КОМЕНТАРІ •

  • @TaufiqMeneja
    @TaufiqMeneja 23 дні тому +6

    Alhamdhulilah Allah ametuletea sheikh Bachu kusafisha kule kote tulipo kuwa hatuyajui..... Mungu kuhifandhi na azaidi kukupa ujasiri wa kutuilimisha..... Nia yako nikutuelimisha na tuwe kwenye haki

  • @jamalsaid7475
    @jamalsaid7475 21 день тому +2

    JazakaAllaahu'khayran Sheikh Muhammad Bachu.
    Shukran sana kwa maelezo na masuali moto moto.
    Super Salafi wana Balaa mpaka wanampiga vita Sheikh Abdallah Swaleh Al Farsy (Rahimahu'Alllaah)
    Mtihani mkubwa huu

  • @user-yj5on8cz3e
    @user-yj5on8cz3e 24 дні тому +11

    Shekhe muhammadi bachu tunakuombea kwa allah akulinde na maadui maana ukiingia katika dawa ya sunnah ni sawa umeingia kwenye jihadi ukweli watu wanachukia sana na wengine utowa matusi mbali mbali hilo we usijari simama na hakki hivyo hivyo walimwwngu leo wanapenda sana mambo wanayotaka wao kuliko hakki vita ipo usijari allah atakunusu kama alivyomnusulu mtume dhidi ya upinzani alopewa na wadhirikina wa makkah allah vuta subila allah yupo pamoja na ww hawatokudhuru kwa chochote madamu unacholingania kina mridhisha allah na mtume wake. Hayata wakichukia wanadamu hawotokusaidia kitu wala hawatakulipa kitu mlipaji ni allah nasi tunakuombea duwa udhidi kusimama na hakki na subila

  • @CishahayoCishahayo
    @CishahayoCishahayo 20 днів тому +1

    Amani na radhi za Allah ziwe na wewe daima Muhammad nasor bachu, na amrehemu baba yako na waaminifu wote waliyo tangulia mbele ya haki!
    Aamiin, na Allah, akuhifadhi sheikh wetu, Muhammad nasor bachu, Aamiin!

  • @AbuujureyjKhaniy
    @AbuujureyjKhaniy 24 дні тому +10

    Shekh wallah hoja mzito hizo hawez kujibu kiufasaha kama yalivo uliza.....hoja ni mzito mpaka mm naogopea kuaibika shekh letu Subhanallah bachu sasa umekwiva Allah akuhifadhi

    • @alkitaamiyMihswan-p3j
      @alkitaamiyMihswan-p3j 22 дні тому

      مثرثر لا يعرف ما يقول له جهل مركب

    • @alkitaamiyMihswan-p3j
      @alkitaamiyMihswan-p3j 22 дні тому

      والله لا يعرف المنهج السلف رجل له جنون

    • @alkitaamiyMihswan-p3j
      @alkitaamiyMihswan-p3j 22 дні тому +1

      alafu inatakiwa utambuwe shekhe wetu hawezi kukujibu wewe miaka mia wallahi naapa hawezi kukujibu wewe bwana mdogo alafu inatakiwa ukae kitako ukasome.

    • @user-su7np6sn7s
      @user-su7np6sn7s 22 дні тому

      Anatafuta kujulika Tu huyo
      Qaasim Mafuta atamjibu tuu mana Hana elimu huyo yakumshinda Sheikh Qaasim Mafuta

    • @AbuujureyjKhaniy
      @AbuujureyjKhaniy 22 дні тому

      @@user-su7np6sn7s NA AJIBU HIZO HAJA WALA ASILETE BLAA BLAAA SISI TUNAHITAJI ELIMU TUJUE HUKU KUOMBA MTUU MAITI NI IPII NAYEYE NA WATUPE MAKOSA YA ABUU MUAWIYA HOJA 6 ATUJIBU

  • @SamirKhamis-l1k
    @SamirKhamis-l1k 24 дні тому +8

    ALLAH AKULIPE KILA LA KHERI AKUPE UMRI MREFUUU

  • @iddimutua420
    @iddimutua420 23 дні тому +3

    InshaAllah Allah ajaalie iwe sababu ya masheikh wetu wa sunna kueka tofauti zao kando na kushikana kwaajili ya dini hii ya Allah ili sunna ipate nguvu ya kupiga vita shirki na bidhaa ilioko kwenye dini hii

