Shikio MOJA nje ndio nini , nyinyi watu wengine ni WA ajabu sana munaangalia sehemu ya kuteleza ndio munamfanya mtu ana makosa , eti shikio shikio ndio nini?. Musiangalie shikio angalia maneno yanayozungumzwa ili ujifinze.
Kwanza niulize wenye kufunga vilemba ni akina nani #mashia wakorino makarasinga n wengineo mnasema mtume salallahu alayhi wasalaam mnampenda je alifunga kwa sababu kumpenda mtume n hata kufanya aliofanya bila kupunguza au kuongeza je wapi👐👐👐👐na sitaki matusi ikiwa hutonijibu bakuli lifunge hivyo tu juu makhurafi ,,masufi kwa matusi cjui mlifunzwa n nani
Sasa ww mtu wa haki umekwenda na familiyako kupigana vita ukoparestina au acha unafiki jitoe sada tukuone usikute atakuswali au swali alafu unazunguzia vita twende basi tukapigane sheukh wetu.
@@HamduMasud-xw6qc Mwamba kwani Watu wote kipindi hicho walienda vitani? Walio mbali wanashiriki kwa njia nyengine. Ila nyny mna deal na ujinga ambao hata maswahaba hawakuufanya. Kisha mnajitukuza. Daah. Salama yenu hamkuwa katika Zama za Umar R.A. Angewakaanga nyote kwa kuharibu mambo ktk dini
Mawahabi ni pote miongoni mwa mapote yaliozuka hivi karibuni wanajificha kwenye kivuli cha salafi uongo mweusi, salafi gani tangu enzi ya maswahaba mpaka mwisho wa masahaba aliweza kukufuru kwa kuleta tauhid 3 huu si ushirikina wa manaswara hata mayahud waongofu wana Tauhid moja nyie mawahabi mumetoa kwa mtume gani
ZINDUKENI WATU WA TANZANIA KWANINI HAWA WAZUSHI WA BIDAA WANAPENDA SANA KUTUMWA KUENEZA UZUSHI KWENU....YANI MUMEFANYWA WAJINGA KIASI GANI.....HUYU AL HATIMY NA SAIDI DJ NI KWAVILE HAWATHAMINIWI KENYA
Umezungmza urongo we labda ni kutokana na chuki zako ulizo nazo kwa Waja wa Mola,ama ni uvivu tu wa kufwatilia ,Allah akusafishe kutokana na chuki zako
Ipo wapi taukid katika khuluqin adhwim..? Jahil ww.. Kisha nani kakwambia kua neno على ni kwa maana juu ??? على ni maana في ... Rudi katika tafsir ya ibn kathir
Sawa ila hayo yahifadhi utayazungumza Mbele za Allah siku ya Kiama In sha Allah ikiwa utatoa Ushahidi basi Allah aweza kukusameh na ikiwa utakua huna bali ulisikia tu hilo litakua janga lako siku hiyo ya majanga makubwa... Muogope Allah na uogope kusema Aibu za watu hadharani.. Hebu jiulize wewe hujamkosea Allah ? Pengine ushawahi hata kufanya kosa la kuzini lakini yako umeyawacha unamuumbua mwenzako kwa ulaji marungi.. Muache yeye na Mola wake pengine keshatubia....
WATANZANIA JE MUSHAWAHI JIULIZA KWANINI HAWA WAZUSHI WA MOMBASA KENYA HUTUMWA KUENEZA UZUSHI WAO TZ? NI KWA VILE HAWATHAMINI KENYA NDIO HUJA TZ KUWADANGANYA
Kinacho nishangaza kwann mnahangaika na kucoment na kuskiliza huu uzushi wetu??me naona wazushi ni nyinyi wenye kuteseka wakati wa ibada zetu,huu ni mfano wamakafiri walivyomsumbua mtume wetu enzi zake!!tunaona nyie mnaowapinga hawa mashekh nyie ndo makafiri wakubwaa
Mashallah sheikh Alhatimy mungu akuhifadhi ❤❤❤❤❤
Sifa zote Bora bora
kwake zime tia fora
na kila chenye kun'gara
kwake mtume sifany
Mashallah Mmungu akuhifadhi sheikh
Haw ndio wa kuwasikiliza na kuwafuat sis masalfi tunagombana sana
wewe hujawa salafi bado! Yan salafi unakili kuwa ni bora kuwafuata masufi?!
