WAZIRI MCHENGERWA AMUONYA MAKONDA KUWATUMBUKIZA VIONGOZI WA SERIKALI KWENYE MADIMBWI BARABARANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 232

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 День тому +24

    Mchengelwa wewe tutachagua wapinzani makonda yupo vizuri

  • @thomaswilbert6431
    @thomaswilbert6431 21 годину тому +4

    Kwa mwrnendo wanmakonda hakuna mwananchi atakae mchukua makonda ndicho tunachotaka wananchi hamutimizi majukumu yenu kama hamutimizi!,,BIG UP MAKONDA PIGA KAZIIIIIII BABA

  • @JuliusMallya-q5i
    @JuliusMallya-q5i 9 годин тому +2

    Captain makonda piga kazi Arachuga tupo nawewe

  • @zaidihussein4311
    @zaidihussein4311 16 годин тому +3

    Makonda mungu akupe maisha marefu na afya njema ww ni raisi ajae inshaalah

  • @oscarlennox8733
    @oscarlennox8733 20 годин тому +3

    Makonda Piga Kazi...Bado hawajasema na watasema.Makonda upo vizuri Sana Kaka.

  • @mariakalama3014
    @mariakalama3014 3 години тому

    Mungu atakupgania kwa kazi nzuri unayoyanyanya huyo ni mpuuzi

  • @barakakitomary2936
    @barakakitomary2936 28 хвилин тому

    Mungu wambinguni akulinde daima kaka yangu makonda nakupenda sana brooh wangu

  • @lughanombwile5725
    @lughanombwile5725 22 години тому +4

    watembezwe Paul makonda mungu akuweke watembeze wapate akili wezi tu kulakula hela kama huna sifa ya kuwa kiongozi usigombee watched kina makonda

  • @chikizamifupa5786
    @chikizamifupa5786 День тому +5

    Viongozi wanao shindwa kutekeleza majukumu yao kwa Wananchi na Viongozi wanao lindana ktk uharifu wa mali za Umma na uzembe hawatufai ktk utumishi wa Nchi hii.MAKONDA chapa kazi na Mungu akulinde na maadui waovu.

  • @BilalYaile
    @BilalYaile 21 годину тому +3

    Makonda saa hii hawezi kugombea urais Kwa Sababu.Lakini lau angegombea siku hiyo nitakesha kumwombea apite na nitampigia debe kwa ndugu na marafiki wamchague.Ewe Mungu tanzania haijawahi pata rais mzuri anayejali raia wake kama Magufuli;Mungu mlipe kulinga na imani na matendo yake.Ewe Mungu mjaalie Makonda awe kama Magufuli na umhifadhi Mama yetu Samia

  • @Zaynabahmed-ey4zu
    @Zaynabahmed-ey4zu День тому +7

    Mr, makonda unapiga Nazi vizuri makonda oyeeeee piga kazi

  • @MkobaMfangavo
    @MkobaMfangavo 19 годин тому +2

    Makonda kweli unafanya kazi hongera sana

  • @Macamp312
    @Macamp312 День тому +20

    Makonda anafaaa kuwa the next president of Tz

  • @Elimuyaufalmewambinguni
    @Elimuyaufalmewambinguni День тому +1

    Mvinyo wa Mungu (NITAWAGONGANISHA) utaendelea mpaka wakati wa uchaguzi 2025 kama Taifa watu hawataendelea kutenda HAKI,,(YEREMIA 13:12-14)

  • @ChrissChristopher
    @ChrissChristopher 22 години тому +5

    Yangewakuta wengine usingesema😂😂😂😂

  • @sweetbartcloud2787
    @sweetbartcloud2787 День тому +12

    Aisee hiiii nchi duuuu heti na sisi tunajivunia viongozi sasa hapa tunajivunia nini kama sio upumbavu tuuu

