyie
    Nyinyi Masufi hamu ijui dini
    mufuate mafundisho ya Wana wavyuoni musi jisemee nyinyi

  • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
    @sanoureyaliwadoakaroyo1696 Рік тому +1

    Yani Baada Ya Kushindwaa Na Kugaragazwa kwa Munaqasha Mkaone Mtafute Njia Ya Kujifariji Mkaone Mjee Na Njia Nyengine 😂😂😂🏃‍♂️🏃‍♂️

  • @NoorAli-vj4gn
    @NoorAli-vj4gn Рік тому +3

    Jana kapewa nafasi ya wazi akaingia mitini

  • @salafyhlmanhaj5179
    @salafyhlmanhaj5179 Рік тому

    Mshakufa mnasoma lugha ili kupotosha Quran na hadith

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 Рік тому

      Jenereta washanunuliwa, saivi wanataka tv, makochi, nyumba nzuri, camera, sasa changieni. Mkitaka dua pia changieni japo dua yao jana ilifeli 😂😂😂😂😂😂

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 Рік тому

      Lugha na uganga feki KUOMBEA PESA ZA CHAMERA, MAKOCHI, VIWANJA, MATUFALI😂

  • @aymanmangube4092
    @aymanmangube4092 Рік тому

    haya nawewe omba mjadala wa hio mada tukuone, sasaiv naona mnajitahidi kujititumua ila hamna shida tushawajua vizur tu

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 Рік тому

      Wanahitaji maiki na camera, jenereta washapata 😂😂😂

    • @yahyajuma9353
      @yahyajuma9353 Рік тому

      @@hilalkhalfan1452 hahahahaa

    • @yahyajuma9353
      @yahyajuma9353 Рік тому

      Subuutuu Wallah nakubali kam huyu anamuogopa Sh.Muhammad kama ukurutu

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 Рік тому +1

      @@yahyajuma9353 KAFARA YA NGAMIA WANAYOTUIBIA PESA ZETU NAONA WAO HAIJAWASAIDIA!!! 🤣🤣🤣, HAJAHARISHA LAKINI SABASIBU SHONDE LKUBRAAA? 😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @Captainome
      @Captainome Рік тому

      Mtaambiwa mchangie kiwanja sasa hivi wajenge studio ya nyumba za mashekh zao tulieni tu,

  • @mgazamhina840
    @mgazamhina840 Рік тому

    Somo la tauhidi limetolewa jana ilitakiwa museme hiyo tauhidi alioitoa BACHU ni uongo.

  • @Team-t6k
    @Team-t6k Рік тому

    Tupange niqash ingine😂😂😂😂😂😂😂😂 hiyo hiyiwezi kutusaidiya kitu sisi cha pili si mlisema Sheikh ibn Uthaymin alisema kuwa huwezi kumuhukumu mtu bila kujuwa niya yake? Mimi naomba mjibu zile nuktu 19 za ule mtoto n mpange niqash kwa sababu ya tawuhid 3

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 Рік тому

      E WEHU HAWAAA, ATA AKILI HAWANA. WANAJITAHIDI WAWALE TENA PESA. NIQASH AU UJINGA

  • @allymahaba3425
    @allymahaba3425 Рік тому

    Tawhid ya Mtoto wa Bachu mropokaji, na Mawahhabi wenzao wote. Ukisikia Tawhid ya Kikristo ya Baba, Mwana na Roho Mtakatifu ndio hii ya Tawhid ya Kiwahhabi. Ushirikina mtupuuuuuu!!!!!!

    • @mohagurey2214
      @mohagurey2214 Рік тому

      Mimba ya mtume ilipoingia tu wanyama wameanza kuongea kiarabu,,hebu nifafanulie hio kulingana na ufafanuzi wa shehe sabas 😂😂😂

    • @mgazamhina840
      @mgazamhina840 Рік тому

      @@mohagurey2214hatakujibu kama shekhe wake Sabas kashindwa kujibu yeye ataweza

    • @saidmohammed2830
      @saidmohammed2830 Рік тому

      Eweeee bado tuuuh hujaona uongo uko huko pole aibu hio muoshwa Jana sasa letii hio ya tauhidi tatu munaqasha yake

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 Рік тому

      @@mohagurey2214 😂😂😂, changia camera, makochi, matufali, tuma pesa tu namba wameiweka ukitaka dua pia japo jana sabasibu alitetemeka na dua zake za nyota na Kafara ngamia😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂. Mie maulid asoma, ila hawa vilaza. Skuizi misiiti pesa na tv pesa ila dini mgongoni. Utasikia vipaza sauti tununue, au zulia na umeme msikitini, aya za kutoa zaka na uganga ndio zilizo bakia ulimwengu wa leo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 Рік тому