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot 22 дні тому +6

    Kwakweli Shekh Muhammad Bachu wewe ni kijana mdogo sana kwa umri, lkn kichwa chako kina ubongo mzima na ulio imara sana, maashaa Allaah.
    Pia nilisema na naendelea kusema, Mashekhe wa kisalafy wajitakase kwa dhulma walio mfanyia Shekh Abuu Mu'aawiyah, bila hivyo dhulma hii itawatafuna mmoja baada ya mmoja, na hawa wafuasi wenu waleo, kesho ndio watakao kua dhidi yenu kwa dhulma munazo wafanyia Mashaayikh wa Haqqi.
    Na miongoni mwa mambo yatakayo wafanya watu wafumbuwe macho na wadadisi sana na kupekua kutafuta ukweli ni lama hili alilo lifanya Shekh Muhammad Bachu, na wale Madu'aat wengine, wanafunzi wa Shekh Abuu Mu'aawiyah, Allaah amrahamu.
    Na siku zote ukiwa muonevu na kudidimiza wanyonge chini, elewa kua wale wanyonge unao wadidimiza chini wana akili, kwaio watakaa nawao watafute njia ya kujikomboa kutoka kwenye unyonge na udhalili unao wafanyia.
    Huu ndio uhalisia wa mambo ya ulimwengu yanavyo kwenda.
    Ama kuhusu Dini yetu Tukufu, ukifanya jambo lolote ambalo hukupaswa kulifanya, na kuwaaminisha walio chini yako kua kufanya hivyo ndio Dini, siku moja itakutokea puani tabia hii.
    Na mukitaka ushahidi wahilo, nihaya maswali sita ambayo Shekh Qassim Mafuta Allaah amuhifadhi anatakiwa alete majibu yake ili kujitakasa yeye na walio muunga mkono kwenye kumdhulumu Shekh Abuu Mu'aawiyah.
    Mimi nakuhakikishieni Shekh Qassim hawezi hata siku moja kuleta majibu ya swali lolote ktk haya maswali sita.
    Kwa sbb nikweli isiokua na shaka kua Shekh Qaassim Mafuta na masalafy wenzie wamemdhulumu Shekh Abuu Mu'aawiyah tena dhulma kubwa mnoo.
    Pili, Namna walivyo jiwekea nidhamu ya kuipeleka Da'wah wamekosea sana kwa kupandikiza mambo ambayo hayahitajiki ndani ya Da'wah na hawawezi kujitetea kwa hoja zilizo wazi kwa sbb ulimwengu unaishi na kuyashuhudia makosa hayo, na madhara yake.
    Tatu, hawezi kuyajibu yeye Shekh Qassim wala mwenginewe, kwa sbb akijibu kama itakiwavyo kwa namna yalivyo haya maswali, moja kwa moja Shekh Qassim na wafuasi wake yatabainika kwa watu makosa yao na dhulma walio ifanya kwa Shekh Abuu Mu'aawiyah na Mashaayikh wengine akiwemo huyu Shekh Muhammad Bachu, na Mashaayikh wengine wanao waita mahizby.
    Sisi bado tuna imani na Mashaayikh wa kisalafy, lkn sio kiupofu, kwamba mpaka kwenye makosa tuwaunge mkono, hatuko hivyo.
    Kwaio masalafy wasi subiri mpaka nguo ziwavuke mbele za watu khalafu eti ndio wanakuja kujirekebisha na kurekebisha makosa yao na dhulma zao!
    Na kipande cha video kilicho wekwa mwisho ni ushahidi mkubwa unao thibitisha kua Shekh Rabii na wafuasi wake kuna mambo mengi wame yakosea, na watu walipo yajua wame jitenga na kubeba kila kinacho toka kwao, bali wamegundua wengi kua kuna makosa mengi yamefanyika.
    Na ni dalili pia inayoonesha masalafy wanahitajika wabadilike na wabadilishe mifumo ya Da'wah, ususuavu waachane nao, na uhizbiyya ndani ya usalafy waachane nao pia, bali washike mwenendo wa kati na kati tena kwa umakini na tahadhari kubwa ya kuwatia na kuwahukumia makosa watu ambao hawana makosa...
    Kama walivyokua Mashaayikh zetu wakubwa, wazamani kama vile Ibnu Taymiyyata............
    Allaah awarahamu.
    Tena watu wasijitie pambani Wallaahi hizi ruduud wanazo fanyiwa Mashaayikh wa kisalafy na Masalafy wenzao kuhusu dhulma walio mfanyia Shekh Abuu Mu'aawiya na Mashaayikh wengine ambao wako hai bado, lkn zaidi hii inayo muhusu Shekh Abuu Mu'aawiyah, watu zinawaingia akilini sana sana sana, tena sana yani zaidi ya sana, na wanayagundua yale makosa ambayo Mashaayikh wa Kisalafy wame yafanya.
    Kwaio badae huenda ruduud hizi zikawaletea madhara Mashaayikh wa kisalafy endapo wata ng'ang'ana na makosa walio nayo na dhulma kwa Mashaayikh wengine wa kisalafy kama wao.
    Na ndio pale nilipo sema Mashaayikh wa Kisalafy kuanzia Shekh Qassim Mafuta na wengine, wasipo kua makini na kujisafisha mapema kwa dhulma hizi, Wallaahi zitawatafuna mmoja baada ya mmoja, hapahapa duniani.

    • @rajabumbendenga5480
      @rajabumbendenga5480 15 днів тому

      Maandishi meengi hoja ya Msingi umekosa kuijenga zaidi ya kufanya sherh ya maneno ya Sheikh lako.
      . Cha ajabu ni kwamba sisi hatuna shaka juu ya uhizb wenu na hakuna ktk waalimu wenu aliyetahadharishwa pakakosa bayana yake ya misingi ipi kaiharifu na vipi alinasihiwa.
      Hilo kwa masalafy Alhamdulillah linafanyiwa kazi.
      Leo hii asimamae kushangaa uhizb wa bacho, abuu muawiyah, barahiyan au Islam ni mtu wa aina tatu.......
      1. Ni ktk mahizb ambao hawawezi kusikiliza chochote toka kwa RUDUUD za masalafy na hii ni kutokana na kukemewa na walimu wao.
      Maana twajua hao wooote washagongwa na hakuna hata mmoja kajitetea kisheria au alitarajaa kama ilivyokawa kwa mwanja Allah amuongoze.
      2. Ni mtu mjinga ambaye haijui daawah salafiyah na Maulamaa wake (na huyu atapewa nyuzuru kwa ujinga wake)
      3. Ni Mchanga ktk kuifuata sunna either yuko na miezi au mwaka hajaanza kuitafuta sunna ya uhakika nayo ni manhaj salaf.
      Mmekosa msemaji hadi mwamuona bachu ni msemaji hali ya kuwa anagongwa na abuu khawlah Allah amhifadhi mlikaa kimya kuanzia yy mwenyewe hadi nyinyi wafuasi wake.
      NA HATA HUU UOZO ALIOUSEMA NAKUHAKIKISHIA HUYU ROPOROPO WAKO HATOKALIWA KIMYA ATAJIBIWA NA ATAKIMBIA YEYE DAWAH SALAFIYAH INA WIGO MPANA ALHAMDULILLAH NA ALLAH AZIDI KUIPANUA. ATAJIBIWA NA WANAFUNZI MASHEIKH HAWANA MUDA WA KUJIBIDHANA NA MTU HATA MANHAJ YAKE HAIJUI NAKUHAKIKISHIA HII COMMENT YAKO USIPOIFUTA KWA KITAKACHOMKUTA BASI NI KUTOTOKEA KWA HII ACCOUNT YA SHEIKH LENU ALLAH AMUONGOZE KWENYE HAKI

  • @NaduuAbdilah-uj5vj
    @NaduuAbdilah-uj5vj 24 дні тому +10

    Allah akuhifadhi shekh bachuu .mwenyewe nna pata elimu sanaa Allah aku jaalie mwisho mwemaa

  • @bafaaabuu
    @bafaaabuu 22 дні тому +3

    Mashaallah allah akuongoze shekhe letu uzidi kutupa elimu inshaallah amin

  • @jamalsaid7475
    @jamalsaid7475 21 день тому +2

    Maa Shaa Allaah TabarakaAllaah Alhamdulillah

  • @zawiaissa8912
    @zawiaissa8912 24 дні тому +7

    😢😢meliya sana mtu ameshafariki bado mnamsema 😢😢roho yaniuma kama vile namjua ❤

  • @SheikhMohamud-cl1jx
    @SheikhMohamud-cl1jx 19 днів тому +1

    Mashaalah shehe kassim ni mzushi ambaye anatusi wenzake

  • @AbdulwahidAli-md6re
    @AbdulwahidAli-md6re 24 дні тому +3

    Assalamu alaikum. Kiukweli shekh Muhammad Allah akuhifadhi unatoa hoja madhubuti mpaka zinakosa majibu kwa ulio wauliza hii ni kuonesha umesimamia katika Haqqi Kuanzia kwa masufi akina Shekh Said, Sabbas mpaka kwa majadida Akina shekh Qasim na mpaka Mashia. Wote hao wameshindwa kuyajibu maswali yanavyotakiwa kujibiwa na kugeuza geuza maneno.