@@ABUUBAAZNYUNGU-j4xsalafi uvundo mmbwa kabisa.
Watu WA twariqa wanaunyenyekevu sana
Ma-sha-allh , barakallahu fiikum Swal-lu alannabii
Allàhumma swally wasallim aleyh
ALLAH AKUZIDIHIYE ILMAN LADUNNY INSHALLAH MWANA FUNZI WA SIMBA WA TWAREEQAH SAYYIDY ABDULQAADIR AL AHDALY
Allahumma swalli wasallim aleih
Mwamba kabisa huyu Allah amuhifadhi
Nampenda sana huyu shekhe kwaajil ya allah
Shikio MOJA nje ndio nini , nyinyi watu wengine ni WA ajabu sana munaangalia sehemu ya kuteleza ndio munamfanya mtu ana makosa , eti shikio shikio ndio nini?. Musiangalie shikio angalia maneno yanayozungumzwa ili ujifinze.
Masha Allah shukran sayidii
MASHA ALLAH 💚
Uwahabi usalafi wazama hizi zetu zaleo niupotevu بواحًا
Mashaallah
A/a twarika ma sheikh wenu wote ni masho off ( yaani hawa jielewi.
Wenenda klabu apa hapakuhusu
Mashallah, uwahab bas mm
Mashallwha sheikh
Haqqun
Kwahakika usufi ni uzandaqa
Wemla ugoro hapakuhusu apa tulia kimya
Nyie sio watu wa bidaa bhali ni wapotoajii watuu ........
MAANA YA KUFUNGA KILEMBA SHIKIO MOJA NJE NA LINGINE NDANI YAMAANISHA NINI
Kwanza niulize wenye kufunga vilemba ni akina nani #mashia wakorino makarasinga n wengineo mnasema mtume salallahu alayhi wasalaam mnampenda je alifunga kwa sababu kumpenda mtume n hata kufanya aliofanya bila kupunguza au kuongeza je wapi👐👐👐👐na sitaki matusi ikiwa hutonijibu bakuli lifunge hivyo tu juu makhurafi ,,masufi kwa matusi cjui mlifunzwa n nani
Salafi uvundo wewe,, kamuulize ssuyuuti kila kitu anajuwa.
@@hassanWanjikuwenzenu wanafunzana ilimu na adabu mawahabi mwajifunza matusi tu Kama walevi wagongo
Masufi mwampenda mtume kwa mdomo vitendo hakuna.
Wewe na huyo alokutuma ni wazushi na watu wa bidaaa
Hio nishirki ya wazawazi
We chekechea apa sipako kajifunze adabu
Nyny mbona Hamuna Macho. Yaani waislamu wanauwawa Palestine, mna deal na Mabidaa tuuuu.
Sasa ww mtu wa haki umekwenda na familiyako kupigana vita ukoparestina au acha unafiki jitoe sada tukuone usikute atakuswali au swali alafu unazunguzia vita twende basi tukapigane sheukh wetu.
Mbn ww upo huku haupo palestina
@@HamduMasud-xw6qc
Mwamba kwani Watu wote kipindi hicho walienda vitani? Walio mbali wanashiriki kwa njia nyengine. Ila nyny mna deal na ujinga ambao hata maswahaba hawakuufanya. Kisha mnajitukuza. Daah. Salama yenu hamkuwa katika Zama za Umar R.A. Angewakaanga nyote kwa kuharibu mambo ktk dini
Mmeona mpaka muweke picha ya Bachu kwani bado anawakereketa?
Ndie shekhe wenu mulio muaminia
@@sheelali6558 haya bna muhimu Allah atufishe wote tukiwa waislam.
RADDI NZITO is typing....
HUYU BWANA SI YULE KAIBA HELA ZA MU OMAN AMA SIE?