      @@mohagurey2214 MAJAZI NA MAJAHAZI 😂😂😂. WAMEITA WALIMU NAONA WAO WASHASHINDWA TENA. DAH! BACHU KAWABURUZAAAAA

  • @halidijuma1884
    @halidijuma1884 Рік тому

    Kazi mliofanya Jana kwenye Munaqash,,imetukuka sana ,,natamani mwana ngu are a some kwenu,, AHL SUFY

  • @ramadhanyusuf2401
    @ramadhanyusuf2401 Рік тому

    Mwisho wa siku naona mkitufungia comment section haahaa😂hata hamna Haya jana mmepewa uwanja mkashindwa sasa mnaleta feelings

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 Рік тому

      WANAFIKIRI SISI NI WAPUMBAVU HATUJAONA WALICHOFANYWA🤣🤣🤣

  • @alawisaid280
    @alawisaid280 Рік тому

    Kwanini mnatumia nguvu kubwa kupotosha watu andaeni majibu siku ya kiama

    • @allyomarysuleiman5232
      @allyomarysuleiman5232 Рік тому

      Nyie so waislam tena nnamashaka na ukafiri wenu mnako elekea kina bachu ni kuangamiza uma ila atakae kubali tu

    • @alawisaid280
      @alawisaid280 Рік тому

      @@allyomarysuleiman5232 Sasa unawaitaje waislam makafir sisi pamoja na mabidaa yenu lakini hatujafikia kuwaita makafiri

    • @darajanida
      @darajanida 13 днів тому

      ​@@alawisaid280 taja izo bidaa tuone

  • @adammaulid2356
    @adammaulid2356 Рік тому

    Mwanamme mzima anaitwa jin la kike kidawa

    • @shabaniissa3464
      @shabaniissa3464 Рік тому +1

      Sub'haanallah

    • @allyomarysuleiman5232
      @allyomarysuleiman5232 Рік тому +1

      Ata babaako anaitwa Maulid kwetu ni wanawake tu Maulid lkn mbona kakuzaa ila ndio tatizo lenu mawahabi kukosoa msioyajua nyoyo zenu hazina ikhlas halaf mumejipachika majina ety Salafii duh subuhana llah

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 24 дні тому

      Asalaam aleykum warahmatullahi wabarakatu… USILAM UMEKATAZA KUITANA HAYA MAJINA YASIOFAA Surah Hujurat Aya 11 imetusihi mambo haya, unawaita waumini wenzako SubhanaAllah, aya hii ilikuja kwa walioamini wote tusiitane kwa majina mabaya (ya kejeli), kwani ubaya wa sifa na jina ni utokaji nje wa maadili ya Dini, na yeyote yule asiyetubu (kutubia kwa tabia yake hiyo), basi hao ndio walio wadhalimu. ALLAH ametueleza kuwa “kuitana majina mabaya na utokaji nje wa maadili ya Dini, baada ya kuwa mmeingia kwenye Uislamu na mmeufahamu. basi watu wenyekufanya hivyo ndio watu waliozidhulumu nafsi zao kwa kuyatenda mambo haya yaliyokatazwa.
      ‎يا أيها الذين آمنوا لا يسخر قوم من قوم عسى أن يكونوا خيرا منهم ولا نساء من نساء عسى أن يكن خيرا منهن ولا تلمزوا أنفسكم ولا تنابزوا بالألقاب بئس الاسم الفسوق بعد الإيمان ومن لم يتب فأولئك هم الظالمون
      Tumekatazwa hata kutukana na kuikejeri miungu isio kuwa ALLAH
      ‎وَلَا تَسُبُّوا الَّذِينَ يَدْعُونَ مِن دُونِ اللَّهِ فَيَسُبُّوا اللَّهَ عَدْوًا بِغَيْرِ عِلْمٍ كَذَلِكَ زَيَّنَّا لِكُلِّ أُمَّةٍ عَمَلَهُمْ ثُمَّ إِلَى رَبِّهِم مَّرْجِعُهُمْ
      ‎فَيُنَبِّئُهُم بِمَا كَانُوا يَعْمَلُونَ
      HAPO UMEEENDA KINYUME NA MAFUNDISHO YA DINI YA UISLAM
      Sidhani kama UISLAM UMEfundisha mtu akikosea au akafanya jambo lisilofaa aitwe kwa majina hayo uloandika au tu kwa uelewa wako umeona kafanya jambo sio sahihi ndo umeuite majina kama hayo au maneno uloandika
      ‎ادْعُ إِلَىٰ سَبِيلِ رَبِّكَ بِالْحِكْمَةِ وَالْمَوْعِظَةِ الْحَسَنَةِ ۖ وَجَادِلْهُمْ بِالَّتِي هِيَ أَحْسَنُ ۚ إِنَّ رَبَّكَ هُوَ أَعْلَمُ بِمَنْ ضَلَّ عَنْ سَبِيلِهِ ۖ وَهُوَ أَعْلَمُ بِالْمُهْتَدِينَ
      JIFUNZE KWANZA TUVOAMRISHWA KWENYE QURAAN AFU NDO UJE KUONYESHA MISIMAMO YAKO NA MIHEMKO NA JAZBA ULIZONAZO MITANDAONI
      WABILAHI TAWFIQ

