MEDITATION - PASTOR SUNBELLA KYANDO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 лип 2024

КОМЕНТАРІ • 27

  • @geraldmayunga1411
    @geraldmayunga1411 21 день тому +4

    Nadhani ni meditation ni SoMo Muhimu sana kwa mwanadamu..Pastor ikikupendeza tafuta Nafasi na taarifa za kutosha kuhusu jambo hili uweze tupa maarifa zaidi..

  • @furahamwasila
    @furahamwasila 12 днів тому

    Sema ni muhimu sana mjitahidi kutuwekea updates nyingi hasa hapa youtube hasa kwa sisi tuliyopo mbali hili huduma ya neno la Mungu itufikie kwa wakati ni muhimu sana. imagine tunakaa wiki nzima hadi wiki mbili atupati neno la uzima dah fanyieni kazi hili na MUNGU atawabariki masomo yaje kwa wakati yan bandika bandua tuzidi kujifunza. MUNGU AWABARIKI.

  • @highnessmlaki1754
    @highnessmlaki1754 11 днів тому

    Am really blessed MUNGU akuzidishe pastor

  • @EM_JUNE11_WABWANA
    @EM_JUNE11_WABWANA 27 днів тому +3

    Nabalikiwa na Neno la Mtumishi napenda sana mifano yake

  • @jamesfanuel4595
    @jamesfanuel4595 27 днів тому +2

    AMINA MUNGU Katika Jina la YESU Kristo wa Nazareth alie hai NENO LA MUNGU Li hai tena lina Nguvu

  • @Neema-wy4mh
    @Neema-wy4mh 20 днів тому

    Asante Bwana Yesu kwakutumia mtumishi wako kutulisha chakua hichi. Mungu nirehemu nimepata ufahamu sasa ntaanza upya una kusudi namm kunipa somo hili. ❤

  • @simonprosperity9573
    @simonprosperity9573 21 день тому

    My pastor my Teacher hakika wewe ni mwalimu mzuri kwangu na nakupenda umenisaidia mengi kwa mafundisho yako unayoyatoa.

  • @hannahmanu8642
    @hannahmanu8642 27 днів тому

    Amen mungu nitie ngufu wakati niko jikone

  • @deniskimario9288
    @deniskimario9288 26 днів тому

    Ameen, hili neno ni langu..

  • @El9a
    @El9a 26 днів тому

    Wow...manifestation of the Power through the Word of God. GLORY...

  • @risanj-g9l
    @risanj-g9l 26 днів тому

    Simple but powerful, may God give you more pastor.

  • @justusmusango9977
    @justusmusango9977 27 днів тому

    Mungu wa Israeli.
    What a powerful sermon

  • @EuphrasiaNtawatawa
    @EuphrasiaNtawatawa 21 день тому

    Powerful man of God thank you 🙏 my Lord Jesus 🙏

  • @pastormwamlima8014
    @pastormwamlima8014 15 днів тому

    God bless man of God

  • @Youth_revivaltz
    @Youth_revivaltz 24 дні тому

    Nimepokea kitu cha ziada Sana barikiwa Sana

  • @user-ru8ne9oi3y
    @user-ru8ne9oi3y 25 днів тому

    Amen napokea ni langu

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 15 днів тому

    Asante sana Mungu akubariki

  • @ediusiganiza4737
    @ediusiganiza4737 25 днів тому

    Nabarikiwa sana na neno lako

  • @flobad.mhubiri
    @flobad.mhubiri 25 днів тому

    Ameeeeeen. Toka Congo drc

  • @YustinaMwita
    @YustinaMwita 22 дні тому

    Nimebalikiwa amen

  • @godfreymwacha2340
    @godfreymwacha2340 22 дні тому

    Amina hallelujah 🙌🙏

  • @ediusiganiza4737
    @ediusiganiza4737 25 днів тому

    Neno la MUNGU ❤❤❤

  • @graceoisso3238
    @graceoisso3238 21 день тому

    Amen, hakika mtumishi Sanbella ni mwalimu wa neno la MUNGU. MUNGU akubariki baba

  • @graysonlikwama1873
    @graysonlikwama1873 26 днів тому

    Amen

  • @josephinecharles8615
    @josephinecharles8615 25 днів тому

    Powerful

  • @geraldmayunga1411
    @geraldmayunga1411 21 день тому

    Joshua 1:8..it tell us why we should meditate on word of god...Pia Pastor amezungumzia issue ya kujifunza kuisikia sauti ya MUNGU jambo ambalo wa kristo waliowengi Bado hawajui jinsi gani Tupo ktk upande Mmoja tu wa Sisi kusema na MUNGU ila upande wa MUNGU kusema na sisi tuna shida hapo

  • @weahfeint3406
    @weahfeint3406 17 днів тому

    Umefundisha vizuri kuhusu meditation lakini hauja rejea kwenye biblia kuhusu iyo meditation.