MSEMAJI MKUU WA SERIKALI ATHIBITISHA UWANJA WA MPIRA WA DODOMA KUANZA KUJENGWA MWAKA HUU 2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 12

  • @JustinMwashilindi
    @JustinMwashilindi 8 днів тому

    Nasubiri Kwa hamu sana ujenzi uanze wa uo uwanja

  • @glorykastai3996
    @glorykastai3996 10 днів тому +1

    Hongera mheshimiwa kwa kuendelea na tabia yako ya kutujuza wananchi mm hadi nilishasahau msemaji wa serikali ni nani

  • @mwaimuchengo1814
    @mwaimuchengo1814 9 днів тому

    Uwanja wa Dodoma hapo serikali mmefanya jambo zuri sana

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 9 днів тому

    Ushauri. Barabara inayokatiza mbele ya uwanja wa Mkapa na ofisi ya Mkuu wa Wilaya Temeke ziwe barabara mbili. (Njia mbili).

  • @Dinno_Dee
    @Dinno_Dee День тому

    Kila mwaka story ya uwanja wa Dodoma haiishi😂😂😂

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 10 днів тому

    Yaani taifa kama tanzania linaombaomba kujengewa uwanja na morocco!!upuuzi

  • @SylvesterMakenzie
    @SylvesterMakenzie 8 днів тому

    Ww naye kachawa tu huwa sikuelewagi

  • @sebmalunde5945
    @sebmalunde5945 7 днів тому

    Hivi Mwanza mnajua kama ndiko Sato na Dhahabu inatoka???????? Mzani umeinama

  • @kelvincharles7263
    @kelvincharles7263 9 днів тому

    Uongo uongo ulisema Barabara ya mwanza shinyanga itajengwa kwa njia nne mpaka leo kimya 2 years ago why

  • @godmbise-gj9ug
    @godmbise-gj9ug 10 днів тому

    Safi

  • @KisendiNyanda93
    @KisendiNyanda93 10 днів тому

    Bado siku 12 mwaka uishe.. nipo pale