Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Stay blessed Pastor I Love U More Kila siku Mafundisho Yako yamejaa pumzi ya Kristo
I wish to bePrayed for too. My family Pastor Sunbella needs deliverance please remember me from Kenya.
Amen mtumishi barikiwa sana
Najiunganisha na madhabahu hii in the name of Jesus
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu... Utumishi wako unamdhihirisha kristo... Mafundisho yako yamekua msaada sana kwangu.
John 10:9.Yesu ndiye Mlango.Wakolosai 2:19-18.
Nahisi uwepo wa Mungu ninavy tazama video ohoo Groly to you God 🙌
Muombee Elton narey
Amen namimi napokea nimegingamanisha na mulango wa Mungu nikiwa Kigali Rwanda 🇷🇼
Ahsante yesu nizulu na mimi we bwana makuomba
Nami napita kwenye mlango huo kinafsi katika jina la Bwana Yesu
Najiungamanisha na madhabahu hui.,,Masomo yangu na Maisha yangu nayaungamanisha ROC 🙏
Nami najiunganisha na hii madhabahu kama lilivyo neno lilolobeba unabii nami naamin kwenye ulimwengu wa roho nami napita kwenye huu mlango kwangu ni ishara kubwa ya kufunguliwa kiuchumi,ndoa familia nk
Napokea
ASANTE MUNGU KWA KUTUFIKIA KUPITIA MTUMISHI WAKO. ASANTE MUNGU KWA MAZABAU YAKO KUB😢WA YA MITANDAO TUNAPOKEA AMINA.
Nataman hii kitu ifanyike tena
😢😢😢YESU WANGU
Sikuwepo siku Ile pale ,lkn uweza wa mungu ulikuwa Kila mahali hata mm niliuona
Nahitaji maelekezo kufika kanisan Dar apa Reality of christ ministry
Nikiwa ubungo naelekea wapi
Ubungo ni rahisi sana nenda mpaka sinza Mori ulizia ofisi za tamwa ni pale pale
Kama huyu dada kasikia na kuongea ata mwanangu glory Mungu atamfungua asikie na kuongea
Tafuta siku ukaonane na pastor sunbella
Stay blessed Pastor I Love U More Kila siku Mafundisho Yako yamejaa pumzi ya Kristo
I wish to be
Prayed for too. My family Pastor Sunbella needs deliverance please remember me from Kenya.
Amen mtumishi barikiwa sana
Najiunganisha na madhabahu hii in the name of Jesus
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu... Utumishi wako unamdhihirisha kristo... Mafundisho yako yamekua msaada sana kwangu.
John 10:9.
Yesu ndiye Mlango.
Wakolosai 2:19-18.