  • @MwinyiJuma-n4i
    @MwinyiJuma-n4i 10 годин тому +1

    Tatizo nyinyi wakubwa mnatembelea vx mnalelewa na selikali shida tunazopata wananchi mnazichukulia kama shelehe kwenu Yani mnamuona mnyonge kama katuni tu na mnatetea viongozi wenzenu makonda Yuko vizuri kuwatembeza kwenye madimbwi ya maji ili na wao wajue kwamba raia wanateseka

  • @barakakitomary2936
    @barakakitomary2936 30 хвилин тому

    Baada ya mama kumaliza tunampa makonda wetu ataweza hii nchi sababu sio mtu wa ofsini nijembe Kama maguful mungu akulinde kaka yangu makonda

  • @CharlesKimaro-m7v
    @CharlesKimaro-m7v 17 годин тому +2

    Makondaaa Tunakusikilizaaaa ww Sio Huyooooo Ww ndo rais Wetu wengine hatuwatambuiiii Piga kazii Na tutawapiga hata mawee

  • @johnjoel5012
    @johnjoel5012 14 годин тому +1

    Kero zimeshindikana kutatuliwa dawa ndo hiyo ya Mhe Makonda.

  • @jasiriasili3694
    @jasiriasili3694 День тому +8

    Wazi acha kujichanganya madiwani hawajielewi kabisaaaa haiwezekana pesa zirudishwe hazina alafu mnasema et pesa tunazo

  • @LovenessWaibe
    @LovenessWaibe 15 годин тому +2

    Hata yeye makonda hajasema ameelekezwa na serikali wala kusema katumwa na serikali,sikilizeni na kutatua na kero za wananchi,sisi ndo tunasababosha unapiga hiyo suti na kuvimba bichwa na kichomoza kitambi kwasababu ya kodi za wananchi,so acha makasiriko ya kutaka umkandamize makonda et kasema viongozi wakandwe,Makonda ni mwamba na hamumuwezi😏😏😏😎😎

  • @innocentkanyata9923
    @innocentkanyata9923 18 годин тому +1

    Huyu Waziri wa wapi anaelea wazembe katika wajibu wao. Wanatakiwa watembezwe.

  • @ballackmasungura6753
    @ballackmasungura6753 17 годин тому +1

    Atufati maelekezo ya serikali sisi ndio tunawachagu awo viongizi wanaotuonea makomda Yuko sahii watu wanakaa ofsin wanakula ela wanafanya wanachotaka kwasababu serekali inawalinda au serekali inatoka maelekezo

  • @zaidihussein4311
    @zaidihussein4311 16 годин тому +1

    Makonda upo sawa waburuze tu ktk matope waziri una zingua sana

  • @LeonardChacha-it2pb
    @LeonardChacha-it2pb 21 годину тому +2

    Toa ujinga apo makonda Yuko sahihi ulitaka awabembeleze, nchi imekua ya hovyo tangu magufuli afariki,

  • @BilalYaile
    @BilalYaile 21 годину тому +1

    Ewe Mungu tunakuomba umhifadhi Makonda hadi awe rais.Makonda saa hii angekuwa ndiyo rais bila shaka angetoa tamko juu ya hili

  • @jeremiaaugustino7187
    @jeremiaaugustino7187 21 годину тому +1

    Waziri alisoma wapi? hajui UTAMADUNI hubadirika kutokana na wakati? Alaf kuwaonyesha maisha tunayopitia ni kosa?

  • @JosefuMaluko
    @JosefuMaluko 18 годин тому +1

    Makonda piga kazi baba nabado hawajasema

  • @SalhaRamadhani-b5m
    @SalhaRamadhani-b5m День тому +1

    Ulifanya ujinga kwenye chaguzi serikali za mitaa achana na makonda

  • @laurencematitah7046
    @laurencematitah7046 День тому +2

    Chawa huyu hafai kusikilizwa, makonda Yuko sahihi, Na makonda atakuwa rais ajaye

  • @saidmatola8015
    @saidmatola8015 21 годину тому +1

    Makonda hoyeeeeeee. Hapo haijachukuliwa hatua hawakupigea bali wamepitishwa kwenye barabara mbovu.....