  • @allywaziry6419
    @allywaziry6419 21 день тому +2

    Ntafurahi sheikh Kasim mafuta akiendelea kuwanyamazia, pale pongwe ni darsa tu mpaka saa tisa usiku, we tafuta sifa.

    • @abdurashidinasorodini
      @abdurashidinasorodini 19 днів тому

      huna lolote weye ni bendela fataupepo

    • @allywaziry6419
      @allywaziry6419 19 днів тому

      @@abdurashidinasorodini naam mimi upepo naoufuata ni wakielm, kukaa chini na kusoma, sio ukasuku kama wa kwako na huyo mkurupukaji wako, dua zetu sheikh aendelee kumnyamazia tuu na si vinginevyo

  • @AbdulswamadHashim
    @AbdulswamadHashim 20 днів тому +1

    Sheikh Allah akulinde akupeumli mrefu akupe subra

  • @zanzibaronlytv3470
    @zanzibaronlytv3470 24 дні тому +8

    Tunampenda baba ako bachu , na baba ako ni salafy kama vile wanafunzi wake sheikh chichi alivyo salafy

  • @MuhammadHassan-xp6dc
    @MuhammadHassan-xp6dc 23 дні тому +3

    kweli shekhe yani kuna mmoja amefikia kusema kuwa shekhe amekufa kibudu subhannallah,kuna baadhi ya watu wana ujahili wa kupitiliza kiasi,Allah atuongeze ktk haki.

  • @saidabdallah5448
    @saidabdallah5448 23 дні тому +3

    Mafuta zamani alitudanganya sana
    Sasahivi tumeshamjua
    Sheikh bachu watie adabu hawa majadida

  • @KhalfanMassoud
    @KhalfanMassoud 22 дні тому +2

    Maashallah, jazaakallahu khair.

  • @sheikhabuusakakin3243
    @sheikhabuusakakin3243 23 дні тому +2

    أسأل ألله أن يوسع لي ولك كلّ طريق وينجيني وينجّيك من كلّ همٍّ وضيق
    أسأل ألله أن يملأ قلبي وقلوبك بالأنوار ويحفظني ويحفظك

  • @nsabimanasuleyman2008
    @nsabimanasuleyman2008 24 дні тому +7

    Tunashkuru kwa utetezi kwa ndugu yetu Abuu Muawiya. Allaah amrehemu. Na tunasubiri jibu kwa Ndugu yetu na Sheikh wetu Qaasim mafuta ( Allaah akuhifadhi na amchunge )

    • @alkitaamiyMihswan-p3j
      @alkitaamiyMihswan-p3j 22 дні тому

      @@nsabimanasuleyman2008 tatizo taalifa tunazo zipata mkijibiwa mwalia sasa mi nauliza ni kinawaliza

    • @rajabumbendenga5480
      @rajabumbendenga5480 15 днів тому

      @@alkitaamiyMihswan-p3j
      Tena huwa wanakuwa wapoleee hadi wanatia huruma

  • @iddijuma1428
    @iddijuma1428 23 дні тому +4

    shekh Muhammad Allah akuhifadh, eneza elemu shekh Muhammad

  • @user-ql3ze2he6u
    @user-ql3ze2he6u 22 дні тому +1

    حفظكم الله ورعاكم من كل بلاء والغم يا شيخنا الفاضل الغالي

  • @MohammadJumah-qk2xc
    @MohammadJumah-qk2xc 24 дні тому +5

    MAA shaa allaah

  • @ujumbeonline9965
    @ujumbeonline9965 21 день тому +1

    ما شاء الله ❤

  • @twalibfaqih9385
    @twalibfaqih9385 24 дні тому +3

    MASHA ALLAH JAZAKALLAH KHEIR

  • @AbduNgarubulwa
    @AbduNgarubulwa 23 дні тому +2

    Mashaalah!!shekhe nimekuelewa vya kutosha

  • @user-ye3fy9kk6r
    @user-ye3fy9kk6r 23 дні тому +3

    Baaraka llahu fik

  • @technicalyahya8314
    @technicalyahya8314 22 дні тому +4

    Hiki ni kisubha kidogo sana kwa abul fadhl kassim mafuta allah amuhifadhi

  • @allymbarouk5362
    @allymbarouk5362 23 дні тому +2

    Kazi unayo Wallah
    Allah atuongoze

  • @RamadhanMohamedi-lz8ev
    @RamadhanMohamedi-lz8ev 22 дні тому +3

    maana unaonekana hata manhaji huijui ngoja uje ufundishwe na vijana wa kisalafi wewe ni mzee wa kuokota okota tu ila usije ukakimbia tu maana unachokoza mwenyewe alafu watu wakikulekebisha unambia

  • @YusufuThegreat
    @YusufuThegreat 18 днів тому

    Uyu Kaka bachu uwa anatafuta umaharufu

  • @abduwahabi7019
    @abduwahabi7019 18 днів тому

    Wewe bacho nijaahili muraqabu hujui hata kanani za kubidaisha na kuadilisha allah akuelimishe

  • @user-xt6jf9um4s
    @user-xt6jf9um4s 21 день тому +2

    Ww umesoma wapi kwanza maana hujulikani

    • @abdurashidinasorodini
      @abdurashidinasorodini 19 днів тому

      acha ujinga wewe usimuulize mtu amesomea wapi wewe angalia kinacho tolewa hatakama amesomea mapangoni haijalishi

  • @ibrahimuadam2313
    @ibrahimuadam2313 19 днів тому +1

    Siku ya kwanza leo, Namsikiliza Muhammad Bachu, km ana adabu nadhan kibusara anatakiwa kwenda Kusoma kwa huyo anayemuita Al-Akhy
    Nadhan arejee Raddi Za Sheikh Abuu Idi Muhammad Idi alimjibu kuhus ijitahid na makosa ya wanavyuoni
    Hoja km hz za Bachu walizileta Masufi wakajibiwa, haina haja ya kujibiwa arejee kwny Ruduud za Sheikh Qaasim Kwa Sheikh Muhammad Idi atakuwa ameona majawabu yake yote

    • @rajabumbendenga5480
      @rajabumbendenga5480 15 днів тому

      Hii mihizb huwa imejifunga kwa barahiyaan hata ikisikia haielewi akhy

  • @IbnuAlly-wm8il
    @IbnuAlly-wm8il 24 дні тому +2

    Wabainishie haki mpaka waache ujadida (kuubinafsisha usalaf kwa ufahamu wa baadhi ya Masheikh) na mpaka waelewe kuwa masuala ya ijtihadi hawayawezi kuwa nguzo za usalaf

