MSEMAJI MKUU WA SERIKALI ATANDIKWA MASWALI MAGUMU NA WAANDISHI KUHUSU MABASI YA MWENDOKASI NA SGR

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 7

  • @TheodoraAnatory
    @TheodoraAnatory 14 днів тому

    unajibu kisiasa, jamani aliyeshiba hamjui mwenye njaa. mirani imesimama

  • @usafiaps318
    @usafiaps318 13 днів тому

    Acha Uongo Msemaji!!!!!

  • @peterpetermdaku1691
    @peterpetermdaku1691 13 днів тому

    Xaxa km mainjinia hawapo site na majani yanaota kwan kazi ikifanyika haionekani?

  • @JOSEPHKAJORO
    @JOSEPHKAJORO 14 днів тому

    Majura sawa kabisa kwa mradi wa mbagala.
    Walikuwa wakijenga barabara hizo bila kujua mabasi yako watayapata wapi?
    That is a poor planning.

  • @Noelkashilila
    @Noelkashilila 13 днів тому

    Hivi huyo msemaji ana akili kuliko wengine anapewa siri anajufanya anajua kumbe hajui anatoa majibu mepesi hivi anajua anacho jibu huyo

  • @KhairatyBakari
    @KhairatyBakari 13 днів тому

    Anajibu dry sana jibu kwa hoja na sio kusema wewe ndiye unayejua wakati watu tunaona mambo yanavyoenda.

  • @TheodoraAnatory
    @TheodoraAnatory 14 днів тому

    Buhongwa Kishili, barabara wanafanya kama konokono, huyo mchina ni kama hafanyi kazi, wananchi usafiri hakuna tunahangaika tunalala barabarani tunafika kazini tumechelewa.