MWALIMU MGENI ❤️ /12/

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 968

  • @ibrahimngirini8737
    @ibrahimngirini8737 Рік тому +39

    Huyu patronize ni version ya mbosso kabisa yani,anaimba vizuri sana dogo...

  • @simonndungu6676
    @simonndungu6676 Рік тому +16

    Majina yangu ni mtumishi wa MUNGU kutoka KENYA kipindi na kifuata mia kwa mia na inapendeza Sana kwa vipanji ni nazo ziona zikiona na wanafunzi Kama patronize MUNGU akubariki sana baba joan.

  • @karembo7082
    @karembo7082 Рік тому +9

    Mwanzo wa ubaya ni aibu oneni sasa moja badaa ya moja wakuu wapi maua ya shujaa wetu mwalimu mgeni🎉🎉🎉❤❤❤

  • @gabonmaseru2686
    @gabonmaseru2686 Рік тому +41

    Baba Joan kwakwel ume-Improve kwa kiwango kikubwa sana, Hii season iko vizuri,Hongeren sana

    • @mgayahassani8377
      @mgayahassani8377 Рік тому +1

      Baba Joan anaweza sana

    • @gabonmaseru2686
      @gabonmaseru2686 Рік тому +1

      Kabisa,hasa kwa season hii ameonesha mabadiliko makubwa,kapiga hatua kubwa ,tangu nianze kumfuatilia kwenye MREMBO NYOKA ,naona kabisa kuna Improvement kubwa

    • @Amal-iq1wg
      @Amal-iq1wg Рік тому

      Kibokoo yaooo ni baba joan

    • @MwaniPh
      @MwaniPh Рік тому

      Amechinja sanaa

  • @ManyerereBico
    @ManyerereBico Рік тому +7

    Kwakweli hii story muandaaji katumia ubunifu mkubwa sana iko vizuri na inafundisha sana

  • @MohammedSeif-m8c
    @MohammedSeif-m8c Рік тому +14

    Salute kwako patronize kila sik ww ndio unaefanya me niwe nafatilia hii tamthilia yenu ❤❤

  • @rahmamamy4034
    @rahmamamy4034 Рік тому +46

    MashaAllah TabarakAllah. Kumbe hii move wenye wako serious nakuifatilia n wa kenya..much love my country ❤

  • @futuremilionnaire3136
    @futuremilionnaire3136 Рік тому +8

    Napenda iyi filamu kutoka Congo kabisa ongera🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @sadikibertin1727
    @sadikibertin1727 Рік тому +3

    From USA ,I love it this happen to me in 2013 in kakuma refugee camp In kenya but in good like mwalimu MGENI atashida hii case kama nilivyo ishinda ukweli upita kwenye moto mungu niwamajabu mwalimu MGENI anipigiye in box Niko nazawadi yake na

  • @helinasubila987
    @helinasubila987 Рік тому +6

    Napeda mwalimu mugeni sana saudia Arabia tune from kenya

  • @Antocoolboy5361.
    @Antocoolboy5361. Рік тому +20

    Still following this episode1 1-12 tukiwa pamoja from Kenya nawapenda sana

  • @benayahtimes
    @benayahtimes Рік тому +4

    Baba Joan nakufuatilia sana. Much love from Kenya. Unajua vizuri. Naona mwanafunzi kabudaa hapo🥱🥱😊

  • @mrikongosi3151
    @mrikongosi3151 Рік тому +8

    Kazi nzuri sana team mwalimu mgeni tujuane

  • @Clemenceamisi-zy1oy
    @Clemenceamisi-zy1oy Рік тому +2

    Patronize namupenda sana na mwalimu mugeni da hasa hasa hasa patronaize toka Congo

  • @WilkisterOgolla
    @WilkisterOgolla Рік тому +96

    Napenda jinsi Patronize anavyoimba Mwenyezi Mungu amzidishie nina imani atafika mbali🙏Nawafwatilia kutoka kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @philohmutua2968
    @philohmutua2968 Рік тому +20