  • @RamadhanMohamedi-lz8ev
    @RamadhanMohamedi-lz8ev 22 дні тому +2

    shekh qaasimu mafuta hawezi kumjibu asiyoeleweka yuko wapi kwanza tuambie wewe uko wapi maana hatukuelewi na nyinyi mnao coment hamna upambanuzi?
    abuu muaawiya alikuwa hawakubali jamaatu answaari ssunna sasa mbona muhammad bachu unajipendekeza kwao wao hawakutaki

  • @hafidhwajina6718
    @hafidhwajina6718 21 день тому +2

    Muhammad bachu ni mtu fasaha anapojenga hoja ila ukiutia ujadida huwez muelewa

  • @babanusayba3600
    @babanusayba3600 23 дні тому +3

    Shekh hawezi jibu uozo kama huu

  • @Abubakarhaji-cq2cq
    @Abubakarhaji-cq2cq 19 днів тому

    Abulfadhil hawezi kukujibu akhii usipoteze muda fanya mambo mengine

  • @user-lp3gi5wd4e
    @user-lp3gi5wd4e 24 дні тому +2

    Unapo mtukana mwenzako nakumvunjia heshima,Ipo siku nawewe utatukanwa na kuvunjiwa heshima.

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 23 дні тому +2

    Mmeanza kuvuwana ila na mwomba MOLLA azidi kutu pambanuliya zaidi ili tujiepushe kufwa mkumbo waki wahabi # salifi . Amin 🤲 thuma amin 🤲🤲🤲

    • @sama-_8368
      @sama-_8368 22 дні тому

      Aamiyn Aamiyn Aamiyn
      Uwahabi ni mzigo mkubwa

  • @technicalyahya8314
    @technicalyahya8314 22 дні тому +1

    وهدفها ليس مهاجمة الأفراد. وتشير إلى أخطاء كبار العلماء - كالسيوطي وغيره -، ويُنتفع بعلمهم، ولهم فضائل تستر أخطائهم، لكن الخطأ لا يقبل منهم ولا من غيرهم.
    أ

  • @sheikhabuusakakin3243
    @sheikhabuusakakin3243 23 дні тому

    تقبل اللهُ مِنَّا وَمِنْكُمْ صَالح الأَعْمَالِ.

  • @ashachitemo7816
    @ashachitemo7816 23 дні тому +2

    Ukichaa huanza taratibu taratibu...😂😂😂

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 24 дні тому +2

    Hichi chama kibaya sana
    Kila siku kinafarakanisha umma

  • @suhailsodeh5444
    @suhailsodeh5444 24 дні тому +4

    Abulfadhiil kweli kiboko HafidhahuAlllah...

    • @HassanHamad-rf9tq
      @HassanHamad-rf9tq 23 дні тому

      Kiboko kivip acha ushabiki kijana

    • @OmarAlly-iz8ot
      @OmarAlly-iz8ot 23 дні тому

      Tunakubali kweli kiboko, lkn na haya maswali akiyajibu atazidi na kua kuliko kiboko.
      Allaah amuhifadhi

  • @HajiDibwa-n2f
    @HajiDibwa-n2f Годину тому

    ❤❤❤❤

  • @ABUUJAAFAR92
    @ABUUJAAFAR92 24 дні тому +14

    Muhammad bachu kwanza kabisa naomba utupe dalili wapi qaasim mafuta alimtoa abuu muaawiya kwenye sunna au usalafy , kwasababu yapo maneno ya wazi ya sheikh abuu muawiya akisema anamshukuru ndugu yake abul fadhl qaasim mafuta kuwa anamzingatia kuwa ni mwanasunna assalafy ,pamoja kuwa wamekhitalifiana ,,,tunaomba Muhammad bachu wapi abul fdhl amemuhizbisha abuu muaawiya ,,

    • @masoudmohammed4258
      @masoudmohammed4258 24 дні тому +5

      Kweli kabisa huyu hizbi Muhammad bachu hajielewi huyu

    • @abrahmanhamad3253
      @abrahmanhamad3253 24 дні тому

      Hata hyo kasif mafuta ndio kazid kutojielewa ​@@masoudmohammed4258

    • @abbaspaziaog2188
      @abbaspaziaog2188 24 дні тому +1

      Nyie. Muogopeni. ALLAH wanamuita Abuu mu3wiya hasani awadh ALLAH amraham shekh wetu hawa akina. Qasimu mafuta hadananllah nawenzake wanasema. Abuu mu3wiya hasani awadh ALLAH amraham na wenzake anaofanya. Nao. Daawa. Woote. Ni mahzbi na markaz ya ya. Furush darul hadith ni watu. Wabidaah na Abuu arqam masoud wa zanzibar ambae. Yupo. Irshaad ilala amesema. Markaz alosoma Abuu mu3wiya. Haya. Nayy. Muiteni hizbii wajinga nyie. Wafuata mkumbo

    • @mfalmenajjash2128
      @mfalmenajjash2128 24 дні тому +2

      Huyu nae ni Salafy jadida anatafuta pakutokeya

    • @ABUUBAAZNYUNGU
      @ABUUBAAZNYUNGU 24 дні тому +1

      ​@@abbaspaziaog2188 una uhakika aliyesema hivo ni Kassim Mafuta?????? Tupe Audio Plz

  • @Airport_view
    @Airport_view 17 днів тому

    Bachu huyu ni kasuku wa zanzibar ameporoja huku vya kutosha baada ya hakki kuwekwa wazi jambo lake huku zanzibar kakimbia saiv anaparamia wasio size yake rudi nyumbn kumenoga raddi akhy
    Moja ya makala bora hiyo apo chini

  • @yoboy787
    @yoboy787 23 дні тому +1

    رحمه الله الشيخ ابو معاوية

  • @abuutamiimattanzaaniy8676
    @abuutamiimattanzaaniy8676 23 дні тому +7

    Huyu HAMU YAKE NI KWAMBA SHEKH QASIM AJE KUZUNGUMZA, Anavyoona Shekh hashughuliki na yeye huwa anapata tabu sana huyu Wallah. Na wenzake wote wapo hivi, Allah atuongoze sisi ha hawa

    • @salumtakao9828
      @salumtakao9828 23 дні тому +3

      So kwamba hashughulikiwi . Tatizo shekhe wenu kadhulumu mtu kwa kujiona ana eleimu kubwa akasahau kuwa yeye ni Binadamu km wengine. Nyinyi so kama hmuoni ila mnaushabiki sana. Tumeshuhudia makosa mengi akitolew shekh qassim, amepunguza Imani zetu sana. Ukubwa wa elimu usimpe kibiri hiko abadilike

    • @hassanmohamedlaizer569
      @hassanmohamedlaizer569 23 дні тому +4

      Mbona yeye sheikh qassim anashughulika na dr Islam na wenzake na walla dr Islam hanampango nae?