  • @MasaluMeshack
    @MasaluMeshack День тому +2

    Hii inchi haiwezi kusonga mbele kwa Kasi kama viongozi wenyewe wannabebana tuwaongope Wacha walale wale maisha,Makonda Yuko sahii viongozi wa namba hii hawatufai.

  • @EzekieliKatigizu
    @EzekieliKatigizu 7 годин тому

    Makonda mungu akupaishe zidi ya hao mashetani wanajitaidi kukudhoofisha ila mungu kakuchagua tunakupenda

  • @mariakalama3014
    @mariakalama3014 3 години тому

    Mungu amulinde makonda

  • @adrianmnzava8165
    @adrianmnzava8165 День тому +6

    watumishi wa serikali wengi hawawajibiki,sasa wewe shikilia siutamaduni alafu maendeleo hayaendi

  • @AbuuThabiti
    @AbuuThabiti День тому +3

    Makonda oyeeeee piga kazi iendelee

  • @jackmabirangacharles9398
    @jackmabirangacharles9398 День тому +8

    Waziri Mchengelwa usifuge Ujinga Mkuu pamoja na si maagizo ya Serikali
    Sasa Pesa imeletwa kutengeneza Barabara watu wanabishana Mpaka zina rudishwa serikalini Hawa watu wafanywe Nini Basi waondoeni kama hutaki wawajibishwe

  • @stevenmwenda3005
    @stevenmwenda3005 16 годин тому +1

    Tukiruhusu hivi kutakuwa na vurugu sana nchi inaongozwa na mfumo wa sheria kesho wananchi watafanya maksudi tu kumshika kiongozi kishabiki na kumpiga au kumzalilisha hata kama hana hatia

  • @apostelgodwin
    @apostelgodwin 20 годин тому

    Makonda fukuza hao watu ..hawakufai ..ili waziri Mchengerwa aone kwamba upo serious na maendeleo ya wananchi tofauti.. na huo ndio uzalendo na utofauti wako na viongozi wengine wengi..Mungu akubariki Makonda..usipangiwe nini chakufanya mkoani kwako ..ww ndie kama Rais unaouwezo wa kuchagua aina ya adhabu juu ya wakosaji kama Mkuu wa Mkoa ..jua ww ni MKUU.. Hao watu wasikipangie njia ya kutatua matatizo ktk mkoa wako hata kama sio maelekezo ya serikali kwanza adhabu ulio ichagua ni nzuri sana na sio ya kuumiza mtu alie kosa ..Makonda usikubali watu wakupande kichwani hawajakuweka ww bali Rais tu ndie aliekupatia cheo na kama kuna shida atakwambia Yeye mwenyewe aliekuweka ktk nafasi hiyo..

  • @Ngongongalimedia
    @Ngongongalimedia День тому +9

    Pesa 20 billion za maendeleo zinarudishwa serikali kuu wakati wananchi wanakosa huduma muhimu

    • @robertzamani5612
      @robertzamani5612 День тому

      Huo ni mchongo zilirudishwa ili zikapigwe

    • @DavidPamba-jx5io
      @DavidPamba-jx5io День тому

      Rc na maDc na kila mtu kwenye mkoa aliyekwenye gazi ya maamzi linawahusu.