    Huyu patronise mungu amwinuwe namufatilia nikiwa saudi arabia ❤❤

  • @-rebeth
    @-rebeth Рік тому +12

    Mwalim mgeni you are very intelligent to serve you problem

  • @rogerslwitiko3915
    @rogerslwitiko3915 Рік тому +8

    Mwalimu Mgeni fanya Makeke huyo Patronize aende Studio🎉🎉🎉🎉

  • @halimamtunguja5947
    @halimamtunguja5947 Рік тому +85

    Tunaomwombea dua mwalim mgen asipate shida tujuane hapa tunakikao Cha dharura❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @NivenChilwalo
    @NivenChilwalo 11 місяців тому +1

    THIS IS ABSOLUTELY PERFECT AND TOUCHING..THERE IS MORE TO LEARN IN THIS MOVIE.GOD BLESS TANZANIA ......🇿🇲from Zambia on the map

  • @BaANGLE-AUSTINE-VERO-JOSEPHAT
    @BaANGLE-AUSTINE-VERO-JOSEPHAT Рік тому +27

    Good JOB.........MMETUSAIDIA SISI WALIMU KUWA MAKINI

  • @PhylisMakena
    @PhylisMakena Рік тому +17

    Naipenda sana kazi yenu.❤❤❤❤ Utamu wa hii filamu umezidi. Nafatilia nikiwa nchini Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @africanjuju8827
    @africanjuju8827 Рік тому +14

    Big up patronize,,bila kusahau baba joan❤❤much love from kenya

  • @AhadiBwanyungu-j6s
    @AhadiBwanyungu-j6s Рік тому +4

    Ubarikiwe mwalimu mugeni nilikufata mwanzo wa episode 1 mupaka 12 nikonapatamafundisho mengi saanakutokakwako ukonamusimamo wakweli

  • @ndegejr09
    @ndegejr09 Рік тому +9

    Hakika ni mmejua kuelimisha jamii especially kwa upande wa walimu hili limekuwa funzo kubwa sana ni jinsi gani ya kuwa na misimamo na jinsi ya kuishi maeneo yetu ya kazi

  • @JosephBaraka-mn7qx
    @JosephBaraka-mn7qx Рік тому +2

    Mungu amzidishie huyopatronize uwezo wakukuza kipajichake zaidi nawafwatilia kutoka Kenya

  • @yohanacharles872
    @yohanacharles872 Рік тому +5

    Daaaah movies kali sana,patronize kipaji tz🇹🇿🇹🇿

  • @BelinaTimanywa
    @BelinaTimanywa Рік тому +5

    Huyu patronize ni fund hasaaa! Mungu amfikishe mbali🎉

  • @Chimedy_g
    @Chimedy_g Рік тому +5

    tufe wote baba john❤️🔥🔥💯💯🔥💯🔥💯

  • @officialhamiboykenya674
    @officialhamiboykenya674 Рік тому +2

    Yaaani ndo picha LINAANZA........🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥ukweli upi karibu kudhihirika,,,,,,,,Magesa ako karibu kuomba msamaha,makingi naye ajipange kufungwa... I appreciate everything... salute to team BABAJOAN.....NAFATILIA KUTOKA KENYA💯💯💯📌📌

  • @hadiaamiri-ig9xm
    @hadiaamiri-ig9xm Рік тому +24

    Jamani nimekuwa wa mwisho leo lakini naomba like zangu from 🇴🇲

  • @MtoxAssa-if1qs
    @MtoxAssa-if1qs Рік тому +2

    Jamani hii filamu iko sawa zaidi naipenda sana. Mwalimu mgeni ukopowa sana

  • @DieudonnéMUGIRANGABO-f2o
    @DieudonnéMUGIRANGABO-f2o Рік тому +6

    Mwalimu mgeni wewe nimwenyehekima Sana unanifulaisha moyoniangu ❤️ ninakupenda Sana ninakuamini tena Sana 🙏🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @wadakewake8474
    @wadakewake8474 Рік тому +33