    • @salumtakao9828
      @salumtakao9828 23 дні тому +1

      @@hassanmohamedlaizer569 umeona sasa. Hawa wanjifanya machizi kweli, ila wamewezwa na ushabiki tu bass hawan hoja za msingi .

    • @OmarAlly-iz8ot
      @OmarAlly-iz8ot 23 дні тому

      Acha ujinga wewe, hili lina muhusu yeye khasa Shekh Qassim Mafuta kwa dhulma walio ifanya kwa Shekh Abuu Mu'aawiyah, hivyo basi sio lazima asimame yeye kama yeye kujibu, lkn haya maswali yanahitaji majibu, na yatakapo toka majibu ndio tutabainikiwa sote nani kakosea na nani kapatia.
      Kwaio anayo nafasi ya kumuandikia mmoja ktk vijana wake akaja akajibu haya maswali, lkn sidhani kama aweza kutokea salafy yeyote kutia mkono hapa.

    • @user-rb8ir9co9k
      @user-rb8ir9co9k 21 день тому

      Sheikh wenu sio kama hashughuliki nae Bali hana hoja za kumjibu Sheikh Muhammad Bacho

  • @aliyussuf7165
    @aliyussuf7165 2 дні тому

    MAJIBU KUHUSU IMAAM SUYUUTWIY رحمه الله
    ua-cam.com/video/pvUgiLlVH_o/v-deo.htmlsi=Udx4NfbwdDP2gs4D

  • @husha6372
    @husha6372 23 дні тому

    Na hi Kwani Wewe PEKE YAKO umepewa Ishirini ya kukufurisha na kuingiza na kutowa watu Mwenye Makundi Bache Wewe utashindwa ukimbie u Salafi na uwahabi tumeona WENGI Sana Ustadh Smohamed Said alikwambia uende mambrui ukasome tena

  • @genius0045
    @genius0045 22 дні тому +1

    Huyu hizbi amepondwa na masuufi sasa Ameruudi kwa ahlul haq, na ahlul haq watakuponda pia vibaaya tena.

  • @aminuddinwacate
    @aminuddinwacate 22 дні тому

    Inna Lillah wa inna ilaihi rajiun

  • @YusufuThegreat
    @YusufuThegreat 18 днів тому

    Aja soma manhaji ange chukuwa kitabu
    ماهي السلفية
    ANGELIJUWA WATU WANAO JINASIBISHA NA USALAFI KI UWONGO

  • @user-ug8hc4yh5k
    @user-ug8hc4yh5k 24 дні тому

    Shukran sana sheikh wetu Muhammad bacho
    Wambie hili kundi la ghawariji la salafiya jadidah
    Hawa mahawariji masalafiya jadidah wamekuja kubomowa swafu za watu wa sunaa
    Ayiwezekani doctor Islam na sheikh salimu barahiyani na Muhammad bacho ni masheikh wengi wa sunaa ati ni watu wa bidah
    Masalafiya jadidah hawana uwadilifu

    • @mussamsuya8595
      @mussamsuya8595 24 дні тому +2

      Unajua bidaa na hizbi

    • @kasimubangu1875
      @kasimubangu1875 24 дні тому

      @@user-ug8hc4yh5k usiwaite hivyo hata mimi sikubaliani nafikra zao ila kuwa muadilifu kwao hata kama wao wanachupa mipaka nakuwaombea kazi ya Sheitwaan nikufarakanisha umma ndio maana baadhi ya wanawachuoni wanaingiwa na mitihani ya kufarakanisha umma

  • @hashimukillenja9377
    @hashimukillenja9377 24 дні тому

    جزاك الله خيرا
    Hatuwezi kupata audio yake whatsApp au Telegram??

    • @bakarisalimu8421
      @bakarisalimu8421 23 дні тому

      Si mtu wa kusomesha bali ni kukurupuka tu na maneno bila elimu

  • @user-hw5zu2vc3m
    @user-hw5zu2vc3m 24 дні тому +3

    Ww pia ulibainishiwa hoja kwa uhizbiya wako sasa bainisha kuwa ww sio Bixby
    Uliwatukana viongozi kwenye mimbar wewe au sie sasa bainisha kuwa huo si uhizbiya

    • @AbdulwahidAli-md6re
      @AbdulwahidAli-md6re 24 дні тому

      Inaonekana ww hujawafuatilia vizur Shekh Qasim na Shekh Muhammad Rudi nyuma utaona alisema nn kuhusu yy tutolewa na akajibu kwa vitabu bali shekh Qasim hakurud kuja kujibu. Kama unakumbuka alipo ulizwa shekh Qasim kuhusu Shekh Muhammad na na akajibu Mtizaneni marafiki zake na Shekh Muhammad akajibu kwa vitabu.

  • @saidabdallah5448
    @saidabdallah5448 23 дні тому

    Sheikh kasim
    Nimjanja sana
    Akiona hawezikujibu
    Atajifanya tumpuuze huyu hizbi

    • @alkitaamiyMihswan-p3j
      @alkitaamiyMihswan-p3j 22 дні тому

      @@saidabdallah5448 ingekuwa tumepewa ruhusa huyo mwnabacho tungemjibu sisi na umekosa akili za kufikili alafu mwambie shekhe wako akasome mustwalahu alioshindwa kwenye majidiliano yale jambo la kitooto ali shindwa bachu

  • @user-lp3gi5wd4e
    @user-lp3gi5wd4e 23 дні тому +4

    We nae mjanja mjanja tu!.
    Kinachosikitisha na kushangaza wote MAWAHABI mmesoma MAKA ,chaajabu mkisharudi huku mnaanzatoana kwenye nakutengeneza Makundi. MAWAHABI nyie ndo mnajiona waislaam pekenu! Sasa Mwenyez Mungu anaanza kuwaweka wazi nyie nikina nani.

  • @bacteria5184
    @bacteria5184 24 дні тому +1

    Hawa salafy jadida akili zao ndogo ni kama kondoo wanawafanya wanavyuoni wao kama manabii.utaskia kasema sheikh fulani na sauti mbaya za kuiga.

