Mbona kama mna vita ?? Kwani mna vyama viwili ndani ya chadema? Maana mnaongea kama mnapingana nakukosowana kiasi inaonekana kama mnaweza hata kupigana ngumi maana mnajaziba sana
Apa nilikua nazani ccm ndio wabaya ila.ukweli kumbe wote ni kitu kimoja ccm aifai chadema nayo aifai maana chadema inaonekana ni ya mtu moja tu na kwa apa ilipo fika imekua boa ccm yaani mambo ya kukaa chini na kuongea mna kuja kuvutana watu wa chama kimoja je mkija kupewa doa itakuaje sasa
Watu walipokuwa wakisema Lisu muongo ulipiga kimya na mkataka awe Rais ktk nnchi hii daahhh😂😂
Leo unatoa ushuhuda kwamba nimuongo😂😂
ligi kubwa sana hii
Mbowe pumzika baba yangu bakia kuwa mshauri wa chama itapendeza sana
Usipunic baba yangu
Wewe mwenyekiti Mbowe imetosha
Mbowe apo umeonyesha kua unauraf wa madalaka
Mbona kama mna vita ?? Kwani mna vyama viwili ndani ya chadema?
Maana mnaongea kama mnapingana nakukosowana kiasi inaonekana kama mnaweza hata kupigana ngumi maana mnajaziba sana