    Kutoka Kenya mi ni msanii nipewe like zangu

  • @hassanhassancymon8960
    @hassanhassancymon8960 Рік тому +18

    Wakwanza mimi upande wa muheza- Tanga🎉🎉🎉❤

  • @misheckmrk8848
    @misheckmrk8848 Рік тому +2

    Mwalim ntusibile Kandi bileke bigende ibindi biloza muha kweli 😂😂😂😂😂 ila twasubili 13 kwa kishindo Cha kisuli suli more love

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np Рік тому +10

    Namkubali sana mwalim mgeni

  • @hoseakiprotich182
    @hoseakiprotich182 Рік тому +86

    The first tuwatch from Kenya in Qatar mnipe likes zangu😂😂

  • @ShadrackMidenyo
    @ShadrackMidenyo Рік тому +18

    Just loving the script big up, following from Kenya

  • @NdeleSolo-zy8ol
    @NdeleSolo-zy8ol 5 місяців тому +1

    Hii ngomaaa ni kaliii sanaaa huyu patronizee anajua mpk anajua tenaaa

  • @eliphasethobias1133
    @eliphasethobias1133 Рік тому +3

    Episode ifuatayo mjitahidi kuwahisha mwendelezo jamani 🎉❤❤❤ ni nzuri sana

  • @pacifiqueninyibuka6587
    @pacifiqueninyibuka6587 Рік тому +1

    Mwarimu mgeni kwahilo jina nzmpenda ni la kiha.burundi.*Mr NTUSUBIRE*

  • @NassoroAmir-id1jh
    @NassoroAmir-id1jh Рік тому +16

    Mkitumia Maarifa makubwa kwenye uandishi wa script mtapata pesa sanaaaaa hii movie wengi wanaifuatilia hongereni sanaa

  • @wailesmsongole1914
    @wailesmsongole1914 Рік тому +1

    Daaaa uliwaza sana vp ni mwalimu kweli uje shuleni kwangu ufundishe

  • @showejikinjekitile5942
    @showejikinjekitile5942 Рік тому +3

    Safi tena sana oya mzee b john huwimbo itoeni

  • @ANKOZUBERI881
    @ANKOZUBERI881 Рік тому +6

    @babajoan nakupata vyema sana nikiwa hapa mpanda Katavi town

  • @irene3abi123
    @irene3abi123 Рік тому +4

    Pale kwa kucheka nilidhani itakuwa ni upuuuzi,,,likini mwenzenu hapa nimecheka haki vitunguu vikaungua😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @mosessimiyu6954
    @mosessimiyu6954 Рік тому +21

    waiting for episode 13, sijui itakuaje much creativity from kenya❤❤❤💛🧡

  • @chrisshikoli2852
    @chrisshikoli2852 Рік тому +8

    Kiukweli Mungu awabariki Sana Kwa Sanaa watanzania miye kutoka kenya

  • @omarmsomall3809
    @omarmsomall3809 Рік тому

    Haya huaga yanatokeaga sana mm nafatilia pia Niko Zanzibar Hongereni sana wanafunzi pia Mwalimu Mgeni Allah akuhifadhi.

  • @Mimah-i5e
    @Mimah-i5e Рік тому +3

    Hahahaha 🤣🤣🤣 mwalimu mwenyewe amecheka😂😂😂mm sicheke kisa😅😅😅😅😅😅

  • @Naima-v6v
    @Naima-v6v Рік тому +3

    Move nzuri sna naifatilia nikiwa Kenya ❤❤

  • @wilsonernest6046
    @wilsonernest6046 Рік тому +6

    Namba8❤ 🎉 mi ndo mtazamaji mgeni

  • @patrickkalahuka6340
    @patrickkalahuka6340 Рік тому +1

    Napenda wote wa nasogeleya mwalimu mugeni na wapenda ila mwelimu mugeni ana kipaja ana juwa fundisha sana.