  • @AhmadMohamad-ew8vo
    @AhmadMohamad-ew8vo 23 дні тому +1

    Mafuta pekee ndio mwenye haki ??? Sheikh Qassim Mafuta mwanzoni alikuwa anapendwa hata mm nilimpenda kuna siku sheikh Abu Muawwiyya alikuwa akimpenda sheikh. Qassim na alihidhuria mnakasha wake wa kwanza Tangamano. Dhidi ya sheikh Salim Barahiyyan
    Lakini sheikh Qassim anapenda kuwaradi

    • @user-rb8ir9co9k
      @user-rb8ir9co9k 21 день тому

      Sheikh Qasim Mafuta amesababisha mgawanyiko mkubwa sana katika Umma wa Kiislam

  • @abduwahabi7019
    @abduwahabi7019 18 днів тому

    Unaushahidi kama suyuutwi alisimamishiwa hoja!! Kama alivyo simamishiwa hoja abuu muawiya? Mtu abidaishwi au akufurishwi mpaka asimamishiwe hoja abuu muaawiya audio za hoja zilimfikia ndiomaana akabidaishwa lkn suyutwi hakuna aliemfikishia ndiomaana hakubidaishwa.
    Bacho Kasome kanuni za kubidaisha na kukufurisha

  • @omarsuleiman9064
    @omarsuleiman9064 23 дні тому

    Twendeni tu mdogo mdogo mwisho maulamaa wote mtawatoa kwenye dini

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 23 дні тому

    Kwanimtu ashakufa si mumuachie Allah hatamkimjadili .hapo Allah ndiyeanamjua.mjawake angekuahai nikweli ilimlekebishane leohi Allah kamchukua mnyamazetu kimya yupo mbeleya haki muombeenitu Dua basi.

    • @alkitaamiyMihswan-p3j
      @alkitaamiyMihswan-p3j 15 днів тому

      والله أقسم بالله أنا على الحق أعنى السلفين

  • @user-km5zc8zp8x
    @user-km5zc8zp8x 21 день тому

    Sheikh aliyopo katika mwisho wa video hii ni nani,na ni lipi jina lake??

  • @salmyhussein6255
    @salmyhussein6255 23 дні тому +1

    Hawaezi kujibu hizo hoja mpaka kiama

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot 22 дні тому +1

    Na watu musiwe wajinga kiasi hiki, unaandika coment wakati hujajua kinacho zungumzwa ni kitu gani!!!
    Hebu sikilizeni hadi mwisho muyajuwe ambayo mulikua hamuyajuwi.

  • @mzeerajab9154
    @mzeerajab9154 23 дні тому

    Eh Waislamu tumefika hapa tunafika hapa kusokotana na kufanya kazi za kuhukumu ambazo ni za Allwah.Allwah atuongoze.

  • @MohamefMullah
    @MohamefMullah 24 дні тому

    Kwa mara ya kwanza maelezo na nasaha za Muhammad bachu ndio leo nimezikubali, amezungumza maneno yenye mashiko, Japo kwamba nae ni wale wanawadharau masheikh na kuwakufurisha waisalam nae ni mmoja wao, lakini kwa hili nampongeza sana, hawa wanaojiita salafi kuwepo kwao ni mtihani kwa waislam hawa jamaa, wanawatoa watu pepon na kuwaingiza moton na wao wanaifanya hii dini ya Allah ni yao wanafanya na kusema wapendalo, hili pote la masafi uchwara wana mambo mengi ambayo kama muislam haifai kuwa nayo, moja ni kufitinisha dharau kibri husda na choyo haya ni machache kwa hili pote la kisalafi lakini ni jamii ya mawahabi

  • @mfalmenajjash2128
    @mfalmenajjash2128 24 дні тому +6

    Mm siyo mshabiki wala mpinzani nimemskiliza Muhammad bachu vizur sana nahuwa namskiliza sana shekh kasim walllah hapa sioni wapi atatokeya shekh kasim pindipo akiendana navitabu ila mm nipo nimekaa pale namsubiri shekh kasim mafuta nasubiri elmu hapa . ila mh kutobowa hapa sidhani

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 24 дні тому +3

      Ndungu yangu mbora Allah akuhifadhi ,,Hapa bachu hakuna hoja yoyote ya maana ametoa hapa ,,,na sheikh abul fadhl haezi kujibizana na huyu na si eti hawezi kujibu ,,,kwanza fahamu kwamba bachu amemzulia sheikh qaasim mafuta, abul fadhl hakumtoa abuu muaawiya kwenye sunnah hili halipo kwanza ,,bachu angeleta maneno ya abul fdhl yanayoonyesha alimtoa abuu muawiya kwenye sunnah. Bali yapo maneno abul fdhl akimhesabu abuu muawiya kama mwanasuna salfy kutoka kwa abuu muawiya mwenyewe,,japo walikuwa wakitofautiana lkn abul fdhl hajamtoa abuu muawiya kwenye sunnah.
      Alafu chunguza vizuri qauli za bachu utakuta anapindisha maneno ya abul fadhl,,mfano abul akisema mtu akikhaalifu misingi ya manhaj salafiy ANATOKA kwenye Usalafy, bachu anamzulia akisema abul fadhl anasema TUNAMTOA ,,yani bachu akija kwa masalafy huanguka mapema ,

    • @AbdulwahidAli-md6re
      @AbdulwahidAli-md6re 24 дні тому

      Ni kwasababu hamujui mujibu nn ndio maana unasema hajatoa hoja.
      Na Hali kuna maneno ya kupituka MIPAKA ya kuwatoa watu katika manhaj

    • @mussamsuya8595
      @mussamsuya8595 24 дні тому

      @@mfalmenajjash2128 hapo hakuna kitu sheikh abul fadhl kasim mafuta atakachojibu kwa sababu hizo tuhuma za kumtoa abuu muawiya kwenye usalafi hakumtoa wala hakumuita hizb wala mubatadii na anakataa hilo basi na alete ushahid wake

    • @mussamsuya8595
      @mussamsuya8595 24 дні тому

      @@ABUUJAAFAR92 hanaga hoja

    • @ahmedseif-cu4ex
      @ahmedseif-cu4ex 24 дні тому

      ​@@ABUUJAAFAR92 ndugu yngu kesi ya abuu muaawiya ipo wazi walimtoa kwenye suna tena baadh Yao walifurah kabisa kifo chake hakuna chanal yoyote yenye mnasaba wa sunna upande wa Sheikh Qasim kutoa tangazo juu ya kifo chake tena Qasim mafuta alimtukana mpk mama yke alithibitisha mwenyewe marehu abuu muaawiya

  • @abualiazzinjibaariytv
    @abualiazzinjibaariytv 18 днів тому +1

    ua-cam.com/video/PGA05kW6LIA/v-deo.htmlsi=O_4SlYP2gYND7x6M
    NASAHA KWA WALE WANAODAI WAO NI MASALAFI NA WANASEMA WANAMFUATA SHEIKH IBN UTHAYMIN NA NYINYI MNAFUATA SHEIKH RABII

  • @nahlaaasidee1848
    @nahlaaasidee1848 21 день тому

    We hujielewi ...