  • @ShabanSef
    @ShabanSef 22 години тому +1

    Acha kutetea ww mkichaguliwa mnakimbia vijijni mnaenda kiishi mjini na Bado mkonda next prezidaa from tz

  • @mariakalama3014
    @mariakalama3014 3 години тому

    Makonda endelea na kazi

  • @MuhamedGilala
    @MuhamedGilala Годину тому

    Vita ya mtoto wa masikini na mtoto wa tajiri😢

  • @respiciusmugezi8645
    @respiciusmugezi8645 День тому +5

    Kwaiyo wewe unafrahi unapoona wananchi wanateseka kwa kukosa uduma zetu za kikatiba kwasababu wewe unatumia magari na ndege za kodi zetu sisi tuteseke uko mh kuwa na uruma kwa wa Tanzania jamaani 😂😂😂😂

  • @mariakalama3014
    @mariakalama3014 3 години тому

    Safi kabisa

  • @tegemeakyangenyenka6111
    @tegemeakyangenyenka6111 12 годин тому

    Wananchi wamechoka,viongozi wa serikali za mtaa hawajali wananchi wao,watasababisha CCM kukosa kura

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 9 годин тому

    TUTAWATEMBEZA TU PAKA WASEME 😂😂

  • @BilalYaile
    @BilalYaile 21 годину тому

    Makonda akikuwa rais, atakuwa anaweza hata kufika kila Mahali kusikiliza kero za raia wa chini kabisa kama alivyokuwa Magufuli.

  • @isaacchalamila
    @isaacchalamila 19 годин тому

    Siasà za makonda sitapoteà haraka sana

  • @AdamsonGeorge-bd3bu
    @AdamsonGeorge-bd3bu 17 годин тому

    Serikali haiwezi kuona matatizo ya wananchi. Na hilo la makonda siyo sheria mkononi n jambo la kawaida kumuonyesha kiongozi mazingira yalivyo. Kiongozi usipokuwa dikteta huwezi leta maendeleo kwenye nchi yako. Kuwabembeleza watendaji ni kupalilia umaskini kwenye nchi. Makonda yupo sahihi sana. Ni lazima Tz ibadilike la sivyo tutaendelea kuwa wasindikizaji na kupambana na mambo yale yale miaka yote. Uchumi wa nchi upo kwa wananchi. Vipaji ubunifu sanaa na utamaduni hayo ndiyo ya Kwetu nchi yetu inawapa nafasi watu wasio na ubavu ktk kutawala na ndio maana akitokea mtu mwenye element za uongozi hawataki.! Hatuwezi fika popote, kiongozi wa watu ml.3 hutakiwi kucheka na yeyote. Makonda yupo kwenye njia sahihi.

  • @RobertChuwa
    @RobertChuwa 8 годин тому

    Apo ulipongea viongozi wa serekali za mitaa nimekuelewa huwezi kujua kero kama upo mjini njoo vijijini uone baadhi ya maeneo korofi hasa mvua inaponyesha watu wanakwama njian maji tope wakati pesa zinarudishwa kwel

  • @azmam53
    @azmam53 День тому +2

    Waziri yupo sahihi.
    1. Amewataka watumishi wakatatue kero za wananchi.
    2. Amewataka wananchi wasichukue sheria mikononi leo wamemtosa kiongozi katika dimbwi wasipo kemewa kesho watachoma moto viongozi, hivyo ni lazima kwa kingozi makini kukemea vitendo kama hivi mapema.

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 День тому

      Hakuna kiongozi wa kweli atakayechomwa moto na wananchi labda wahuni wasiojali mabosi wao ambao ni wananchi