  • @ojjustus3032
    @ojjustus3032 Рік тому +3

    Hadithi nzuri ...yatufunza mengi haswa walimu...ongeza episodi nying8❤

  • @SamwellubigisaLubigisa
    @SamwellubigisaLubigisa Рік тому +4

    Nyie watoto adi me nimecheka mamaae 🔥🔥🔥

  • @karanivincent4913
    @karanivincent4913 Рік тому +7

    Nawapenda sana ,ktk kenya

  • @SaidiFondo-h6c
    @SaidiFondo-h6c Рік тому +2

    Nimejifunza kuwa hekima inafaida nmependa sana busara za mwalimu mgeni ❤❤❤

  • @zephaniahlempiris4186
    @zephaniahlempiris4186 Рік тому +18

    Much love from Nakuru Kenya, I relate it

  • @MUTEBUTSIEgide-iu5pj
    @MUTEBUTSIEgide-iu5pj Рік тому +1

    Ule bnti aseme kweli,Mwalimu mugeni bamoteshe ko ile mugogoro.Mimi nawafwatilia kuktoka Rwanda

  • @ignassindabaha1813
    @ignassindabaha1813 Рік тому +6

    Patronize the upcoming singer and super star 🌟

  • @MahafudhiAbdallah
    @MahafudhiAbdallah Рік тому +2

    Nawakubali kusema ukweli nawafuwatia Sana jitahidini zaidi mambo mazuri muposawa sana nipo Zanzibar 🥀🌹✨

  • @rogerslwitiko3915
    @rogerslwitiko3915 Рік тому +6

    Salute Kwa Mwalimu Mgeni🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Rossey-iv2hk
    @Rossey-iv2hk 11 місяців тому +2

    🎉mwalimu mgeni twakuombea uishi maisha marefu ❤❤❤

  • @ibrahjokes5055
    @ibrahjokes5055 Рік тому +4

    Nan kamuona kibonge mayele🤣🤣🤣😂😂😂

  • @maryndirangu7056
    @maryndirangu7056 Рік тому +1

    Wivu kusingizia maneno za uongo ni mbaya sana mungu atupe hekima na marifa.. mafunzo mema twashukulu..

    • @jaffjeff6912
      @jaffjeff6912 6 місяців тому

      In Shaa Allah aimiin .
      Maneno ya uongo

  • @BravoSilva-x4q
    @BravoSilva-x4q Рік тому +28

    Much love from Angola Luanda ❤❤❤❤❤❤

  • @DominaLohay-ls8kx
    @DominaLohay-ls8kx Рік тому

    nampenda patronize anaimba vizuri kwel ana kipaji cha kuimba mungu akutangulie utafika mbali na wenzake wote mungu awatangulie kutoka Arusha

  • @JuliethDaud-nw1jg
    @JuliethDaud-nw1jg Рік тому +3

    Naipenda Sana kazi yenu Mungu azidi kuwainua naifatilia saba

  • @DavidsonAmboko
    @DavidsonAmboko Рік тому

    Huyo kijana anaimba in the future atakuwa muimbaji mzuri keep it up my boy u have tallent

  • @mwanamgenimohammed7904
    @mwanamgenimohammed7904 Рік тому +6

    wenye tumecheka tupowangap tujuane kwa Comet mwalim mgeni ongera😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉

  • @AndersonMaundu
    @AndersonMaundu 5 місяців тому

    Napenda Mwalimu mgeni Kwa kazi zuri🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @GODFREYSIMON-xo2hu
    @GODFREYSIMON-xo2hu Рік тому +3

    Jamani wa kwanza hapa kutoka mbeya. Hii simulizi tamu sana isiishe tu

  • @barazamatibila8412
    @barazamatibila8412 Рік тому +5

    Mimi nimekua nafatilia kutoka USA 🇺🇸 Washington dc. Nampenda sana patronize na mwalimu mgeni hasa moyo wake safi sana. Naomba hii series iendelee kwa miaka kadhaa tafadhali.