    • @darajanida
      @darajanida 13 днів тому

      sasa mbona huja chunguza jina la babako au maulid ni jina la kiume mawahab wawo nikejeli tu

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 Рік тому

    Naapa wale mnaita wahabi ndio wanaswalia mtume mara alfu zaidi. Yenu ni mdomo tu

  • @salafyhlmanhaj5179
    @salafyhlmanhaj5179 Рік тому

    Watu wa sunna wameharib nini wap mzee utabutuliwa hoja uje ufe yule wa jana mwanafunz mdg kuna watu huwa wanafanya daawa wametulia kimya msitake kuwafanya wanyanyua saut kuomba niqash naam fanyeni tathabut

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 Рік тому

      Dua na jenereta washapata, bado camera 😂😂😂. Lakini sabasibu alikuwa akitetemeka jana na dua zao zote😂😂😂

  • @ABUUJAAFAR92
    @ABUUJAAFAR92 Рік тому

    Kazi yenu Ni kuomba kuomba tu ,,wajinga nyinyi ,,hamna la faida ata moja ispokuwa kupotosha watu ,,,

    • @allyomarysuleiman5232
      @allyomarysuleiman5232 Рік тому

      Mjinga mamaako na babaako aliokuzaa punguwani ww mwehu ww mawahabi ni ukafiri tu msio mjua vyema Allah

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 24 дні тому

      Asalaam aleykum warahmatullahi wabarakatu… USILAM UMEKATAZA KUITANA HAYA MAJINA YASIOFAA Surah Hujurat Aya 11 imetusihi mambo haya, unawaita waumini wenzako SubhanaAllah, aya hii ilikuja kwa walioamini wote tusiitane kwa majina mabaya (ya kejeli), kwani ubaya wa sifa na jina ni utokaji nje wa maadili ya Dini, na yeyote yule asiyetubu (kutubia kwa tabia yake hiyo), basi hao ndio walio wadhalimu. ALLAH ametueleza kuwa “kuitana majina mabaya na utokaji nje wa maadili ya Dini, baada ya kuwa mmeingia kwenye Uislamu na mmeufahamu. basi watu wenyekufanya hivyo ndio watu waliozidhulumu nafsi zao kwa kuyatenda mambo haya yaliyokatazwa.
      ‎يا أيها الذين آمنوا لا يسخر قوم من قوم عسى أن يكونوا خيرا منهم ولا نساء من نساء عسى أن يكن خيرا منهن ولا تلمزوا أنفسكم ولا تنابزوا بالألقاب بئس الاسم الفسوق بعد الإيمان ومن لم يتب فأولئك هم الظالمون
      Tumekatazwa hata kutukana na kuikejeri miungu isio kuwa ALLAH
      ‎وَلَا تَسُبُّوا الَّذِينَ يَدْعُونَ مِن دُونِ اللَّهِ فَيَسُبُّوا اللَّهَ عَدْوًا بِغَيْرِ عِلْمٍ كَذَلِكَ زَيَّنَّا لِكُلِّ أُمَّةٍ عَمَلَهُمْ ثُمَّ إِلَى رَبِّهِم مَّرْجِعُهُمْ
      ‎فَيُنَبِّئُهُم بِمَا كَانُوا يَعْمَلُونَ
      HAPO UMEEENDA KINYUME NA MAFUNDISHO YA DINI YA UISLAM
      Sidhani kama UISLAM UMEfundisha mtu akikosea au akafanya jambo lisilofaa aitwe kwa majina hayo uloandika au tu kwa uelewa wako umeona kafanya jambo sio sahihi ndo umeuite majina kama hayo au maneno uloandika
      ‎ادْعُ إِلَىٰ سَبِيلِ رَبِّكَ بِالْحِكْمَةِ وَالْمَوْعِظَةِ الْحَسَنَةِ ۖ وَجَادِلْهُمْ بِالَّتِي هِيَ أَحْسَنُ ۚ إِنَّ رَبَّكَ هُوَ أَعْلَمُ بِمَنْ ضَلَّ عَنْ سَبِيلِهِ ۖ وَهُوَ أَعْلَمُ بِالْمُهْتَدِينَ
      JIFUNZE KWANZA TUVOAMRISHWA KWENYE QURAAN AFU NDO UJE KUONYESHA MISIMAMO YAKO NA MIHEMKO NA JAZBA ULIZONAZO MITANDAONI
      WABILAHI TAWFIQ

    • @darajanida
      @darajanida 13 днів тому

      ​@@allyomarysuleiman5232 kama kuomba niujinga muhammad bachu ndo mjinga wao