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u День тому +1

    Mh Makonda ni oyeee piga spana wala rushwa watumbukizwe tu madimbwini

  • @EmmanuelMroki
    @EmmanuelMroki 19 годин тому

    Waziri unatuma viongozi wasifanye majukumu yao

  • @Ambwene
    @Ambwene 22 години тому

    MAKONDA YUPO SAHIHI SAANA TENA SAANA NYIE KAZI YENU UFISADI TUU KUIBA NA KUGAWANA MALI ZA TAIFA

  • @evancykashaga6576
    @evancykashaga6576 20 годин тому

    safi makonda safi sana tena sana maelekezo ya selikali ni kutojali wa nanchi

  • @hapaupdates9277
    @hapaupdates9277 День тому +9

    MAKONDA UNATUMIA INFLUENCE YAKO KUJIZOLEA SIFA ZA KIJINGA KUTOKA KWA WANA NCHI HUO NI USHAMBA

    • @SephaniaMsigwa
      @SephaniaMsigwa День тому

      We ulitakaje

    • @faustinedeogratias4337
      @faustinedeogratias4337 День тому +1

      Tuendekeze ujinga kwa manufaa ya wachache? Makonda yupo sawa sana

    • @kinginno3412
      @kinginno3412 День тому +1

      We ndomshamba

    • @HassanMusyoka-gn8qp
      @HassanMusyoka-gn8qp День тому

      WACHA UJINGAA WATU WAKO NA SHIDA HELA MUNAREGESHAA MAANAKE NNI

    • @EvaristaMhagama
      @EvaristaMhagama День тому

      Ifikie hatua tuheshimiane co kwamba tunawachagua mwende mkafaidike wenyew viongoz wakisha chaguliwa wanajaa kiburi wakiamini sheria zinawabeba wafanye wanachota ukihoji wanauliza unajua mim ni nan sasa hata haki hawasimamii

  • @JohanesJemusi
    @JohanesJemusi 13 годин тому

    Huyo makonda Yuko sawa
    Kabisa
    Siyo kisa ni afisa mutendaji eti wamuogopee inafa wazaririshwetuu
    Mbona una watetea
    Na wewe ni mwongini mwaooo

  • @AmaniMrema-r1o
    @AmaniMrema-r1o День тому +2

    Hivi ningekuwa mimi rais leo waziri huna kazi kweli mama.anapambana pesa zinawafikia viongozi kazi wao kulumbana alafu unamsema mkuu wa mkoa kakosea nakutumia kauli ya kwamba kututisha hii c kauli ya serikali....hapo umechemka hta wewe unachofanya hakionekan bora jofo

  • @AshaJuma-s7l
    @AshaJuma-s7l День тому +6

    Mungu tuinulie Makonda kuwa raisi wa hii nchi.🙏

  • @barakandabunganie6585
    @barakandabunganie6585 9 годин тому

    Tunataka Makonda type wengine tunachelewa,wapo viongozi wana kera,eee MUNGU mulinde Makonda wetu

  • @PetroPhilemonmimbi-y5m
    @PetroPhilemonmimbi-y5m 9 годин тому

    neno" tamaduni " 🤔🤔

  • @MasaluMeshack
    @MasaluMeshack День тому +1

    Siku Moja natamani Makonda awe Mkuu wa hii inchi.

  • @fredrickkaaya6287
    @fredrickkaaya6287 День тому

    Watatumbukizwa sana kwenye matope kwani hakuna aliyewachagua. Huu ni mwanzo tu wote watakimbia hivyo viti ili kunusuru maisha yao.

  • @AmaniMathod
    @AmaniMathod 20 годин тому

    MCHENGERWA WEWE UNATUMIA GARI YA SERIKALI....HUPATI TABU....LAKINI SISI AMBAO WATU WA MIGUU TUNAJUW SHIDA YA BALABALA.....MAKONDA YUPO SAHIHI NA MIMI NA MUELEWA SANA MAKONDA.....LAZIMA MATOPE YAWAHUSU WALAHI NDIO WATAKUW NA AKILI

  • @danielkanso
    @danielkanso 18 годин тому

    Huyu waziri nasikia ana mapafu sana kumbe ndiyo hivyo aliyebaki ni huyo wa tamisemi

  • @RITHAMROSSO-t4w
    @RITHAMROSSO-t4w 22 години тому +1

    Acha watembezwe maana hawawajibiki na barabara ni mbovu mno

  • @emmanuellema8058
    @emmanuellema8058 День тому +2

    Waziri hukumwelewa makonda nanukuu maneno ya makonda wananchi wanashida viongozi wanarudisha pesa hazina uliyegemea aseme nn ww waziri vipi bwana