  • @radhiamohaa3723
    @radhiamohaa3723 Рік тому +5

    😂😂😂😂😂 yaani nimecheka 😂😂😂😂 jaman 😂😂😂😂😂

  • @shamilakanik7357
    @shamilakanik7357 Рік тому +2

    Patronize love you. Uko vizuli unasaut ya kuimba brother mungu akupe nguvu❤️❤️

  • @irenefuraha
    @irenefuraha Рік тому +3

    Mbona munachelewa jamani tamueeeee❤❤❤❤❤

  • @AliyAliy-l8o
    @AliyAliy-l8o 11 місяців тому

    Daaaah nice movi kweli inasisimua sana na kuamsha hisia za watu wengi

  • @Lukman-r3h
    @Lukman-r3h Рік тому +5

    Jamani wadau muwe mnatuwahishia vedeo zeni tunazipenda

  • @josephatkeengwe91
    @josephatkeengwe91 11 місяців тому +1

    Nimetoka Kenya nitua huku napendeswa na mwalimu ❤❤huyu

  • @vonpizzoychapuu6
    @vonpizzoychapuu6 Рік тому +3

    Wanangu wa Kenya mnatisha xna kutoka mwnza mwanza Tanzania ❤❤

  • @officialcheeh
    @officialcheeh Рік тому +1

    Kazi nzuri sana, ushauri wangu uwe unawahi kutoa usichelewe sana🎉🎉🤝

  • @PeterMwaura-y7x
    @PeterMwaura-y7x Рік тому +3

    Kutoka kenya but nko Qatar. Big up.

  • @ibranationdedu4844
    @ibranationdedu4844 Рік тому +2

    mwalim mgen iko vzr sanaa❤❤❤❤❤

  • @goodluckmsuya115
    @goodluckmsuya115 Рік тому +4

    Unajua sanaa hongera sanaa

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 Рік тому

    Mwl mgeni,anaonekana anataaluma kweli ya ualimu,yaan yuko vzr kweli kweli.

  • @sarahnakhanu
    @sarahnakhanu Рік тому +14

    Much love from 🇰🇪🇰🇪🇸🇦

  • @AniziaKamanzi
    @AniziaKamanzi 11 місяців тому +1

    Mungu asimame upande wa mwalimu mgeni 🙏🙏

  • @raelvuyeshe1509
    @raelvuyeshe1509 Рік тому +17

    Wow much love from Kenya ❤❤❤

  • @Jaydannychawaboy.
    @Jaydannychawaboy. Рік тому +1

    Jamani nyie mih nashangaa kitu kimoja tuh huyu jamaa kazi anaijua ipasavyo kabisa ila kwanini hatafutwi kwenye interview ili tumjue alipotoka mpaka alipofikia sasa hivi 😢😢😢😢😢❤❤❤❤... ila kiukweli namkubali sana kinoma yaani 😢😢❤❤

  • @isamgodwin
    @isamgodwin Рік тому +4

    ❤ Ongera pia ongeza bidii brother unaweza San 🙏🙏

  • @rithanaftal8616
    @rithanaftal8616 Рік тому +2

    Hii movie inaonesha uhalisia sana sana sana naipenda sana mno

  • @marymwendia5012
    @marymwendia5012 Рік тому +3

    Mko sawa ❤mary mwendia from Nairobi Kenya

  • @AbeidShabani-l1n
    @AbeidShabani-l1n Рік тому +1

    Oyaa jaman huy😮😮jamaa😮😮 anaweza au vipi😅😅

  • @daizanfx
    @daizanfx Рік тому +22

    8:52 Simplest comedian ever😂😂

  • @Yahyaazizi-b7f
    @Yahyaazizi-b7f Рік тому

    Baba joan hii movie n kaliii sana naomba uendleee mpk ep ya 100

  • @deniskingangleyofficial
    @deniskingangleyofficial Рік тому +9

    Love ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ from Denis-King Angley Official Malawi 🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼

  • @msurimtenukila6745
    @msurimtenukila6745 Рік тому +2

    Movie nzuri sana 😂😂😂

  • @mgayahassani8377
    @mgayahassani8377 Рік тому +5

    Hata baba Joan anaweza bhana nipeni likes yangu

  • @salimaiddy-jk7of
    @salimaiddy-jk7of Рік тому

    Kazi nzur baba Joan mungu aendelee kukupa upeo wa kufikiri ili utupe burudani mashabiki zako