Mawahabi ni pote miongoni mwa mapote yaliozuka hivi karibuni wanajificha kwenye kivuli cha salafi uongo mweusi, salafi gani tangu enzi ya maswahaba mpaka mwisho wa masahaba aliweza kukufuru kwa kuleta tauhid 3 huu si ushirikina wa manaswara hata mayahud waongofu wana Tauhid moja nyie mawahabi mumetoa kwa mtume gani
Kila kitu nishirk si umwehu huo wenu salafi kibovu
Kweli salaf ovyoo sana
kwakauli ya imaamu shafy
hawa ni wenda wazimu
kwahiyo
anae shughlishwa na wenda wazimu
bas nae huwenda nae akawa na wazimu
Hamna lolote nyinyi ni masufi wazushi na wewe mwenye hii channel ni zuzu njaa inakusumbua lakini uislamu huujui
Wahabbi Hawana elimu kapisa
Nynyi wenye elimu tunawaona kwenye mikao yenye ubwabwa tu na mkizidiwa matusi yanaanza
ZINDUKENI WATU WA TANZANIA KWANINI HAWA WAZUSHI WA BIDAA WANAPENDA SANA KUTUMWA KUENEZA UZUSHI KWENU....YANI MUMEFANYWA WAJINGA KIASI GANI.....HUYU AL HATIMY NA SAIDI DJ NI KWAVILE HAWATHAMINIWI KENYA
Unawaambia mawahabi wenzako eee duh we pimbi wa kiwahabiya una mapungufu ya akili
Umezungmza urongo we labda ni kutokana na chuki zako ulizo nazo kwa Waja wa Mola,ama ni uvivu tu wa kufwatilia ,Allah akusafishe kutokana na chuki zako
Mnaona wazushi sio sawa sisi tunahitaji elimu mbona nyie mlikimbia kwenye mjadala
Sio kosa lako tatizo ni uelewa wako mdogo
Mzushi sheikh wako
Ipo wapi taukid katika khuluqin adhwim..?
Jahil ww..
Kisha nani kakwambia kua neno على ni kwa maana juu ???
على ni maana في ...
Rudi katika tafsir ya ibn kathir
Huyu hula mirungi watamu kenya nyie mwamwita shekhe mtu kuitwa shekhe sie yoyote mtu akiwa Ana upungufu katika dini hasikizwi
Sawa ila hayo yahifadhi utayazungumza Mbele za Allah siku ya Kiama In sha Allah ikiwa utatoa Ushahidi basi Allah aweza kukusameh na ikiwa utakua huna bali ulisikia tu hilo litakua janga lako siku hiyo ya majanga makubwa...
Muogope Allah na uogope kusema Aibu za watu hadharani..
Hebu jiulize wewe hujamkosea Allah ? Pengine ushawahi hata kufanya kosa la kuzini lakini yako umeyawacha unamuumbua mwenzako kwa ulaji marungi..
Muache yeye na Mola wake pengine keshatubia....
WATANZANIA JE MUSHAWAHI JIULIZA KWANINI HAWA WAZUSHI WA MOMBASA KENYA HUTUMWA KUENEZA UZUSHI WAO TZ? NI KWA VILE HAWATHAMINI KENYA NDIO HUJA TZ KUWADANGANYA
Waambieni mapimbi wenzako wa kiwahabiya
We mpuuz wa kiwahabi hujui
Mnaona wazushi sio sawa sisi tunahitaji elimu mbona nyie mlikimbia kwenye mjadala
Hata Bachu alikuja Kenya na akakimbia unajua ni kwanini😂
Kinacho nishangaza kwann mnahangaika na kucoment na kuskiliza huu uzushi wetu??me naona wazushi ni nyinyi wenye kuteseka wakati wa ibada zetu,huu ni mfano wamakafiri walivyomsumbua mtume wetu enzi zake!!tunaona nyie mnaowapinga hawa mashekh nyie ndo makafiri wakubwaa
Shirki iko wazi hio
Shirki gani ww mbwa
@@BakariKassim-s7l mtume ndio alivofundisha maulidini kumwita muislamu mbwa
@@iddijumaali7192Mtume alifundisha kuita waislamu unaotofautiana nao katik masaala ya kidini kuwaitta mushrik
Shirki gani uliyoiona hapo
@@mohamedrashid7864 laulaahu maa kunnaa walaa bakiiina