  • @JosephJon-wk6il
    @JosephJon-wk6il День тому +2

    Makondo Yuko sahihi acha kubeza nadiwani wengi gawajitambui acha wachapwe

  • @mkondomkondo4721
    @mkondomkondo4721 9 годин тому

    Wewe si mkwerima wa ma abdul! Makonda piga kazi,si utamaduni lkn ndo mlipotufikisha

  • @JosephkelvinKelvin
    @JosephkelvinKelvin 21 годину тому

    Mbn unateseka kujib,,unamwogop makonda huong

  • @ExperoLivin
    @ExperoLivin День тому +1

    Uyu niyupi ajui tunayoyapitia nni

  • @yugemasanza1008
    @yugemasanza1008 День тому +1

    Hata diwani mwenyewe alikuwa anacheka . Hilo alilichora diwani mhusika ili afikishe hali ilvyo kwake

  • @BilalYaile
    @BilalYaile 21 годину тому

    Mungu aniweke hai nishuhudie Makonda akiwa rais

  • @Hussenskinyangaa
    @Hussenskinyangaa День тому +1

    Ww unasema serekali haikosi hella chowo hukukwetu kwere babati mjini owene barabara siyo unaongeatu

  • @SalimMajid-z7q
    @SalimMajid-z7q 10 годин тому

    Sijakuelewa mtukudaihaki tatizo piga kazi uyo mkwewe

  • @adrianmnzava8165
    @adrianmnzava8165 День тому +2

    huyu naye katokea wapi????

  • @JosephubPhiniasi
    @JosephubPhiniasi 9 годин тому

    Umewahi fanya nini ww achamakonda afanye yake bado ww utatembezwa kwani urikua wapi mpaka hayomashimo yanatokea majungu2

  • @RamadhaniSuru
    @RamadhaniSuru День тому +7

    Waziri mchengerwaa kwahapa umekosea hata wenyewe hawakumdumbukiza kwaunavyo fikiria walitakatu nawenyewe viongozi wamtaa nakata waonje ladha yahayo maji kwakuingiya wote kwenye maji kwahiyo ulitakiwa kumuunga mkono makonda ..

  • @BobNasa
    @BobNasa День тому +1

    Mh, acha kuwatetea watendaji wazembe hiyo ndiyo dawa Yao haiwezekani pesa ya KAZI IPO harafu KAZI hazifanyiki tatizo Nini?

  • @mathiaschoma9527
    @mathiaschoma9527 18 годин тому

    Wanajibu kufatilia ahadi za hao viongozi kwani nyingi nu kejeli na dhihaka.

  • @hemedmuna1851
    @hemedmuna1851 День тому

    Maelekezo yakwenu nikuona wananchi wakiteseka kwamaana mnahic nchi niyakwenu wenyewe,,Utamaduni wenu nikulea wezi,,Mungu atawaadhibu kwamaana pesa mnazo ila hamtatui kero naakitokea wakutetea wanchi mnamkosoa vikali.

  • @MsevenSaudisaidi
    @MsevenSaudisaidi День тому +1

    Huyu mzanzibari mama samia tengua uwaziri wa huyu hafai kuwa waziri naona anacho ongea hakijuwi makonda laisi ajaye

    • @salimugoda3304
      @salimugoda3304 День тому

      Mkwe wake huyo kamzalia utamu sembuse uwaziri😅😅😅

  • @ballackmasungura6753
    @ballackmasungura6753 17 годин тому

    Serekali ndio nani serekali niwananchi kwani nani kamchagua uyo kiongozi asie na macho anajua matatizo na tatui

  • @osumsafi2095
    @osumsafi2095 День тому

    Allah tujarie makonda text president of Tanzania

  • @swedywamba5535
    @swedywamba5535 23 години тому

    Mh rais mama samia ni msikivu sana huyu mtu hakufai muondowe haraka sana atakuharibia mchengerwa ni mkweo ila hakufai anatetea ujinga hebu tuambie kosa3 la makonda hapo ni nin??