  • @muktarkassim6647
    @muktarkassim6647 24 дні тому

    Dalili za Qiyyama watu wanaingizana moto wakiingizana peponi na pia kuingizana peponi na kuingizana motoni

  • @user-jr1qd8nt7g
    @user-jr1qd8nt7g 24 дні тому +1

    Asllm alykm: lini mtaacha mambo haya sisi so wakamilifu kwani hao wanachuoni waliopita hawakutofautiana emu wacheni haya mambo mnaharibu hadhi ya uislamu mm ni mtu wa Sunna lakn mambo haya sipendi kabxa

    • @saidimkwinzu9106
      @saidimkwinzu9106 24 дні тому +1

      Hatuyapendi wote lakin kawaida ilivo ukitaka kumtoa mtu katika sunna Kuna makosa ambayo yanamtoa mtu kwenye usalafi je ni yapi ambayo Abuu Muawiya kakhalifu ngoja tubainishiwe me nampenda sheikh kasim mafuta na sheikh Muhammad bacho ALLAH awahifadhi wote ngoja tuskilize Kwa faida ya wote

  • @mussamsuya8595
    @mussamsuya8595 24 дні тому +1

    Wew al akhi mbona huna hoja

    • @abbaspaziaog2188
      @abbaspaziaog2188 24 дні тому +1

      Toa zako Al akhy tuzione

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 24 дні тому +1

      Dalili za wanazuoni hizo shekhe Abdul salamu huyo kalizungumzia hili pote mwanazuoni mkubwa sana madina amefariki akiwa bado kijana Hawa majadida hawasomewi hayo sabu waumini wao si wamewacontrol wasiwasikilize watu fiulani watakuwa hakki wakiskiza watakuwa huko wamepigwa

  • @JumaJuma-i2g
    @JumaJuma-i2g 23 дні тому

    KAZI IPO TENA IPO

  • @user-dn3jh6oz8s
    @user-dn3jh6oz8s 21 день тому

    Mtatoana roho MAWAHABI MUJASSIMA

  • @musarashid-xw1qm
    @musarashid-xw1qm 21 день тому

    Shehe salam aleykum naomba unifahanishe huyu shehe alie ongea kuhusu shehe rabbii niulamaa katika zamazetu na jina lake nini ???

  • @IssaSimbilla-hw9ev
    @IssaSimbilla-hw9ev 24 дні тому +3

    Ungekua mkwel bc ungeanza na na maswali aliyo uliza shekh kassim Allah amuhifadhi kwenu ma hizb au umesahau ewekija njiwa wa Zanzibar maswali yapo ungesaidia mahizb wenzio mbona miaka inapita 😂

    • @user-ng7fi7nl2r
      @user-ng7fi7nl2r 24 дні тому

      Ww ni tasubi

    • @user-iu3me2sm2h
      @user-iu3me2sm2h 24 дні тому +1

      Allah amhifadhi sheikh qasim na amrehemu sheikh abuu muawia wote ni masalafi ukweli kwamba wlikoseana tu.

    • @iddijuma6152
      @iddijuma6152 24 дні тому

      tuwekee sautu ya skhekhe tuisikie wenyewe acha fitina wewe

    • @mbjunior166
      @mbjunior166 24 дні тому

      Ww ndio ktk hao Hizbu Salafy waliotajwa na wanazuoni. Upo kwa ajili ya ushabiki Allah akuongoze ww na mm.

    • @IssaSimbilla-hw9ev
      @IssaSimbilla-hw9ev 18 днів тому

      @@mbjunior166 mwanazuoni yupi nakupa charrenge alie sema kunakundi hizb saraf nakusubil ima kiyama kitafika ww na mashekh wako wakihizb huto mpata ndio ujue mashekh wako wamepinda hiyo ni kauli ya barahiyani zee lakihizb

  • @OmarAbeid-wu5ur
    @OmarAbeid-wu5ur 23 дні тому

    Kiburi cha bachu kiko wapi apo

  • @BilaliIloko
    @BilaliIloko 22 дні тому +1

    Kwani na wew pia salaf,mbona ndigu zako ndio mahizb wanao watwani ulamaa,usitafute safisha kwanza safu yakoo,alaf bado hoja zako dhaifu sana kazana kusoma

  • @AbuuUthaymiynHaarun
    @AbuuUthaymiynHaarun 18 днів тому

    Mm nilipoona kuna Radd dhidi ya shekh Kaasim kuhusu Shekh Abuu Muawiya nikajiuliza mbna sikumsikia shekh Kaasim akizungumza chochote baada ya kifo cha Abuu Muawiya sasa Radd ni yann..nikampuuza mana mara nyingi huwa simsikilizagi..nikapitia comments za watu nikaona wanasifia kwamba kuna hoja makini haziwez kujibiwa mwngne anasema aah sasa bacho umekuwa..
    Nikasema kwan kaleta hoja gn na shekh kaasim kazungumza nn..ikabd nisikilize.
    Kumbe eti anapigwa Raddi shekh Kaasim kwakuwa kuna watu huko znz wamemsema vibaya shekh Abuu Muawiya
    Ah nikajiuliza sasa si angewapiga radd haohao kwann anapigwa Radd shekh
    Mara anasema hao watu wanatumia maneno ya shekh Kaasim..nikaona huyu ana hasad na anataka umaarufu..watu wakishaona anayepigwa radd ni shekh fulan bs lazma viewers wawe wengi
    Anataja mambo ya zaman kisha et anajenga maswali "ajbaru"..alaf anasema yy anataka elimu tu..alaf bango limeandikwa raddi..unapiga radd alaf unataka elim?
    Huyo jamaa bado hajagundua wp anapofeli
    Kupitia mjadala ule alofanya na kijana wa kisufi kule Mombasa ilibd akae chini atafakari sana
    Mjadala ule uliwapa nguvu masufi,ulimpa nguvu yule kijana akajulikana...mjadala ulionesha kuwa yule sufi anakaa kwa mashekh zake kusoma lkn bacho anajisomea mwnye na kujipa ujasiri kuwa kashakuwa shekh...
    Kisha alianza kwa kibri "aah kumbe mmenipa kijana hayupo hata ktk first eleven"...kisha mwisho akasusia mjadala..yan anataka kubainisha haki alaf anasusa...yaan kakosea mwanzo mpk mwisho.
    Nilidhan atakaa akafikiri kumbe bado ana akili za kipuuzi.
    Sasa ktk hiyo radd yake anauliza swali la kitoto alaf anaona ni bonge la hoja
    Kila mtu anajua kuwa mwanachuoni mujtahid anaweza kufanya kosa na mtu ambaye sio mujtahid akafanya kosa
    Lkn kwa yule mujtahid tutasema hilo ni kosa lkn yy hatutomuita mubtadii au mpotofu anapewa udhuru kwa sabab ni mutaawwil...sasa yy anataka kumfananisha imaam suyuutwi na shekh Abuu muawiyah
    Jambo hilo kashaliongelea shekh Muqbil,shekh ibn uthaymeen nk
    Au ukisoma sharh ya arbauna nawawiyah ya ibn uthaymeen hadiith ya 28 utaona mbele alipozungumza kuhusu ibn hajar na imaam Nawawi kwamba kwakuwa kuna baadh ya sehem wanapita mapito ya ashaairah kwa kuzifanyia taawiil(tahriif)baadh ya sifa za Allah.Je watakuwa ni mubtadii au wapotofu au na wao ni ashaairah?
    Shekh akajibu pale

  • @user-iu3me2sm2h
    @user-iu3me2sm2h 24 дні тому

    Elimu zenu hazina ikhlas na tawaadhui ndio mana mnafika uko hata kma nyote muko sawa kimanhaji.