  • @BilalYaile
    @BilalYaile 22 години тому

    Mchengerwa hapo umechemsha.Wananchi kuchukua sheria mkononi ndiyo itafanya waongozi kufanya wajibu wao

  • @MikidadiKambinda-tr6rl
    @MikidadiKambinda-tr6rl 19 годин тому

    Hilo. Halikubaliki. Mheshimiwa. Mchengerwa. Unatetea. Hao. Wajinga. Hawafanyi. Kazi. Za. Wananchi. Wamekaa. Tu. Maofisini. Wamekalia. Rushwa. Tu. Hilo. Na. Hilo. Likawe. Fundisho. Kwa. Wengine. BIG. UP. MAKONDA

  • @mwitajoseph5003
    @mwitajoseph5003 14 годин тому

    Mheshimiwa umenena vyema
    Huo ndio uongozi

  • @BITEBOKHALID
    @BITEBOKHALID 21 годину тому

    Je mbona hukusema hayo kabla Uchaguzi wa Serikali za mitaa?

  • @sosthenesmaemba
    @sosthenesmaemba День тому

    Naona ni sawa tu, sbb laia wana shida zao wa kuzitatua ni hao viongozi, na niwazito kutenda kazi zao ipaswavyo,

  • @IMANIMWAITEGE-ve8gr
    @IMANIMWAITEGE-ve8gr День тому

    Hana point kalewa madaraka wao wanatembea na v8 sisi tunakanyaga maji ya mvua na vinyesi akafu et sio utamaduni wa mtanzania.mkitaka utamaduni c mtengeneze km mtaona mtu atatembezwa kwenye maji machafu.

  • @evancykashaga6576
    @evancykashaga6576 20 годин тому

    tumechoka kunyanyasika inatosha sisi sio ng'ombe au wanyama

  • @mkanjimamkanjimamkanjima2043
    @mkanjimamkanjimamkanjima2043 День тому

    Ni kweli watz co utamuduni wenu ila selikari ya tz kupitia chama cha ccm tamaduni zenu ni kuiba pesa za selikari na uchaguzi tu

  • @OmarOmar-gq5tk
    @OmarOmar-gq5tk 10 годин тому

    KAMA SIO UTAMADUNI WENU BAS FANYENI KAZI ZA WANANCHI SIO KULA MALI ZAUMA TU

  • @jackcharles7218
    @jackcharles7218 20 годин тому

    Lkn hapa anamuone mkuu wetu.yeye hakuwatuma wafanye hivyo.ila anachukia viongozi wasio tatua. Kero za watu.

  • @fuhanansiankini853
    @fuhanansiankini853 День тому +1

    Yanayo kuja yanafurahisha hii rasharashatu

  • @ndiditheodore5936
    @ndiditheodore5936 10 годин тому

    Mchengerwa halafu unacheka? Huo ni unyama.

  • @ShukurkollAngel
    @ShukurkollAngel День тому +3

    Ni kweli kuruhusu kitendo hicho kitatuletea vurugu nchini. Wala hakuna uadilifu katika kuwadhililisha viongozi kwa staili hiyo. Waziri nakupongeza sana kwa hekima zsko.

    • @healingclinic698
      @healingclinic698 День тому +1

      Unamuunga mkono unafikiri alikuwa halijui Hilo pole wewe hujaujua unafiki wa viongozi wa Tanzania maneno Yao ni sukari

    • @ngusawales2039
      @ngusawales2039 17 годин тому +1

      Ndg yangu kunamijitu huwa inanimera sana inasifia ujinga ety makinda yuko sawa ,je kama viongozi wote watafanyiwa hi yo unafikir tunakownda ni wap??