  • @mussamsuya8595
    @mussamsuya8595 24 дні тому +1

    Yey alitaka aletew hoja kwann yey asingeenda kwake abul fadhl

    • @mfalmenajjash2128
      @mfalmenajjash2128 24 дні тому

      Akishaenda kwake ww utapata faidagani akhyy tumiya akili yako vizuri Allah akusaidiye

    • @saidirashid7552
      @saidirashid7552 24 дні тому

      Kwani sheh kassim alimtoa katika usalafy abuu muawiya nyumbani kwke au hadharani

    • @mussamsuya8595
      @mussamsuya8595 24 дні тому

      @@saidirashid7552 hakumtoa?katika usalafi wala hakumuita hizbi wala mzush hakumuita

    • @IbnuAlly-wm8il
      @IbnuAlly-wm8il 24 дні тому

      ​​@@saidirashid7552
      Apo sasa

  • @sumaisabu9816
    @sumaisabu9816 22 дні тому

    Hawa kina mafuta wamezd kila m2 kwao wamotoni 😢

  • @nasirdinmohammed8741
    @nasirdinmohammed8741 24 дні тому +1

    Mzeee wa kiki ameruuuuudi😂

    • @kasimubangu1875
      @kasimubangu1875 24 дні тому

      Akili zakishabiki katika mambo ya usiriaz tena nimambo yadini tena nimambo yakuhuzunisha ww waleta mzaha au ndo usalafi wenyewe unavyotaka???

    • @user-rb8ir9co9k
      @user-rb8ir9co9k 21 день тому

      Mukipewa hoja mwajidai ni kiki

  • @user-it3ee7zq2y
    @user-it3ee7zq2y 22 дні тому

    Tunahitajia huyo Sheikh
    Wahiyo clip ya kiarabu ili tuisikilize vzuri tutampata vipi ?Katika UA-cam

  • @AbubakarAlly-th6op
    @AbubakarAlly-th6op 24 дні тому

    Kassim mafuta sio mkweli ulitaka kumjua kassim mafuta sikiliza rududi alizo raddi kwa sheikh Yahya alhajury Kisha akajibiwa Na kina Ustadh Abuu haatim Sheikh amis Ame, huko kassim mafuta amepondwa Sanaa.

    • @HassanHamad-rf9tq
      @HassanHamad-rf9tq 23 дні тому

      Akhiy qassimu ni hizbi alaf anapenda ukubwa huyu jamaa

  • @user-iu3me2sm2h
    @user-iu3me2sm2h 24 дні тому +1

    Mpe sifa yke sheikh qasim usimuite qasim mafuta bali mwite sheikh qasim mafuta mana iyo sio hadhi yko.

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 24 дні тому

      Shekhe alokosa adabu anapasuwa ummah wa ahlsunah kila mtu kumtoa kwenye sunnah yeye ndo pekee mwenye sunnah wengine wote mahzbi subuhana llah sikiliza kitabu cha mwanazuoni hyuyo Mkubwa madina Andul salamu alivyo elezea upotofu wa pote huli ninyi si amsomewi kazi yenu kuchaguliwa watu wa kuwasikiliza hakki toka lini ukamsikiliza mtu mmoja tuuh

    • @HassanHamad-rf9tq
      @HassanHamad-rf9tq 23 дні тому

      Apewe sifa ipiy huyo ni qassimu bin oil hizbi mwenye misingi ya hadadiya

    • @user-rb8ir9co9k
      @user-rb8ir9co9k 21 день тому

      Sifa Gani apewe au ya kuugawa Umma wa Kiislam?

  • @hythamhashiem4458
    @hythamhashiem4458 24 дні тому

    Nyote muko hivohivo

  • @rashidjuma9169
    @rashidjuma9169 22 дні тому

    Kwani huyo sheikhe wakati wa kufa alitamka shahada

  • @fauznuhu9981
    @fauznuhu9981 23 дні тому

    Hivindivo mlivo mawa habby hamna adabu hameshimiane hata nyinyi kwaninyi

  • @NdizeyeSaidi
    @NdizeyeSaidi 14 днів тому

    Wamtetea Abuu Muawiyah kuwa ni salafy, kwani wewe mwenyewe Muhammad Bachu, ni salafy???? Uliwahi lini kuwa salafy wewe?

  • @SalehKhatib-ey6ct
    @SalehKhatib-ey6ct 23 дні тому +1

    Tufateni manhaki salafi sio kundi niwajibu kwa muislam yoyote kufuwata man haji salafi sio kundi

  • @abusalmadangaadam708
    @abusalmadangaadam708 24 дні тому +1

    Sheikh kwahakika wewe ni tiba ya majadida kwani vichochoro vyao vyote wavijua twajua na wewe hawakupendi na wanaomba ufe hata leo ila hutokufa kwa sababu za chuki zao bali kwa amri ya allah kwa hakika wewe usiwachukie ila jaalia kuwa wawapa tiba ya ugonjwa wao wa husda

  • @suodymmbaga6583
    @suodymmbaga6583 21 день тому

    Ivi ndugu zanguni Allah awahifadhi mnao comment humu na kuaapa kabisa kwamba sheikh Kasim mafuta hana pakutokea uyo MAFUTA MWENYEWE MNAJUA LAKINI? au mna jichanga msha tu uyu bachu level zake si zakujbiwa na sheikh Kassim, uyu tajibiwa na vijana wa mutawasitwa, na yeye anachokonoa kweli SHEIKH amjib lakini sheikh kamwe awezi nyanyua sauti yake kumjib uyu kijana, akatafute tu Kiki pengine

    • @nahlaaasidee1848
      @nahlaaasidee1848 21 день тому

      Sahihi kabisa af haeleweki mara anaimsifu Sheikh Qaasim, mara anapost audio zake, mara jadida hata haeleweki Jaahili huyu,